MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
BONIFACE Amani Gichina, Mchungaji wa Kanisa la Living Faith Church maarufu Winners’ Chapel International, nchini Kenya amefungwa jela miaka 140 kwa kuwapa mimba...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2021MTANDAO wa kijamii wa Facebook umefungia akaundi zinazoshabikia Chama Tawala cha Uganda, NRM kinachoongozwa na rais wa nchi hiyo, Yoweri Museveni. Inaripoti mitandao...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2021TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imefanya mabadiliko ya uongozi, sambamba na kuanzisha huduma inayotembea (Mobile PCCB), kwa ajili ya...
By Regina MkondeJanuary 13, 2021WAZIRI wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Geofrey Mwambe amesema, kupanda kwa bei ya mafuta ya kula, kumesababishwa na mfumuko wa bei ya...
By Regina MkondeJanuary 12, 2021RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, amewaomba Wazanzibar kushirikiana na Serikali yake kufanya mageuzi ya kiuchumi, ili kuyaenzi mapinduzi matukufu ya tarehe 12 Januari...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2021RAIS mstaafu wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, ameanza kujiandikia kitabu kitakachoeleza historia ya maisha yake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...
By Regina MkondeJanuary 12, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema Wilaya ya Chato iliyoko mkoani Geita, ilianza kujengwa na Baba wa Taifa, Hayati Julius Nyerere. Anaripoti Mwandishi...
By Hamisi MgutaJanuary 11, 2021MARAIS John Magufuli wa Tanzania na Filipe Nyusi wa Msumbiji, wametoa maagizo kwa watendaji wanaosimamia ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2021MAALIM Seif Sharif Hamad, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, amewataka watumishi wa ofisi yake, wanakuwa nadhifu kuanzia mavazi mpaka maeneo yao...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2021NDEGE ya Kampuni ya Sriwijaya Air, aina ya Boeing 737 imepoteza mawasiliano na haijulikani ilipo. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Taarifa zinaeleza, ndege hiyo...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2021DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekinzana na kauli aliyoitoa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
By Mwandishi WetuJanuary 9, 2021KWA mujibu wa taasisi ya Bloomberg Billionaires Index na Forbes Real Time Billionaires, Elon Musk ambaye ni Mmiliki wa Kampuni ya Tesla na...
By Mwandishi WetuJanuary 8, 2021UAMUZI wa Chama cha ACT-Wazalendo kushiriki katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani Zanzibar (SUK), unaonekana kuwa wa busara. Anaandika Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 8, 2021DK. Aman Abeid Karume, rais mstaafu wa Zanzibar amesema, kukosekana kwa wawakilishi wa vyama vya upinzani bungeni na Baraza la Wawakilishi, kunachochea Serikali...
By Masalu ErastoJanuary 8, 2021MAALIM Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ameeleza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ajira ikiwa ni hatua za kutibu ubaguzi...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2021RAIS mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, amesifu hatua ya Maalim Seif Sharif Hamad, kukubali kujiunga katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani...
By Masalu ErastoJanuary 7, 2021BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya FC Platinum kwenye mchezo wa raundi ya kwanza ya Kombe la Ligi ya...
By Kelvin MwaipunguJanuary 6, 2021FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewataka Watanzania waliosimama na upinzani katika uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2020, wasiogope. Anaripoti Mwamdishi...
By Hamisi MgutaJanuary 5, 2021HATUA ya Bernard Membe, aliyekuwa mshauri mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, kukitelekeza chama hicho, imekera viongozi wake. Anaripoti Brigthness Boaz, Dar es Salaam...
By Masalu ErastoJanuary 4, 2021WATU watatu, wamefariki dunia na wengine 66, kujeruhiwa katika ajali ya treni iliotokea jana Jumamosi jioni tarehe 02 Januari 2021, maeneo ya Kigwe...
By Danson KaijageJanuary 3, 2021ALIYEKUWA mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe ametangaza rasmi kujiuzulu uanachama na na nafasi ya mshauri mkuu wa chama hicho....
By Mwandishi WetuJanuary 1, 2021MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imeweka historia ya makusanyo ya mapato kwa Desemba 2020, kwa kukusanya Sh.2.088 trilioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuJanuary 1, 2021WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene amepiga marufuku, makongamano ya dini au mikutano ya mikesha inayofanyikia viwanja vya wazi usiku...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, imerejesha vifaa ghafi vya umeme vya zaidi ya Sh.1.2 bilioni kwa Shirika la...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2020RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi amesema, katika kipindi kifupi alichokaa madarakani, amebaini ubadhirifu wa fedha za umma katika taasisi za Serikali. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amekagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigongo – Busisi, lililopo jijini Mwanza, litakalokuwa na urefu wa 3.2...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2020HATUA ya Halima James Mdee na wenzake 18, kushitaki Kamati Kuu (CC) ya (Chadema, mbele ya Baraza Kuu la taifa (BKT), yaweza kuwa...
By Kelvin MwaipunguDecember 28, 2020WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum Bandari za Dar es Salaam, Mwanza,...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeshinda Tuzo ya Watu, Taasisi na Chapa, zinazoongoza mtandaoni (Tanzania Digital Awards), kwenye kipengele cha chama bora cha...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2020ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza, amani hailetwi kwa majeshi, itikadi yoyote...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020TUNDU Antipas Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu uliyopita, bado yuko kwenye makazi yake nchini Ubelgiji na anasema, “mapambano yanaendelea.”...
By Hamisi MgutaDecember 22, 2020PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kufuta mfumo wa vyama vingi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2020HAUKUWA mwaka mzuri kwa baadhi ya wanasiasa nchini Tanzania na ulimwenguni kwa ujumla, kufuatia wanasiasa na watu wengine mashuhuri, kufariki dunia. Anaripoti Saed...
By Saed KubeneaDecember 19, 2020ORODHA ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza Tanzania Bara kwa mwaka 2021 yametangazwa. Anaripoti Mwaindishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuDecember 18, 2020BUNGE la Seneti nchini Kenya, limepiga kura kumuondoa malakani aliyekuwa Gavana wa Nairobi, Mike Mubuvi Sonko, kufutia kupatikana na matumizi mabaya ya ofisi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2020PHILIP Japhet Mangula, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), alichungulia kaburi katika mwaka huu wa 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....
By Hamisi MgutaDecember 17, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema, wanafunzi 759,706 sawa na asilimia 91.1 ya wanafunzi waliofaulu mtihani wa darasa la saba 2020, wamechaguliwa kujiunga na masomo ya...
By Mwandishi WetuDecember 17, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kagera, inawashikilia wanafunzi 38 wa Chuo cha Ufundi (VETA) Wilaya ya Bukoba mkoani...
By Regina MkondeDecember 16, 2020SAFARI ya kuhitimisha siku 365 za mwaka 2020 inaelekea ukingoni huku ikiwa imeshuhudia machozi na damu kwa wanasiasa hususan wa upinzani, wanaharakati pamoja...
By Faki SosiDecember 15, 2020MADIWANI wa Chama cha ACT-Wazalendo, wameanza kuapishwa leo Jumatatu tarehe 14 Desemba 2020 huku wabunge wateule wakiwa kwenye maandalizi ya kuelekea Dodoma kwa...
By Faki SosiDecember 14, 2020ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera amesema, “mimi niko salama, naendelea na majukumu yangu kama...
By Mwandishi WetuDecember 12, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewaomba Watanzania kumwombea Mbunge wa Kilwa Kaskazini Mkoa wa Lindi, Francis Ndulane aliyeshindwa kuapa kuwa Naibu Waziri...
By Mwandishi WetuDecember 11, 2020MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seiff Sharif Hamad, hana mamlaka ya “kutumbua, kuteua; na au kushika kiti cha urais, ikiwa...
By Masalu ErastoDecember 11, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeshangazwa na kauli ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuwa hana mamlaka ya kuwafukuza bungeni, Halima Mdee...
By Mwandishi WetuDecember 10, 2020ALIYEKUWA Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amepata hifadhi ya ukimbizi ya kisiasa nchini Canada. Anaripoti Mwandishi Wetu, Nairobi … (endelea). Lema...
By Mwandishi WetuDecember 10, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewaapisha mawaziri na manaibu waziri aliowateua tarehe 5 Desemba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Uapisho...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2020JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwenda Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) au mahakamani,...
By Masalu ErastoDecember 8, 2020HATIMAYE Maalim Seif Hamad, mwenyekiti wa Chama cha ACT- Wazalendo, amekubali yaishe. Ameapishwa kuwa Makamo wa Rais wa Kwanza, katika serikali ya Umoja...
By Regina MkondeDecember 8, 2020RAIS wa Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi leo Jumanne tarehe 8 Desemba 2020, atamwapisha Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2020CHAMA cha ACT – Wazalendo, kimekubali kuungana na Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), visiwani Zanzibar. Anaripoti...
By Hamisi MgutaDecember 6, 2020