Thursday , 2 May 2024

Month: October 2019

Habari za SiasaTangulizi

JPM apanga matumizi mabilioni ya wahujumu uchumi 

RAIS John Magufuli, ameanza kupanga matumizi ya mabilioni ya fedha zinazorudishwa na watuhumiwa wa uhujumu uchumi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza katika ziara...

Habari Mchanganyiko

Makonda: Kwa mvua hizi, kuweni na tahadhari

KUFUATIA mvua zinazoendelea kunyesha, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka wakazi wa mkoa wake kuwa na tahadhari  ili kuhepuka mafuriko....

Habari za Siasa

Maalim Seif ajitosa Serikali za Mitaa

MABADILIKO kamili katika siasa, uchumi na kijamii hayawezi kufikia iwapo wananchi watasita kwenda kujiandikisha ili kupiga kura. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kauli...

Habari za SiasaTangulizi

Selasini akoleza moto uenyekiti Chadema

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Rombo, mkoani Kilimanjaro, Joseph Selasini, ameonya kuwa hatua yeyote ya kuminya demokrasia...

Habari za Siasa

JPM amaliza utata wa JKT, Uyole na wananchi

RAIS John Magufuli amemaliza mvutano wa ardhi uliokuwepo kati ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wananchi na Kituo cha Utafiti wa Kilimo (Uyole)...

Habari za Siasa

Bulaya hoi Agha Khan, kesi yasimama

UPANDE wa utetezi kwenye kesi inayowakabili viongozi tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuwa mshtakiwa...

Habari za Siasa

Waitara ‘ahaha’ Ukonga, alia rafu

KUELEKEA Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, Mwita Waitara ambaye ni Mbunge wa Ukonga pia Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tamisemi, ameanza kupiga...

Habari za Siasa

Zitto akwama, mahakama yakwama

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo tarehe 7 Oktoba 2019, imekwama kuendelea na kesi ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kwatibuka, Mbowe aambiwa ‘inatosha’

JOTO la uchaguzi wa viongozi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), tayari Cecil Mwambe ambaye ni Mbunge wa Ndanda ameanza kumtingisha...

Habari za Siasa

Chadema: Tumemjibu msajili

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vincent Mashinji amesema, ‘tayari tumemjibu msajili.’ Anaandika Regina Mkonde…(endelea). Amesema, chama hicho kimejibu...

Habari Mchanganyiko

Chadema yalizwa Njombe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinaugulia maumivu baada ya mwenyekiti wake katika Mkoa wa Njombe, Edwin Swale kutimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM)....

Habari za Siasa

Mbowe, wenzake kujitetea siku tano mfululizo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga kuanza kusikiliza utetezi wa viongozi tisa  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), siku tano mfululizo kuanzia...

Habari Mchanganyiko

‘Mawaziri hawajui kesho yao’

RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kuwaombea mawaziri, akisema kwamba wanafanyakazi kwa mateso makubwa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Rais Magufuli ametoa wito huo leo tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mwele amjibu JPM ‘situmiki’

DAKTARI Mwele Malecela, Mkurugenzi wa Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika vya Shirika la Afya Duniani (WHO), amesema ‘hatumiki’. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

JPM ampuuza mbunge CCM

RAIS John Magufuli amepuuza tuhuma zilizotolewa na Janeth Mbene, Mbunge wa Ileje kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi ya Haji Mnasi, Mkurugenzi Mtendaji...

Habari Mchanganyiko

‘Tatizo la mdomo wazi linatibiwa bure CCBRT’

WAZAZI wenye watoto waliozaliwa na tatizo la mdomo wazi (Mdomo Sungura), wametakiwa kuwapeleka hospitali kwa ajili ya upasuaji. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Akizungumza leo...

Habari za Siasa

JPM apongeza bakora za Chalamila

HATUA ya Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuchapa viboko wanafunzi 14 wa Shule ya Sekondari ya Kiwanja na kurudisha nyumbani wanafunzi...

Habari Mchanganyiko

MPFCR: Vijana jiepusheni na mihadarati

TAASISI ya Kinamama na Kinababa kwa Mageuzi ya Jamii (MPFCR), imewataka vijana kuacha matumizi ya mihadarati kutokana na madhara yake. Anaripoti Kamote Martin …...

Habari za Siasa

JPM ‘amchomea utambi’ Mbunge Chadema

RAIS John Magufuli amewambia wananchi wa Kata ya Mahenge wilayani Mbozi, Songwe kwamba angekuwa mbunge wao, asingeruhusu kuwachangishwa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Amewaambia wananchi hao...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema amkabili JPM mkutanoni

PASCHAL Haonga, Mbunge wa Mbozi (Chadema), amemweleza Rais John Magufuli namna matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo zinavyofanya kazi katika kutekeleza shughuli...

Habari za SiasaTangulizi

RC Chalamila atibua nchi, ajitetea

KITENDO cha Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuingilia majukumu ya walimu wa Shule ya Sekondari Kiwanja, Chunya kwa kuchapa viboko vitatu...

ElimuHabari MchanganyikoTangulizi

Baada ya viboko; RC Chalamila ‘afunga’ shule

ALBERT Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya amewarudisha nyumbani wanafunzi wa kidato cha tano na sita wa Shule ya Sekondari Kiwanja, hadi tarehe...

Michezo

Simba wang’ara tuzo za mwezi VPL

KOCHA mkuu wa klabu ya Simba Patrick Aussems na mshambuliaji wake, Miraji Athuman wameibuka vinara wa tuzo za mwezi Septemba za Ligi Kuu...

Afya

Ebola: Tanzania yaishangaa WHO

SERIKALI ya Tanzania imeeleza kushangazwa na kauli ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kwamba ilikugoma kutoa taarifa kuhusu kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu ‘kujinoa’ Marekani, Ulaya

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amekwenda Marekani na baadaye Ulaya. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Nchini Marekani, Lissu...

Elimu

Mwalimu alalamika kunyimwa ruhusa ya kuuguza mama yake

MWALIMU wa shule ya msingi Chazungwa, wilayani Mpwapwa, Dodoma, Rose Mgulambwa amesema anashangazwa na Afisa Elimu Msingi, Mery Chakupewa kwa kumnyima uhamisho kwa...

Habari Mchanganyiko

Taasisi za dini kufanyiwa uhakiki

OFISI ya Msajili wa Jumuiya za Kijamii na Taasisi za Kidini, kufanya uhakiki wa taasisi na jumuiya hizo, zilizopo katika mikoa ya Kanda...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Kikatiba: Zitto, serikali waungana

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo ameungana na serikali dhidi ya Dezydelius Mgoya (mkulima), aliyefungua kesi ya kikatiba kupinga ibara ya 40 (2)....

Habari za Siasa

Uhujumu uchumi: Kigogo mwingine ajitosa kwa DPP

KULUTHUM Mansoor, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), amekiri kosa na kutaka yaishe. Anaripoti...

KimataifaTangulizi

Wauwaji wa mwandishi wa habari Jamal Khashoggi waumbuka

SIRI juu ya mauaji ya mwandishi wa habari wa kimataifa raia wa Saudia, Jamal Khashoggi, zimeanza kufichuka. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa kutoka...

Habari Mchanganyiko

Wazee Morogoro waiangukia MORUWASA

WAZEE mkoani Morogoro wameiomba Mamlaka ya maji safi na maji taka mkoa (MORUWASA) kuhakikisha huduma ya maji inafika kila eneo ili kuwasaidia wazee...

Habari Mchanganyiko

Tumezima tukio la ujambazi -Kamanda Mambosasa

JESI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeeleza kufanikiwa kuzima tukio la ujambazi, Mbezi Msakuzi, njia panda ya Mpiji Magoe. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mama Samia: Kazi ipo

MAKAMU wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan amewapongeza viongozi mbalimbali walioteuliwa na Rais John Magufuli, na kuwatahadharisha kwamba kazi ipo. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

‘Wavamizi mwendokasi, hakuna faini ni mahakamani’

MADEREVA wa vyombo vya moto vinaovamia barabara ya mabasi ya mwendakasi, hawatotozwa faini badala yake watapelekwa mahakamani. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Jeshi la Polisi, Kanda...

Tangulizi

Mwandishi wa habari Kabendera, amwangukia Rais Magufuli 

ERICK Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi, mtafiti na mshauri wa kimataifa wa masuala ya siasa, habari na uchumi, ameomba msamaha kwa Rais...

Habari Mchanganyiko

Serikali za Mitaa: Polisi waonya

HATUTAFUMBIA macho watu, taasisi na vyama vya siasa vitakavyokiuka sheria. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 1 Oktoba 2019 na...

Habari za SiasaTangulizi

JPM asaini sheria nne mpya

RAIS John Magufuli amesaini sheria nne zilizopitishwa katika mkutano wa 16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Habari za Siasa

Rais Magufuli ‘aisuka’ NEC

RAIS John Magufuli, amemteua Wilson Charles kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Charles amechukua nachukua nafasi ya...

error: Content is protected !!