Wednesday , 17 April 2024
Home idrissa

+255 774 226248

71 Articles0 Comments
Makala & Uchambuzi

Nani anaifisidi Z’bar?

NI jabari gani wa kuthubutu kujitokeza leo na akatamka hadharani kuwa, ameikosea Zanzibar kwa vitendo vyake vya kuifisidi kiuchumi? Anaandika Jabir Idrissa …...

MichezoTangulizi

Hans Poppe aongezwa kwenye kesi ya Aveva, Kaburu

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope, ameongezwa katika kesi ya tuhuma za kughushi nyaraka na kujipatia fedha inayowakabili Rais...

Habari za SiasaTangulizi

Waliotekwa Pemba wapatikana, waelezea kilichowakuta

VIJANA sita wa kijiji cha Mtambwe Mtambuuni, wilayani Wete Pemba, waliokuwa wametekwa mapema mwezi huu na watu wanaodhaniwa ni wa dola, wamepatikana. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mbowe na wenzake wapata dhamana, kuachiwa Machi 3

HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri amewapa dhamana Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wenzake watano bila ya kuwepo mahakamani. Anaripoti...

Makala & Uchambuzi

Maulid Mtulia asotulia kivita

MAULID Said Mtulia, mwanasiasa kijana aliyejiuzulu ubunge ghafla, na kuhamia CCM hivyo kusababisha fadhaa upande wa upinzani, anaweza kutangazwa mshindi tena katika uchaguzi...

Makala & UchambuziTangulizi

Ndugai ajipapatua kuhusu Tundu Lissu

KAULI ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kwamba utaratibu wa kukidhi gharama za matibabu ya mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu unaendelea kushughulikiwa,...

Habari za SiasaMakala & UchambuziTangulizi

Katiba murua Zbar yaikwamisha CCM

BARAZA la Wawakilishi la Zanzibar limwepitisha muswada wa sheria wa kurekebisha vifungu vya Sheria ya Uchaguzi ya Zanzibar pasina mabadiliko ya msingi yanayohusu...

Habari za Siasa

Askofu akerwa aina upigaji kura wa sasa

MATOKEO ya uchaguzi wa udiwani katika kata 43 nchi nzima uliofanyika Jumapili yameleta taswira kwamba itafika wakati Watanzania wapige kura kwa kutamka mgombea...

Habari za SiasaTangulizi

Bodi ya Lipumba kimbembe leo

SIKU ya leo Jumatatu yaweza kuwa chungu mfano wa shubiri kwa wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Wananchi – Civic United...

Makala & UchambuziTangulizi

Zanzibar ‘mkao wa kula’

Kalamu ya Jabir Idrissa SIASA visiwani Zanzibar ni ada kimaisha. Siasa ni kila kitu kwa wananchi. Na kila kitu ni siasa Zanzibar. Kila...

Habari za SiasaTangulizi

Masha: Serikali iruhusu wapelelezi wa nje

UCHUNGUZI utakaofanywa na wachunguzi wa nje ya Tanzania kuhusu matukio ya kihalifu yanayoendelea nchini, utatoa nafasi nzuri kwa serikali ya Dk. John Magufuli...

Makala & Uchambuzi

Bwana Ali Juma ‘kafa ngangari’

“Masikini bwana Ali, kafa ilhali yuajua Masikini bwana Ali, kafa yuaona Masikini bwana Ali, kafa yuaasa Masikini bwana Ali, kafa yungangari” NAANDIKIA haya...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

‘Tundu Lissu shujaa duniani’

MBUNGE wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tundu Lissu, ametangazwa katika kongamano la kimataifa lililofanyika jijini Lagos, nchini Nigeria, kuwa ndiye mwanasiasa kiongozi...

Habari za SiasaKimataifa

Biwott kuzikiwa jeneza lisopitisha risasi

MWANASIASA mkongwe aliyekuwa na nguvu kubwa nchini Kenya, Nicolas Biwott atazikwa kwa kutumia jeneza lililosarifiwa kwa dhahabu na ambalo lina uwezo wa kutopenya...

Habari za SiasaTangulizi

RITA mgomvi mpya CUF

CUF imetangaza rasmi leo kwamba Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kuwa ni “mgomvi” mwingine katika mgogoro wa uongozi unaokikabili chama hicho...

Habari za SiasaTangulizi

Mgogoro CUF umekwisha kweli?

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeingia katika mgogoro zaidi. Hatua ya chama hicho kupitia kundi la viongozi wanaomtii Profesa Ibrahim Lipumba, kutangaza mabadiliko ya...

Habari Mchanganyiko

Mazombi wamchoma mchuuzi

ASKARI wa kikosi cha Valantia (KVZ) wanaojulikana kwa umaarufu kama “mazombi” wamemjeruhi mchuuzi wa bidhaa za mkononi kwa kumpiga, kumchoma moto na kumtelekeza...

MichezoTangulizi

Chelsea mabingwa England

KLABU ya Chelsea ya jijini London, Uingereza, imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka England msimu wa 2016/17, baada ya kuifunga West Bromwich,...

Habari za SiasaTangulizi

Bashe amchokonoa Rais Magufuli

SERIKALI ya Rais John Magufuli imeguswa kisawasawa, anaandika Jabir Idrissa. Ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaloendelea na mkutano wa...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi EALA vurugu tupu

SEHEMU kubwa ya umma wa Watanzania imeshtushwa mno na namna uchaguzi mkuu wa wajumbe wa kuiwakilisha Tanzania kwenye Bunge la Afrika Mashariki ulivyoendeshwa,...

Habari za SiasaTangulizi

Watu wanaishi na wauaji wao

NINAPOKUMBUKA tukio la mauaji ya wananchi walioandamana katika kudai haki ya kuongozwa na kiongozi wanayemtaka, haraka inanijia sura ya mmoja wa watekelezaji wa...

error: Content is protected !!