Friday , 3 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

Lissu: Nilivyo si kama nilivyokuwa awali

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, anarejea nyumbani kwao Tanzania lakini alivyo sasa si kama alivyokuwa miaka...

Habari za Siasa

Mbunge akumbuka wema wa Mkapa

MBUNGE aliyemaliza muda wake wa Itilima Mkoa wa Simiyu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Njalu Daudi amesema, wananchi wa jimbo hilo watamkumbika Hayati...

Habari za Siasa

Mbowe apigiwa kura za ndio Hai, wawili wamkataa

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania Chadema ameshinda kura za maoni za kuwani Ubunge wa Hai Mkoa wa Kilimanjaro katika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Lissu kumuaga Mkapa

MWANASIASA mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anatarajiwa kushiriki mazishi ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa. Anaripoti Yusuf Katimba, Dar es Salaam …...

Tangulizi

Sababu ya kifo cha Benjamin Mkapa yatajwa

RAIS mstaafu Benjamin Mkapa, aliyefariki dunia Alhamisi iliyopita, jijini Dar es Salaam, amefikwa na mauti, kwa mshutuko wa moyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Ibada kuaga mwili wa Mkapa Dar, Rais Magufuli ashiriki

MAMIA ya wananchi wamejitokeza kwa wingi Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, kuuaga mwili wa Hayati Rais mstaafu wa awamu ya tatu...

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu 2020: Rais Magufuli atangaza mapumziko Oktoba 28

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametangaza Oktoba 28, 2020 siku ya Uchaguzi Mkuu kuwa mapumziko. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu 2020: SAU yapata wagombea urais Tanzania, Z’bar

CHAMA cha Sauti ya Umma (Sau) nchini Tanzania, kimewapitisha wagombea wa urais wa Tanzania na Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba...

Habari za Siasa

Rais Magufuli aifariji familia ya Mkapa

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefika nyumbani kwa Hayati Rais wa awamu ya tatu wa nchi hiyo, Benjamini William Mkapa, Masaki jijini...

Habari za Siasa

Hoja ya Uchaguzi Mkuu 2020 yaibuka msiba wa Mkapa

VIONGOZI mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania, wameendelea kujitokeza nyumbani kwa Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa nchi hiyo, Benjamini William...

Habari za Siasa

Mchungaji Msigwa: Sioni wa kunishinda Iringa Mjini

MBUNGE anayemaliza muda wake wa Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa ameshinda kura za maoni kutetea nafasi...

Habari za Siasa

Membe akwama kupokelewa Lindi

BERNARD Kamilius Membe, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, amekwama kupokewa Lindi leo Jumamosi tarehe 25 Julai 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Polisi Tanzania yazuia mikusanyiko isiyo halali

JESHI la Polisi Tanzania limetoa onyo la mikusanyiko ya aina yoyote katika kipindi hiki cha maombolezo ya kifo cha Rais mstaafu wa awamu...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba- Mwaka 2001 Tulijitenga na Mkapa

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amesema baada ya mauaji ya Zanzibar mwaka 2001, walijitenga na Rais mstaafu Benjamin William...

Habari za Siasa

Mama Samia: Akisimama Mkapa, shughuli imeisha

MAMA Samia Suluhu Hassam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameeleza kufadhaishwa na kifo cha Benjamin Mkapa, Rais wa awamu...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru: Viongozi wastaafu wajifunze kwa Mkapa

CHAMA tawala nchini Tanzania Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, kitamkumbuka Rais wa awamu ya tatu, Hayati Benjamin William Mkapa jinsi alivyokijenga chama hicho na...

Habari za Siasa

Butiku: Ukiondoka madarakani, usiwachagulie Watanzania kiongozi

JOSEPH Butiku, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), amesema, Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakina tabia ya kuwachaguliwa Watanzania rais na...

Habari za Siasa

Dk. Shein: Tujifunze utawala bora kwa Mkapa

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Shein, Rais wa Zanzibar amewataka viongozi wa sasa kujifunza utawala bora kutoka kwa Hayati Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu...

Habari za Siasa

Kifo cha Mkapa, Chadema yaahirisha mikutano kuwapata wagombea urais

CHAMA Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema kimetangaza kuahirisha mikutano yake iliyokuwa ianze tarehe 27 hadi 29 Julai 2020 ili kupisha maombolezo ya...

Habari za Siasa

Chadema yawaita Watanzania kumpokea Lissu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimewakaribisha wanachama, vongozi wa chama hicho na Watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kumpokea Tundu...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Mkapa alisema Tanzania si mali ya mtu, kikundi cha watu

MAALIM Seif Sharif Hamadi, Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo amesema, Hayati Benjamin Willium Mkapa alikuwa jasiri ingawa...

Habari za Siasa

Maisha ya Rais Mkapa 1938 – 2020

BABA yake (Benjamin Mkapa) Mzee William Matwani alikuwa mpishi msaidizi katika Mission Ndanda. Wamisionari wakambatiza, wakamfundisha kusoma, kuandika na kuhesabu na kumfanya Katekista....

Habari za Siasa

Membe: Tumepoteza mshauri masuala ya uchaguzi

BERNARD Kamilius Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Tanzania amesema, kifo cha Rais mstaafu, Benjamin William Mkapa ni pigo kubwa...

Habari za Siasa

Mhariri MwanaHALISI apenya kura za maoni Z’bar

JABIR Idrissa, aliyekuwa Mhariri wa Gazeti la MwanaHALISI, ameshinda kura za maoni za ubunge kupitia Chama cha ACT-Wazalendo katika Jimbo la Pangawe, Wilaya...

Habari za SiasaTangulizi

Ratiba mazishi ya Mkapa hii hapa

SERIKALI imetangaza ratiba ya mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa, aliyefariki dunia usiku wa jana tarehe 23 Julai jijini...

Habari za Siasa

‘Serikali imuenzi Mkapa kwa utawala bora’

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa wito kwa serikali kumuenzi Hayati Benjamin Mkapa katika dhana yake ya utawala bora. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar...

Habari za Siasa

Mkapa 1938 – 2020: Kikwete ‘jana tu nilizungumza naye’

RAIS Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete amesema, jana tarehe 23 Julai 2020 alikwenda kumtembelea Mzee Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu hospitali...

Habari za Siasa

Rais mstaafu Mkapa alivyodai Tume huru ya uchaguzi

BENJAMIN William Mkapa, Rais mstaafu wa awamu ya tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amehitimisha safari yake ya miaka 81 dunia. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais mstaafu Benjamini Mkapa afariki dunia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa kilichotokea...

Habari za SiasaTangulizi

Lijuakali ajivunia kuijenga Chadema

PETER Lijuakali, mwanachama mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kilipaswa kumshukuru kwa kuwa ndiye aliyekijenga Kilombero,...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba: Nimeshawishika, nitagombea urais

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amesema ameshawishika na atagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu...

Habari za Siasa

Zitto: Mnazo sababu za kuing’oa CCM

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amewaeleza wanachama wa chama hicho Tunduru, Mtwara kwamba wanayo sababu ya kuing’oa CCM madarakani. Anaripoti Faki Sosi,...

Habari za Siasa

Wanawake 252 wachuana Viti Maalum CCM Dar

WANAWAKE 252 wamejitokeza katika mchuano wa kuwania nafasi tano za ubunge Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam. Anaripoti...

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu 2020: NEC yatoa ratiba fomu za urais, ubunge na udiwani

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imesema, fomu za uteuzi wa wagombea urais wa nchini humo katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba kugombea urais, achukuliwa fomu

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amechukuliwa fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Ulwe Rajabu, Dar...

Habari za Siasa

Watia nia wafutiwa mishahara

SERIKALI imeagiza kwamba, watumishi wa umma waliotia nia ya kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa, wasilipwe mishahara yao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Takukuru msimsubiri DPP, nendeni kortini – JPM

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imetakiwa kutumia mamlaka yake, kuwafungulia kesi mahakamani watuhumiwa wa makosa ya rushwa, bila kusubiri...

Habari za Siasa

JPM: Hakuna cha bure

RAIS John Magufuli, ametoa siku 14 kwa taasisi za serikali na binafsi, zinazodaiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kulipa madeni yao. Anaripoti Mwandishi...

BurudikaHabari za Siasa

Baba Levo: Sababu ni Zitto kurudi Kigoma Mjini

UAMUZI wa Zitto Kabwe, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo kugombea tena Jimbo la Kigoma Mjini, umenisukuma kugombea tena Kata ya Mwanga Kaskazini. Anaripoti Hamis...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge 36 waanguka kura za maoni CCM

TAKRIBANI wabunge 36 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), nchini Tanzania, wameanza vibaya safari yao ya kutetea nafasi zao, katika uchaguzi mkuu wa 28...

HabariTangulizi

Uchaguzi 2020, utakuwa huru – Rais Magufuli

RAIS wa Jamhuri, Dk. John Magufuli amesema, ana imani kubwa ya uchaguzi mkuu ujao wa rais, wabunge na madiwani, kuwa huru na haki. Anaripoti...

Habari za Siasa

Matokeo ya rais 2020 kutangazwa Dodoma

MATOKEO ya urais Tanzania Bara katika Uchaguzi Mkuu 2020, kwa mara ya kwanza yatatangazwa jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo...

Habari za Siasa

Maalim Seif ataja hasimu wake Uchaguzi Mkuu 2020

HASIMU wangu na wetu sisi Chama cha ACT-Wazalendo kwenye siasa si Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wala Chama cha NCCR-Mageuzi pia vyama...

Habari za Siasa

Mtemvu aongoza Kibamba, Vicky Kamata aanguka

ISSA Mtemvu, ameibuka mshindi kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Kibamba, Dar es Salaam kwa kupata kura 83 kati...

Habari za Siasa

Meneja wa Diamond ambwaga naibu waziri

HAMISI Taletale maarufu Babu Tale ameshinda kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Morogoro Kusini Mashariki kwa kupata kura 318...

Habari za Siasa

Rais Magufuli awashukuru wazee wa Nachingwea

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewashukuru wazee wa Nachingwea Mkoa wa Lindi kwa mchango wao wa Sh. 100,000 walioutoa ili umsaidie katika...

Habari za Siasa

Ngeleja, Bukwimba, Maige na Kalanga wapigwa

WABUNGE wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameshindwa kura za maoni za. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mwanza…(endelea) Wabunge hao wameshindwa katika kura za maoni...

Habari za SiasaTangulizi

Waliounga mkono juhudi, wabunge na wateule waanguka kura za maoni

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania kimehitimisha mchakato wa kura za maoni kwa wabunge wa majimbo nchini humo huku ikishuhudiwa wabunge wa chama...

Habari za Siasa

Askofu Gwajima, Dk. Mashinji na Kippi Warioba waanguka Kawe

FURAHA Dominic Jacob ameongoza kura za maoni Jimbo la Kawe, Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura 101 kati...

Habari za Siasa

Gwajima: Tutaishinda Chadema kabla ya sadaka ya kwanza

ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni mtu pekee atakayeweza kurudisha jimbo la Kawe kwenye himaya ya Chama...

error: Content is protected !!