Tanzania imechaguliwa kuwa moja ya nchi nane za Afrika zitakazopewa kipaumbele na Italia kupitia mpango mpya wa kimkakati wa Mattei (Mattei Plan) ambapo...
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2024Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema (Bawacha), limesema iwapo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk....
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2024Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amewasili Roma, Italia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024IKIWA umesalia takribani mwezi mmoja kwa Chama cha ACT-Wazalendo kufanya uchaguzi wake mkuu, chama hicho kimefanya kikao cha kuteua makatibu wa mikoa na...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024MAHAKAMA Kuu Tanzania Masjala ndogo ya Manyara imetoa wito kwa aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Babati Mjini, Pauline...
By Faki SosiJanuary 27, 2024RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ameadhimisha kumbumbuku ya siku ya kuzaliwa (Birthday) kwa kushiriki kupanda miti inayotarajiwa 4720, katika eneo la ekari 35.7...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema mapambano ya kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi bado ni mfupa...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dk. Doto Biteko amefanya ukaguzi wa mitambo ya umeme inayokarabatiwa katika kituo cha umeme cha...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya mabadiliko ya Baraza la Mapinduzi kwa kuteua mawaziri wapya...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2024WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wasimamizi na wataalamu wa ujenzi wa Mji wa Serikali jijini Dodoma wahakikishe matarajio ya ujenzi huo yanafikiwa kama...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2024SHURA ya Maimamu Tanzania, imewasilisha pongezi zake kwa Serikali ya Afrika Kusini, kufuatia uamuzi wake wa kuishtaki Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2024Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA) imemkamata kinara wa mtandao wa wafanyabiashara wa dawa za kulevya aina ya Cocaine....
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2024JAMHURI ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Indonesia zimesaini mikataba minne ya ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJanuary 25, 2024Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amewahakikishia wananchi wanaohama kwa hiari kutoka ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kwenda maeneo mengine nje ya...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2024HATIMAYE Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetinga katika ofisi za Umoja wa Mataifa (UN), jijini Dar es Salaam, baada ya kuandamana Kwa...
By Regina MkondeJanuary 24, 2024Ugumu wa maisha unaotokana na kupanda kwa gharama za bidhaa muhimu, umeteka maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2024Chama cha Chadema kimeibua shangwe kwa baadhi ya wananchi waliokuwa maeneo ya Buguruni jijini Dar es Salaam, huku Mwenyekiti wake Freeman Mbowe akiteka...
By Regina MkondeJanuary 24, 2024MAMIA ya watu wamewasili katika maeneo ya Buguruni Sheli jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kushiriki maandamano ya amani yaliyoratibiwa na Chama...
By Regina MkondeJanuary 24, 2024MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kufanya maandamano yao kwa amani...
By Regina MkondeJanuary 24, 2024CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemuonya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, asivuruge maandamano yao ya amani wanayofanya kupinga...
By Regina MkondeJanuary 24, 2024BAADHI ya viongozi na wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameanza kuwasili maeneo ya Buguruni Sheli jijini Dar es Salaam, kwa...
By Regina MkondeJanuary 24, 2024WAZIRI WA MKUU Kassim Majaliwa leo Jumanne amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Liu Guozhong...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2024MAANDAMANO yasiyo na kikomo yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa ajili ya kupinga miswada ya marekebisho ya sheria za uchaguzi...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2024KATIBU Mkuu mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi, ameanza kazi kwa kutuma salamu kwa vyama vya siasa vya upinzani, akiwataka...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2024MBUNGE wa zamani wa viti maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Upendo Peneza, amejiunga rasmi na Cha Mapinduzi (CCM), akidai chama...
By Regina MkondeJanuary 22, 2024AMIRI Jeshi Mkuu wa nchi na Rais, Dk. Samia Suluhu Hassan, amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na vikosi vingine vya ulinzi...
By Regina MkondeJanuary 22, 2024MKUU wa Majeshi nchini (CDF), Jenerali Jacob Mkunda, amesema kuna tishio la ongezeko la vijana wa kitanzania kujiunga na vikundi vya kigaidi katika...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameeleza kuridhishwa na kazi inayofanywa na wakandarasi pamoja na Shirika la Umeme Tanzania...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2024Diplomasia ya Tanzania imezidi kung’ara kimataifa kufuatia viongozi wakuu kutoka mataifa mbalimbali kufanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha na kudumisha uhusiano na...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2024Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu – Papa Francis amemualika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuitembelea...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2024HATIMAYE Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzani (KKKT) Askofu Dk. Alex Malasusa amesimikwa rasmi leo Jumapili na kubainisha msimamo wake kwamba...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2024MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) – Bara, Tundu Lissu ametangaza kushiriki maandamano ya amani yaliyoitishwa hivi karibuni na mwenyekiti...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2024WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hali uzalishaji wa sukari katika viwanda saba nchini imeshuka hadi kufikia tani 1,000 kwa siku kutokana na...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2024HATIMAYE Mbunge wa Viti Maalumu Halima Mdee na wenzake 18 wamekata rufaa katika Mahakama ya Rufaa nchini Tanzania kwa kutoridhishwa na hukumu iliyotolewa...
By Faki SosiJanuary 19, 2024MGOGORO wa kugombania mali za chama kati ya Chama Cha Wananchi (CUF) na ACT-Wazalendo, umeibuka upya baada ya kusababisha vurugu kati ya wafuasi...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Angola zimesaini hati tatu za Makubaliano ya Ushirikiano (MoUs) katika sekta...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2024CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeshauri marekebisho madogo ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977, ili kuzipa nguvu sheria za uchaguzi...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2024ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amepongeza Balozi Dk. Emanuel Nchimbi kwa kuteuliwa kurithi nafasi yake na kusisitiza imani ya Halmashauri Kuu...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2024CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kiko tayari kufanya mdahalo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul...
By Regina MkondeJanuary 15, 2024MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema atawasilisha kwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, changamoto zinazowakabili wakulima wa...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2024KAMATI ya Halmshauri Kuu ya CCM leo Jumatatu imemteua Balozi Emmanuel John Nchimbi (53) kuwa Katibu Mkuu wa CCM akichukua nafasi ya Daniel...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2024BAADHI ya wananchi wa Kata ya Kivule, wamembana mbunge wao (Ukonga), Jerry Silaa, kuhusu utatuzi wa changamoto sugu zinazowakabili ikiwemo ubovu wa...
By Regina MkondeJanuary 15, 2024Katibu wa NEC – Itikadi na Uenezi (CCM) Paul Makonda amesema Mwenyekiti wa Chadema, Freema Mbowe ni mnufaika mkubwa wa maridhiano ya kisiasa...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2024CHAMA Cha ACT-Wazalendo kimeitaka Serikali kuwawekea mazingira mazuri wafanyabiashara ndogondogo maarufu ‘machinga’ yatakayowawezesha kufanyabiashara zao na si kuwakimbiza na kuwamwaga bidhaa zao. Anaripoti...
By Faki SosiJanuary 14, 2024Mkutano wa pili wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Angola umeanza tarehe...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2024MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe, amesema wanaotegemea chama hicho kipasuke kutokana na migogoro watasubiri sana. Anaripoti Mwandishi...
By Regina MkondeJanuary 13, 2024CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza maandamano ya amani bila kikomo nchi nzima, hadi pale Serikali itakapofanyia kazi maoni na mapendekezo ya...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2024UMOJA wa Mataifa (UN), chini ya kitengo cha wanawake, umechambua miswada ya maboresho ya sheria za uchaguzi na kutoa mapendekezo yake juu ya...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2024Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Zaraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema mafanikio waliyoyapata miaka 60 tangu Mapinduzi ya mwaka 1964,...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2024BARAZA la Mawaziri Kivuli la Chama cha ACT-Wazalendo, limeahidi kupigania maisha ya heshima kwa watanzania wanyonge, huku likianisha vipaumbele itakavyofanya 2024. Anaripoti Regina...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2024