Categorizing posts based on type of post
RAIS John Magufuli amemshukuru Dk. Ali Shein, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), anayemaliza muda wake kwa ushirikiano aliompa katika utekelezaji wa...
By Mwandishi WetuJune 16, 2020RAIS John Magufuli na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ‘amerusha dongo’ kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akisema, ‘kukimbia changamoto ni...
By Mwandishi WetuJune 16, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 utafanyika kwa amani, huru na haki huku akionya yeyote atakayethubutu kuuvuruga...
By Mwandishi WetuJune 16, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameagiza shule zote nchini humo zifunguliwe tarehe 29 Juni 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea), Rais...
By Mwandishi WetuJune 16, 2020JUMLA ya watumishi 32,555 wamechukuliwa hatua mbalimbali za kinidhamu ikiwemo kufukuzwa kazi, kushushwa vyeo na kushushwa mishahara katika serikali inayoongozwa na Rais John...
By Mwandishi WetuJune 16, 2020MIONGONI mwa mambo ambayo Rais John Magufuli anayojivunia katika uongozi wake wa miaka mitano, ni amani visiwani Zanzibar. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....
By Faki SosiJune 16, 2020TANZANIA imetajwa kuwa nchi ya kwanza kwa utulivu na amani katika Ukanda wa Afrika Mashariki, pia imeshika nafasi ya saba katika nchi zilizo...
By Mwandishi WetuJune 16, 2020RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesaini miswada sita iliyopitishwa na Bunge la 11. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Miswada hiyo ni Muswada wa...
By Regina MkondeJune 16, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli leo Jumanne tarehe 16 Juni 2020 analihutubia Bunge la 11 na kulivunja jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea),...
By Mwandishi WetuJune 16, 2020SAFARI ya Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoanza siku 1670 zilizopita inahitimishwa leo Jumanne tarehe 16 Juni 2020. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 16, 2020FREEMAN Mbowe, amejitosa katika kinyang’anyiro cha kutia nia kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema)....
By Mwandishi WetuJune 15, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli katika kipindi cha miaka mitano...
By Mwandishi WetuJune 15, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema idadi ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura imeongezeka ambapo wapiga kura halali kwa mwaka 2020 ni 29,804,992 ikilinganishwa...
By Mwandishi WetuJune 15, 2020BUNGE la Tanzania, limepitisha mabadiliko makubwa ya kanuni zake ambazo zitaanza kutumika katika Bunge la 12 ikiwemo kubadili jina la Kambi Rasmi ya...
By Mwandishi WetuJune 15, 2020WABUNGE watatu wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wametangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuJune 15, 2020REHEMA Migira, Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Wananchi (CUF), amekimbilia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora…(endelea). Akitangaza kwenye sherehe ndogo...
By Mwandishi WetuJune 15, 2020FAMILI ya Sheikh Abeid Aman Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar, inataka kurejea Ikulu ya Zanzibar. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....
By Regina MkondeJune 15, 2020SELEMAN Bungara maarufu ‘Bwege,’ Mbunge wa Kilwa Kusini kupitia Chama cha Wananchi (CUF) amesema, kuanzia kesho Jumanne Juni 16 2020 baada ya Bunge...
By Faki SosiJune 15, 2020MBWANA Bakari Juma amefungua pazia la uchukuaji wa fomu za kuomba kupitishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi...
By Mwandishi WetuJune 15, 2020BUNGE la Tanzania, limepitisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2020/21 ya Sh.34.87 trilioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Bajeti hiyo iliwasilishwa bungeni...
By Mwandishi WetuJune 15, 2020SERIKALI ya Tanzania imepingana na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, kuhusu kufeli kwa hatua za Mpango wa Pili wa Taifa wa Maendeleo wa...
By Regina MkondeJune 15, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali itaendelea kuchukua hatua kali kwa watu wote watakaothibitika kufanya vitendo vya kuwakatisha watoto wa kike ndoto...
By Mwandishi WetuJune 15, 2020LAZARO Nyalandu, ametangaza kutia nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) huku akibainisha vipaumbele 26...
By Hamisi MgutaJune 14, 2020KIONGOZI wa chama cha siasa cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amekosoa Bajeti kuu ya serikali na kusema, kila bajeti inapaswa kutafsiri maono,...
By Faki SosiJune 14, 2020MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini ametangaza nia ya kuwania urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), na kwamba ana dhamira...
By Hamisi MgutaJune 14, 2020FREEMAN Mbowe, Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni nchini Tanzania, ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Aga Khani jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa...
By Mwandishi WetuJune 13, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limepinga taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu matokeo ya awali ya uchunguzi wa tukio la Freeman Mbowe,...
By Mwandishi WetuJune 13, 2020SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema atagombea tena jimbo hilo kupitia chama hicho, katika Uchaguzi Mkuu...
By Mwandishi WetuJune 13, 2020WADAU katika Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, wamezungumzia miaka mitano ya utumishi wa Saed Kubenea, mbunge wa jimbo hilo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 13, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amezungumza kwa njia ya simu na Rais Mteule wa Jamhuri ya Burundi, Evariste Ndayishimiye na kumpongeza kwa...
By Mwandishi WetuJune 13, 2020CHAMA cha Demokrasia na Mwendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimepewa mbinu za ushindi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge, Madiwani na Rais Oktoba 2020. Anaripoti...
By Regina MkondeJune 13, 2020MWANAZUONI Dk. Azaveli Lwaitama amesema, Taifa linapita katika kipindi kigumu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, kutokana na wananchi wengi kukata tamaa ya...
By Regina MkondeJune 13, 2020OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, imekitaka Chama cha ACT-Wazalendo, kutoa maelezo ya ufafanuzi kuhusu mazungumzo yake na Ubalozi wa...
By Regina MkondeJune 13, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya India, Narendra Modi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJune 12, 2020JESHI la Polisi Tanzania, limetoa taarifa za uchunguzi wa awali wa tukio linalodaiwa kushambuliwa kwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
By Mwandishi WetuJune 12, 2020BAADHI ya wabunge kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameingia hofu ya kutorudi bungeni, kutokana na muundo wa mchakato wa kuteuliwa ndani ya chama...
By Regina MkondeJune 12, 2020CHAMA CHA Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya mchakato wa kupata wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 12, 2020ALIYEKUWA mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, ameanza kupata upinzani mkali katika mbio zake za kutaka kuwania urais, kupitia Chama cha Demokrasia...
By Mwandishi WetuJune 12, 2020ALBERT Obama, Mbunge wa Buhigwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kigoma, amemjibu Dk. Phillip Mpango, Waziri wa Fedha, kufuatia kauli yake...
By Regina MkondeJune 12, 2020HALIMA Mdee, Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Fedha na Mipango, amemvaa Dk. Phillip Mpango, Waziri wa wizara...
By Masalu ErastoJune 12, 2020KAMATI ya Bunge ya Bajeti imeishauri Serikali ya Tanzania kuacha utaratibu wa sasa wa ukusanyaji wa mapato yote yanayotokana na shughuli za utalii...
By Mwandishi WetuJune 12, 2020GOODLUCK Mlinga, Mbunge wa Ulanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), amezichongea halmashauri bungeni, kwamba zina tatizo kubwa la matumizi mabaya na ubadhirifu wa...
By Mwandishi WetuJune 12, 2020WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango ametangaza ‘kiaina’ kuwania Ubunge wa Buhigwe mkoani Kigoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi...
By Mwandishi WetuJune 12, 2020FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yuko chini ya uangalizi wa kawaida kwa siku tatu katika Hospitali ya Aga...
By Mwandishi WetuJune 11, 2020SERIKALI ya Tanzania imependekeza mfumo wa ukusanyaji wa mapato yanayotokana na sekta ya utalii na mazao ya misitu nchini humo kufanywa na Mamlaka...
By Mwandishi WetuJune 11, 2020SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya Sh. 34.88 trilioni, katika Mwaka wa Fedha 2020/21. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...
By Mwandishi WetuJune 11, 2020SERIKALI ya Tanzania imependekeza kufuta au kupunguza ada na tozo 60 zinazotozwa na wizara, idara na taasisi zinazojitegemea ili kuondoa kero na urasimu...
By Mwandishi WetuJune 11, 2020NCHI zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zimependekeza viwango vipya na kuondoa tozo za ushuru wa pamoja wa forodha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Hayo...
By Mwandishi WetuJune 11, 2020SERIKALI ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Magufuli, imejigamba kutekeleza miradi mikubwa tangu iliopanza kuwatumikia wananchi mwaka 2015. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 11, 2020WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango amewasilisha Bungeni Bajeti ya Serikali ya Tanzania ya mwaka 2020/21 ya Sh. 34.87 Trilioni. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 11, 2020