MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imemteua Maalim Seif Sharif Hamad kuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika 27 na...
By Mwandishi WetuSeptember 11, 2020MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha nchini Tanzania, imemwachia kwa dhamana mgombea ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Ahmed Kubenea. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha...
By Mwandishi WetuSeptember 11, 2020TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imeshindwa kumteua Maalim Seif Sharif Hamad kugombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo baada ya kuwekewa pingamizi....
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imewarejesha wagombea ubunge 19 baada ya kuzifanyia kazi rufaa 22. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2020HELKOPTA (chopa) iliyotarajiwa kumbeba Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuelekea Bagamoyo mkoani Pwani, imegomewa kuruka. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeSeptember 10, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kukerwa na fikra za ‘ubeberu’ zinazopandwa kwake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Hamisi MgutaSeptember 9, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imechambua rufaa zingine 34 za ubunge kati ya hizo, 13 imewarejesha kugombea ubunge, 21 imezikataa....
By Mwandishi WetuSeptember 9, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzani, imeweka wazi rufaa 55 zilizowasilishwa na wagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28...
By Mwandishi WetuSeptember 9, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzani, imekubali rufaa 15 kati ya 55 za wagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe...
By Mwandishi WetuSeptember 8, 2020KAULI kwamba ‘tutashirikiana’ kati ya Chama cha ACT-Wazalendo na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza kudhihiri kwa vitendo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Unguja...
By Mwandishi WetuSeptember 8, 2020JUMLA ya wagombea 62 wa Chama cha ACT-Wazalendo, wameng’olewa kwenye kinyang’anyoro cha ubunge Tanzania Bara na visiwani Zanzibar. Anaripoti Faki Sosi, Dar es...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2020KANISA Katoliki nchini Tanzania, limevitaka vyombo vyote vinavyosimamia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kutenda haki ili kutoivuruga amani iliyopo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2020JOHN Mnyika, Katibu Mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwarejesha wagombea wao wa...
By Danson KaijageSeptember 5, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kwamba, utawala wa awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli,...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2020JOHN Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kukerwa na kauli kwamba ‘wapinzani waongo, matapeli.’ Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora…(endelea)....
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2020DAKTARI John Magufuli, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema anataka kukaa Ikulu kwa miaka 10 kama Rais Mstaafu, Jakaya...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2020TUNDU Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemtaka...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2020BERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, ameweka hadharani mambo manne yaliyosababisha kufukuzwa Chama Cha Mapindu (CCM). Anaripoti Faki Sosi, Lindi (endelea)....
By Faki SosiSeptember 1, 2020ABDULRAHMAN Kinana, Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameonesha hofu ya kuanguka kwa chama hicho endapo wanachama wake watapuuza kupiga kura. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2020BERNARD Membe, mgomeba urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, ametaja kitachoiua Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...
By Regina MkondeAugust 31, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, misingi ya Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho 2020/25...
By Faki SosiAugust 30, 2020CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kupunguza pengo la wenye nacho na wasiokuwa nacho, endapo kitafanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti...
By Regina MkondeAugust 29, 2020RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitahakikisha mgombea wake Dk. Hussein Mwinyi anashinda urais visiwani Zanzibar. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2020MAMIA ya wananchi wanaendelea kujitokeza katika uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zinazofanyika leo Ijumaa...
By Regina MkondeAugust 28, 2020MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, atazindua kampeni zake za uchaguzi mkuu kesho Ijumaa 28 Agosti...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2020MAMLAKA ya Mwasiliano Tanzania (TCRA) imeagiza Clouds TV na Redio kusitisha matangazo yao kwa muda wa siku saba kuanzia kesho Ijumaa 28 Agosti...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeyatupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema dhidi ya wagombea wenzake...
By Hamisi MgutaAugust 27, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, amewawekea pingamizi wagombea wawili wa urais akidai wamekiuka Sheria za Uchaguzi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2020TUNDU Lissu, Mgombea urais wa Tanzania, amewasilisha mapingamizi dhidi ya wagombea wengine wa urais walioteuliuwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini....
By Mwandishi WetuAugust 26, 2020TAKRIBANI majimbo 20 ya ubunge Tanzania Bara, yapo njia panda baada ya wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutajwa kupita bila kupingwa. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Tundu Lisuu kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema na mgombea mwenza, Salum Mwalimu katika Uchaguzi...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2020MACHO na masikio ya Watanzania wengine yanaelekezwa Jiji la Dodoma kutakakofanyika uteuzi wa wagombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe...
By Regina MkondeAugust 24, 2020WAZIRI Mkuu mstaafu wa Tanzania, Joseph Sinde Warioba amesema, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inapaswa kuachwaa ili itekeleze wajibu wake...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2020JOSEPH Butiku, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, amevita vyama vya upinzani nchini Tanzania, kuacha kuipinga Serikali kwa kutumia maneno ya matusi na...
By Faki SosiAugust 24, 2020TUNDU Lissu, Mgombe urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, madai yanayotolewa kuwa atapingwa kwa kufanya kampeni kabla ya...
By Faki SosiAugust 23, 2020CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, ‘kimewakata’ wabunge wake zaidi ya 90 waliokuwa wakitetea nafasi zao ndani ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu...
By Regina MkondeAugust 21, 2020BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania, limesema watahiniwa 82,440 sawa na asilimia 98.35 ya watahiniwa 84,212 waliofanya mtihani kidato cha sita...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2020WABUNGE takribani 75 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao walijitosa kutetea nafasi zao katika uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba mwaka huu, wameangukia pua. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2020CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza majina ya wagombea ubunge wa majimbo na viti maalum katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020....
By Mwandishi WetuAugust 20, 2020MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Rais John Pombe Magufuli, imewataka wajumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, kumtanguliza Mungu na...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2020JOTO la wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliojitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania ubunge wa majimbo na wale wa Viti Maalum, linazidi kupanda,...
By Mwandishi WetuAugust 19, 2020RAIS wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita ametangaza kujiuzulu pamoja na Waziri Mkuu wake, Boubou Cissé muda mfupi baada ya wanajeshi waasi kuwakamata na...
By Mwandishi WetuAugust 19, 2020MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli ameongoza kikao cha kamati kuu ya chama hicho Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2020MTANDAO wa Utetezi wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini Tanzania (Tanzania Human Rights Defenders Coalition -THRDC), hatimaye umetangaza kusitisha shughuli zake kwa...
By Saed KubeneaAugust 18, 2020MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) imetangaza kusitisha shughuli zake nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea) Taarifa...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2020SAFARI ya kuwania ubunge, uwakilishi (Zanzibar) na udiwani ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwenye uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, itahitimishwa...
By Masalu ErastoAugust 17, 2020DAKTARI John Magufuli, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Rais wa Tanzania amesema, katika miaka 40 tangu kuanzishwa kwa...
By Masalu ErastoAugust 17, 2020CHAMA cha ACT-Wazalendo. kimetangaza orodha ya wagombea 198 wa ubunge na uwakilishi, Tanzania Bara na Zanzibar. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Akitangaza...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2020HARAKATI za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020 zinashika kasi. Tayari wagombea ngazi ya urais bara na visiwani wanajulikana. Anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2020ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk. Barnabas Mtokambali ameiomba Serikali nchini humo kuhakikisha Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe...
By Danson KaijageAugust 15, 2020