MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima James Mdee amesema, yeye pamoja na wenzake 18 hawatoondoka ndani ya chama hicho...
By Hamisi MgutaDecember 1, 2020SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema, Halima Mdee na wenzake 18 waliofukuzwa uanachama Chadema “wataendelea kuwa wabunge halali labda wao wenyewe...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2020TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadeama), ameeleza kuumizwa na uamuzi wa Halima Mdee, aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimetangaza kuwafukuzwa uanachama wanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa tuhuma za usaliti. Anaripoti Hamis...
By Hamisi MgutaNovember 27, 2020KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza kikao chake cha dharura, jijini Dar es Salaam, kujadili tuhuma za usaliti zinazowakabili...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Ijumaa tarehe 27 Novemba 2020, kinafanya kikao maalum cha kamati kuu kuwajadili wanachama wake 19 wanaodaiwa...
By Regina MkondeNovember 27, 2020BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), limeishauri Kamati Kuu ya Chadema kuwafukuza uanachama, wanachama 19 waliokwenda kinyume na msimamo...
By Mwandishi WetuNovember 26, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewaita wabunge wake 19 wa viti maalumu kujieleza kwa nini walikiuka maagizo ya chama hicho kutokubali uteuzi...
By Regina MkondeNovember 25, 2020SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewapisha wabunge 19 wa viti maalum kupitia Chama cha Demokraisa (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2020BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) Jumamosi tarehe 21 Novemba 2020, limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2020MAALIM Seif Shariff Hamad, aliyekuwa mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia Chama cha ACT – Wazalendo, amesema ‘chama hakijaamua’ kuingia kwenye Serikali ya Umoja...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2020INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amewataka wanasiasa waliokimbia nje ya nchi kwa madai ya kutishiwa usalama wa maisha yao...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2020KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Visiwani Zanzibar, Zawadi Salehe Makame, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kwa mujibu wa...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2020DHAHIR Kidavashari (56), Aliyekuwa kaimu Kamishna wa fedha na lojistiki wa Jeshi la Polisi Tanzania amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 17...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, mtu atakayerithi mikoba yake baada kutoka madarakani mwaka 2025, hatakuwa na umri mkubwa zaidi yake. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2020ALIYEKUWA mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020, amemshauri...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, lengo la demokrasia sio kusababisha vurugu na kwamba, hakuna demokrasia isiyo na mipaka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuNovember 13, 2020RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua, Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo kwa kipindi cha miaka...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2020KIONGOZI wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Antipas Lissu, amewasili salama jijini Brussel, nchini Ubelgiji leo asubuhi ya Jumatano tarehe 11 Novemba 202. Anaripoti...
By Saed KubeneaNovember 11, 2020TUNDU Antipas Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania, katika uchaguzi mkuu uliyopita, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameondoka nchini kwenda Ubeljiji....
By Hamisi MgutaNovember 10, 2020JOB Ndugai, mgombea Uspika wa Bunge la 12 la Tanzania amesema, ofisi ya Bunge itatoka haki sawa kwa wabunge wote ikiwemo wa upinzani...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2020MAMLAKA nchini Kenya, zimemwachia huru, Godbless Lema, aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chadema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Lema...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2020MKUU wa Wilaya ya Longido (DC), Mkoa wa Arusha, Frank Mwaisumbe, ametoa sababu zilizomfanya Lazaro Nyalandu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
By Faki SosiNovember 9, 2020SHIRIKA la kimataifa la kupigania haki za binadamu (Amnest Internatioanal), limeitaka Mamlaka ya Kenya kutofikiria kumrejesha kwa nguvu nchini Godbless Lema, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kupitia...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2020ALIYEKUWA mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), nchini Tanzania, Godbless Lema amekimbilia nchini Kenya, ili kuomba hifadhi ya kisiasa, katika ubalozi wa Marekani, jijini...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2020CHAMA cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kiko njiapanda juu ya kuamua kupendekeza majina ya wabunge wa viti maalum kwa Tume ya...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2020ALIYEKUWA mgombea urais wa Chadema, katika uchaguzi mkuu uliyopita nchini Tanzania, Tundu Antipas Lissu, amekimbilia nyumbani kwa balozi wa Ujerumani, jijini Dar es...
By Regina MkondeNovember 6, 2020CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, ACT-Wazalendo kimesema, kitafanya vikao kwa ajili ya kujadili kama kitashiriki katika uundwaji wa Serikali ya Umoja...
By Regina MkondeNovember 6, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameanza kuunda Serikali atakayoiongoza kwa miaka mitano ijayo 2020-2025 kwa kumteua Profesa Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa...
By Kelvin MwaipunguNovember 5, 2020JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma, amemwapisha Dk. John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania atakayeongoza Taifa hilo kwa kipindi cha...
By Regina MkondeNovember 5, 2020DONALD Trump, Rais wa Marekani amesema, uchaguzi mkuu nchini humo uliofanyika jana Jumanne tarehe 3 Novemba 2020 umekubwa na udanganyifu na kupanga kwenda...
By Hamisi MgutaNovember 4, 2020MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na wenzao wameachiwa kwa dhamana na Jeshi la...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2020JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limepeleka jalada la kesi inayomkabili Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2020ALLY Mohamed Keissy, aliyekuwa mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania amesema, kilichomfanya akashindwa kutetea nafasi hiyo ni hujuma...
By Hamisi MgutaNovember 3, 2020TUNDU Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, ameachiwa na Jeshi la Polisi nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Lissu alikamatwa...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2020JESHI la Polisi Tanzania limemkamata Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa nchi hiyo kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumatano ya 28 Oktoba...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2020POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salamaa nchini Tanzania, inawashikilia viongozi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo Mwenyekiti wake, Freeman...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemkabidhi cheti cha ushindi Rais mteule wa Tanzania, John Pombe Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT-Wazalendo vimeomba kuitishwa upya Uchaguzi Mkuu wa Urais, wabunge, wawakilishi na madiwani, kwa maelezo kwamba havikubaliani...
By Regina MkondeOctober 31, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Rais mteule wa Tanzania baada ya kupata...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2020USHINDI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika ngazi ya ubunge katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumatano ya tarehe 28 Oktoba 2020, umetajwa kwenda kuathiri...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kimeendelea kutangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge na Urais uliofanyika jana Jumatano tarehe...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2020TUNDU Antiphas Mughwai Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema amesema, hakubaliani na chochote kinachoendelea kuhusu Uchaguzi Mkuu uliofanyika jana Jumatano tarehe 28...
By Regina MkondeOctober 29, 2020MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe anaongoza orodha ya wabunge wa chama hicho kushindwa kutetea ubunge wao katika majimbo...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2020WAGOMBEA wa vyama vya upinzani katika Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania unaofanyika leo Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 wamelalamikia dosari zinazojitokeza kwenye uchaguzi huo....
By Mwandishi WetuOctober 28, 2020WATANZANIA milioni 29.8 waliojiandikisha katika daftari la kudumumla wapiga kura wanaendelea na shughuli ya upigaji kura kuwachagua madiwani, wabunge na Rais kwenye Uchaguzi...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2020MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewaomba wanachama wa chama hicho, kuwalinda mawalaka wao ili kutimiza...
By Regina MkondeOctober 27, 2020KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda amesema, Watanzania wanapaswa kuamua kati ya Tundu Lissu wa Chadema na...
By Regina MkondeOctober 27, 2020MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad inadaiwa amekamatwa na Jeshi la Polisi katika Kituo cha kupigia kura cha Garagara...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2020MGOMBEA Ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema anatarajia kushinda uchaguzi wa jimbo hilo kwa wastani wa asilimia 52.8 hadi 58.2. Anaripoti...
By Regina MkondeOctober 26, 2020