Sunday , 19 May 2024

Biashara

Biashara

Biashara

NMB yazindua teleza kidigitali, Majaliwa awapa heko

BENKI ya NMB nchini Tanzania, imefanya mapinduzi makubwa ya kibenki kwa kuzindua huduma kubwa tatu kupitia kampeni yake ya ‘Teleza Kidigitali.’ Anaripoti Mwandishi...

Biashara

Serikali kupunguza kodi kwenye sukari, mafuta

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itapunguza kodi ya sukari itakayoingizwa nchini kwa hadi asilimia 10 ili kupata unafuu...

Biashara

Wenye viwanda watakiwa kuacha urasimu utoaji bidhaa

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji amewataka wamiliki wa viwanda vya saruji na sukari kupunguza urasimu katika utoaji wa bidhaa hizo....

Biashara

NMB yatoa mabati kwa shule Serengeti, yatangaza neema

KATIKA kuthibitisha uwajibikaji wao kwa jamii, Benki ya NMB nchini Tanzania imetoa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya zaidi ya Sh.8 milioni kwa...

Biashara

NBC waja na ‘Jaza Kibubu Tusepe’

  BENKI ya NBC imezindua Kampeni ya ‘Jaza Kibubu Tusepe’ itakayojikita kwenye utoaji wa elimu kwenye masuala ya kifedha itakayoambatana na zawadi mbalimbali...

Biashara

Mshindi kampeni ya NMB akabidhiwa pikipiki, yeye atoa neno

MJASIRIAMALI mkazi wa Same mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania, Ally Athuman Mnyone ameibuka na ushindi wa pikipiki ya miguu mitatu maalumu kwajili ya kubebea...

Biashara

NMB yageukia wakulima, Rais Samia awapongeza

JUMLA ya Sh78. 8 bilioni zimeshatolewa na Benki ya NMB nchini Tanzania kwa wakulima kati ya Sh.100 bilioni walizotengewa kwa ajili ya kukopeshwa...

Biashara

NMB yashiriki uzinduzi mbio za Mwenge

MBIO za Mwenge wa Uhuru Kitaifa zimezinduliwa Jumamosi ya tarehe 2 Aprili 2022 na Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango mkoani...

Biashara

NMB yawaibua wakulima Dodoma, watoa ushuhuda

MABADILIKO makubwa yaliyofanywa na Benki ya NMB nchini Tanzania yamewaibua wakulima kufungua milango ya kukimbilia mikopo ya benki hiyo ili kujiimarisha kiuchumi. Anaripoti...

Biashara

NMB yazindua wakala wa simu mkononi, ajira 100,000 zanukia

BENKI ya NMB nchini Tanzania imezindua huduma maalumu ya kuweka na kutoa fedha kirahisi kupitia wakala watakao tumia simu zao za mkononi tu....

Biashara

Kishindo fainali NMB MastaBata, 30 wajinyakulia Mil. 90

MIEZI mitatu ya Kampeni ya ‘NMB MastaBata – Kivyako Vyako,’ iliyoendeshwa na benki hiyo, imefikia tamati kwa washindi 30 kujinyakulia Sh.3 milioni kila...

Biashara

Benki ya Exim yakabidhi madawati 100 Mbeya

Benki ya Exim Tanzania imekabidhi msaada wa madawati 100 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 mkoani Mbeya ikiwa ni mwendelezo wa...

Biashara

NMB, eGovernment Z’bar zakubaliana makubwa

BENKI ya NMB na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kupitia Wakala wa Serikali Mtandao ‘eGovernment Zanzibar’ wamesaini makubaliano ya ushirikiano, yatakayowezesha mifumo...

BiasharaUjasiriamali

Mikopo ya bajaji Mbeya gumzo kwa vijana, washindana kujiimarisha kiuchumi

VIONGOZI na wanachama wa kikundi cha Vijana Waendesha Bajaji (Viwaba) eneo la Mbalizi, katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya mkoani hapa wameeleza namna...

Biashara

Tanzania yaweka rekodi mauzo ya madini

WAZIRI wa Madini, Dk. Doto Biteko amesema sekta ya madini imevunja rekodi katika mauzo yake kwenye masoko mbalimbali, ambayo yamekua hadi kufikia thamani...

Habari MchanganyikoUjasiriamali

TFS wapigia chapuo asali – Gairo, wavuna tani moja

KUTOKANA na juhudi za uhifadhi wa mazingira, Wilaya ya Gairo kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) mwaka jana imefanikiwa kuvuna tani...

Biashara

Exim yaungana na dunia kuadhamisha Siku ya Wanawake

Benki ya Exim Tanzania leo tarehe 8 Machi, 2022 imeungana na dunia kwa ujumla katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani kwa kubainisha namna...

Biashara

Huawei, TTCL zasaini makubaliano kuboresha teknolojia ya mawasiliano

KAMPUNI ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) na Kampuni ya Teknolojia ya Huawei, wametia saini hati ya makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji utakaoziwezesha pande hizo...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yamkabidhi Rais Samia vifaa vya mamilioni vya elimu kwa wenye uhitaji

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameishukuru na kuipongeza Benki ya NMB kwa mchango unaoenda kufanikisha uboreshaji elimu kwa makundi maalum. Anaripoti Mwandishi...

Biashara

NMB yatoa vifaa vya milioni 29 hospitali ya Amana, Shule 3 Dar

HOSPITALI ya Rufaa ya Amana na Shule tatu za msingi za Buguruni Kisiwani, Kivule na Airwing zilizoko Wilaya ya Ilala jijini Dar es...

BiasharaHabari

Zawadi NMB MastaBata zabaki milioni 100

KAMPENI ya NMB MastaBata inayoelekea ukingoni imebakiwa na zawadi ya Sh.100 milioni baada ya Sh.140 milioni kati ya Sh.240 milioni kunyakuliwa na washindi...

Biashara

GGML yabeba tuzo kampuni bora katika sekta ya madini 2021

KAMPUNI ya uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) imetunukiwa tuzo ya kuwa kampuni bora inayoendesha shughuli za uchimbaji wa madini nchini kwa mwaka...

Biashara

Wajasiriamali 825 wanaufaika na mkopo Morogoro

KATIKA kuunga mkono juhudi za wajasiriamali na kuhakikisha wanajikwamua kiuchumi na kujiongezea kipato, Halmashauri ya Morogoro imetoa mkopo wa Sh  milioni  340 kwa  ...

Biashara

GGML yashinda tuzo ya usalama duniani kwa mwaka wa tatu mfululizo

KAMPUNI ya Uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) imetunukiwa tuzo ya Usalama ya Dunia ya 2021 kwa mwaka wa tatu mfululizo na kuifanya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

GGML wamwaga Sh milioni 90 mkutano wa madini

KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu mkoani Geita (GGML) imetoa msaada wa Sh milioni 90 kudhamini Mkutano wa nne wa Uwekezaji wa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

TANESCO kuvuna bilioni 5 mapato ya mwezi kutoka GGML

KUKAMILIKA kwa mradi wa kupeleka umeme kwenye Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kunatarajiwa kutaliwezesha Shirika la...

Biashara

Benki ya Exim yakabidhi zawadi ya gari kwa mshindi wa kampeni ya ‘Weka Mkwanja tukutoe’

BENKI ya Exim imekabidhi gari aina ya Toyota Vanguard kwa taasisi ya Work of Mary (Focolare Movement Tanzania) ya mkoani Iringa iliyoibuka mshindi...

Biashara

Nyumba 50 ndani ya jengo la Uhuru Heights kuuzwa

Kampuni ya Cosmos Properties ya jijini Dar es Salaam, ambayo ni mmiliki wa nyumba 50 katika jengo la Uhuru Heights iko matatani baada...

Biashara

Benki ya Exim yatangaza mshindi wa jumla “Weka Mkwanja Tukutoe!”

BENKI ya Exim Tanzania imetangaza washindi wa promosheni yake inayojulikana kama “Weka Mkwanja tukutoe!” ambapo taasisi ya Work of Mary (Focolare Movement Tanzania)...

Biashara

GGML kuanza kutumia rasmi umeme wa TANESCO mwishoni mwa 2022

MKUU wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule amesema mpango wa kuunganisha umeme wa gridi ya taifa kuelekea katika mgodi wa Geita Gold Mine...

Biashara

NBC yahitimisha kampeni ya ‘Vuna Zaidi Na NBC Shambani’ kwa mafanikio

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendesha droo yake ya mwisho ya kampeni ya ‘Vuna Zaidi na NBC Shambani’ huku ikijivunia kuhitimisha kampeni...

Biashara

Benki ya Exim yaendelea kutangaza washindi wa droo ya ‘Weka Mkwanja Tukutoe!’

Benki ya Exim imetangaza washindi wa droo ya pili  ya  kampeni  ya ‘Weka Mkwanja Tukutoe! ’inayoendeshwa na benki hiyo ikilenga kuhamasisha watanzania kujiwekea...

Biashara

NEEC yaitunuku GGML tuzo ya mwekezaji bora kwa Watanzania

BARAZA la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limeitunuku Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) tuzo maalumu ya mwekezaji bora anayeshirikisha kikamilifu...

Biashara

Constant cyber security upgrades keep customers secure

Over the past two years, Huawei has been regularly upgrading our cyber security methods. Cyberspace will be constantly under threat, and our enhancements...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yaendelea kutoa zawadi kwa washindi ‘Vuna zaidi na NBC shambani’,

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi zawadi mbalimbali ikiwemo baiskeli, pikipiki, guta na trekta kwa washindi wa droo ya sita ya   kampeni...

Biashara

Wali na samaki vyapewa hadhi ya urithi wa dunia

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), limekiongeza chakula cha taifa cha Senegal katika orodha ya hadhi ya urithi...

Biashara

NBC yamwaga vitanda 60 sekondari mkoani Kagera

Benki ya NBC imetoa msaada wa vitanda 60 kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Tunamkumbuka iliyopo wilayani  Bukoba mkoani Kagera...

Biashara

NBC yaja na mikopo ya matrekta, zana za kilimo kwa wakulima

KATIKA kuiwezesha sekta ya kilimo kupiga hatua nchini Benki ya Taifa ya Biashara imesaini mkataba na Kampuni ya usambazaji wa zana za kilimo...

Biashara

Benki ya Exim yakabidhi msaada wa madawati 100 kwa ajili ya Mkoa wa Mwanza

  Benki ya Exim Tanzania (Exim Bank) imekabidhi madawati 100 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20, kwa ajili ya kusaidia kuondoa...

Biashara

TIRA, BOT wavutiwa na huduma mpya ya bima Benki ya Exim

Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima Nchini (TIRA) pamoja na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zimeunga mkono ushirikiano unaoshuhudiwa hivi sasa baina...

Biashara

Licha ya uwepo wa corona, Benki Exim yatangaza faida

  BENKI ya Exim (Group) imetangaza kupata faida ya jumla ya Sh.25.3 bilioni (kabla ya kodi) kwa mwaka 2020, ikilinganishwa na hasara ya...

Biashara

Kaboyoka alipigia chapuo zao la tangawizi

MBUNGE wa Same Mashariki, Nagenjwa Kaboyoka (Chadema) ameitaka serikali kutoa kutangaza bei elekezi kwa wakulima wa tangawizi kutokana na wakulima wengi wa tangawizi...

error: Content is protected !!