Friday , 3 May 2024
Home mguta
611 Articles79 Comments
Habari za Siasa

Mbunge Kabati: Mchungaji Msigwa ana bahati

RITA Kabati, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) mkoani Iringa amesema, mambo mengi anayozungumza Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini, yanatekelezwa na serikali. Anaripoti...

Habari za Siasa

DC Katambi awachimba mkwara wapinzani kuhoji ulinzi wa Rais

PATROBAS Katambi, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma amesema, watu wanaohoji ulinzi wa rais hawana nia njema. Anaripoti Hamis Mguta… (endelea). Na kwamba, watu...

AfyaMpya

Serikali yatangaza neema Hospitali Dodoma

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameahidi kutoa Tsh. Milioni 200 kwa ajili ya ujenzi wa jengo...

Habari za SiasaTangulizi

Tume ya Uchaguzi yatangaza uchaguzi Jimbo la Nassari

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Semistocles Kaijage ametangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki. Anaripoti Hamisi Mguta … (endelea)....

Habari za Siasa

Rais Magufuli afanya uteuzi Wizara ya Fedha na TRA

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amemteua Adolf Ndunguru kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango anayeshughulikia...

AfyaHabari Mchanganyiko

Watanzania 269 wanahisiwa kuwa na Kifua Kikuu

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa katika kila Watanzania 100,000, kati yao 269 wanahisiwa kuwa...

Habari Mchanganyiko

Makonda achimba mkwara DC, DEC

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ametoa siku tano kwa watendaji wa halmashauri zilizoko jijini humo, kuanza utekelezaji wa miradi...

Afya

Dk. Ndugulile atembelea MOI, akagua chumba cha tiba mtandao

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea Taasisi ya Tiba ya mifupa, upasuaji wa ubongo,...

Habari za Siasa

Kwanini Maalim Seif apewe kadi No. 1 ACT-Wazalendo?

MAALIM Seif Sharif Hamadi, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo leo tarehe 19 Machi 2019 amekabidhiwa kadi namba moja ya chama hicho. Anaripoti Hamis...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba amaliza kazi, amng’oa Maalim Seif

HATIMAYE Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francies Mutungi, amekamilisha kazi...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa ameniumiza – Mbowe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesikitishwa na hatua ya “waziri mkuu mstaafu,” Edward Lowassa, kukihama chama hicho. Anaripoti Hamisi Mguta … (endelea)....

Habari za Siasa

Prof. Lipumba aeleza ‘jeuri’ ya kufanya mkutano mkuu

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa, ameeleza sababu za kufanyika kwa mkutano mkuu wa...

Habari Mchanganyiko

Mambosasa awatoa hofu wanyoa ‘viduku’

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amekanusha taarifa kuhusu kukamata wanyoa viduku, wavaa vimini zinazoendelea kusambaa. Anaripoti Hamis Mguta …...

Habari Mchanganyiko

Baba aua familia yake kwa kutumia jembe

AMMY    Lukule ambaye ni mhasibu katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya amefanya mauji kwa familia yake kutokana na wivu wa mapenzi, Anaripoti Hamis...

Kimataifa

Marekani yaikomalia Afghanistan, yasitisha misaada

MISAADA  ya kiusalama kwa Pakistan yenye thamani ya takriban dola milioni 900 itasitishwa hadi pale Pakistan itakapochukua hatua madhubuti ya kupambana na kundi...

Michezo

Serikali yamshika mkono Babu Seya hadi studio

SERIKALI imetangaza kuwabeba wasanii waliokuwa wamefungwa jela maisha ambao Desemba 9, 2017 walipewa msamaha na Rais John Magufuli ili kuinua vipaji vyao. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

BoT yakunjua makucha, yafunga benki tano

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imezifunga na kuziweka chini ya ufilisi benki tano nchini kutokana na kuwa na upungufu wa mtaji kinyume na...

Elimu

Bodi ya Mikopo ‘uvungu kwa uvungu’ na waajiri

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB), imetangaza vita dhidi ya waajiri hapa nchini ikiwamo wale wa serikali ili...

Habari za Siasa

Babu Seya atinga Ikulu kumshukuru Rais Magufuli

Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha” Francis Nguza na Michael Nguza leo wamefika Ikulu kumshukuru Rais wa Tanzania,...

Habari za Siasa

Mbunge Sugu aitwa Polisi

MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na mratibu wa chama hicho Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wameitwa Polisi....

Habari Mchanganyiko

TRA kuchunguza kipato cha Askofu Kakobe

BAADA  ya kiongozi wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Askofu Zacharia Kakobe kudai ana fedha nyingi kuliko Serikali, Mamlaka ya Mapato Tanzania...

Habari za Siasa

Mkwara wa Magufuli wapandisha joto la Wabunge

VIONGOZI mbalimbali wa umma wakiwamo Wabunge leo wamemiminika katika ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kuwasilisha tamko kuhusu rasilimali na...

Habari za SiasaTangulizi

CCM ‘yachotewa’ na serikali Sh. 1.7 bilioni

MFUKO Mkuu wa Serikali (HAZINA), umetikishwa baada ya kuchotwa mabilioni ya shilingi na kuelekezwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Hamisi Mguta … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Meya Londa ajisalimisha Urafiki

ALIYEKUWA Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Alhaji Salum Salehe Londa, amelipa deni la pango ya nyumba, analodaiwa na kiwanda cha Nguo cha Urafiki,...

Habari za Siasa

Kubenea kutoa mil 14 kujenga daraja Mabibo

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea ameahidi kutoa Sh. 14 milioni kwa ajili ya kujenga kivuko kilichoosombwa na mafuriko kilichopo Mabibo Sahara. Anaripoti Hamisi...

Habari Mchanganyiko

Dk. Kimei akataa kung’ang’ania madaraka

MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei amesema hatoongeza muda wa kuiongoza taasisi hiyo baada ya mkataba wake kukamilika Mei, 2019,...

Habari za Siasa

Profesa Lipumba apata pigo la kufunga mwaka

CHAMA cha Wananchi (CUF), upande unaongozwa na Profesa Ibrahim Lipumba kimepata pigo kubwa baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kupiga marufuku bodi yake...

Habari za Siasa

Aliyekuwa bosi wa UVCCM apata dhamana

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia kwa dhamana aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Sadifa Juma Khamis (Mbunge) anayekabiliwa na...

Habari Mchanganyiko

Hukumu kesi ya ‘Scorpion’ kusomwa mwakani

HUKUMU ya kesi ya kumjeruhi mpaka kumtoboa macho kinyozi, Said Mrisho inayomkabili mwalimu wa sanaa ya kujihami, ‘Martial Arts’ na msanii wa filamu...

Habari za Siasa

NEC wawapotezea Chadema uchaguzi wa marudio

MKURUGENZI wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Kailima Ramadhani amesema chama cha siasa kutangaza kugomea uchaguzi hakuwezi kuifanya Tume iuahirishe...

Habari za SiasaTangulizi

Mwenyekiti UVCCM arudishwa rumande

BAADA ya kukamatwa, Sadifa Khamis ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa leo amefikishwa mahakamani Dodoma kwa tuhuma za kugawa rushwa, anaandika Hamis Mguta....

Habari za Siasa

Wabunge CUF wakwama kurudi bungeni

KATIBU wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Stephen Kagaigai amesema kuwa katika maamuzi ya mahakama hakuna sehemu imesema wabunge 8 wa...

Habari za Siasa

Zitto Kabwe akubali yaishe matokeo udiwani

BAADA ya kukamilika uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata 43 nchini, Kiongozi wa ACT –Wazalendo, Zitto Kabwe amesema chama chake kimekubali kushindwa, anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge wa CUF wamlima barua Spika Ndugai

WANACHAMA wanane wa CUF waliovuliwa ubunge wamemwandika barua Katibu wa Bunge ili amjulishe Spika Job Ndugai kuhusu uamuzi wa Mahakama Kuu ili achukue...

Habari MchanganyikoTangulizi

Serikali ya Magufuli yatembeza nyundo majengo yake

TINGATINGA limeanza kubomoa majengo ya Wizara ya Maji yaliyopo eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam kufuatia amri ya Rais John Magufuli aliyoitoa...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto awasusia polisi simu yake

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini amesema kuwa ana mashaka ni kwa nini Jeshi la Polisi linaendelea kushikilia simu yake mpaka sasa na...

Habari Mchanganyiko

Maofisa takwimu wafundwa

WAZIRI wa Fedha na Mipango Dr Phillip Mpango amewataka viongozi ngazi ya Taifa hadi kijiji kutoa ushirikiano kwa watafiti watakapokuwa wanafanya kazi zao...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto azidi kusota na safari za Polisi Dar

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameendelea kusota na safari za kwenda kuripoti katika kituo cha polisi cha Chang’ombe jijini Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo yatoa neno wanaokihama chama

KATIBU wa Itikadi na mawasiliano ya umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu amesema wimbi la wanachama wa chama hicho kuhamia CCM linakikomaza, anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi yaing’ang’ania ACT-Wazalendo

BAADA ya Jeshi la Polisi kumuhoji Kiongozi wa Chama cha Act-Wazalendo Zitto Kabwe jeshi hilo linatarajia kuihoji Kamati nzima ya Uongozi wa Chama...

Habari Mchanganyiko

Waziri wa Nishati ‘amtoa kafara’ mtumishi Tanesco

WAZIRI wa Nishati na Madini, Merdad Karemani amemtoa  ‘kafara’ meneja uendeshaji wa mtambo wa kufua umeme wa Kidatu mkoani Morogoro kufuatia nchi kuingia...

Habari Mchanganyiko

Mvua zaleta balaa Dar, Pwani

MVUA zinazoendelea kunyesha kuanzia jana mchana zimeanza kuleta madhara baada ya daraja la Kiluvya linalounganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam kukatika....

Kimataifa

Majaji Kenya wakimbia mahakama ya juu

HAKAMA ya Juu Nchini  Kenya imeshindwa kusikiliza na kutoa maamuzi katika kesi ya kupinga kufanyika uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika kesho kutokana na...

Kimataifa

Uchaguzi Mkuu Kenya washikiliwa na Mahakama

UCHAGUZI  Mkuu Nchini Kenya upo mashakani kufanyika Oktoba 26 kama ilivyotangazwa na Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya nchi hiyo, (IEBC),  baada ya...

Habari Mchanganyiko

DC  atangaza vita na askari waliopiga raia

MKUU wa wilaya ya Ilala,  Sophia Mjema ameagiza kuchukuliwa hatua askari wanaodaiwa kuwapiga wananchi katika eneo la Gongo la mboto Jijini Dar es...

KimataifaTangulizi

Kijana aibuka mshindi nchini Austria

MKUU wa chama cha kihafidhina nchini Austria cha People’s Party, Sebastian Kurz, anaelekea kupata ushindi wa kuliongoza taifa hilo akiwa na umri mdogo, anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

Sheikh Ponda kimenuka, apewa siku tatu kujisalimisha Polisi

JESHI la Polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtaka Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda kujisalimisha mikononi...

Burudika

Wasanii wapewa neno kuondokana na aibu

MAKAMU  mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji Tanzania, Jimmy Mafufu amewataka wasanii kujiunga katika mfumo wa bima kupitia mfuko wa PPF ili kuondokana na...

Habari za Siasa

Kiongozi wa Bavicha anusurika kifo katika ajali

EDWARD Simbeye, Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), amepata ajali ya gari, anaandika Hamisi Mguta. Ajali...

Kimataifa

Vurugu zafunga chuo cha Nairobi

CHUO  Kikuu cha Nairobi kimefungwa kwa muda usiojulikana na Wanafunzi chuoni hapo wameamriwa kuondoka chuoni hapo  leo, anaandika Hamis Mguta. Uamuzi huo umefikiwa...

error: Content is protected !!