Sunday , 19 May 2024

Biashara

Biashara

Biashara

Rais Samia azindua ujenzi skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Maandalizi Tasani, iliyopo Shehia ya Tasani, Makunduchi – Zanzibar inayojengwa...

Biashara

NBC yashiriki ‘Wogging’ ya AMREF, yakabidhi msaada wa Mil. 200

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi pamoja na...

Biashara

DC Same atoa mwezi mmoja halmashauri kuhamisha gulio

MKUU wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni ametoa mwezi mmoja kwa uongozi wa halmashauri hiyo kuhamisha gulio linalofanyika Jumatano hadi Jumapili eneo lililotengwa...

Biashara

Bosi NMB akabidhi misaada ya milioni 10 kwa New Hope for Girls

MIEZI mitano tangu alipotunukiwa Tuzo ya Malkia wa Nguvu (wa Sekta Binafsi Tanzania), Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna,...

Biashara

ASAS Dairies yajitosa kuokoa afya za watoto wadumavu Z’Bar

KATIKA kuunga mkono jitihada za Serikali ya Mapindizi Zanzibar za kumaliza tatizo la udumavu kwa watoto  kampuni ya Asas Dairies  imezindua programu ya...

Biashara

Wakulima walia anguko bei ya Vanila, Serikali yawa bubu

LICHA ya Serikali kuhamasisha kilimo kwa ajili ya kuwainua wakulima kipato cha chini, wakulima wa zao la vanila katika kata ya Kanyangereko Wilaya...

Biashara

Biashara ya China, Tanzania yafikia trilioni 20

BALOZI wa China nchini, Chen Mingjian, amesema ukuaji wa biashara kati yake Tanzania kuanzia mwaka 2022 hadi Juni, 2023, umefikia Dola za Marekani...

Biashara

Vodacom yazindua kampeni ya ‘Maisha ni Kujiongeza na M-Pesa’ kwa ajili ya wateja na wafanyabiashara

KAMPUNI ya teknolojia na mawasiliano, Vodacom Tanzania PLC, kupitia huduma yake ya M-Pesa, imezindua kampeni ijulikanayo kama ‘Maisha ni Kujiongeza na M-Pesa’ inayowalenga...

Biashara

NIC yajivunia mafanikio ya tuzo mbalimbali kwa mwaka 2023

  SHIRIKA la Bima Taifa (NIC) inejivunia mafanikio waliyopata ndani ya mwaka huu wa 2023 zilizopelekea kupokea tuzo tofauti tofauti zikiwemo za Msajiri...

Biashara

Mchakato kuunganisha Tanga Cement, Twiga Cement wapata kizingiti, Jaji atoa uamuzi

BARAZA la Ushindani wa Biashara (FCT) limetoa uamuzi kuhusu uamuzi wa Tume ya Ushindani (FCC) wa kuruhusu kampuni ya Scancem International DA inayomiliki...

Biashara

Ya Rwanda yanatufunza tusiingize dini kwenye siasa

Tumsifu Yesu Kristo, Amani na Usalama. Nataka niwape tafakari ndogo ya sehemu ya Kanisa Katoliki katika amani na ustawi wa jamii yetu. Naomba...

Biashara

Rais Samia aikabidhi tuzo maalum Benki ya NMB

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa tuzo maalum kwa benki ya NMB katika kutambua mchango na utendaji mkubwa wa taasisi hiyo ya...

Biashara

STAMICO yang’ara yabeba tuzo mbili

SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limeng’ara katika kikao kazi cha Wenyeviti  na Watendaji wa Mashirika  ya Umma baada ya kuibuka mshindi wa...

Biashara

NMB, Vodacom wazindua kampeni ya ‘Miliki simu – lipa mdogo mdogo’

BENKI ya NMB kwa kushirikiana na Vodacom na Google, wamezindua kampeni ya ‘Miliki Simu, Lipa Mdogo Mdogo’, inayowezesha watanzania wa kipato cha chini...

Biashara

NMB yakabidhi mabati, samani za milioni 51 kwa shule 9 Ilala

KATIKA jitahada za kuunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita kutatua changamoto kwenye Sekta ya Elimu, Benki ya NMB, imekabidhi misaada...

Biashara

Promosheni ya ‘Jipate na Infinix’ yazinduliwa, wateja kukopeshwa bila riba

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Infinix imezindua promosheni ya ‘Jipate na Infinix’  kampeni ambayo itakuwa ya kuda wa mwezi mmoja nchi nzima....

Biashara

NMB, ATCL wazindua bima ya safari kwa wasafiri wa ndege nchini

BENKI ya NMB na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamezindua ushirikiano wa kibiashara wa mifumo ya malipo ya tiketi za ndege unaowapa fursa...

Biashara

Kampuni ya sola ya d.light yazindua kampeni ya ‘Mwanga Wako, Mchongo Wako’

  KATIKA kampeni ya kuunga mkono jitihada za serikali kwenye matumizi nishati salama kimazingira, kampuni ya sola ya d.light Tanzania Limited imezindua kampeni...

Biashara

NMB yapata heshima ya Superbrands, yaweka rekodi

Benki ya NMB imetunukiwa cheti cha kuwa ‘Superbrand’, na kuifanya kuwa benki pekee iliyopata hadhi hiyo nchini Tanzania mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...

BiasharaHabari

Jaji Maghimbi agomea muungano TWIGA, Tanga Cement

SAKATA la kampuni ya Tanga Cement kuuzwa limezidi kuchukua sura mpya baada ya mmoja wa wajumbe wa Tume ya Ushindani wa Haki FCC,...

Biashara

Rais Samia apongeza mchango wa NMB kwenye Kilimo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hasaan, ameipongeza Benki ya NMB kwa mchango uliotukuka kwenye Sekta ya Kilimo, Uvuvi, Ufugaji na Misitu, sambamba...

Biashara

Rais Samia avutiwa bima ya kilimo ya NBC, awaomba wakulima kuchangamkia fursa

Rais Samia Suluhu Hassan ameitaja huduma ya bima ya kilimo inayotolewa na benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kama mmoja ya suluhisho muhimu...

Biashara

NMB, AGRICOM waita wakulima kuchangamkia mikopo, zana za kilimo

BENKI ya NMB na Kampuni ya Agricom Africa, wamewahakikishia wakulima nchini, kwamba ushirikiano baina ya taasisi hizo ndio mkombozi wa sekta ya kilimo,...

Biashara

STANBIC, AGRICOM kuanza kutoa mikopo ya zana za kilimo kwa wakulima

BENKI ya Stanbic Tanzania (SBT), kwa kushirikiana na kampuni ya AgriCom Africa (AA), inatarajia kuanzia kutoa mikopo ya zana za kilimo kwa wakulima...

Biashara

RC Mbeya azindua NMB Onja Unogewe Nyanda za Juu, “ni ubunifu wa kipekee”

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amezindua rasmi Kampeni ya Onja Unogewe inayoendeshwa na Benki ya NMB chini ya mwamvuli wa Teleza...

Biashara

STAMICO yang’ara Afrika, yanyakua tuzo kampuni bora madini 2023

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limenyakua tuzo ya Kampuni bora ya mwaka Afrika kwenye sekta ya madini 2023 katika tuzo za Africa...

Biashara

Majaliwa apongeza jitihada za NBC utoaji mikopo zana za kilimo

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kuendelea kubuni huduma zinazolenga kutatua changamoto zinazowagusa wakulima huku akionyesha kuguswa zaidi...

Biashara

Maabara ya SML yaalika wadau kutumia huduma zake

WADAU wa madini nchini wakiwemo watafiti, wachimbaji wadogo wa madini, kampuni za uchimbaji  wa kati na mkubwa wa madini wameshauriwa kutumia maabara ya ...

Biashara

Waagizaji mafuta: Bila dola tutashindwa kuagiza mafuta

KATIKA kuendelea kuhakikisha bidhaa ya mafuta ya petroli inapatikana kwa uhakika maeneo yote nchini, Chama cha Waagizaji na Wasambazaji Mafuta Tanzania (TAOMAC) wamekutana...

Biashara

Mabilioni ya NMB kusapoti BBT, riba asilimia 9 vyamvutia Majaliwa

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameipongeza Benki ya NMB kwa kutenga mabilioni ya fedha za mikopo katika kipindi cha miaka miwili kuunga...

BiasharaTangulizi

Wafanyabiashara waitwa Bandari ya Dar es Salaam

  WAFANYABIASHARA wametakiwa kutumia Bandari ya Dar es Salaam, kusafirisha mizigo yao badala ya kutumia bandari za mbali, ili kuokoa muda na gharama....

Biashara

Mv. Mirembe yazindua huduma mpya usafirishaji majini

  KAMPUNI ya Usafirishaji majini, PMM Shipping Limited imezindua huduma ya kusafirisha makontena kutoka Bandari ya Dar es Salaam, kwenda maeneo mengine ikiwemo...

Biashara

Dk. Mpango aipongeza NBC utoaji elimu ya fedha, mikopo kwa wakulima

  MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kutumia vema Maonesho ya Kilimo ya NaneNane yanayoendelea jijini...

Biashara

NMB yatenga bilioni 20 BBT, yamwaga mikopo kwa wakulima

KATIKA kuuunga mkono juhudi za Serikali kuwainua vijana kupitia mradi wa kuwawezesha kulima, kuvua na kufuga kibiashara (BBT), Benki ya NMB imetenga jumla...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yashinda tuzo 3 za Kimataifa, yatajwa benki bora Tanzania 2023

  BENKI ya NMB imetambuliwa na kupokea tuzo tatu za kimataifa ambazo ni Benki Bora Tanzania 2023, benki bora ya wateja maalum kutoka...

Biashara

Infinix Note 30 yajizolea sifa kimataifa mwaka 2023

  CHAPA ya simu mahiri inayoongoza kwa ubora  Infinix Mobile LTD imegonga vichwa vya habari wiki hii baada ya Infinix NOTE 30 kushinda...

Biashara

Wakulima watakiwa kufuata ushauri wa maofisa ugani

MHASIBU wa kiwanda cha kuzalisha mafuta ya kula ya alizeti – Malaika Sunflower Oil, Ester Lumambo amewashauri wakulima wa mazao ya alizeti nchini...

Biashara

EASTL yatambulisha bia mpya ‘GOLDBERG na HANSON’S LITE’

Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited (EASTL) Shinyanga inayotengeneza vinywaji vya Diamond Rock na Hanson’s Choice imetambulisha rasmi...

BiasharaTangulizi

Marufuku nguo za mitumba yazua kizaazaa, wafanyabiashara wachachamaa

WAFANYABIASHARA pamoja na watuaji wa nguo za mitumba nchini Kenya, wameitaka serikali nchi hiyo kusitisha mpango wake wa kupiga marufuku wa uingizwaji wa...

Biashara

Vodacom kinara wa teknolojia miongoni mwa makampuni ya Vodacom Afrika 

  KAMPUNI ya Vodacom Tanzania Plc imepata tuzo ya kuwa  kinara wa teknolojia miongoni mwa makampuni ya Vodacom yaliyoko Afrika. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Biashara

2075 Waafrika kushika theluthi moja ya ajira

BENKI ya Dunia (WB), imesema ifikapo mwaka 2075, theluthi moja ya idadi ya watu watakaokuwa wanafanya kazi duniani watakuwa Waafrika. Anaripoti Selemani Msuya…(endelea)....

Biashara

2075 Waafrika kushika theluthi moja ya ajira

BENKI ya Dunia (WB), imesema ifikapo mwaka 2075, theluthi moja ya idadi ya watu watakaokuwa wanafanya kazi duniani watakuwa Waafrika. Anaripoti Selemani Msuya…(endelea)....

Biashara

NBC yasaini mkataba na Wizara ya Elimu kusaidia elimu ya ufundi

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini mkataba wa makubaliano na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknalojia kwa ajili ya kutoa ufadhili wa...

Biashara

RC Senyamule: NMB imetutua mzigo sekta ya afya, elimu

MKUU wa mkoa wa Dodoma (RC), Rosemary Senyamule ameitaja benki ya NMB kama mwarobaini uliowafuta machozi wananchi katika mkoa wake kwenye idara za...

Biashara

Tume ya madini yatoa siku 7 wamiliki leseni kutekeleza masharti

TUME ya Madini imetoa siku saba kwa wamiliki wote wa leseni za madini zikiwemo leseni za utafutaji wa madini, leseni za uchimbaji mdogo,...

Biashara

DC Momba ajitosa mkataba bandari, aeleza Tunduma itakavyofaidika

MKUU wa Wilaya ya Momba mkoani Songwe, Faki Lulandala amejitosa katika sakata la mjadala kuhusu mkataba wa uwekezaji kwenye bandari ya Dar es...

Biashara

SBL yaja na kampeni ya ‘Jibambe Kibabe’

  KAMPUNI ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kampeni yake kubwa ya kitaifa ‘Jibambe Kibabe’ inayolenga kuchochea uwezeshaji kiuchumi katika mfumo wake mzima...

Biashara

‘Team Wazalendo’ waukingia kifua uwekezaji wa DP World

UMOJA wa Vijana wa unaojitanabaisha kwa jina la ‘Team Wazalendo’ umesema kuwa utachukua jukumu la kuuelimisha umma juu ya umuhimu wa uwekezaji katika...

Biashara

Vodacom yashinda tunzo ya  banda la utoaji huduma bora kwa makapuni ya simu

KAMPUNI ya Vodacom Tanzania imeshinda tuzo ya  banda bora la utoaji huduma kwa kundi la makampuni ya Simu wakati wa kuhitimisha Maonyesho ya...

Biashara

NBC yawezesha mkopo wa bilioni 470 Zanzibar

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza kukamilika kwa taratibu ambazo zimewezesha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kupata mkopo wa Dola za Marekani...

error: Content is protected !!