Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Angola zimesaini hati tatu za Makubaliano ya Ushirikiano (MoUs) katika sekta...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2024CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeshauri marekebisho madogo ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977, ili kuzipa nguvu sheria za uchaguzi...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2024ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amepongeza Balozi Dk. Emanuel Nchimbi kwa kuteuliwa kurithi nafasi yake na kusisitiza imani ya Halmashauri Kuu...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2024CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kiko tayari kufanya mdahalo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul...
By Regina MkondeJanuary 15, 2024MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema atawasilisha kwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, changamoto zinazowakabili wakulima wa...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2024KAMATI ya Halmshauri Kuu ya CCM leo Jumatatu imemteua Balozi Emmanuel John Nchimbi (53) kuwa Katibu Mkuu wa CCM akichukua nafasi ya Daniel...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2024BAADHI ya wananchi wa Kata ya Kivule, wamembana mbunge wao (Ukonga), Jerry Silaa, kuhusu utatuzi wa changamoto sugu zinazowakabili ikiwemo ubovu wa...
By Regina MkondeJanuary 15, 2024Katibu wa NEC – Itikadi na Uenezi (CCM) Paul Makonda amesema Mwenyekiti wa Chadema, Freema Mbowe ni mnufaika mkubwa wa maridhiano ya kisiasa...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2024CHAMA Cha ACT-Wazalendo kimeitaka Serikali kuwawekea mazingira mazuri wafanyabiashara ndogondogo maarufu ‘machinga’ yatakayowawezesha kufanyabiashara zao na si kuwakimbiza na kuwamwaga bidhaa zao. Anaripoti...
By Faki SosiJanuary 14, 2024Mkutano wa pili wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Angola umeanza tarehe...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2024MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe, amesema wanaotegemea chama hicho kipasuke kutokana na migogoro watasubiri sana. Anaripoti Mwandishi...
By Regina MkondeJanuary 13, 2024CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza maandamano ya amani bila kikomo nchi nzima, hadi pale Serikali itakapofanyia kazi maoni na mapendekezo ya...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2024UMOJA wa Mataifa (UN), chini ya kitengo cha wanawake, umechambua miswada ya maboresho ya sheria za uchaguzi na kutoa mapendekezo yake juu ya...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2024Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Zaraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema mafanikio waliyoyapata miaka 60 tangu Mapinduzi ya mwaka 1964,...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2024BARAZA la Mawaziri Kivuli la Chama cha ACT-Wazalendo, limeahidi kupigania maisha ya heshima kwa watanzania wanyonge, huku likianisha vipaumbele itakavyofanya 2024. Anaripoti Regina...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2024CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewasilisha mapendekezo makuu manne mbele ya Kamati ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, juu ya miswada...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2024BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limesema kwa mara ya kwanza limeamua kutoka mstari wa mbele kutoa mapendekezo yake juu ya uboreshaji sheria...
By Mwandishi WetuJanuary 9, 2024KAMPUNI ya Dubai Port World kutoka Imarati ya Dubai, inatarajiwa kuanza uendeshaji wa maeneo waliyokodishwa katika Bandari ya Dar es Salaam, kwenye robo...
By Mwandishi WetuJanuary 9, 2024WAKULIMA wa karafuu visiwani Zanzibar, wametakiwa kuacha kuuza kwa magendo zao hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...
By Mwandishi WetuJanuary 9, 2024TAASISI ya Sauti ya Watanzania imeshauri uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwaka huu, usogezwe mbele hadi uchaguzi mkuu wa 2025, ili...
By Mwandishi WetuJanuary 8, 2024CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), pamoja na Chama Cha ACT-Wazalendo, vimewasilisha maoni na mapendekezo Yao kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2024MWENYEKITI wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Lindi, Isihaka Mchinjita amesema anatarajia kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho upande wa...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2024CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kinakusudia kupeleka hoja ya mabadiliko ya 13 ya Katiba ya Zanzibar ili kuwezesha kuongezewa muda wa muhula wa uongozi...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2024JUKWAA la Wanawake Viongozi wa Jumuiya za Vyama vya Siasa nchini (ULINGO), limeshauri wanawake waliopata nafasi ya viti maalum zaidi ya mara moja,...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2024Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Dk. Immaculate Sware Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa...
By Mwandishi WetuJanuary 5, 2024MBUNGE wa Viti Maalumu, Neema Lugangira (CCM) ameshauri mswada wa sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi uwe na ibara inayozungumzia masuala ya matumizi...
By Seleman MsuyaJanuary 5, 2024RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya NMB kwa kuendelea kuunga mkono ajenda ya...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2024Mbunge wa Ileje ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amekabidhi mitungi 107 kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2024BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendelea kuunga mkono jitihada za serikali katika kuboresha sekta ya elimu nchini, kwa kufadhili mpango wa kuchochea...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2024KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amemuomba Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, aingilie kati ili Fatma Karume arejeshewe leseni yake ya...
By Regina MkondeJanuary 1, 2024RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amempongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), kwa kuchaguliwa tena kuliongoza taifa hilo...
By Mwandishi WetuJanuary 1, 2024Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameainisha mipango ya serikali kwa mwaka mpya wa 2024, ikiwemo agizo la kuanzisha safari za SGR kati...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2023MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewataka watanzania kutumia nyumba za ibada kuwaombea viongozi wa kisiasa wenye roho ngumu...
By Regina MkondeDecember 31, 2023MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), ameitaka Serikali kupeleka muswada wa mabadiliko madogo ya katiba ili kupata tume huru ya uchaguzi kabla ya...
By Regina MkondeDecember 31, 2023HATIMAYE Jeshi la Polisi limemkamata Lucas Paul Tarimo anayetuhumiwa kumuua kwa kumchoma visu 25 Beatrice James Minja, akiwa amejificha katika kijiji cha Jema...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimefungua milango kwa wabunge viti maalum 19 waliofukuzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wajiunge nacho. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeDecember 29, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimetaja mambo manne kilichofanikiwa kuyafanya ndani ya mwaka 2023 unaolekea ukingoni, huku kikitaja mikakati yake mipya kuelekea 2024. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeDecember 29, 2023Wakati zoezi la kuhesabu kura likiendelea nchini Kongo, Rais Felix Tshisekedi ameendelea kuongoza kwa asilimia 77 na mpinzani wake wa karibu Moise Katumbi...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo kimefungua rasmi kinyang’anyiro cha uchaguzi wa viongozi wake ngazi ya mikoa upande wa Tanzania Bara, unaotarajiwa kufanyika kati ya tarehe...
By Regina MkondeDecember 28, 2023Umoja wa Mabalozi wa nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania wamekabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2023KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Oganaizesheni, Issa Gavu, amesema chama hicho hakiwezi kushinda kwa...
By Gabriel MushiDecember 27, 2023OFISI ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), imeondoa mahakamani kesi ya jinai Na. 179/2023, iliyofunguliwa na Hashim Ally dhidi ya aliyekuwa Naibu Waziri...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2023TUME ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, CENI, imetoa matokeo zaidi ya awali ya uchaguzi wa rais, yakionesha rais Felix Tshisekedi...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2023KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania limeonya watu kuacha tabia ya kujilimbikizia mali na kula rushwa kwa kuwa matendo hayo yamepigwa vita na...
By Faki SosiDecember 25, 2023Katika misa yake ya Krismasi, Askofu Mkuu wa Kinshasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Kardinali Fridolin Ambongo ameelezea jana Jumapili jioni...
By Mwandishi WetuDecember 25, 2023Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amesema Wizara yake inakusudia kufanya mageuzi makubwa ya kimfumo wa utendaji katika...
By Gabriel MushiDecember 22, 2023Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imezindua mfumo rasmi wa kuwahudumia wananchi popote walipo kupitia simu ya kiganjani “Ardhi App” wa...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2023WANANCHI wametakiwa kushiriki marekebisho ya sheria za uchaguzi, kwa kuwasilisha mapendekezo yao bungeni jijini Dodoma, kwa ajili ya maboresho ya miswada ya sheria...
By Regina MkondeDecember 21, 2023ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza, amelia na kitendo cha mmomonyoko wa...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitakwenda kumchongea Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, katika Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), ili avuliwe...
By Regina MkondeDecember 20, 2023