Sunday , 28 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Rais Samia amng’oa “boss” mwendokasi
Habari za Siasa

Rais Samia amng’oa “boss” mwendokasi

Waziri Kindamba
Spread the love

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemuondoa aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART), Gilliard Wilson Ngewe na kumteua Waziri Kindamba, kuiongoza kampuni hiyo ya usafirishaji. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea).

Taarifa ya uteuzi huo imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Moses Kusiluka leo tarehe 9 Machi 2024.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Zuhura, Ngewe atapangiwa kazi nyingine.

“Waziri Kindamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa UDART. Kindamba anachukua nafasi ya Ngewe ambaye atapangiwa kazi nyingine,” imesema taarifa hiyo.

Ngewe aliiongoza kampuni hiyo kuanzia Oktoba 2023, alipoteuliwa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde aibana kampuni kutimiza masharti ya mkataba

Spread the loveWaziri wa Madini, Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai...

Habari za Siasa

Sauti ya Watanzania waeleza sababu za kuiunga mkono Chadema

Spread the love  KIKUNDI kinachojipambanua katika kupigania rasilimali na uhuru wa nchi,...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Tanzania, Somalia kuibua maeneo mapya ya ushirikiano

Spread the love  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Somalia...

Habari za Siasa

ACT: Waongoza watalii wapate maslahi yao inavyostahili

Spread the loveCHAMA cha ACT-Wazalendo kimeitaka serikali kuhakikisha inasimamia maslahi stahiki ya...

error: Content is protected !!