Biashara
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imevutiwa na ushirikiano baina ya Benki ya NMB na Kamisheni ya Utalii Zanzibar (ZTC), ambao umekuwa chachu...
By Gabriel MushiMay 2, 2022KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeibuka mshindi wa jumla katika maonesho ya afya na usalama mahala pa kazi jijini Dodoma. Anaripoti...
By Gabriel MushiMay 2, 2022BENKI ya NMB nchini Tanzania ni miongoni mwa taasisi zilizoshiriki sherehe za Mei Mosi kitaifa jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu Sherehe hizo zimefanyika...
By Gabriel MushiMay 1, 2022BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) ambayo ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, (NBC Premiere League) jana tarehe...
By Gabriel MushiMay 1, 2022KATIKA kuunga mkono na kutimiza wajibu wake wa kulipa kodi na tozo mbalimbali kwa Serikali, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imelipa...
By Gabriel MushiApril 29, 2022AFISA Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna amesema benki hiyo imejipanga kuwainua wanawake kiuchumi na kutambua shughuli zao za uzalishaji mali...
By Gabriel MushiApril 28, 2022BENKI ya NMB nchini Tanzania, imeahidi kuendelea kushirikiana na Serikali kuhakikisha wakazi wa Mkoa wa Geita wanazidi kupata huduma bora hasa katika sekta...
By Gabriel MushiApril 26, 2022IKIWA ni muendelezo wa utaratibu wake wa kuandaa futari kwa ajili ya wateja na wadau wake katika mikoa mbalimbali nchini kipindi hiki cha...
By Gabriel MushiApril 24, 2022BENKI ya NMB nchini Tanzania inatarajia kutoa ufadhili kwa wanafunzi 200 ambapo wanafunzi 150 ni wa kidato cha tano na sita huku 50...
By Gabriel MushiApril 21, 2022KATIKA kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhan, Benki ya Exim Tanzania imefuturisha wateja wake visiwani Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hafla ya futari...
By Gabriel MushiApril 21, 2022BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni maalum kwa wakulima wa zao la Ufuta katika mkoa wa Lindi inayofahamika kama ‘Jaza Kibubu...
By Gabriel MushiApril 15, 2022WIZARA ya Kilimo na Benki ya NMB za nchini Tanzania, wameingia makubaliano ya kukuza sekta ya kilimo nchini humo ambapo benki hiyo imetenga...
By Gabriel MushiApril 13, 2022WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, Profesa Makame Mbarawa amezindua ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha Makutupora- Tabora kitakachogharimu Sh...
By Gabriel MushiApril 12, 2022KAMPUNI ya Airtel Tanzania inayomilikiwa kwa ubia kati ya Serikali na sekta binafsi imetoa gawio la Sh 143 bilioni kwa Serikali kama faida...
By Gabriel MushiApril 12, 2022SERIKALI ya Tanzania, imeanzisha mfumo wa ufuatiliaji bei za bidhaa, ambao utawawezesha wananchi kutoa taarifa pindi watakapoona mabadiliko ya bei ya bidhaa sokoni,...
By Gabriel MushiApril 11, 2022LICHA ya kuwepo kwa mfumuko wa bei za bidhaa duniani Serikali ya Tanzania imesema bei za bidhaa nchini mwake zipo chini ikilinganishwa na...
By Gabriel MushiApril 11, 2022WAZIRI wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji amesema asilimia 57 ya ngano inayoagizwa kutokanje inatoka Urusi na Ukrenia. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Gabriel MushiApril 11, 2022BENKI ya NMB nchini Tanzania, imefanya mapinduzi makubwa ya kibenki kwa kuzindua huduma kubwa tatu kupitia kampeni yake ya ‘Teleza Kidigitali.’ Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiApril 11, 2022WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itapunguza kodi ya sukari itakayoingizwa nchini kwa hadi asilimia 10 ili kupata unafuu...
By Gabriel MushiApril 11, 2022WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji amewataka wamiliki wa viwanda vya saruji na sukari kupunguza urasimu katika utoaji wa bidhaa hizo....
By Gabriel MushiApril 11, 2022KATIKA kuthibitisha uwajibikaji wao kwa jamii, Benki ya NMB nchini Tanzania imetoa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya zaidi ya Sh.8 milioni kwa...
By Gabriel MushiApril 9, 2022BENKI ya NBC imezindua Kampeni ya ‘Jaza Kibubu Tusepe’ itakayojikita kwenye utoaji wa elimu kwenye masuala ya kifedha itakayoambatana na zawadi mbalimbali...
By Gabriel MushiApril 6, 2022MJASIRIAMALI mkazi wa Same mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania, Ally Athuman Mnyone ameibuka na ushindi wa pikipiki ya miguu mitatu maalumu kwajili ya kubebea...
By Gabriel MushiApril 5, 2022JUMLA ya Sh78. 8 bilioni zimeshatolewa na Benki ya NMB nchini Tanzania kwa wakulima kati ya Sh.100 bilioni walizotengewa kwa ajili ya kukopeshwa...
By Gabriel MushiApril 4, 2022MBIO za Mwenge wa Uhuru Kitaifa zimezinduliwa Jumamosi ya tarehe 2 Aprili 2022 na Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango mkoani...
By Gabriel MushiApril 3, 2022MABADILIKO makubwa yaliyofanywa na Benki ya NMB nchini Tanzania yamewaibua wakulima kufungua milango ya kukimbilia mikopo ya benki hiyo ili kujiimarisha kiuchumi. Anaripoti...
By Gabriel MushiMarch 30, 2022BENKI ya NMB nchini Tanzania imezindua huduma maalumu ya kuweka na kutoa fedha kirahisi kupitia wakala watakao tumia simu zao za mkononi tu....
By Gabriel MushiMarch 30, 2022MIEZI mitatu ya Kampeni ya ‘NMB MastaBata – Kivyako Vyako,’ iliyoendeshwa na benki hiyo, imefikia tamati kwa washindi 30 kujinyakulia Sh.3 milioni kila...
By Gabriel MushiMarch 23, 2022Benki ya Exim Tanzania imekabidhi msaada wa madawati 100 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 mkoani Mbeya ikiwa ni mwendelezo wa...
By Gabriel MushiMarch 16, 2022BENKI ya NMB na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kupitia Wakala wa Serikali Mtandao ‘eGovernment Zanzibar’ wamesaini makubaliano ya ushirikiano, yatakayowezesha mifumo...
By Gabriel MushiMarch 16, 2022VIONGOZI na wanachama wa kikundi cha Vijana Waendesha Bajaji (Viwaba) eneo la Mbalizi, katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya mkoani hapa wameeleza namna...
By Gabriel MushiMarch 14, 2022WAZIRI wa Madini, Dk. Doto Biteko amesema sekta ya madini imevunja rekodi katika mauzo yake kwenye masoko mbalimbali, ambayo yamekua hadi kufikia thamani...
By Gabriel MushiMarch 10, 2022KUTOKANA na juhudi za uhifadhi wa mazingira, Wilaya ya Gairo kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) mwaka jana imefanikiwa kuvuna tani...
By Gabriel MushiMarch 9, 2022Benki ya Exim Tanzania leo tarehe 8 Machi, 2022 imeungana na dunia kwa ujumla katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani kwa kubainisha namna...
By Gabriel MushiMarch 8, 2022KAMPUNI ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) na Kampuni ya Teknolojia ya Huawei, wametia saini hati ya makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji utakaoziwezesha pande hizo...
By Gabriel MushiMarch 8, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameishukuru na kuipongeza Benki ya NMB kwa mchango unaoenda kufanikisha uboreshaji elimu kwa makundi maalum. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiMarch 7, 2022HOSPITALI ya Rufaa ya Amana na Shule tatu za msingi za Buguruni Kisiwani, Kivule na Airwing zilizoko Wilaya ya Ilala jijini Dar es...
By Gabriel MushiMarch 6, 2022KAMPENI ya NMB MastaBata inayoelekea ukingoni imebakiwa na zawadi ya Sh.100 milioni baada ya Sh.140 milioni kati ya Sh.240 milioni kunyakuliwa na washindi...
By Gabriel MushiMarch 3, 2022KAMPUNI ya uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) imetunukiwa tuzo ya kuwa kampuni bora inayoendesha shughuli za uchimbaji wa madini nchini kwa mwaka...
By Gabriel MushiMarch 2, 2022KATIKA kuunga mkono juhudi za wajasiriamali na kuhakikisha wanajikwamua kiuchumi na kujiongezea kipato, Halmashauri ya Morogoro imetoa mkopo wa Sh milioni 340 kwa ...
By Gabriel MushiFebruary 28, 2022KAMPUNI ya Uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) imetunukiwa tuzo ya Usalama ya Dunia ya 2021 kwa mwaka wa tatu mfululizo na kuifanya...
By Gabriel MushiFebruary 28, 2022KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu mkoani Geita (GGML) imetoa msaada wa Sh milioni 90 kudhamini Mkutano wa nne wa Uwekezaji wa...
By Gabriel MushiFebruary 23, 2022KUKAMILIKA kwa mradi wa kupeleka umeme kwenye Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kunatarajiwa kutaliwezesha Shirika la...
By Gabriel MushiFebruary 23, 2022BENKI ya Exim imekabidhi gari aina ya Toyota Vanguard kwa taasisi ya Work of Mary (Focolare Movement Tanzania) ya mkoani Iringa iliyoibuka mshindi...
By Gabriel MushiFebruary 15, 2022Kampuni ya Cosmos Properties ya jijini Dar es Salaam, ambayo ni mmiliki wa nyumba 50 katika jengo la Uhuru Heights iko matatani baada...
By Gabriel MushiJanuary 27, 2022BENKI ya Exim Tanzania imetangaza washindi wa promosheni yake inayojulikana kama “Weka Mkwanja tukutoe!” ambapo taasisi ya Work of Mary (Focolare Movement Tanzania)...
By Gabriel MushiJanuary 26, 2022MKUU wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule amesema mpango wa kuunganisha umeme wa gridi ya taifa kuelekea katika mgodi wa Geita Gold Mine...
By Gabriel MushiJanuary 14, 2022BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendesha droo yake ya mwisho ya kampeni ya ‘Vuna Zaidi na NBC Shambani’ huku ikijivunia kuhitimisha kampeni...
By Gabriel MushiJanuary 13, 2022