CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimegomea uanzishwaji wa Bodi ya Kitaaluma ya Walimu kwa madai, imelenga kumkandamiza mwalimu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...
By Danson KaijageApril 13, 2021LIVINGSTON Silinde, Mbunge wa Mvumi (CCM), ameeleza kukerwa na watu wanaomsema vibaya Hayati John Magufuli. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Amesema, anashangazwa...
By Danson KaijageApril 13, 2021NDEGE tatu zitatua nchini muda wowote baada ya Serikali ya Tanzania, kukamilisha malipo ya ununuzi wa ndege hizo tatu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....
By Danson KaijageApril 13, 2021JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imewataka wananchi wasimpelekeshe Rais Samia Suluhu Hassan, hasa wale wanaotaka mchakato wa katiba mpya...
By Danson KaijageApril 7, 2021MBUNGE wa Muhambwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Kigoma, Mhandisi Atashasta Nditiye, amefariki dunia leo asubuhi Ijumaa tarehe 12 Februari...
By Danson KaijageFebruary 12, 2021MBUNGE Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Cecilia Pareso, amehoji Serikali itataifisha lini mashamba ya wawekezaji yasiyoendelezwa, ili yakabidhiwe kwa wananchi kwa ajili...
By Danson KaijageFebruary 3, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara, Tundu Antipas Lissu, amekosoa hatua ya Spika wa Bunge, Job Ndugai,...
By Danson KaijageFebruary 2, 2021JAMES Yuna, Ofisa Masoko wa Jiji la Dodoma, amewataka wafanyabiashara ndogondogo (wamachinga) kuacha kufanya biashara kwenye maeneo yasiyo rasmi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...
By Danson KaijageFebruary 2, 2021SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeeleza kuumizwa na hatua ya askari wa ulinzi (SUMA – JKT)...
By Danson KaijageJanuary 24, 2021WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Dk. Dorothy Gwajima, amewasimamisha watumishi watano wa Hospitali ya Wilaya ya Nansio Ukerewe jijini Mwanza, kupisha uchunguzi wa...
By Danson KaijageJanuary 19, 2021JESHI la Kujenga Taifa (JKT) nchini Tanzania, limesitisha mafunzo ya JKT kundi la kujitolea kwa mwaka 2020-2021. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....
By Danson KaijageJanuary 19, 2021HATIMAYE Naghenjwa Kaboyoka, aliyekuwa mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), amerejeshwa tena kuongoza nafasi hiyo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...
By Danson KaijageJanuary 19, 2021ALIYEKUWA katibu mkuu wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), nchini Tanzania, Grace Tendega, amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Kamati...
By Danson KaijageJanuary 18, 2021JENISTA Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Sera, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu amemwagiza Msajili wa Vyama vya Wafanyakazi na...
By Danson KaijageJanuary 15, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema Serikali inaendelea na mapamba dhidi ya wala rushwa na haitawaacha salama viongozi wala rushwa na mafisadi...
By Danson KaijageJanuary 15, 2021BENKI ya Dunia (WB), inatarajia kutoa kiasi cha Sh.3 bilioni kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa machinjio tatu za kisasa jijini Dodoma. Anaripoti...
By Danson KaijageJanuary 14, 2021MADEREVA na wamiliki wa Daladala, stendi ya Sabasaba jijini Dodoma, wamegoma kutoa huduma ya usafirishaji kwa madai eneo ni dogo, miundombinu mibovu licha...
By Danson KaijageJanuary 13, 2021MKUU wa Mkoa wa Shinyanga (RC), Zainab Telack, ameagiza maafisa kilimo mkoani humo, kutoa elimu ya mfumo wa stakabadhi gharani kwa wakulima wa...
By Danson KaijageJanuary 12, 2021WATU watatu, wamefariki dunia na wengine 66, kujeruhiwa katika ajali ya treni iliotokea jana Jumamosi jioni tarehe 02 Januari 2021, maeneo ya Kigwe...
By Danson KaijageJanuary 3, 2021WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inatarajia kuzindua Mpango Mkakati wa Kitaifa wa Afya na Usafi wa Mazingira (2021-25). Anaripoti...
By Danson KaijageDecember 17, 2020UBALOZI wa Ufaransa nchini Tanzania, umefanya makubaliano na Serikali ya Tanzania kuanzisha ushirikiano wa maendeleo ya vijana hususan utoaji wa ajira. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageDecember 11, 2020UTAFITI wa rushwa ya ngono katika taasisi za elimu ya juu uliohusisha vyuo vikuu viwili vya Dar es Salaam na Dodoma, umewasilishwa leo...
By Danson KaijageDecember 4, 2020CONCHESTA Rwamlaza, mgombea ubunge katika Jimbo la Bukoba vijinini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemtuhumu Jason Rweikiza, mgombea mwenzake kupitia Chama...
By Danson KaijageOctober 12, 2020AISHA Madoga, mgombea ubunge katika Jimbo la Dodoma mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kuboresha sekta ya elimu, afya na...
By Danson KaijageSeptember 21, 2020ALOYCE Luhega, mgombea udiwani wa Kata ya Nzuguni, jijini Dodoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameahidi kusimamia ujenzi wa daraja linalounganisha Nzuguni C...
By Danson KaijageSeptember 21, 2020JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma limewakamata wagombea ubunge na udiwani kutoka Chama cha Demokraaia na Maendeleo (Chadema) waliokuwa wanakwenda Ofisi ya Tume...
By Danson KaijageSeptember 5, 2020JOHN Mnyika, Katibu Mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwarejesha wagombea wao wa...
By Danson KaijageSeptember 5, 2020WATUMISHI wote wa umma waliokuwa wametangaza nia kugombea ubunge na kushindwa katika kura za maoni, wametakiwa kurudi kazini kuanzia kesho Jumanne tarehe 1...
By Danson KaijageSeptember 1, 2020KAMATI Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefanya uteuzi wa wagombea Uwakilishi katika Baraza la Wawakilish (BLW) Zanizbar katika majimbo 50 kwa kuzingatia uwezo,...
By Danson KaijageAugust 31, 2020KUELEKEA Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani...
By Danson KaijageAugust 30, 2020JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limewataka wanasiasa nchini humo kutokutoa matamshi ya kuwachochea wananchi kujenga chuki dhidi ya wanahabari na vyombo vya habari...
By Danson KaijageAugust 24, 2020ASKOFU wa Kanisa la Mlima wa Moto, Jimbo la Dodoma na Nyanda za Juu Kusini, Sylvanus Komba amewataka vijana kuacha kukaa vijiweni na badala...
By Danson KaijageAugust 16, 2020ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk. Barnabas Mtokambali ameiomba Serikali nchini humo kuhakikisha Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe...
By Danson KaijageAugust 15, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewataka Watanzania kutochagua wanasiasa wanaohubiri chuki na k6utoa maneno ya vitisho. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kiongozi huyo...
By Danson KaijageAugust 14, 2020TUNDU Antiphas Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema amekabidhiwa fomu za kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020 na...
By Danson KaijageAugust 8, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kati, kimeandaa mapokezi ya aina yake pindi Tundu Lissu atakapokanyaga ardhi ya jiji hilo. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageAugust 7, 2020SERIKALI imetoa wito kwa Watanzania kutunza miundombinu nchini ili fedha zielekezwe kwenye maeneo mengine ya maendeleo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Wito huo umetolewa...
By Danson KaijageAugust 5, 2020JIMBO la Nkenge lililopo katika Wilaya ya Misenye, Kagera linawindwa na makada 19 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mmoja kutoka Chama cha...
By Danson KaijageJuly 8, 2020WAKATI watia nia wanane kutoka CCM katika Jimbo la Bukoba Vijijini wakichuana kuwania kuteuliwa kugombea, Conchester Rwamlaza, aliyekuwa mbunge wa Viti Maalum (Chadema)...
By Danson KaijageJuly 8, 2020ZAIDI ya watia nia 30 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamejitokeza kutaka kugombea Jimbo la Ngara, Kagera kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba Mwaka...
By Danson KaijageJuly 3, 2020MKUU wa Wilaya (DC) ya Dodoma mjini nchini Tanzania, Patrobasi Katambi ametangaza kumsimamisha kazi, Hadson Magomba, afisa kitengo cha mipango miji katika Jiji...
By Danson KaijageJune 24, 2020SERIKALI imesema, mwaka jana (2019) pato la taifa kwa mtu mmoja mmoja lilikuwa Sh. 2,577,967 kutoka Sh. 2,452,406 mwaka 2018, sawa na ongezeko...
By Danson KaijageJune 11, 2020RAIS John Magufuli amesema, Mungu amejibu maombi ya Watanzania kuepusha ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virisi vya corona (COVID-19) nchini. Anaripoti...
By Danson KaijageJune 7, 2020WIZARA ya Nchi Ofisi wa Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeeleza, watumishi wa sekta ya ardhi waliokuwa chini...
By Danson KaijageJune 5, 2020FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, ‘wamealikwa’ kwenye meza ya mazungumzo...
By Danson KaijageJune 4, 2020RICHARD Zablon, muuguzi katika Zahanati ya Chamwino, jijini Dodoma, leo tarehe 3 Juni 2020 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini humo, kwa...
By Danson KaijageJune 3, 2020MBUNGE wa Viti Maalum (Chadema), Zubeda Sakuru, ametaka kujua kwa nini wanafunzi wanaojiunga na vyuo vya ufundi stadi (Veta) kukosa mikopo. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageMay 28, 2020JESHI la Polisi jijini Dodoma limeeleza, kuwa dereva wa gari namba T.237 DSJ aina ya Subaru (IT), aliyewapa lifti watu wawili waliokuwa wakienda...
By Danson KaijageMay 26, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa COVID-19 ambao umeanza kupungua nchini humo. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageMay 24, 2020UONGOZI wa Umoja wa Wafanyabiashara waendao minadani Mkoani Dodoma (UWABIMIDO) umesema kuwa pamoja na kufanya shughuli zao za kujiingizia kipato lakini wanatoa elimu...
By Danson KaijageMay 24, 2020