Monday , 20 May 2024
Home 2020

Year: 2020

Habari Mchanganyiko

Kigamboni, Mkuranga watangaziwa neema ya maji

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), Jenerali Davis Mwamunyage amesema, tatizo la...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo wajifungia kujadili ushirikiano na Rais Mwinyi

HATIMA ya Chama cha ACT-Wazalendo kushiriki katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK), baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020,...

Habari za Siasa

Majaliwa awapa neno wasio na ajira

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewashauri wananchi wasiokuwa na ajira kujikita katika masuala ya kilimo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Safari awasulubu Mdee, Spika Ndugai

PROFESA Abdallah Safari, Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, Halima Mdee, aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la...

Habari za Siasa

Z’bar na taswira ya kifo cha Mzee Bindu

MZEE Ameir Ameir bin Soud, Mzanzibari kindakindaki, mjuzi mkubwa wa historia ya Zanzibar inayohusisha nyanja ya siasa, utamaduni, kilimo na ustawi wa jamii...

Tangulizi

Utafiti rushwa ya ngono: Watumishi 68.6% wakiri

UTAFITI  wa rushwa ya ngono katika taasisi za elimu ya juu uliohusisha vyuo vikuu viwili vya  Dar es Salaam na Dodoma, umewasilishwa leo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Magazeti ya Mtanzania, Dimba, Rai yafungwa

KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD nchini Tanzania inayozalisha magazeti ya Dimba, Rai, Mtanzania na Bingwa imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kuanzia...

Habari za Siasa

Chadema yazungumzia rufaa ya Mdee na wenzake 18

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania kimesema, Halima Mdee na wenzake 18 bado hawajawasilisha rufaa zao za kupinga kufukuzwa uanachama wa...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro abadili bosi wa trafiki, apangua Ma-RPC

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa (RPC). Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Michezo

Simba yamkana Manara, kuchukua hatua

KLABU ya soka ya Simba imemkana Afisa habari wake, Haji Manara kufuatia kauli yake yakutotaka mashabiki wa timu pinzani kuja kwenye mchezo dhidi...

Habari za Siasa

Mdee, Bulaya wapata pigo jingine 

HALIMA James Mdee, aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),” amepata pigo jingine. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam  … (endelea)....

Kimataifa

UN yaiondoa bangi kwenye orodha ya dawa za kulevya

TUME ya Umoja wa Mataifa (UN) ya Dawa za Kulevya, imepiga kura ya kuidhinisha kuiondoa bangi katika orodha ya dawa za kulevya. Inaripoti...

Habari za Siasa

Maadhimisho Uhuru yaahirishwa, JPM atoa maagizo

RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameahirisha maadhimisho ya 59 ya sherehe za Uhuru wa Tanzania Bara zilizokuwa zifanyika tarehe 9 Desemba 2020. Anaripoti...

Habari za Siasa

Sabaya aagiza mabaraza ya ardhi kuvunjwa

MKUU wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ameagiza kuvunjwa kwa mabaraza ya ardhi kata za Kia na Mnadani wilayani...

Michezo

TFF yamjia juu Manara

SIKU moja tu kufuatia kauli ya Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara ya kutotaka mashabiki wa timu pinzani kuingia Uwanjani kwenye mchezo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Barua ya Lissu yatua Kisutu

TUNDU Lissu, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameiandikia barua Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam...

Michezo

Aliyekuwa kocha wa Yanga atua Azam

GEORGE Lwandamina, aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga nchini Tanzania kati ya mwaka 2016 hadi 2018, amewasili nchini humo kujiunga na Azam...

Makala & UchambuziTangulizi

Halima James Mdee: Kutoka U-kamanda hadi Yuda Iskarioti

HATIMAYE safari ya kisiasa ya aliyekuwa mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la taifa (BAWACHA), katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima James...

Michezo

Simba yasajili mbadala wa Fraga

KLABU ya Simba imefanikiwa kumsaini kiungo makabaji wa kimataifa kutoka nchini Uganda, Taddeo Lwanga ambaye amekuja kuziba pengo la Gerson Fraga ambaye amepata...

Michezo

‘Tik Tak’ kuimaliza Plateau mbele ya Simba

‘TIKI Taka mpaka kwa Mkapa,’ ndio kauli mbiu wanayoingia nayo klabu ya Simba kwenye mchezo wa marudiano wa klabu bingwa barani Afrika hatua...

Habari za Siasa

DPP akoleza moto ‘Mbowe anataka nimfunge?’

BISWALO Mganga, Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) amehoji, ‘Mbowe (Freeman Mbowe) anataka nimfunge?’ Anaripoti Mwandishi Wetu, Moshi … (endelea). Ametoa kauli hiyo...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yasaka maelezo Mtanzania ‘gaidi’ alivyojiua

SERIKALI ya Tanzania imeiandikia barua Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya kutaka maelezo namna Rashid Charles Mberesero, alivyojiua katika gereza la Kamiti....

Kimataifa

Donald Trump alidanganya kuhusu wizi wa kura Marekani

MWANASHERIA Mkuu wa Marekani, William Barr amesema, wizara ya sheria imechunguza madai ya udanganyifu katika uchaguzi wa 3 Novemba mwaka huu na kushindwa...

Kimataifa

Gari la Bobi Wine lashambuliwa kwa risasi

GARI la Robert Kyagulanyi ‘Bob Wine,’ mgombea urais nchini Uganda kupitia chama cha upinzani cha FDC, limeshambuliwa kwa risasi. Vinaripoti vyombo vya habari vya...

Habari Mchanganyiko

RC Dar aagiza usafi kila Jumamosi, Ma DC…

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Aboubakar Kunenge amewataka wakuu wa wilaya za jiji hilo (DC) kuhakikisha wanasimamia shughuli ya usafiri...

Habari za Siasa

Waziri Majaliwa: Vifo vinavyotokana na Ukimwi vimepungua

VIFO vitokanavyo na Virusi Vya Ukimwi (VVU), vimepungua kutokana na uimarishaji wa huduma za tiba ikiwemo matumizi ya dawa za kufubaza virusi vya...

Michezo

TFF yaja na Bonanza la Waandishi

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeandaa bonanza kwa ajili ya vyombo vya Habari litakalofanyika tarehe 6 Desemba 2020 kwenye viwanja vya...

Habari za Siasa

Mdee atoa sharti Chadema kutema ubunge

HALIMA Mdee, aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), amesema atatema ubunge wa viti maalum iwapo ‘watakubaliana.’ Anaripoti...

Habari za Siasa

Mdee asema Chadema imewainua wanawake, apata kwikwi kujibu maswali

HALIMA James Mdee na wenzake 18 wamepata kigugumizi kuweka wazi, mchakato uliofanyika kupatikana kwao hadi kwenda bungeni jijini Dodoma kuapishwa kuwa wabunge wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee: Hatuondoki Chadema ‘tunamheshimu Mbowe’

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima James Mdee amesema, yeye pamoja na wenzake 18 hawatoondoka ndani ya chama hicho...

Habari za Siasa

Majaliwa alivyomaliza mgogoro wa ardhi Kilosa

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemaliza mgogoro wa ardhi katika shamba la Chanzuru lenye ukubwa wa ekari 1,598 lililopo wilayani Kilosa, Mkoa...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai amvaa Mbowe, awabeba Mdee na wenzake

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema, Halima Mdee na wenzake 18 waliofukuzwa uanachama Chadema “wataendelea kuwa wabunge halali labda wao wenyewe...

Habari za Siasa

Spika Ndugai awaapisha Polepole, Riziki

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewaapisha Humphrey Polepole na Riziki Lulinda kuwa wabunge wa Bunge hilo. Anaripoti...

Kimataifa

Mtanzania gaidi aliyejiua, alikuwa mgojwa wa akili

RASHID Charles Mberesero, Mtanzania aliyehukumiwa kifungo cha maisha kutokana na kuhusika katika shambulio la kigaidi la Garisa, Kenya mwaka 2015, amejinyonga na kufariki...

Habari Mchanganyiko

Simanzi Simiyu

WATU watatu wavuvi katika Ziwa Victoria wilayani Busega, Simiyu wamefariki dunia baada ya mtumbwi wao kupasuka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Simiyu … (endelea). Taarifa...

Habari za Siasa

Matiko, Bulaya waitwa CCM

MLANGO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), umefunguliwa kwa Ester Matiko, Ester Bulaya, Halima Mdee na wengine waliofukuzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee ‘amliza’ Lissu

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadeama), ameeleza kuumizwa na uamuzi wa Halima Mdee, aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la...

Michezo

Simba yaipiga Plateau 1-0, yaisubiri Dar

TIMU ya Simba ya Dar es Salaam nchini Tanzania, imeanza vyema michuano ya Klabu Bingwa Afrika kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Plateau...

Habari za Siasa

Magufuli ateua wabunge 2

RAIS Tanzania, John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Novemba, 2020 amefanya uteuzi wa wabunge wawili wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....

Habari za Siasa

Bawacha wawananga Mdee na wenzake

BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) limesema, kuondoka kwa mwenyekiti wake, Halima Mdee na wenzake 18, hawatarudisha nyuma jitihada...

Habari za Siasa

Mdee, wenzake 18 kufunguka

SIKU moja baada ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kuwafukuza uanachama, Halima Mdee na wenzake 18 kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee na wenzake wafukuzwa Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimetangaza kuwafukuzwa uanachama wanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa tuhuma za usaliti. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

NEC yazungumzia uteuzi wa Mdee na wenzake

TUME ya taifa ya uchaguzi (NEC) imesema, majina ya wabunge wa viti maalum, kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), iliwasilishwa NEC na...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee na wenzake waingia mitini, Mbowe aongoza kikao

KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza kikao chake cha dharura, jijini Dar es Salaam, kujadili tuhuma za usaliti zinazowakabili...

Michezo

Fainali CAF, Al Ahly, Zamalek kumenyana leo

LEO tarehe 27 Novemba, 2020 ndio siku inayopigwa fainali ya klabu bingwa Afrika inayozikutanisha miamba ya soka nchini Misri, klabu ya Al Ahly...

Habari za SiasaTangulizi

Hatma Mdee na wenzake leo, wanachama wajitokea makao makuu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Ijumaa tarehe 27 Novemba 2020, kinafanya kikao maalum cha kamati kuu kuwajadili wanachama wake 19 wanaodaiwa...

Habari za Siasa

Askofu Bagonza awazungumzia Mdee na wenzake, aishauri Chadema 

SAKATA la wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwenda kinyume na msimamo wa chama hicho kwa kukubali uteuzi wa wabunge...

Habari Mchanganyiko

Halima Mdee, wenzake hawachomoki

HALIMA James Mdee, mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), “amenasa kwenye ndoana.” Hawezi tena kuchomoka. Anaripoti Mwandishi Maalum…(endelea)....

Michezo

Dube kupelekwa Afrika Kusini kwa matibabu

MSHAMBULIAJI wa Azam FC na timu ya Taifa ya Zimbabwe, Price Dube ataondoka nchini Jumapili ya tarehe 29 Novemba, 2020, kuelekea Afrika Kusini...

Habari za SiasaTangulizi

Bavicha yataka Mdee, wenzake wafukuzwe 

BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), limeishauri Kamati Kuu ya Chadema kuwafukuza uanachama, wanachama 19 waliokwenda kinyume na msimamo...

error: Content is protected !!