Sunday , 3 December 2023
Home Gazeti Habari za Siasa Prof. Lipumba kugombea urais, achukuliwa fomu
Habari za Siasa

Prof. Lipumba kugombea urais, achukuliwa fomu

Prof. Ibrahim Lipumba akikabidhiwa fomu ya kuwania Urais kwa tiketi ya CUF
Spread the love

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amechukuliwa fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Ulwe Rajabu, Dar es Salaam … (endelea).

Fomu hiyo amechukuliwa leo tarehe 23 Julai 2020, na kundi la vijana wa chama hicho katika Wilaya ya Kinondoni, na sasa wamempelekea mwenyekiti huo katika Ofisi Kuu ya CUF, Buguruni.

Taarifa zaidi kukujia….

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Dk. Biteko aagiza wakurugenzi TANESCO kukemea rushwa kwenye maeneo yao

Spread the loveNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Uongozi wa Samia kuendelea hadi 2030

Spread the loveKWETU sisi tuliowahi kusoma sekondari, iwe O levo au A...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Bado askari wastaafu wanaonewa

Spread the loveRAIS wangu Samia Suluhu Hassan tunaendelea kumshukuru Mungu kwamba wote...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Tunastawisha ufisadi na kuchukia matunda yake

Spread the loveBUNGE la Jamhuri linaloendelea mjini Dodoma, kwa wiki nzima limetawaliwa...

error: Content is protected !!