MAOMBI ya Rufaa ya viongozi wa chama cha Chadema yametupiliwa mbali na Mahakama ya Rufaa kutokana na hati ya taarifa ya kusudio la...
By Regina MkondeOctober 5, 2018ALIYEKUWA Rais wa Korea Kusini, Lee Myung-bak amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya rushwa. Anaripoti...
By Regina MkondeOctober 5, 2018WAFANYAKAZI wa Kiume katika kampuni ya Chloride Exide nchini Kenya, wametinga ofisini wakiwa wamevaa mavazi ya kike ikiwa ni mkakati wao wa kuhamasisha...
By Regina MkondeOctober 5, 2018WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameuagiza uongozi wa Hospitali ya Dini ya St.Francis kupunguza gharama za matibabu...
By Masalu ErastoOctober 5, 2018MBUNGE wa Malindi Visiwani Zanzibar, Ali Salehe (CUF) amedai kuwa, kuna mkakati wa kuzuia baadhi ya wananchi katika kujiandikisha kwenye usajili wa vitambulisho...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2018LESENI mpya za madini takribani 7,879 zimetolewa na Tume ya Madini kuanzia mwezi Mei hadi Septemba 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2018RAIS John Magufuli leo tarehe 4 Oktoba 2018 amepokea hati za utambulisho wa mabalozi watano watakaowakilisha nchi zao hapa nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2018WALIMU wa Shule za msingi na sekondari katika mkoa wa Kaskazini Pemba visiwani Zanzibar wamepigwa marufuku kwenda katika sherehe hasa harusi wakati wa...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2018MAKOCHA Mwinyi Zahera wa klabu ya Yanga na Amri Said wa Mbao kutoka jijini Mwanza wameshinda tuzo za kocha bora wa mwezi kwenye...
By Kelvin MwaipunguOctober 4, 2018MSHAMBULIAJI wa klabu ya Mbeya City, Eliud Ambokile, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuwashinda...
By Kelvin MwaipunguOctober 4, 2018KUKOSEKANA kwa usimamizi bora wa rasilimali za maji kumetajwa kuwa sababu ya watanzania takribani milioni 21 kutofikiwa na huduma ya maji safi na...
By Regina MkondeOctober 4, 2018KAJUBI Mukajanga, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), amesema silaha pekee itakayowakwamua waandishi wa habari nchini katika mazingira ya magumu wanayopitia...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2018MARA baada kiungo wa Simba, James Kotei kumpiga ngumi ya mgongo mlinzi wa kushoto wa Yanga Gadiel Michael wakati wakiwania mpira kwenye mchezo...
By Kelvin MwaipunguOctober 4, 2018MOTO umezuka katika jengo la Benjamin Mkapa Tower lililopo maeneo ya Posta jijini Dar es Salaam katika ghorofa ya nne hali iliyosababisha kuzua...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2018MADIWANI wa vyama viwili, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wale Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamezichapa wakati wa uchaguzi wa Naibu Meya...
By Faki SosiOctober 3, 2018TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars itatua jijini Praia, nchini Cape verde na Dreamliner mali ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL)...
By Kelvin MwaipunguOctober 3, 2018RAIS Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi amesema anamhusudu Rais John Magufuli kutokana na mambo mazuri anayofanya kwa ajili ya...
By Regina MkondeOctober 3, 2018BAADA ya kuteuliwa na kuapishwa kuwa Skauti Mkuu wa Chama cha Maskauti Tanzania, Mwantumu Mahiza ameahidi kuieneza skauti katika vyuo vya kati na...
By Regina MkondeOctober 3, 2018KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Faraji Mnyepe amemtoa wasiwasi Rais John Magufuli kuhusu kibarua...
By Regina MkondeOctober 3, 2018RAIS John Magufuli leo tarehe 3 Oktoba 2018 amemteua Dk. Arnold Mathias Kihaule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)....
By Regina MkondeOctober 3, 2018ZAIDI ya watu 60 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za uharibifu wa miundombinu ya Shirika...
By Regina MkondeOctober 2, 2018KLABU ya Tottenham Hotspur ya Uingereza itawakosa wachezaji wake sita wa kikosi cha kwanza kuelekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi...
By Kelvin MwaipunguOctober 2, 2018KAMBI ya Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) imeendelea kutikiswa na utawala wa Rais John Magufuli baada ya...
By Faki SosiOctober 2, 2018UKIWAKUTA walevi wanasifiana unaweza ukashangaa ni jinsi gani wamehitimu katika sanaa ya kupeana ujiko. Ni kama mashindano ya nani anaweza kutoa sifa zaidi...
By Mwandishi MaalumOctober 2, 2018MASHINE kumi za mionzi (digital X-ray) zenye thamani ya Sh. 1.74 bilioni zimenunuliwa na serikali kwa ajili ya kuboresha huduma za afya nchini....
By Mwandishi WetuOctober 2, 2018BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limewasimamisha kazi maafisa elimu, maafisa taaluma, waratibu wa elimu na wakuu wa shule za msingi wa Wilaya...
By Regina MkondeOctober 2, 2018BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limefuta matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi wa mwaka 2018 katika shule zote za msingi...
By Regina MkondeOctober 2, 2018SERIKALI ya Tanzania, huenda ikakosa msaada wa dola za Kimarekani 50 milioni (zaidi ya Sh.112 bilioni), kufuatia hatua yake ya kupitisha sheria ya...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2018SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amemuandikia barua Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Semistocles Kaijage ya kumfahamisha kuwa Jimbo la...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2018TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeingia rasmi kambini leo kujiwinda na mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu kwa michuano ya mataifa...
By Kelvin MwaipunguOctober 1, 2018IKIWA leo tarehe 1 Oktoba 2018, ni kilele cha siku ya maazimisho ya Wazee Duniani, wazee wameitumia siku hii kuiomba serikali kuhakikisha kundi...
By Regina MkondeOctober 1, 2018Mchezo wa Ligi Tanzania bara namba 72, uliowakutanisha mabingwa watetezi Simba dhidi ya Yanga jana 30 septemba, 2018 kwenye Uwanja wa Taifa jijini...
By Kelvin MwaipunguOctober 1, 2018BARAZA la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limetaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kubadilisha utaratibu wa kuwapata wabunge, katikati...
By Regina MkondeOctober 1, 2018WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Khasim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 25 ya Mtandao wa Vikundi...
By Christina HauleOctober 1, 2018VIJANA takribani 200 waliotoroka katika mafunzo ya mgambo wapewa saa 48 ambayo ni sawa na siku mbili kurudi kambini. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2018MWANAMKE mmoja kutoka jimbo la Las Vegas nchini Marekani, Kathryn Mayorga ameibuka hadharani na kumtuhumu nyota wa mpira wa miguu duniani, Cristiano Ronaldo...
By Regina MkondeOctober 1, 2018