MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
KAMATI ya Maadili ya Kitaifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetengua uamuzi wa kamati ya maadili Jimbo la Kinondoni...
By Kelvin MwaipunguOctober 24, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema amesema, wamefanya utafiti wa kuangalia mwitikio wa wananchi kwenye mikutano yao, upigaji kura na kubaini...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2020MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, ameeleza namna Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe alivyomtesa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro …...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imeongeza siku mbili zaidi za kuapisha mawakala wa vyama vya siasa watakaosimamia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2020BERNARD Kamilius Membe, mgombea urais Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, ni miongoni mwa wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya chama hicho, waliobariki kumuunga...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2020MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ameweka bayana msimamo wake wa kumuunga mkono Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2020BERNARD Kamilius Membe amesema, yeye bado ni mgombea halali wa urais kupitia ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2020JIMBO la Monduli, Arusha lililokuwa likiongozwa na Edward Lowassa, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mwaka 2015, linatarajia kuwa na...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2020SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini, amempigia kampeni Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2020ZITTO Zuberi Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo, ametangaza kumpigia kura Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania haipaswi kufanya mambo makuu manne wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2020KAMATI ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imemfungia siku tano kutofanya kampeni, Maalim Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kuanzia...
By Mwandishi WetuOctober 15, 2020MAALIM Seif Sharif Hamadi, mgombea urais visiwani Zanzibar amesema, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) inataka kumfungia kama Tundu Lissu, mgombea urais Tanzania kupitia...
By Mwandishi WetuOctober 15, 2020MAALIM Seif Shariff Hamad, mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema safari hii vijana wapo tayari. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). “Tunapambana na...
By Mwandishi WetuOctober 15, 2020ASKOFU Josephat Gwajima, mgombea ubunge wa Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesifu miradi iliyotekelezwa jimboni humo kwa mwaka 2015 – 2020. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2020MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema, Rais John Pombe Magufuli amebakisha siku 14 kubaki Ikulu, kwa kuwa...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2020MSAFARA wa Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema umelazimika kutumia mtubwi kutoka Kisorya mkoani Mara kwenda Ukerewe Mkoa wa Mwanza. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2020MSAFARA wa mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu umepigwa mawe na watu wasiojulikana Chato mkoani wa...
By Mwandishi MaalumOctober 14, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imesema, zabuni ya kumpata mchapishaji wa karatasi za kupigia kura ilitangaza kwa mujibu wa Sheria...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2020MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, ameshindwa kumnadi kwa jina Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imeweka masharti ya matumizi ya simu katika vituo vya kuhesabu, kupigia na kujumulishia kura katika...
By Regina MkondeOctober 11, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetakiwa kuweka wazi mambo mbalimbali yahusuyo Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020 ikiwemo kampuni...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufulki ameagiza kampuni iliyopewa zabuni ya kujenga Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani Mbezi-Luis jijini Dar es Salaam,...
By Regina MkondeOctober 8, 2020TUNDU Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kuliboresha Jiji la Dar es Salaam, endapo atashinda Uchaguzi...
By Mwandishi WetuOctober 7, 2020RAIS John Magufuli amempa pole Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe aliyepata ajali ya gari jana tarehe 6 Oktoba 2020. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeOctober 7, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema, kitambadilishia majukumu Tundu Lissu, Mgombea wake wa Urais wa Tanzania wakati akiitumikia adhabu ya kutofanya kampeni...
By Regina MkondeOctober 5, 2020MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanizbar kupitia ACT-Wazalendo amesema, ana matumaini Tundu Lissu ataibuka mshindi wa urais wa Tanzania kupitia Chadema...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemsimamisha Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chadema kufanya kampeni kwa siku saba kuanzia kesho Jumamosi hadi 9...
By Hamisi MgutaOctober 2, 2020HATUA ya Jeshi la Polisi kufuta wito uliomtaka Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kujipeleka katika...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2020LICHA ya Dk. John Magufuli, mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM na Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chadema kutawala siasa ngazi ya urais,...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kupuuza kauli iliyotolewa na Dk. Wilson Mahera, Mkurugenzi wa...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2020WAGOMBEA Ubunge Arusha Mjini, Mrisho Gambo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Godbless Lema wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamekutana katika...
By Kelvin MwaipunguSeptember 29, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokraisa na Maendeleo (Chadema) amesema, kesho Jumanne tarehe 29 Septemba 2020 hatokwenda mbele ya...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2020DAKTARI Wilson Mahera, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, ameonesha kukasirishwa na kile alichoita wanasiasa kudanganya na kutoa...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2020SAED Kubenea, mgombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni, jijini Dar es Salaam mesema miongoni mwa mambo ambayo atayasimamaia hadi kufanikiwa kwake ni suala...
By Regina MkondeSeptember 27, 2020FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema amesema, mwitikio wa wananchi katika mikutano ya kampeni za Mgombea Urais wa...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2020TUNDU Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, chama...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imebainisha mambo mbalimbali ambayo hayapaswi kufanywa na vyama vya siasa na wagombea katika kipindi cha...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2020USHIRIKIANO kati ya Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania Bara kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Bernard Membe wa Chama cha...
By Regina MkondeSeptember 23, 2020KAULI aliyoitoa Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo leo tarehe 22 Septemba 2020, imemaliza utata kwamba, chama hicho hakina jinsi ispokuwa kuungana...
By Faki SosiSeptember 22, 2020CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetangaza kumuunga mkono Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020....
By Masalu ErastoSeptember 22, 2020FATMA Karume, mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu nchini, amefukuzwa katika Kampuni ya Uanasheria ya IMMMA aliyoshiriki kuianzisha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewaacha njia panda wanachama wa chama hicho Jimbo la Kigoma Mjini. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2020TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imewaengua wagombea 15 wa uwakilishi na saba wa udiwani, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kukiuka masharti ya ujazaji...
By Regina MkondeSeptember 19, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa mchanganuo wa rufaa 616 za Ubunge, Udiwani na malalamiko jinsi walivyozishughulikia huku wagombea ubunge...
By Mwandishi WetuSeptember 18, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imebainisha mambo matatu yasiyopaswa kufanywa na Serikali wakati wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28...
By Mwandishi WetuSeptember 17, 2020BERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, mazingira magumu ya siasa kwa sasa, yamesababisha marafiki na wafanyabiashara kushindwa kuwasaidia. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 15, 2020NI jino kwa jino, ndivyo unavyoweza kusema baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo kwa pamoja kupiga yole...
By Mwandishi WetuSeptember 15, 2020SALIM Abdullah Turky (57), mbunge anayemaliza muda wake katika jimbo la Mpendae, Unguja, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Mwandishi WetuSeptember 15, 2020