ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Wanafunzi 937,581 wachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza, wasichana vinara December 4, 2025 Erasto Masalu SERIKALI imetangaza jumla ya wanafunzi 937,581 wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika muhala wa masomo wa Januari mwaka 2026 huku idadi ya wasichana wakiwa vinara wakiongozwa kwa wingi wanafunzi waliopenya…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Hofu ya D9 yakimbiza watu, bidhaa zakimbiliwa December 4, 2025 Erasto Masalu USEMI ‘uking’atwa na nyoka hata unyasi ukitikisika utashtuka’ unaendelea kudhihirika kwa baadhi ya wananchi nchini wanaofikiria tishio la maandamano yaliyotangazwa kufanyika tarehe 9 Desemba, 2025 huku wakiwa na kumbukumbu ya…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Ujumbe umefika, watawala wamepotezea December 4, 2025 Erasto Masalu UJUMBE wa kudai haki umewafikia watawala na kwa namna nyingine wameamua kusema kuwa haki haidaiwi kwa njia ile ya tarehe 29 Oktoba 2025 na kwamba ulikuwa ni uasi na uovu.…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Makamu wa Rais afungua maadhimisho ya Kimataifa ya usugu wa vimelea vya magonjwa December 3, 2025 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais, Emmanuel Nchimbi amesema Tanzania imedhamiria kuhakikisha inalinda afya, maisha ya watu na mazingira kwa kutoa kipaumbele katika uimarishaji wa mfumo wa afya, kuwekeza katika utafiti wa kisayansi,…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Polisi Tanzania: Tumejipanga kukabiliana na wachochezi mitandaoni December 3, 2025 Erasto Masalu JESHI la polisi nchini Tanzania limesema, limejipanga kukabiliana na wimbi la uhalifu wa kimtandao na mipango ya vurugu inayosema, “inahamasishwa kupitia mitandao ya kijamii, kuelekea tarehe 9 Desemba. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Niffer, Chavala waachiwa huru baada ya siku 40 December 3, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachilia huru mfanyabiashara Jennifer Jovin maarufu kama Niffer (26) na Mika Chavala ( 32) baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka kuamua kutoendelea na kesi hiyo. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Rais Samia: Tulitumia nguvu inayostahili, walitaka kufanya mapinduzi December 2, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema walitumia nguvu inayostahili kudhibiti vurugu za tarehe 29 Oktoba 2025, akisisitiza kuwa yote yaliyotokea ilikuwa na lengo la kulinda amani ya nchi. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Samia: Oktoba 29 walitaka kupindua dola ninayoiongoza December 2, 2025 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema matukio ya vurugu yaliyotokea kuanzia 29 Oktoba 2025 siku ambayo uchaguzi mkuu ulifanyika na siku zilizofuata yalikuwa matukio ya kutengenezwa yaliyolenga kuangusha dola ya nchi…
HABARI MCHANGANYIKO TANESCO yakanusha kuhusika na shambulio la Dk. Kitima December 2, 2025 Erasto Masalu SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikilihusisha shirika hilo na matukio ya kiuhalifu. Anaripoti Joyce Ndeki, Dar es Salaam … (endelea). Dk. Charles Kitima,…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Kifahamu kilichomo mkutano wa Samia na Wazee wa Dar December 2, 2025 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzungumza na wanaoitwa, “Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam,” leo Jumanne, kuanzia saa tano asubuhi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa…