Saturday , 27 April 2024

Habari Mchanganyiko

Habari Mchanganyiko

ACT-Wazalendo wahimiza ushirikiano madai katiba, tume huru ya uchaguzi

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimevitaka vyama vya siasa kushirikiana katika madai ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari Mchanganyiko

Bilioni 1.5 kujenga soko la samaki Tunduma

IMEELEZWA kuwa jumla ya Sh bilioni 1.5 zimetumika kujenga soko la kisasa la kuuzia samaki na dagaa litakalosaidia kuongeza mapato na kudhibiti upotevu...

Habari Mchanganyiko

Wanajeshi 7 wahukumiwa kifo kwa kukimbia maadui

WANAJESHI saba wa DR Congo wamehukumiwa kifo kwa kuonyesha uoga mbele ya wapiganaji wa kikundi cha waasi wa M23 na kukimbia hali inayodaiwa...

Habari Mchanganyiko

Tanzania, Iran kushirikiana sekta za kimkakati

JAMHURI ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimeahidi kushirikiana katika sekta za kimkakati hususani kilimo, biashara na uwekezaji kwa...

Habari Mchanganyiko

Mlezi vyuo vikuu akemea mapenzi ya jinsia moja

MJUMBE wa Kamati kuu CCM ambaye pia ni Mlezi wa vyuo na vyuo vikuu Tanzania, Dk. Frank Hawassi amewataka vijana kuheshimu agizo la...

Bwawa la Nyerere
Habari Mchanganyiko

Mashine Bwawa la Nyerere kuwashwa Septemba

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na mwenendo wa ujazaji maji kwenye Bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere, ifikapo katikati yam waka...

Habari Mchanganyiko

TAHLISO walia gharama za maisha, Samia awaongezea Sh, 10,000

RAIS Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi Jumuiya wa Wanafunzi wa Elimu ya juu (TAHLISO) la kuongeza fedha za kujikimu kutoka Sh 8,000 hadi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hatimaye muswada marekebisho sheria ya habari watinga bungeni, TEF yampongeza Rais Samia

MUSWADA wa Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya 2016, umesomwa kwa mara ya kwanza bungeni jijini Dodoma, kupitia Muswada wa Sheria...

Habari Mchanganyiko

Dk. Tax asaini kitabu cha Maombolezo ubalozi wa Uturuki

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax, amesaini kitabu cha maombolezo Ubalozi wa Uturuki Jijini Dar es...

Habari Mchanganyiko

LSF yanoa mashirika yanayosimamia watoa misaada ya kisheria

SHIRIKA la Legal Services Facility (LSF), linaendesha kikao cha kuzijengea uwezo mashirika takribani 92 yanayosimamia wasaidizi wa kisheria kwenye kanda zake sita nchini....

Habari Mchanganyiko

RC Songwe aongoza ugawaji bidhaa za magendo kutoka Zambia

  MKUU wa mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba ameongoza zoezi la ugawaji wa bidhaa zenye thamani ya Sh Milioni 12.4 zilizokamatwa wakati zikiingizwa...

Habari Mchanganyiko

DMI yaanika mikakati kukabiliana na kasi ya teknolojia

  KUTOKANA na kukua kwa kasi ya Teknologia nchini na duniani kwa ujumla, Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kinatarajia kuboresha karakana...

Habari Mchanganyiko

Muswada wa sheria ya habari kutinga bungeni kesho

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Huduma za Habari ya 2016,...

Habari Mchanganyiko

Tanzania inakabiliwa na uhaba wa nyumba milioni 3

  TANZANIA inakabiliwa na uhaba wa nyumba zipatazo milioni tatu licha ya kuwa watanzania ni zaidi ya milioni sitini ambapo jiji la Dar...

Habari Mchanganyiko

ACT-Wazalendo yawapa neno wanahabari mkwamo muswada sheria ya habari

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimewataka waandishi wa habari na wadau wengine wa tasnia hiyo, kupaza sauti zao ili Muswada wa Marekebisho ya Sheria...

Habari Mchanganyiko

Kampeni ya Umebima yazinduliwa tena Zanzibar

MCHAKATO wa elimu ya bima na uhamasishaji wa matumizi yake umezidi kunoga baada ya Benki ya NMB kuzindua tena kampeni ya Umebima Zanzibar...

Habari Mchanganyiko

NSSF kuanzisha kiwanda cha sukari Julai mwaka huu

MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umesema utapunguza uhaba wa sukari kufikia Julai mosi mwaka huu kwa kuzalisha sukari kupitia kiwanda...

Habari Mchanganyiko

Wawili washikiliwa vurugu za wachinga Mwanza

  JESHI la Polisi mkoani Mwanza, linawashikiliwa watu wawili kwa tuhuma za kuongoza vurugu zinazodaiwa kufanywa na baadhi ya wafanyabiashara wadogo (wamachinga), dhidi...

Habari Mchanganyiko

Wahandisi GGML wafanya ziara ya mafunzo Daraja la Kigongo–Busisi

KUNDI la wahandisi 40 kutoka kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wametembelea daraja la Kigongo-Busisi linalounganisha mikoa ya Mwanza na Geita kwa...

Habari Mchanganyiko

Mawakili waiburuza mahakamani TLS, EALS

  WAKILI Hekima Mwasipu na wenzake wawili, wamefungua kesi katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, kupinga masharti mapya yanayowalazimisha mawakili...

Habari Mchanganyiko

Uvuvi bahari kuu wapaisha pato la Taifa

  SERIKALI imesema uvuvi wa bahari kuu umeliingizia Taifa pato la kiasi cha Sh 4.1 bilioni katika kipindi cha mwaka 2022 hadi kufikia...

Habari Mchanganyiko

DPP aweka pingamizi kesi ya ‘watu wasiojulikana’

  MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), ameweka pingamizi dhidi ya kesi ya jinai iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Luqman Maloto, kuhoji ukimya wa...

Habari Mchanganyiko

Washindi saba safarini Dubai NMB MastaBata ‘Kote Kote’

KAMPENI ya kuhamasisha matumizi ya Mastercard na QR Code ‘Lipa Mkononi’ iitwayo NMB MastaBata ‘Kote Kote’, imefikia ukomo jana Jumanne tarehe 7 Februari...

Habari Mchanganyiko

Bodi ya Maji Wami Ruvu kuchimba visima 10 kupunguza uhaba maji mikoa mitatu

  BODI ya Maji ya Bonde la Wami Ruvu imesema kuwa imejipanga kuhakikisha inamaliza changamoto ya tatizo la maji katika mikoa ya Dar...

Habari Mchanganyiko

NBC Dodoma International Marathon kutimua vumbi Julai 23

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetanganza msimu wa nne wa mbio za NBC Dodoma International Marathon 2023 zinazotarajiwa kufanyika Julai 23 mwaka...

Habari Mchanganyiko

NMB wadhamini wiki ya usalama barabarani

BENKI ya NMB ni miongoni mwa wadhamini wa Wiki ya Usalama Barabarani nchini Tanzania iliyozinduliwa wiki iliyopita. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Habari Mchanganyiko

GGML yakabidhi madarasa 2 kwa Shule ya msingi Kiziba

KATIKA kuunga mkono juhudi za serikali za kuboresha elimu na kulea kizazi kijacho ambacho kitasaidia Taifa kufikia malengo ya kiuchumi na kimaendeleo, Kampuni...

Habari Mchanganyiko

WFP wasaini mkataba kuinua wakulima wadogo nchini

  SHIRIKA la Chakula Duniani (WFP) kwa upande wa Tanzania limesaini makubaliano ya awali na Taasisi ya International Crop Research Institute for the...

Habari Mchanganyiko

Uhifadhi waongeza wanyama Pololeti

UAMUZI wa Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kuhifadhi Pori la Akiba la Pololeti lenye ukubwa wa kilomita 1,500 umewezesha kuongeza...

Habari Mchanganyiko

Profesa Kabudi aomba Morogoro iwe jiji

MBUNGE wa jimbo la Kilosa mkoani Morogoro, Profesa Palamagamba Kabudi, ameomba mbele ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo kuupandisha...

Habari Mchanganyiko

Ajali Tanga- RC awakomalia madaktari waliosimamishwa, aibua shangwe miili ikiagwa

MKUU wa mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amesema Serikali haikumsimamisha Mganga Mfawidhi Halmashauri ya Mji Korogwe na daktari mteule wa hospitali ya wilaya...

Habari Mchanganyiko

Idadi ya vifo ajali Tanga yaongezeka kufikia 20

MKUU wa mkoa wa Tanga, Omar Mgumba leo Jumapili amesema majeruhi watatu katika ajali iliyotokea juzi Korogwe mkoani Tanga, wamefariki dunia na kuongezeka...

Habari Mchanganyiko

RC Mtaka aeleza alivyoghadhabishwa na viongozi wenzake “kwani huli, hulipwi mshahara?”

MKUU wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amesema katika kuhakikisha wanafunzi waliofaulu mtihani wa darasa la saba 2022 wanaendelea kidato cha kwanza 2023,...

Habari Mchanganyiko

Samia atuma salama za pongezi CCM ikitimiza miaka 46

WAKATI Chama Cha Mapinduzi leo tarehe 5 Februari 2023 kikitimiza miaka 46 tangu kuasisiwa kwake, Rais Samia Suluhu Hassan ametumia ukurasa wake wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Haya hapa majina 12 ya familia moja waliofariki kwenye ajali Tanga

  MAJINA 12 kati ya 17 ya waliofariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia leo, Jumamosi tarehe 4 Februari, mkoani...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia awalilia 17 waliofariki ajalini wakisafirisha maiti

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza watu 17 waliofariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea mkoani Tanga,...

Habari Mchanganyiko

Wanawake wachimbaji wajenga zahanati kuokoa afya za wakazi 2000

  ZAIDI wakazi 2,000 wa kijiji cha Nyamishiga Kata ya Lunguya Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameondokana na adha ya kutembea...

Habari Mchanganyiko

Baada ya Congo DR, Somalia mbioni kujiunga na EAC

  TAIFA la Somalia liko mbioni kuwa mwanachama rasmi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), baada ya timu iliyoundwa na taasisi hiyo kutathmini...

Habari Mchanganyiko

14 familia moja wafariki katika ajali iliyoua 17 Tanga

WATU 14 ni wa familia moja kati ya 17, wamefariki dunia na wengine 12 wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Magira...

Habari Mchanganyiko

NMB yafadhili ziara ya mafunzo machinga, bodaboda Dar nchini Rwanda

BENKI ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Wafanyabiashara Wadogo (Machinga) na Waendesha Bodaboda...

ElimuHabari Mchanganyiko

Waliopata Division one St Anne Marie Academy waula, Waahidiwa kupelekwa Ngorongoro, Mikumi

WANAFUNZI wa shule ya St Anne Marie Academy waliofanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne wanaandaliwa ziara ya kutembelea mbuga za wanyama...

Habari Mchanganyiko

Wadau wataka kasi iongezeke marekebisho sheria za habari

  WADAU wa tasnia ya habari wametakiwa kuongeza juhudi katika kupaza sauti kutaka mchakato wa marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya...

Habari Mchanganyiko

TEF yawatuliza wadau wa habari marekebisho vifungu kandamizi

  JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limewataka wadau wa habari nchini kuwa na subira kwa kuwa muswada wa mabadiliko ya Sheria ya Huduma...

Habari Mchanganyiko

Ndege ya Precision Air yaahirisha safari kwa hitilafu, nyingine yatua kwa dharura

  NDEGE ya Shirika la Precision Air imeshindwa kufanya safari yake kama kawaida baada ya kupata hitilafu ya kiufundi huku nyingine ikilazimika kutua...

Habari Mchanganyiko

NMB yakabidhi vifaa tiba hospitali Mtwara  

BENKI ya NMB Kanda ya Kusini imetoa msaada wa vifaa tiba kwa hospitali ya Rufaa ya Mtakatifu Benedict ya Ndanda iliyopo Wilayani Masasi...

Habari Mchanganyiko

Kasilda Mgeni anasisitiza umoja, ushirikiano Same 

  MKUU mpya wa Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewaomba watumishi wa umma wilayani hapo kudumisha umoja na ushirikiano ili kuchochea...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hii hapa kauli ya Sheikh mpya mkoa wa Dar

SAA chache baada ya kuteuliwa kukaimu nafasi ya aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, Sheikh mpya wa mkoa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Breaking news! Mufti amng’oa Sheikh mkoa Dar

BARAZA la Ulamaa la Bakwata katika kikao kilichofanyika tarehe 1 Februari 2023 chini Mwenyekiti Mufti Abubakar Zubeir limetengeua uteuzi wa Sheikh Alhad Mussa...

Habari Mchanganyiko

Bilioni 120 za DMDP zaibadilisha Ilala, wananchi watoa ya moyoni

JUMLA ya Sh bilioni 120.7 zimetumiwa na Halmshauri ya Jiji Ilala katika uboreshaji wa miundombinu ikiwamo ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilometa...

Habari Mchanganyiko

Bilioni 215 zajenga miundombinu Kinondoni, mafuriko sasa basi!  

ADHA ya mafuriko kwa wakazi wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo sasa imebaki kuwa historia baada ya jumla ya Sh bilioni 215.9 kutumika...

error: Content is protected !!