SHIRIKA la Chakula Duniani (WFP) kwa upande wa Tanzania limesaini makubaliano ya awali na Taasisi ya International Crop Research Institute for the Semi-Arid Tropics (ICRISAT), kwa lengo la kuwezesha wakulima wadogo nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Tanzania, Sarah Gordon – Gibson (Kushoto), akisaini makubaliano ya awali na Mwakilishi Mkazi wa International Crop Research Institute for the Semi-Arid Tropics (ICRISAT), Dk. Rebbie Harawa (Kulia), ili kuwezesha wakulima wadogo nchini.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Tanzania, Sarah Gordon – Gibson (Kushoto), akikabidhiana makubaliano ya awali na Mwakilishi Mkazi wa International Crop Research Institute for the Semi-Arid Tropics (ICRISAT), Dk. Rebbie Harawa (Kulia), ili kuwezesha wakulima wadogo nchini.
Leave a comment