Habari za Siasa

Wananchi watoa ya moyoni bajeti 2019/20

BAADHI ya wananchi waliotoa maoni kuhusu mapendekezo ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2019/20 mkoani Kagera na Dodoma, wamekuwa na maoni tofauti. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Julius Kato, Mkazi wa ...

Read More »

Dk. Mpango na bajeti isiyotekelezeka

BAJETI ya serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20, iliyosomwa na Dk. Philiph Mpango, waziri wa fedha na mipango, katika utawala wa Rais John Pombe Magufuli, haina jipya. Imejirudia mambo yale ...

Read More »

Bajeti 2019/20: Ushabiki wa kisiasa wateka Bunge

TOFAUTI na bajeti za serikali katika miaka ya fedha iliyopita, katika Mwaka wa Fedha wa 2019/20, ushabiki wa kisiasa umedhihiri. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma … (endelea). Ushabiki huo ulikomaa baada ya ...

Read More »

Bajeti 2019/20: Enzi za kutegemea wajomba hazipo

SERIKALI imesema kuwa, enzi za kutegemea wajomba zimekwisha na sasa, Watanzania washikamane na kufanya kazi kwa bidii. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma … (endelea). Akisoma Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka ...

Read More »

Bajeti 2019/20: Mawigi kutozwa kodi

BAJETI kwa Mwaka wa Fedha 2019/20 iliyosomwa leo tarehe 13 Juni 2019, imependekeza ushuru kwa mawigi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akisoma Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka ...

Read More »

Ofisa Chadema apigwa risasi, auawa

LUCAS Lihambalimu, Katibu Mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jimbo la Malinyi mkoani Morogoro jana usiku tarehe 12 Juni 2019, amepigwa risasi nyumbani kwake na kuuawa. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Zitto aitwanga barua Takukuru

ZITTO Kabwe amemuandikia barua ya malalamiko Diwani Athuman, Kamishna wa Polisi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kutokana na usumbufu alioupata kutokana na ...

Read More »

Bunge kutokuwa ‘live’: Spika Ndugai ataja ‘mchawi’

JOB Ndugai, Spika wa Bunge amesema, miongoni mwa sababu za Bunge hilo kutorushwa ‘live’, wabunge wenyewe kutojiheshimu. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma … (endelea). Akizungumza bungeni jijini Dodoma leo tarehe 13 ...

Read More »

JPM akerwa wabunifu umeme kutosaidiwa

RAIS John Magufuli ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Shirika la Ugavi wa Umeme nchini (Tanesco), kushindwa kuwasaidia John Mwafute na Jairos Ngairo ambao ni wabunifu wadogo wa mitambo ya kufua ...

Read More »

Dk. Mpango: Pato la mtu mmoja mmoja limeongezeka

SERIKALI imeeleza kuwa, pato la wastani la kila mtu kwa mwaka 2018 lilifikia Sh. 2.4 Milioni (2,458,496), kutoka Sh. 2.3 (2, 327,395) mwaka 2017. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hii maana ...

Read More »

Kuelekea Bajeti Kuu 2019/20: Kubenea amtuhumu Dk. Mpango

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema) amemtuhumu Dk. Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango kwamba, ameshindwa kumsaidia Rais John Magufuli kuimarisha uchumi wa nchi. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Amesema, ...

Read More »

BAJETI YA SERIKALI: Kitanzi kingine kipya chaja  

KODI! Kodi! Kodi, ndio mwelekeo wa Bajeti ya ya nne tangu Rais John Pombe Magufuli ashike madaraka, akiwa na kauli tamu na ahadi kedekede zikiwamo, “Tanzania ya viwanda.” Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

‘Bao la mkono’ lahojiwa bungeni

WAKATI taifa likijiandaa kuingia kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Oktoba mwaka huu na baadaye Uchaguzi Mkuu 2020, serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM), hoja kuhusu ‘bao la mkono’ yaibuliwa. ...

Read More »

JPM ateuwa wenyeviti wapya wa bodi TTCL, Airtel Tanzania

DAKTARI John Magufuli ameteua wenyeviti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na Bodi ya Kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel Tanzania. AnaripotI Regina Mkonde … (endelea). Kwa mujibu ...

Read More »

Serikali: Kuna viwanda vipya 3,000

SERIKALI imeeleza kuwa, mpaka sasa kuna jumla ya viwanda vipya 3,000 tangu kuanza kwa kampeni ya ujenzi wa viwanda katika Serikali ya Awamu ya Tano. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Dk. Shein afuata nyayo za Rais Magufuli

DAKTARI Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar leo tarehe 11 Juni 2019 amefanya uteuzi wa viongozi katika idara mbalimbali zilizoko chini ya wizara nne. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Katika ...

Read More »

Zitto ashikiliwa Z’bar, Uhamiaji wamkabidhi kwa Polisi

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amekamatwa na Maofisa Uhamiaji Visiwani Zanzibar, akiwa njiani kuelekea nchini Kenya, kabla ya kukabidhiwa kwa Jeshi la Polisi. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Zitto: Sikuona mambo haya serikali zilizopita

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amedai kuwa, katika tawala za marais watatu waliopita, hakuwahi kuona mambo yanayofanyika kwenye serikali ya sasa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Amedai, kwenye ...

Read More »

Lukuvi awapa ziku 9 wadaiwa kodi ya ardhi

WAMILIKI 207 wa ardhi wanaodaiwa zaidi ya Sh. 200 Bilioni, wamepewa siku tisa kuanzia leo ili kukamilisha malipo hayo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). William Lukuvi, Waziri wa Ardhi Nyumba ...

Read More »

Zitto aikaba koo NEC, ZEC

SAKATA la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kutaka wakurugenzi wa halmshauri na manispaa kusimamia uchaguzi, linachukua sura mpya. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ...

Read More »

Rais Magufuli: Mungu amewaumbua

RAIS John Magufuli amesema, Mungu amewaumbua watu waliodhihaki hatua ya serikali kufanya mazungumzo na Kampuni ya Bharti Airtel International mwaka mmoja uliopita. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Rais Magufuli ametoa kauli ...

Read More »

Kamisha mpya TRA apewa majukumu mazito

DAKTARI Edwin Mhede, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ameapishwa leo huku akipewa majukumu mawili mazito. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Kwanza ametakiwa kuongeza kasi ya ukusanyaji mapato; pili ...

Read More »

Pangua pangua ya Rais Magufuli, ilianzia siku ya kwanza ya kuingia Ikulu 

RAIS John Magufuli, amebakiza mwaka mmoja na ushei kukamilisha ngwe yake ya kwanza ya miaka mitano. Akibahatika aweza kuendelea kuhudumu katika kipindi kingine cha miaka mitano, kama rais wa Jamhuri ...

Read More »

Spika Ndugai awananga wapinzani

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ametumia ujio wa Mukabalisa Donatile, Spika wa Bunge la Rwanda kuwanaga wapinzani nchini. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Spika Ndugai akizungumza bungeni jijini Dodoma wakati wa kumtambulisha ...

Read More »

Spika Ndugai atetea abiria wa Z’bar

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameishauri Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuangalia uwezekano wa kuongeza kilo zinazopimwa kwa abiria wanaosafiri na boti kwenda Zanzibar, kutoka kilo 20 za sasa. ...

Read More »

Maalim Seif akabidhiwa cheo ACT-Wazalendo, yumo Jussa, Bimani, Mazrui

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimemteua Maalim Seiff Sharif Hamad, kuwa mshauri mkuu wa chama hicho. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Gwiji huyo wa siasa za upinzani nchini, aliyejiunga na chama hicho ...

Read More »

Lipumba maji ya shingo, Maalim Seif kicheko

KWA mara ya kwanza, Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amekiri kwamba, chama chake kinahemea pomoni. Anaandika Mwandishi Wetu …(endelea). Tofauti na awali ambapo, Prof. Lipumba na ...

Read More »

Prof. Lipumba: CUF iko kwenye kipindi kigumu

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, amesema chama hicho kinapitia kipindi kigumu kwa sasa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Viongozi wa ...

Read More »

Rais Magufuli atapata lini ‘First Eleven’ ya serikali yake?

RAIS John Pombe Magufuli, amemng’oa kwenye wadhifa wake, Kamishena Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Charles Kichere na kumteuwa Edwin Mhende, kushika nafasi yake. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Kichere ...

Read More »

Marufuku wanaosimamia biashara kuwa vyanzo vya mapato

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan amezitaka taasisi za umma zenye jukumu la kudhibiti na kusimamia biashara na mazingira, kutokuwa vyanzo vya mapato. ...

Read More »

Rais Magufuli: msitishike na kauli ya ‘maagizo kutoja juu’

RAIS John Magufuli amewataka wafanyabiashara kutokubali kutishwa na msemo wa ‘maagizo kutoka juu’. Anaandika Regina Mkonde … (endelea). Amewataka wafanyabiashara hao kutotekeleza wanachoamriwa, hadi pale wahusika watakapotaja aliyewaagiza. Rais Magufuli ...

Read More »

Msukuma ‘akabidhi’ ubunge wake kwa JPM 

JOSEPH Kasheku (Msukuma), Mbunge wa Geita (CCM), ameweka rehani ubunge wake kwa Rais John Magufuli kwa ahadi kwamba, iwapo uchunguzi utafanywa na kubaini kuwa, taarifa ya madini ya dhahabu yanayochimba ...

Read More »

Rais Magufuli ‘aichoka’ TPSF

RAIS John Magufuli ameonesha kutofurahishwa na utendaji kazi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), na kushauri kwamba, kama imeshindwa kutatua changamoto za wafanyabaishara, kianzishwe chombo kingine. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). ...

Read More »

BoT yatuhumiwa mbele ya Rais Magufuli

AMANI Kibondei, Mfanyabiashara wa Ubadilishaji Fedha za Kigeni katika Jiji la Dar es Salaam, ameishtaki Benki Kuu ya Taifa (BoT) kwa Rais John Magufuli, akidai kwamba, baadhi ya maofisa wake ...

Read More »

JPM atoa onyo kwa wafanyabiashara

RAIS John Magufuli amewataka wafanyabiashara kujenga tabia ya kuwa wakweli kwani, wanapokuwa waongo husababisha serikali kuchukua uamuzi ambao pengine huonekana kutokuwa rafiki kwao. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza kwenye kikao ...

Read More »

Kiongozi CUF atimkia ACT -Wazalendo

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeendelea kubomoka baada ya Mbaraka Chilumba, aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Vijana wa chama hicho (JUVICUF)-Taifa kutimkia ACT-Wazalendo. Anaripoti Danson Kaijage … (endelea). Chilumba ametangaza ...

Read More »

Sakata la Uamsho moto; Masheikh wamvaa JPM, Kikwete, Bunge

JUMUIYA na Taasisi za Kiislam nchini, imeibua upya sakata la masheikh wa Uamsho, waliopo mahabusu kwa takriban miaka sita sasa kwa madai ya kutokamilika ushahidi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). ...

Read More »

Shahidi mlenga shabaha (Sniper): Sijui kilichomuua Akwelina

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea na usikilizaji wa kesi namba 112 ya mwaka 2018 inayowakabali viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambapo Shahidi wa nne amemaliza ...

Read More »

Polisi wamtaka Rungwe kuripoti Oysterbay

JESHI la Polisi limemtaka Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa Chama cha Umma (CHAUMMA) kuripoti katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay leo tarehe 3 Juni 2019. Anaripoti Faki Sosi … (endelea).   ...

Read More »

Upinzani Tanzania waivaa Tume ya Uchaguzi 

MUUNGANO wa vyama Nane vya upinzani nchini, umetuhumu Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC), kuvunja katiba na sheria za nchi, kwa kuendelea kung’ang’ania wakurugenzi wa halmashauri, majiji na manispaa, kusimamia ...

Read More »

Mlenga shabaha (Sniper) atinga kwenye kesi ya viongozi Chadema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza ushahidi wa shahidi wa nne kwenye kesi  inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema), ambapo shahidi amekiri kuwa yeye ni mlenga ...

Read More »

Shahidi nilipigwa jiwe na wafuasi wa Chadema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza ushahidi kwenye kesi ya Uchochezi nambari 112 ya mwaka 2018,  inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema), ambapo mahakama hiyo imesikiliza ...

Read More »

Nyalandu aonja machungu ya kuwa upinzani

LAZARO Nyalandu, aliyewahi kuwa Mbunga wa Singida Kaskazini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameeleza kufedheheshwa na kadhia ya kwenda kuripoti Kituo cha Polisi cha kati mkoani Singida mara kwa mara ...

Read More »

Mbunge Kisangi: Uhaba shule za walemavu ni kikwazo

MBUNGE Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Mariam Kisangi ameishauri serikali kuongeza idadi ya shule za watoto wenye mahitaji maalumu, akisema wengi wao wanakosa elimu kutokana na changamoto ya uhaba ...

Read More »

Prof. Kabudi: Ni wivu tu

PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amejigamba kwamba, kwenye nchi hii amefanya kazi ya kutukuka na kuwa, anayemchukia na kumwonea wivu, amchukie tu. ...

Read More »

Maalim Seif, Zitto waivaa Ukonga

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo na Maalim Seif Sharif Hamad, mwanachama namba moja wa chama hicho, walilivaa Jimbo la Ukonga na kuchota wanachama wapya. Anaripoti Faki Sosi ...

Read More »

Maalim Seif ailia kiapo CCM 2020

MAALIM Seif Sharif Hamad, mwanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo, amekula kiapo hadharani kwamba, hatolala mpaka ahakikishe kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimekaa kando. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akiwa kwenye ...

Read More »

Sakata Balozi wa EU: Serikali yabanwa

HATUA ya Roeland van de Geer, aliyekuwa Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Tanzania kuondoka na kurejea kwao kwa shinikizo, sasa imehojiwa bungeni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kambi ...

Read More »

Mambo ya Nje yaomba Bil 166

WIZARA ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeomba bajeti ya ya Sh. 166.92 bilioni kwa Mwaka wa Fedha 2019/20. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akiwasilisha maombi hayo bungeni leo ...

Read More »

Serikali yamjibu Nape kuhusu ATCL

TATIZO la ndege za Shirika la Ndege nchini (ATCL) kuchelewa kuanza safari zake, leo tarehe 30 Mei 2019 bungeni limeibuliwa na Nape Nnauye, Mbunge wa Mtama. Anaripoti Mwanidishi Wetu … (endelea). ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram