Mbunge wa zamani wa Busega na rafiki wa karibu aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Lowassa, Dk. Raphael Chegeni (CCM) amesema huenda mwanasiasa...
By Regina MkondeFebruary 14, 2024BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa waraka wa kipindi cha Kwaresma, huku likihimiza mifumo ya uongozi ya kifamilia na kisiasa iimarishwe ili...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2024MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema ataongoza maandamano ya amani ya kudai katiba mpya, ili kumuenzi aliyekuwa mgombea...
By Regina MkondeFebruary 14, 2024Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amewaongoza viongozi na wananchi katika kutoa heshima za mwisho kwa Waziri...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2024FAMILIA ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa, imesema kiongozi huyo mstaafu alipigania uhai wake kabla ya mauti kumkuta. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeFebruary 13, 2024CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema yapo baadhi ya masuala kimejifunza kutoka kwa aliyekuwa kada wake na waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Lowassa. Anaripoti...
By Regina MkondeFebruary 13, 2024RAIS Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, amesema Lowassa alikuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi na ameacha alama. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeFebruary 13, 2024WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema Hayati Edward Lowassa alikuwa kiongozi mwenye hekima na mvumilivu na kwamba hata alipokejeliwa na kuchafuliwa hakurudisha...
By Regina MkondeFebruary 13, 2024MAMIA ya watu wamejitokeza katika Viwanja vya Karimejee jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani,...
By Regina MkondeFebruary 13, 2024CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumuenzi Hayati Edward Lowassa, kwa kukamilisha mchakato wa upatikanaji katiba...
By Regina MkondeFebruary 13, 2024KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amesema sababu ya kupinga chama chake kumsimamisha Hayati Edward Lowassa kugombea urais...
By Regina MkondeFebruary 13, 2024RAIS mstaafu, Jakaya Kikwete ambaye alikuwa swahiba mkubwa wa Hayati Edward Lowassa kiasi cha kupewa jina la ‘Boys II Men,’ amekwepa kuzungumzia namna...
By Regina MkondeFebruary 12, 2024Rais Samia Suluhu Hassan, leo Jumatatu tarehe 12 Februari 2024 amekutana na Kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis katika mji wa...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2024CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeonesha kuridhishwa na marekebisho yaliyofanyika katika sheria za uchaguzi, kikisema masuala sita kati ya 10 yaliyopendekeza katika mchakato huo, yalijumuishwa...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2024CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema Serikali kama haitatatua changamoto sugu zinazowakabili wananchi hususan ugumu wa maisha, migogoro ya ardhi na ukosefu wa ajira kwa...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2024SERIKALI imetakiwa kuweka mkazo katika utekelezaji sheria zinazowaadhibu wanaume wanaotelekeza familia zao hasa watoto waliozaliwa mapacha kuanzia watatu, ili kuhakikisha wanawake hawabebi mzigo...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2024MBUNGE Viti Maalum, Dk. Thea Ntara ameitaka Serikali kutoa elimu kwa mabinti juu ya athari za matumizi holela ya dawa za dharura za...
By Regina MkondeFebruary 12, 2024WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa yanayotarajiwa kufanyika Wilayani Monduli...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2024Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Juma Duni Haji ‘Babu Duni’ ambaye katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 alikuwa Mgombea Mwenza wa Hayati Edward,...
By Faki SosiFebruary 11, 2024Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadem), Freeman Mbowe ameeleza kupokea kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa za kifo cha Waziri Mkuu...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2024WAZIRI Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa (70) amefariki Dunia tarehe 10 Februari 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Jijini (JKCI)...
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2024RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza kupokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa (70) aliyefariki leo Jumamosi...
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2024Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa (70) amefariki Dunia leo tarehe 10 Februari 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Jijini...
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2024Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma wa chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe ametangaza rasmi kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Ngome...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2024SERIKALI ya Tanzania na Poland, zimekubaliana kupanua wigo wa ushirikiano katika masuala ya biashara na uwekezaji, katika sekta za kimkakati. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2024Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Selemani Jafo amesema tangu kuanzishwa kwa Kamati...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2024SERIKALI imetakiwa kuhakikisha maarifa, ujuzi, uvumbuzi na udadisi vinazingatiwa kwenye mitaala mipya ya elimu ili kupata wahitimu watakaoweza kushindana katika soko la ajira...
By Regina MkondeFebruary 9, 2024MBUNGE Viti Maalum, Esther Matiko, ameihoji Serikali imejipangaje kutatua changamoto za faragha za watu kuingiliwa mitandaoni kutokana na ukuaji wa matumizi ya akili...
By Regina MkondeFebruary 9, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema Serikali imeamua kutekeleza miradi mipya ya uzalishaji wa umeme badala ya kutegemea...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2024MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Aida Khenani, ameliandikia barua Bunge, kwa lengo la kuonesha kusudio lake la kuwasilisha muswada binafsi...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2024CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesogeza mbele maandamano ya amani ya kupinga miswada ya sheria za uchaguzi na kudai katiba mpya, hadi...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2024KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo anayemaliza muda wake, Zitto Kabwe amesema hatogombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama chake kwenye...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza Taasisi zote za ununuzi nchini (Serikali na Binafsi) kuhakikisha zinatoa kipaumbele katika...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2024JOTO la uchaguzi ndani ya Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, limezidi kupanda baada ya makada wake machachari kujitokeza kutaka kumng’oa Abdul...
By Regina MkondeFebruary 7, 2024BEI za mafuta zitakazotumika mwezi Februari 2024, zimeshuka ambapo kwa Jiji la Dar es Salaam, imeshuka kwa wastani wa Sh. 33 kwa kila...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2024KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amedai kuna watu wanapanga njama za kumuuwa kwa sumu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2024Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wanne katika taasisi mbalimbali ikiwa bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 6, 2024MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu, amesema mazungumzo ya maridhiano kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na...
By Mwandishi WetuFebruary 6, 2024SAKATA la uhaba wa umeme limeteka mjadala wa taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kwa 2023, baada ya...
By Mwandishi WetuFebruary 6, 2024KUTOKANA na ongezeko la wagonjwa wa kisukari na tezi dume, Serikali imetakiwa kuweka fedha za ruzuku zitakazosaidia kutibu wananchi wasiokuwa na uwezo ili...
By Regina MkondeFebruary 6, 2024WIZARA ya Fedha, imebanwa bungeni jijini Dodoma, juu ya hatua ilizochukua kuhusu ubadhirifu uliojitokeza katika miradi iliyotekelezwa na fedha za mkopo nafuu kutoka...
By Mwandishi WetuFebruary 6, 2024Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wilayani Kilombero, wametakiwa kuisimamia serikali ili iendelee kutekeza ilani ya uchaguzi ya chama hicho ipasavyo. Anaripoti Victor Makinda,...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2024MBUNGE wa Gando (CCM), Mussa Omar Salim, ameitaka Serikali kuweka mikakati ya kuzuia wimbi la wasichana wenye umri chini ya miaka 18 kwenda...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2024SERIKALI imetakiwa kuweka mikakati ya kudhibiti ajali za barabarani zinazosababishwa na uzembe wa baadhi ya madereva wa pikipiki (bodaboda), ili kunusuru maisha ya...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2024CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimemlilia kada wake, Thadei Ole Mushi, aliyefariki dunia jana tarehe 4 Februari 2024, akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2024Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameeleza kusikitishwa na kifo cha Rais wa Jamhuri ya Namibia, Dk. Hage Gottfried Geingob kilichotokea leo Jumapili...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2024RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amewaita wawekezaji wa sekta binafsi kuja kushirikiana na serikali katika sekta ya uchimbaji gesi asilia. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeFebruary 3, 2024BAADHI ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamesema hatua ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kukubali marekebisho ya sheria za uchaguzi imeonesha...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2024