Author Archives: Jabir Idrissa

+255 774 226248

Bodi ya Lipumba kimbembe leo

SIKU ya leo Jumatatu yaweza kuwa chungu mfano wa shubiri kwa wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Wananchi – Civic United Front (CUF) – iliyoidhinishwa na serikali baada ...

Read More »

Zanzibar ‘mkao wa kula’

Kalamu ya Jabir Idrissa SIASA visiwani Zanzibar ni ada kimaisha. Siasa ni kila kitu kwa wananchi. Na kila kitu ni siasa Zanzibar. Kila kile kinachoongelewa au kujadiliwa, kwa Zanzibar ni ...

Read More »

Masha: Serikali iruhusu wapelelezi wa nje

UCHUNGUZI utakaofanywa na wachunguzi wa nje ya Tanzania kuhusu matukio ya kihalifu yanayoendelea nchini, utatoa nafasi nzuri kwa serikali ya Dk. John Magufuli kufuta hisia nzito walizonazo umma za kuhofu ...

Read More »

Bwana Ali Juma ‘kafa ngangari’

“Masikini bwana Ali, kafa ilhali yuajua Masikini bwana Ali, kafa yuaona Masikini bwana Ali, kafa yuaasa Masikini bwana Ali, kafa yungangari” NAANDIKIA haya kwa heshima ya Ali Juma Suleiman, Mtanzania ...

Read More »

‘Tundu Lissu shujaa duniani’

MBUNGE wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tundu Lissu, ametangazwa katika kongamano la kimataifa lililofanyika jijini Lagos, nchini Nigeria, kuwa ndiye mwanasiasa kiongozi katika kutetea matumizi mazuri ya raslimali za ...

Read More »

Biwott kuzikiwa jeneza lisopitisha risasi

MWANASIASA mkongwe aliyekuwa na nguvu kubwa nchini Kenya, Nicolas Biwott atazikwa kwa kutumia jeneza lililosarifiwa kwa dhahabu na ambalo lina uwezo wa kutopenya risasi, anaandika Jabir Idrissa. Kulingana na wosia aliouandika ...

Read More »

RITA mgomvi mpya CUF

CUF imetangaza rasmi leo kwamba Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kuwa ni “mgomvi” mwingine katika mgogoro wa uongozi unaokikabili chama hicho kwa mwaka mzima sasa, anaandika Jabir Idrissa. ...

Read More »

Mgogoro CUF umekwisha kweli?

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeingia katika mgogoro zaidi. Hatua ya chama hicho kupitia kundi la viongozi wanaomtii Profesa Ibrahim Lipumba, kutangaza mabadiliko ya Bodi ya Wadhamini wa chama, iliyokuja siku ...

Read More »

Mazombi wamchoma mchuuzi

ASKARI wa kikosi cha Valantia (KVZ) wanaojulikana kwa umaarufu kama “mazombi” wamemjeruhi mchuuzi wa bidhaa za mkononi kwa kumpiga, kumchoma moto na kumtelekeza kambini kwao bila ya kumpatia matibabu, anaandika ...

Read More »

Chelsea mabingwa England

KLABU ya Chelsea ya jijini London, Uingereza, imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka England msimu wa 2016/17, baada ya kuifunga West Bromwich, bao 1-0 zilipochuana jana usiku, mabingwa hao ...

Read More »

Bashe amchokonoa Rais Magufuli

SERIKALI ya Rais John Magufuli imeguswa kisawasawa, anaandika Jabir Idrissa. Ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaloendelea na mkutano wa bajeti mjini Dodoma, kumetolewa tuhuma kwamba idara ...

Read More »

Uchaguzi EALA vurugu tupu

SEHEMU kubwa ya umma wa Watanzania imeshtushwa mno na namna uchaguzi mkuu wa wajumbe wa kuiwakilisha Tanzania kwenye Bunge la Afrika Mashariki ulivyoendeshwa, anaandika Jabir Idrissa. Chumba cha habari cha ...

Read More »

Watu wanaishi na wauaji wao

NINAPOKUMBUKA tukio la mauaji ya wananchi walioandamana katika kudai haki ya kuongozwa na kiongozi wanayemtaka, haraka inanijia sura ya mmoja wa watekelezaji wa mauaji hayo, anaandika Jabir Idrissa.  Alikuwa karibu ...

Read More »

Mtuhumiwa ukatili Z’bar anaswa

OMAR Said Omar, mwenye umri wa miaka 24, ambaye anatuhumiwa kumchoma moto mwanamke anayefanyakazi hoteli ya kitalii Zanzibar na ambaye anatajwa kuwa ni mpenzi wake, amekamatwa akijaribu kutoroka, anaandika Jabir ...

Read More »

Tunalidharau tatizo tunalolijua

NI mshangao zaidi waliokuwanao kuliko walivyo na tabasamu na uchangamfu. Wananchi walichangamka lilipoanza gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama na pale iliposomwa hotuba ya rais, anaandika Jabir Idrisa. Wananchi ...

Read More »

CUF: Tutaamua na UKAWA

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimetangaza kwamba katika kushiriki uchaguzi mdogo wa udiwani Bara na ubunge Dimani Zanzibar kitasimamisha wagombea kutegemea na maamuzi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), anaandika ...

Read More »

Barza ya Mchukucha yavamiwa

SAA chache baada ya viongozi wa serikali mkoa wa Mjini Magharibi kuongoza kisomo cha dua ya kuiombea Zanzibar amani na salama, askari wa serikali wamevamia baraza inayokaliwa na wafuasi wa ...

Read More »

Omar Mzee sasa Balozi

  KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Omar Yussuf Mzee, aliyetoa mchango mkubwa katika mbinu zilizokiwezesha chama hicho kubaki madarakani upande wa Zanzibar, mwaka 2010, ameteuliwa Balozi, anaandika Jabir ...

Read More »

‘Ni kweli Lipumba anatumika’

HUWEZI kuamini kwa kusikia kwamba Jeshi la Polisi hutumika kutekeleza matakwa ya watawala dhidi ya haki ya wananchi, anaandika Jabir Idrissa. Picha ifuatayo, itakusaidia kuamua iwapo ni kweli unachokisikia kuwa Serikali ...

Read More »

JPM, Kinana hapatoshi

AGIZO la Rais John Magufuli kwamba wafanyakazi wa magazeti ya UHURU na Mzalendo walipwe mishahara na malimbikizo yao, halijatekelezwa, anaandika Jabir Idrisa. Gazeti hili limethibitisha kwamba, mpaka sasa Ofisi ya Katibu ...

Read More »

Profesa amejichafua, atashindwa tu

  WAPO wanaomshauri Profesa Ibrahim Lipumba ajiunge na CCM (Chama Cha Mapinduzi), na sababu anayotajiwa kwa ushauri huo, inatajwa kuwa ndiko atatumika ipasavyo. Sawa, inaweza kuwa ndiko atatumika au kutumiwa, ...

Read More »

Ulinzi CUF Mtendeni usipime

UONGOZI wa juu wa Chama cha Wananchi (CUF) umeimarisha mfumo wake wa ulinzi kwenye Makao Makuu yake yaliopo mtaa wa Mtendeni, mjini Zanzibar wakati huu wa kuendelea kwa mgogoro wa ...

Read More »

Kilio cha Maalim Seif chafikishwa UN

ZIARA ya kimataifa aliyoifanya Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Marekani, Ulaya, Canada na Umoja wa Mataifa kulalamikia uvurugaji wa uchaguzi mkuu wa 25 Oktoba ...

Read More »

Itamchukua miaka Magufuli kueleweka Z’bar

RAIS John Magufuli ametanua wigo wa mayowe yake alipokuwa Zanzibar kwa ziara ya kilichoitwa ‘kuwashukuru wananchi kwa kumchagua,’ anaandkia Jabir Idrisa. Baada ya kuwanyambua wananchi, hasa wa Pemba, na kwa ...

Read More »

Mtatiro mwenyekiti CUF

JULIUS Mtatiro, mwanasiasa machachari na mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii nchini,  ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya muda ya uongozi ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), anaandika Jabir ...

Read More »

Maalim Seif: Sinunuliki

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad amesema yeye si mwanasiasa mwepesi wa kuweza kununuliwa na hakuna kiongozi hata mmoja kutoka CCM aliyepata kumfikia kwa lengo ...

Read More »

Zanzibar kinakaribia kunuka

MAALIM Seif Shariff Hamad, anayeaminika kuwa ndiye mshindi halali wa uchaguzi mkuu wa 25 Oktoba, amegoma kufanya mazungumzo yoyote na Dk. Ali Mohamed Shein, aliyetangazwa kuwa mshindi wa urais, anaandika ...

Read More »

Kambaya ambana mbavu Jecha

BAADA ya kuonekana hajui utaratibu wa sheria, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha amebanwa na CUF aoneshe fomu ambayo Maalim Seif Shariff Hamad alijaza kuingia kugombea ...

Read More »

Mkanganyiko CCM Z’bar

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeingia tena katika mvutano na wanachama wake waliokabidhiwa vyeti vya ushindi wa uwakilishi na udiwani katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka jana, kwa kushikilia kuwa ...

Read More »

Jecha hajiwezi kwa CCM

UFUATILIAJI wangu uliosaidiwa na watoa taarifa serikalini na kwengineko, unanipa jeuri ya kuamini kuwa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanamdhibiti Jecha Salim Jecha anayeendelea kuitwa Mwenyekiti wa Tume ya ...

Read More »

UN: Assange wa WikiLeaks alipwe

MMILIKI wa mtandao wa habari za kiuchunguzi wa WikiLeaks, Julian Assange amekuwa akizuiwa, kinyume cha sheria za kimataifa, kutumia uhuru wake na analazimika kulipwa fidia, ndivyo usemavyo uamuzi wa Jopo la ...

Read More »

ZEC yavitega vyama

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imeviandikia vyama 14 vya siasa vieleze msimamo wao kuhusu kushiriki uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika 20 Machi 2016. Uchaguzi huo una maana ya kufuta kabisa ...

Read More »

Hatima ya Assange kesho

JULIAN Assange, Mmiliki wa mtandao wa kihabari maarufu duniani wa WikiLeaks, amesema atakuwa hana chaguo isipokuwa kusalimu amri iwapo Umoja wa Mataifa utaamua kuwa amezuiliwa ubalozini Ecuador jijini London kihalali. ...

Read More »

Maimu wa NIDA matatani

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu anachunguzwa utendaji wake baada ya kusimamishwa kazi rasmi kuanzia leo. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Maimu aliteuliwa kushika nafasi ...

Read More »

Magufuli amteua Mahadhi balozi Kuwait

MWANASHERIA na muandishi wa habari aliyeingia katika siasa miaka ya 2000, Mahadhi Juma Maalim, ametuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kuwait kuanzia leo. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Mahadhi ameteuliwa ...

Read More »

Othman: Shein akae pembeni, Jaji Mkuu aongoze

MWANASHERIA Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud Othman ametoa rai mpya ya kuondoa mkwamo wa kisiasa unaoikabili Zanzibar, akisema haiwezekani wananchi kuingizwa katika kinachoitwa “Uchaguzi wa marudio.” Anaandika Jabir ...

Read More »

Warioba akosoa mgogoro Z’bar kupuuzwa

WAZIRI mkuu wa zamani, Jajji Joseph Warioba amesema tatizo lililoko Zanzibar linapaswa kutatuliwa chini ya usimamizi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wala sio kuachiwa vyama vinavyovutana. Anaandika Jabir Idrissa ...

Read More »

Lowassa: Nitagombea tena 2020

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametangaza leo kwamba anajiandaa kugombea tena urais utakapofika uchaguzi mkuu ujao Oktoba 2020. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Lowassa ametangaza hayo mbele ya wafanyabiashara ...

Read More »

Kafulila aufukuzia Ubunge Kigoma

MBUNGE wa zamani wa jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila amevuka kikwazo muhimu cha kesi aliyoifungua kupigania kiti chake cha ubunge baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Tabora kuipangia siku ...

Read More »

Seif: Mimi si makamu tena wa rais

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad ametangaza rasmi kuwa yeye si makamu tena kwa sababu muda wa serikali iliyoongozwa na Dk. Ali Mohamed Shein kikatiba ...

Read More »

CUF: Hatutoshiriki sherehe za Mapinduzi

VIONGOZI wakuu wa Chama cha Wananchi (CUF) hawatashiriki shughuli za kiserikali zilizopangwa kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar, kutokana na serikali iliyopo kutokuwa na ridhaa ...

Read More »

Seif rais Zanzibar, maandalizi ya kutangazwa yaiva

USHINDI wa Maalim Seif Shariff Hamad katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika Oktoba 25, ungali salama. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). MAWIO limeelezwa kuwa ushindi huo utadhihirishwa kabla ya Zanzibar ...

Read More »

Magufuli amsafisha Injinia Masauni

YULE mwanasiasa ambaye mwaka 2010 alinyang’anywa uenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kwa kutuhumiwa kugushi umri, ndiye Naibu Waziri mpya wa Mambo ya Ndani. Anaandika Jabir Idrissa … ...

Read More »

Magufuli amwita Maalim Seif Ikulu

MAALIM Seif Shariff Hamad ambaye anapigania haki yake ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi mkuu wa Zanzibar baada ya uchaguzi huo kufutwa kihujuma, amekutana na Rais John Magufuli leo Ikulu jijini ...

Read More »

Mazombi wateketeza Hits FM Radio

MGOGORO wa kisiasa Zanzibar unaendelea. Ungedhani kwa asili yake, hasa kwa kuwa unahusu wanasiasa wanaogombania haki ya kuongoza serikali, uwahusishe wao tu wanasiasa. Sivyo ilivyo. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar … ...

Read More »

Maaskofu, Masheikh wampa neno Rais Magufuli

RAIS mpya wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameambiwa kama ni kweli amenuia kukomesha biashara ya madawa ya kulevya nchini, basi awashughulikie wafanyabiashara wakubwa wanaoingiza bidhaa hiyo. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar ...

Read More »

DK. Shein apingwa kushiriki uzinduzi wa Bunge la 11

WAKATI kungali na usiri mkubwa hapa wa vikao vya majadiliano vinavyohusisha viongozi wakubwa wa kisiasa Zanzibar, mpango wa Dk. Ali Mohamed Shein kuomba udhuru ili ashiriki hafla ya uzinduzi wa ...

Read More »

ASASI za kiraia zalalama Z’bar

ASASI za kiraia za Zanzibar zimetoa tamko la kutaka dhana ya utawala bora iheshimiwe katika muendelezo wa vikao vya majadiliano vinavyofanyika miongoni mwa viongozi wakubwa Zanzibar. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar ...

Read More »

Subira yachosha Z’bar

MWENENDO wa mambo kuhusu mgogoro wa uchaguzi ulioibuka Zanzibar unazidi kukatisha tamaa wananchi hasa kwa kuhofia ukimya kutawala badala ya hatua za wazi za utatuzi. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar … ...

Read More »

CCM mnahofia nini – Maalim Seif

MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanasiasa anayepigania haki ya kuongoza Zanzibar baada ya kuchaguliwa na wananchi katika uchaguzi wa Oktoba 25, amesema hakuna sababu ya viongozi wa CCM kumhofia. Anaandika Jabir ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube