Biashara
WANANCHI wa Wilaya ya Songwe wametambulishwa uwepo wa leseni ya uchimbaji mkubwa wa madini ya Rare Earth Elements yanayotumika katika teknolojia ya kisasa....
By Mwandishi WetuJuly 16, 2023BENKI ya NMB na Klabu ya Simba, zimezindua ushirikiano wa kibiashara uliopewa jina la ‘Ukaribu wa Nguvu,’ kwa lengo la kuongeza ufanisi katika...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, kimeiomba serikali kujenga miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji kwa ajili ya kukuza uzalishaji wa...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2023KAMPUNI ya Teknolojia na mawasiliano, Vodacom Tanzania PLC imewapongeza kwa kuwapatia tuzo mbalimbali washirika na watoa huduma wake kwa kuzingatia viwango vya usalama...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2023KAMPUNI ya Uwekezaji ya NICOL, imeendelea kufanya vizuri sokoni kwa kupata ongezeko ya faida ya shilingili bilioni 6.2 mwaka huu kulinganisha na faida...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2023HALMASHAURI ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe imetumia kiasi cha Sh 1.7 bilioni kujenga mradi huo wa maegesho ya malori ili kukabiliana...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023BENKI ya NMB kupitia matawi yake yote nchini inatarajiwa kuanza rasmi Jumatatu tarahe 10 Julai 2023, kusajili na kutoa kadi za uanachama wa...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023JUMLA ya washindi 22 wa Kampeni ya uhamasishaji wa kuweka akiba ya Benki ya NMB ‘Bonge la Mpango’ wamekabidhiwa zawadi zao jijini Dar...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2023BAADHI ya wafanyabiashara katika Soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, wamedai changamoto wanazokabiliana nazo zinasababishwa na masuala mbalimbali, ikiwemo kisiasa. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2023KATIKA kutekeleza adhma yake ya kutumia ubunifu wa kidigitali kuongeza ufanisi kwenye shughuli mbali mbali ikiwemo zile za kibiashara, kampuni ya mawasiliano...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2023Serikali kupitia Wizara ya Nishati imebainisha kuwa mpaka kufikia mwezi Juni 2024, Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) litaanza kutoa huduma...
By Gabriel MushiJuly 6, 2023KATIKA mwaka wa fedha wa 2021/23 jumla ya fedha kiasi cha Sh 102 milioni zimewanufaisha wakazi wa Kijiji cha Itundwi kata ya Mnina...
By Danson KaijageJuly 6, 2023TAASISI na kampuni wateja za Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) mkoani Arusha, wameipongeza benki hiyo kwa kuwapelekea huduma ya malipo kidigitali inayojulikana...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023BAADHI ya wafanyabiashara katika Soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, wamedai changamoto wanazokabiliana nazo zinasababishwa na masuala mbalimbali, ikiwemo kisiasa. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023KATIBU mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Felchesmi Mramba ametembelea banda la Maonesho la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023KAMPENI ya uhamasishaji wa kuweka akiba ya Benki ya NMB iliyopewa jina la ‘Bonge la Mpango’ Msimu wa Tatu imefikia kilele tarehe 5...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023KAMPUNI 5666 za ndani na nje ya nchi zimeshiriki kwenye Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam DITF)...
By Seleman MsuyaJuly 4, 2023MTANDAO wa Matawi ya Benki ya NMB nchini umezidi kutanuka, baada ya Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango kuzindua Tawi la...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2023WAFANYABIASHARA katika Bandari Kavu ya Jimbiza, iliyoko Kilwa Masoko, mkoani Lindi, wameiangukia Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan wakiitaka iingilie kati ili wasiondolewe...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2023TEKNOLOJIA za kidigitali na uunganishwaji ni ufunguo wa kuwawezesha vijana wa Afrika kuonyesha uwezo wao. Kwa kuwafungulia milango ya fursa kwa vijana wa...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2023KAMPUNI ya Vodacom Tanzania katika msimu huu wa sabasaba imetoa zawadi kwa watanzania kwa kuwarudishia mpaka 10% ya pesa watakapolipia bidhaa mbalimbali...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2023MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imetakiwa kutatua changamoto za kodi zinazokabili Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), zisizoingiza faida. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 30, 2023CHAMA cha Wakala wa Meli Tanzania (TASAA) kimeunga mkono mpango wa Serikali wa kuleta uwekezaji wa kampuni ya DP World kwenye bandari...
By Mwandishi WetuJune 28, 2023WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amepongeza jitihada za Vodacom Tanzania kwa kufungua ofisi ya kisasa katika makao...
By Mwandishi WetuJune 28, 2023WAFANYABIASHARA katika soko la Majengo halmashauri ya mji Tunduma wameio na Serikali iharakishe ujenzi soko jipya ili waweze kuendelea na zao katika maeneo...
By Mwandishi WetuJune 27, 2023CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimeshauri Serikali kuondoa vifungu vinavyominya maslahi ya Taifa katika mkataba wa makubaliano ya kiserikali kati yake na...
By Mwandishi WetuJune 27, 2023MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila ameipongeza Benki ya NMB kwa kuzindua huduma mpya chini ya Mwamvuli wa Teleza...
By Mwandishi WetuJune 27, 2023MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa...
By Mwandishi WetuJune 26, 2023RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza Benki ya NMB kwa jitihada zake za kuendelea kuiunga mkono Serikali kwa kuongeza ushirikishwaji wa kifedha...
By Mwandishi WetuJune 26, 2023KAMPUNI pamoja na taasisi mbalimbali ambazo ni wateja wa Benki ya Taifa ya Biashara ya (NBC) mkoani Dodoma, sasa zinaweza kupata uzoefu mpya...
By Mwandishi WetuJune 22, 2023BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imewataka wananchi kuepuka kukopa au kufanya biashara na taasisi au watu wasiokuwa na leseni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJune 22, 2023KUPITIA dhamira yakuendeleza mfumo wa maisha wa kutotumia pesataslimu nchini, huduma ya M-Pesa ya Vodacom naTotalEnergies Marketing Tanzania Limited wamezinduaushirikiano wa kimkakati ili...
By Mwandishi WetuJune 21, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, ameitaka Serikali iachane na miradi ya maendeleo inayochukua muda mrefu bila kuleta tija kwa...
By Mwandishi WetuJune 21, 2023MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji ya Dhamana (CMSA) imesema mpaka sasa thamani ya uwekezaji kwa masoko na mitaji imefikia Sh 35 trilioni. Anaripoti...
By Danson KaijageJune 20, 2023KATIKA kuunga mkono azma ya serikali ya kupanua na kuimarisha huduma za mawasiliano nchini kote, kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania...
By Mwandishi WetuJune 20, 2023MFANYABIASHARA maarufu nchini Tanzania, Rostam Azizi, na mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, wamemshukia vikali Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kwa kutoa...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kurekebisha baadhi ya vifungu vinavyolalamikiwa na wananchi katika mkataba wa ushirikiano wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam, kati...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023MFANYABIASHARA maarufu nchini Tanzania, Rostam Azizi, na Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo (CCM), wamemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, aombe radhi kutokana...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023WAKATI mjadala wa mkataba wa ushirikiano kuhusu uendeshaji bandari, kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Dubai Port World (DP World), ukishika...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023BENKI ya NMB imetoa gawio la Sh. 45.5 bilioni ikiwa ni gawio kubwa zaidi kuwahi kutolewa na taasisi ya kifedha kwa Serikali. Serikali inamiliki...
By Mwandishi WetuJune 18, 2023BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) leo Alhamis imezindua akaunti mpya inayojulikana kama “Akaunti ya Mwalimu,” inayolenga kutoa suluhisho la huduma za kifedha...
By Mwandishi WetuJune 15, 2023SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imeipongeza Benki ya NMB kwa safari yake ya mafanikio yaliyotukuka ya miaka 25! Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Hayo yamesemwa...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023KAMPUNI ya Bia ya Serengeti, mmoja wa wazalishaji wakubwa wa bia nchini, amefichua kuwa analenga kuongeza vyanzo vyake vya malighafi kutoka kwa...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023BALOZI Willibrod Slaa ameunga mkono uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es Salaam, lakini ameishauri Serikali kurekebisha kasoro zinazolalamikiwa kwenye mkataba wa uwekezaji...
By Mwandishi WetuJune 13, 2023WACHIMBAJI wa madini ya dhahabu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwa mstari wa mbele kwa kushirikiana na Serikali katika kutatua changamoto mbalimbali ambazo...
By Mwandishi WetuJune 13, 2023SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa mafunzo ya udhibiti wa sumukuvu kwenye mahindi, karanga na bidhaa zake katika wilaya za Kiteto, Kongwa,...
By Mwandishi WetuJune 12, 2023KAMPUNI ya simu za mkononi Infinix mwanzoni mwa Mwezihuu ilizindua toleo la Infinix NOTE 30 Series nakusindikizwa na promosheni kubwa ya #Gusanishaijaekuvunja Record...
By Mwandishi WetuJune 12, 2023MKUU wa wilaya Ileje mkoani Songwe, Farida Mgomi amelipongeza Shirika la Madini Taifa (STAMICO) kupitia mgodi wa Kiwira-Kabulo kwa kusaidia wananchi wanaozunguka mgodi...
By Mwandishi WetuJune 11, 2023SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeipongeza Benki ya NMB kwa mafanikio yaliyotukuka katika kipindi cha miaka 25 ya kuhudumia Watanzania. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 11, 2023Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesisitiza kwamba uwekezaji wa kampuni ya DP World kutoka Dubai hautahusisha bandari zote nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Gabriel MushiJune 10, 2023