Friday , 26 April 2024

Month: July 2020

Habari za Siasa

Grace Kiwelu aongoza kura za maoni Vunjo

WAJUMBE wa mkutano mkuu wa jimbo la Vunjo Mkoa wa Kilimanjaro wamempendekeza, mbunge wa viti maalum (Chadema), Grace Kiwelu kupeperusha bendera ya ubunge...

Habari za Siasa

Profesa Mkumbo atoa sababu kuwania ubunge Ubungo

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo amechukua fomu ya kuomba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimpitishe kuwania ubunge Ubungo jijini Dar...

Habari za SiasaTangulizi

John Mnyika akimbia ubunge Kibamba

KATIBU mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John John Myika, “ameutema rasmi” ubunge wake, katika jimbo la Kibamba jijini Dar es...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi ajibu mapigo ya Timu Maalim Seif

WAKATI Timu ya Maalim Seif Sharif Hamad ‘ikishangilia’ uteuzi wa Dk. Hussein Mwinyi, kuwania urais Zanzibar, mwenye amesema ‘atateleza.’ Anaripoti Regina Mgonde, Dar es...

Habari za Siasa

Sirudi nyuma – Maalim Seif

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, visa vinavyofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ni sawa na ‘kumpiga teke...

Habari za Siasa

CCM wafurika kuchukua fomu za Ubunge Moshi Mjini

MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Moshi Mjini wamefurika kwenye ofisi ya chama hicho wilaya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kugombea...

Habari za Siasa

Kura za maoni: Chadema Ubungo kwapasuka

KURA za maoni ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Ubungo, zimeacha mpasuko. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Baadhi...

Habari za Siasa

Silinde achukua fomu Tunduma, atuma salamu Chadema

ALIYEKUWA mbunge wa Momba kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), DAVID Silinde amechukua fomu ya kugombea ubunge Tunduma Mkoa wa Songwe kupitia...

Habari za Siasa

Fomu za urais, matokeo kutangaziwa Dodoma

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imehamia rasmi katika ofisi zake mpya zilizopo Njedengwa jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea) Kuhamia...

Habari za SiasaTangulizi

Mhadhiri UDSM ajitosa ubunge Segerea

MHADHIRI wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), Dk James Jesse amechukua fomu kuwania ubunge jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)....

Habari Mchanganyiko

CCM haijatimiza ahadi ya uvuvi – Zitto

ZITTO Kabwe, Kiongozi Chama cha ACT-Wazalendo, amewataka wananchi kutoipa kura CCM kwa kuwa, imeshindwa kutimiza ahadi zake za mwaka 2015. Anaripoti Faki Sosi,...

Habari za Siasa

Mwandishi wa habari ajitosa ubunge Iringa

MWANDISHI wa habari nchini Tanzania, Tumain Msowoya amechukua fomu ya kuwania ubunge viti maalum kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi...

Habari za Siasa

Mtoto wa Lowassa ajitosa ubunge Monduli

FREDRICK, mtoto wa waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amechukua fomu ya kugombea ubunge Monduli, mkoani Arusha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika...

Habari za Siasa

Gambo ajitosa Ubunge Arusha Mjini, Nanai aenda Kawe

MRISHO Gambo, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, amechukua fomu kuwania Ubunge Arusha Mjini ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Lema: Hata mkiniletea CCM wote Arusha, nitashinda

GODBLESS Lema, Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa Arusha Mjini anayemaliza muda wake, amesema sheria ingeruhusu, angetaka wagombea wote wa CCM...

Habari za Siasa

Hiki ni kiburi au dharau Chadema kwa waandishi wa habari?

WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwakumbatia waandishi wa habari, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kinawapuuza. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea). Jana Jumatatu...

Habari za Siasa

Ubunge CCM: Askofu Gwajima, Abbas Tarimba wachukua fomu

MAKADA zaidi ya 10 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwemo Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, wamechukua fomu ya kuomba...

Habari za Siasa

Agnesta awaongoza wanaume Segerea

AGNESTA Lambert, Mratibu wa Uhamasishaji wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) ameshinda kura za maoni za mgombea ubunge...

Michezo

UEFA yaitoa Man City kifungoni

SHIRIKISHO la mpira wa miguu barani ulaya (UEFA) imeifungulia klabu ya Manchester city kutoka kwenye kifungo cha kutoshiriki michuano ya klabu bingwa barani...

Habari za Siasa

Chadema Pwani: Ni zamu ya CCM kudondosha chozi

CHAMA cha Demokraia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani kimesema, ni zamu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kudondosha chozi. Anaripoti Hamisi Mguta, Dar...

Habari za Siasa

Susan Lyimo aibuka mshindi Kinondoni

SUSAN Lyimo, Mbunge Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameshinda kura za maoni za kuwania kupitishwa kugombea Ubunge Kinondoni jijini...

Habari za Siasa

Polepole: Mikutano kura za maoni iwe wazi, waandishi wa habari…

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humprey Polepole ameitaka mikutano ya majimbo na wilaya ya kura za maoni ya...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yapiga ‘stop’ michango holela fomu za ubunge, udiwani

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania kimesema, mwanachama wa chama hicho anayetaka kuwania udiwani, ubunge au uwakilishi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020 asilazimishwe...

Michezo

Viongozi wa dini kuiombea Lipuli isishuke Ligi Kuu

VIONGOZI wa dini mkoani Iringa wameombwa kuiombea timu ya Lipuli FC ili isiweze kushuka daraja, katika kipindi cha siku 14 ambapo timu hiyo...

Habari za Siasa

Wanne Chadema wachuana ubunge Kinondoni

WANACHAMA wanne wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamejitosa katika kinyang’anyiro cha kugombea Ubunge Kinondoni jijini Dar es Salaam katika Uchaguzi Mkuu...

Habari za SiasaTangulizi

Wahariri Tanzania wataka uwazi wa CCM uhamie NEC, Mahakama na Bunge

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limetoa pongezi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuruhusu kurushwa moja kwa moja (live) kwenye vyombo vya habari,...

Habari Mchanganyiko

Milioni 7 wapona corona duniani

WAGONJWA milioni 7.58 waliokuwa wameambukizwa virusi vya corona (COVID-19) duniani wamepona. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa mtandao wa Worldometer, hadi kufikia leo...

Habari za Siasa

Timu Maalim Seif ‘wafurahia’ uteuzi wa Dk. Mwinyi Z’bar

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeeleza ‘kufurahishwa’ na wepesi uliofanya na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ngazi ya urais Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza na MwanaHALISI...

Tangulizi

Hivi ndivyo Sheikh Ponda alivyokamatwa msikitini

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini, amekamatwa na polisi. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Tukio la kukamatwa...

Habari za SiasaTangulizi

Yametimia: Membe kuelekea ACT- Wazalendo

SASA ni dhahiri kuwa Bernard Kamilius Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa nchini Tanzania, yuko mbioni kujiunga...

Habari Mchanganyiko

Corona: Hali tete, Trump asalimu amri

ATIMAYE Donald Trump, Rais wa Marekani amevaa barakoa hadharani tangu janga la corona (COVID-19) liteke Marekani. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Trump ameonekana akiwa...

Habari za Siasa

Susan Lymo: Napigania Jimbo la Kinondoni 2020

SUSAN Lymo, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ni miongoni mwa wanasiasa wanaonyatia Jimbo la Kinondoni. Anaripoti...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua bosi TIC

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Maduhu Isaac Kazi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania...

Habari za Siasa

JPM akemea ubaguzi Z’bar, awatumia salamu wapinzani

RAIS John Pombe Magufuli, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametuma salamu kwa vyama vya siasa vya upinzani, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...

Habari za Siasa

Rais Magufuli awashukia watoto wa vigogo

RAIS John Pombe Magufuli, ameonesha kukerwa na tabia ya baadhi ya watoto wa viongozi wa ngazi za juu ‘wakubwa’ wanaojikweza kutokana na nyazifa...

Habari za Siasa

Magufuli amchagua tena Samia mgombea mweza

RAIS John Pombe Magufuli amemchagua Samia Suluhu Hassan, kuwa mgombea mweza katika Uchaguzi wa Urais wa Tanzania, Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea)....

Habari za Siasa

Mkutano Mkuu CCM warekebisha katiba

MKUTANO Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), umepitisha marekebisho ya katiba ya chama hicho, ili iendane na Sheria mpya ya vyama vya siasa,...

Habari za Siasa

Magari 10 yamfanya Dk. Mathayo wa CCM kuhojiwa Takukuru

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro imemhoji Mbunge wa Same Magharibi (CCM), Dk.Mathayo David Mathayo kwa tuhuma za...

Habari za Siasa

Kinana awaonya CCM, asema hakuna uchaguzi mwepesi

ABDULRAHMAN Kinana, Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amewataka wanachama wa chama hicho, kushikamana katika kumtafutia kura za ushindi Rais John...

Tangulizi

Magufuli athibitishwa kwa asilimia 100 kugombea urais Tanzania

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamemthibitisha Dk. John Pombe Magufuli kuwa mgombea Urais wa Tanzania kwa asilimia 100 katika...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi: Nitakuja na staili ya Rais Magufuli

DAKTARI Hussein Ali Mwinyi, Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Uchaguzi Mkuu wa Rais wa Zanzibar,  Oktoba 2020, ameahidi kufuata nyayo...

Habari za Siasa

Mwinyi ataka Rais Magufuli aongezewe muda, yeye apinga

ALI Hassan Mwinyi, Rais mstaafu wa awamu ya pili, ameshauri matumizi ya Katiba ya Tanzania yasitishwe kwa muda ili kumpa nafasi Rais John...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa amtaka Rais Magufuli aendelee kufinya

EDWARD Lowassa, Waziri Mkuu wa zamani, amemtaka Rais John Pombe Magufuli aendelee kufinya katika uongozi wake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Lowassa ametoa kauli...

Habari za Siasa

Mkutano mkuu CCM: Profesa Lipumba asema furaha kwa Watanzania inawezekana

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amemuomba Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ahakikishe mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...

Elimu

Wizara ya elimu yazitaka shule zote kuunda kamati, bodi

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, imewaagiza wathibiti ubora wa shule kuhakikikisha shule zote za msingi na sekondari zinakuwa na kamati...

Habari za Siasa

Vigogo wamiminika mkutano mkuu CCM, Profesa Lipumba na Mrema ndani

MKUTANO Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania umeanza leo Jumamosi tarehe 11 Julai 2020 ukiwa na agenda mbalimbali ikiwemo kuwathibitisha wagombea...

Habari za SiasaTangulizi

Huyu ndiye Dk. Hussein Ali Mwinyi

WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo Ijumaa tarehe 10 Julai 2020, wameonesha kwa kiwango kikubwa jinsi wanavyomuamini Dk. Hussein...

Habari za Siasa

Mjumbe NEC ahoji wanaohamia CCM ‘kupewa shavu’, JPM amjibu 

MALALAMIKO ya wanasiasa wa upinzani wanaohamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwazidi kete ‘wazawa’ katika fursa za uteuzi, yameibuliwa katika Mkutano wa Halmashauri Kuu...

Habari za Siasa

Dk. Hussein: Kupata ushindi Z’bar ni ngumu

KAZI ya kuutafuta ushindi kwenye uchaguzi mkuu visiwani Zanzibar ni ngumu. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Hiyo ni kauli ya Dk. Hussein Mwinyi, mgombea...

Habari za Siasa

CCM yabariki Membe kufukuzwa, yamsamehe Kinana

HALMASHAURI Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), imeridhia uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kumfukuza uanachama Bernard Membe. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

error: Content is protected !!