Thursday , 2 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Balozi Dk. Nchimbi amrithi Chongolo CCM
Habari za SiasaTangulizi

Balozi Dk. Nchimbi amrithi Chongolo CCM

Spread the love

KAMATI ya Halmshauri Kuu ya CCM leo Jumatatu imemteua Balozi Emmanuel John Nchimbi (53) kuwa Katibu Mkuu wa CCM akichukua nafasi ya Daniel Chongolo aliyejiuzulu tarehe 28 Novemba mwaka jana. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea).

Nchimbi alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Misri kabla ya kumaliza muda wake. Awali alikuwa mbunge wa Songea mjini (CCM) kuanzia mwaka 2010 hadi 2015 pia alikuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi.

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo


Balozi Dk. Nchimbi ameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan aliyeongoxa kikao maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho kilichofanyika leo Jumatatu mjini Unguja, Zanzibar.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chadema waendelea kulilia katiba mpya

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kudai upatikanaji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kumshtaki Rais Samia

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetishia kumfungulia kesi ya...

Habari za Siasa

Tume huru ya uchaguzi yatangaza uchaguzi mdogo Jimbo la Kwahani

Spread the love  TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi, imetangaza uchaguzi mdogo...

AfyaHabari za Siasa

Dk. Biteko aagiza utoaji huduma saratani usiwe wa kibaguzi

Spread the loveNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

error: Content is protected !!