Wednesday , 8 May 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

Biashara

Afisa Mkuu wa Fedha – AngloGold Ashanti atembelea GGML

Afisa Mkuu wa masuala ya fedha (CFO) kutoka Kampuni ya AngloGold Ashanti inayomiliki Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), Gillian Doran wiki...

Biashara

Meridianbet wagawa miamvuli kwa wafanyabiashara wa Mbagala rangi 3

MERIDIANBET wameendelea kurejesha kwenye jamii kama ilivyo kawaida yao huku leo hii siku ya Jumamosi wamerudi tena Mbagala Rangi 3 kwaajili ya kugawa...

Michezo

Beti na Meridianbet utimize ndoto zako sasa

NDUGU mteja unajua kuwa sehemu sahihi ya wewe kupiga mkwanja ni moja tuu?. Basi mimi nataka kukujuza kuwa Meridianbet ndio wanaweza kukupatia mkwanja...

Biashara

Kutana na kisa cha mfalme na vijakazi wake, kasino ya Fashion Night 

  HADITHI za kale zina mafundisho mengi sana ndani yake, baadhi ya tungo hizo zilikuwa na lengo la kubadili mitazamo ya watu na...

Kimataifa

Kiongozi chama kikuu cha upinzani ang’atuka

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa ametangaza kujiuzulu wadhifa wake na uanachama wa Chama cha Citizens Coalition for Change...

Biashara

Aliyeshinda Epic Jackpot TZS 550m Meridianbet Kasino alifanya haya 

  ULIMWENGU huu wenye matajiri wengi bado kuna watu wanatanua na kula maisha kwa namna tofauti. Huko nchini Australia kuna mfanyabiashara mmoja na...

Biashara

Uzalishaji wa kuwajibika: Dira ya SBL 2030 kwa dunia iliyo safi

  WAKATI dunia ikijumuika pamoja kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Nishati Safi Serengeti Breweries Limited (SBL), sehemu ya makampuni ya Diageo, inajivunia kuwa...

Biashara

Zama baharini kusaka utajiri kwenye kasino ya Lucky Dolphin

  UNAAMBIWA bahari imebeba viumbe vingi vya ajabu, samaki, majini na madini, lakini pia rasilimali zenye utajiri mkubwa kama mafuta na gesi kwa...

Biashara

Vodacom yazindua dawati maalum la kuwahudumia wasioona

  KAMPUNI ya Vodacom Tanzania katika mwendelezo wake wa kuwajali wateja na watu wenye ulemavu, imezindua dawati maalum la huduma kwa wateja litakalohudumia...

Michezo

Wanaume 29 waliotoka kimapenzi na Rihanna, Benzema yumo cheza kasino 

  ANAITWA Robyn Ronald Fenty wengi wanamfahamu kwa jina lake la kisanii Rihanna alizaliwa tarehe 20 Februari 1988, huko Saint Michael, Barbados. Ni...

Biashara

Wajasiriamali Morogoro waomba kuwezeshwa kumudu soko la ushindani

Wajasiriamali wanawake mkoani Morogoro wamewaomba wadau wa ukuzaji wa biashara kutoishia mijini badala yake wafike pia vijijini kutoa elimu na usaidizi wa ukuzaji...

Michezo

Tengeneza jamvi na Meridianbet sasa katika mechi za AFCON

  MECHO za AFCON zinaendelea hii leo kama kawaida na sisi kama meridianbet tunasema hivi ushindi ni muhimu kwa kila mtu hivyo weka...

Michezo

TECNO yagusa hisia: Mchezo wa hisani wachochea hamasa ya kuboresha viwanja vya jamii Afrika

  KAMA mdhamini rasmi wa Kombe la  (AFCON) Afrika nchini Côte d’Ivoire, kampuni ya teknolojia , TECNO iliandaa mechi ya hisani iliyojaa nyota...

Biashara

Mkulima alia urasimu vibali vya kuuza mazao nje

MMOJA wa wakulima katika Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Machite Mgulambwa ameiomba serikali kupunguza masharti ya upatikanaji wa vibali vya kuuza mazao nje...

Biashara

Kasino yenye njia nyingi za ushindi, bonasi kibao| Juicy Fruits Multihold 

  JUICY Fruits Multihold ni mchezo wa kasino ya mtandaoni kutoka kwa wataalamu ‘Pragmatic Play‘. Mchezo huu wa sloti, utakutana na alama za...

Michezo

Je, unajua kuwa leo hii ni siku yako ya kupiga mkwanja?

IKIWA leo hii ni siku nyingine kabisa, Jumapili ya maokoto basi mimi nakwambia chimbo lipo moja tuu, nalo ni meridianbet ambapo huku unaweza...

Biashara

Meridianbet yawafikia MRC, yatoa msaada wa vyakula

JUMAMOSI ya leo kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania Meridianbet wamewatembelea waathirika wa dawa za kulevya Kigamboni MRC ( Muungano Recovery Community) licha ya kuwa...

Michezo

Anza wikendi yako kwa kubashiri na Meridianbet mechi zote

  MERIDIANBET wanakwambia hivi wikendi imeshafika hivyo usisubiri kuhadithiwa jinsi ambavyo wenzako wananufaika kwa kubashiri nao, ingia na wewe sasa uanze kusuka mkeka...

Biashara

Cheza The Money Men Megaways kasino mpya ya Meridianbet 

  THE Money Men Megaways ni sloti iliyotengenezwa na Pragmatic Play. Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni una bonasi nyingi, ili upate unatakiwa...

Biashara

NMB mastabata yazidi kutoa zawadi kwa washindi

Jumla ya wateja 1,071 kutoka benki ya NMB wamepata zawadi mbalimbali ikiwemo fedha taslimu kufuatia benki hiyo kutenga zaidi ya Sh350 milioni kupitia...

Afya

DC Mpanda aagiza maji ya visima yapimwe kudhibiti kipindupindu

Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf ameziagiza mamlaka za afya na maji kushirikiana ili kuainisha idadi ya visima vilivyopo ndani ya wilaya...

Biashara

NMB yazindua mchakato wa “NMB Pesa Haachwi Mtu”

BENKI ya NMB imeanzisha kampeni kubwa ya kuhamasisha na kuwawezesha watu wengi kufungua akaunti ili waweze kunufaika na faida za kuwa sehemu ya...

Michezo

Tusua mapene kibabe na mechi za leo ndani ya Meridianbet

  KAMA kawaida mechi za AFCON zinaendelea hii leo kwenye mechi za raundi ya pili zikiwa zote zinapambanaia kupata ushindi, na wewe kama...

Biashara

Cheza ushinde x3,000 kwenye sloti ya Jaguar Treasures kasino

  WAKATI unawaza kutembelea sehemu mbalimbali duniani kama vile kwenda Vakesheni Dubai, Uturuki na Paris kwenye Jiji la bata, nakupa chaka jingine ambalo...

Michezo

Kamata ushindi wako leo AFCON, FA, Copa Del Rey & Kasino

  MASHINDANO ya Mataifa ya Afrika AFCON yamenoga huko nchini Ivory Coast, leo Tanzania itasimama kushuhudia wajukuu wa Nyerere wakiwa kwenye dimba lenye...

AfyaHabari Mchanganyiko

Kisa mitihani kuvuja, watahiniwa 1,330 wa uuguzi, ukunga wafutiwa matokeo

Wizara ya Afya imefuta matokeo yote ya mtihani wa usajili na leseni wa wauguzi na wakunga kwa watahiniwa 1,330 wa Stashahada baada ya...

AfyaHabari Mchanganyiko

Shanga yatolewa katika mapafu ya mtoto, wazazi waaswa

Wazazi wameaswa kufuatilia michezo ya watoto kwa karibu zaidi na kuwazuia kuweka vitu mdomoni, puani pamoja na maskioni ili kuwaepusha na madhara mbalimbali...

ElimuHabari Mchanganyiko

CBE yaanza kutoa mafunzo wahudumu wa mabasi

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeanza kutoa mafunzo kwa wahudumu wa kwenye mabasi ya abiria ili kuifanya kazi hiyo kuheshimika kama zilivyo...

Michezo

Beti mechi zote za AFCON na Meridianbet leo, uvune mkwanja

  IKIWA leo ni Jumatatu nzuri kabisa, au “Blue Monday” kama ambavyo watu wengi hupenda kuita hivyo na michuano mikubwa Barani Afrika AFCON...

Michezo

AFCON kuendelea kuwaka moto leo

MICHUANO ya mataifa ya Afrika yanayofahamika kamaAFCON kwa mwaka huu 2024 inaendelea tena leo namichezo kadhaa itakwenda kupigwa katika viwanja tofautitofauti. Baada ya sherehe...

Michezo

Ukitaka pesa leo, njoo Meridianbet

NI Jumapili tulivu kabisa ambapo ukikaa na kutulia leo hii unaweza kuondoka na kitita cha mpunga wa maana kwani ligi mbalimbali Duniani leo...

Biashara

 ZIC yazindua mpango wa mabadiliko kuchochea utoaji huduma kwa wateja

Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC) limezindua mpango wake mpya wa kubadili muonekano na taswira yake kijamii na kibiashara hatua ambayo inalenga kuakisi...

Michezo

AFCON ya 34 kuanza kurindima leo nchini Ivory Coast

MICHUANO mikubwa ya soka ya mataifa ya Afrikayanayofahamika kama AFCON yataanza rasmi leo katikaardhi ya Ivory Coast ambao ndio haswa wenyeji wamichuano hiyo...

Michezo

Bashiri na Meridianbet mechi za Jumamosi hii uvune mkwanja

NDUGU mteja mechi mbalimbali Barani Ulaya zinaendelea hii leo, na wewe kama mteja wetu tunakuthamini sana kwa kuwa tayari tumeshakuwekea kile ambacho wewe...

Michezo

Mbappe na rekodi ya Dunia hii hapa

  JINA Kylian Mbappe sio geni kwa mwanasoka kindakindaki yani yule ambbae anapenda mpira sana. Mchezaji huyo alivuti wengi na anazidi kuvutia hasa...

Michezo

Earlind Haaland straika wa zamani anayetamba sasa

MSHAMBULIAJI  wa klabu ya Manchester City EarlingBraundt Haaland ambaye amekua mshambuliaji tishio zaididuniani kwasasa kutokana na uhodari wake wa kupachikamabao. Earling Haaland anazungumzwa...

Biashara

Wild Spin kasino inayolipa zaidi Meridianbet

KILA mtu amekuwa akiwa kupambana na maisha, vijanawengi wanawake kwa wanaume wako busy na harakati zamjini, kuna wengine ni wazee wa mishemishe yote...

AfyaKimataifa

Corona yaua 10,000 sikukuu za Krismasi, mwaka mpya

Mkuu wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema mikusanyiko ya sikukuu za mwisho wa mwaka imesababisha kasi...

Michezo

Madrid Derby kinawaka leo Saudi Arabia

MIAMBA ya soka kutoka nchini Hispania ambao nimahasimu wakubwa katika soka la Hispania vilabu vya Real Madrid na Atletico Madrid leo watashuka dimbani kumenyana...

Biashara

Meridianbet ni balaa, yarudisha rejesho la 10% ukipoteza mchezo

  HUU ni mwaka wa hela tu ukiwa na Meridianbet basi umechagua kushinda kila siku, Cheza Kasino ya Mtandaoni bila hofu yeyote ya...

Michezo

Chelsea sasa wameanza kujipata

KLABU ya Chelsea chini ya kocha Mauricio Pochettinowanaonekana kama wameanza kujipata kutokana namatokeo yao ambayo wameanza kuyapata katika michezoyao ya hivi karibuni. Msimu...

Biashara

Mchezo huu unakulipa kwa njia 81, Vegas Magic kasino

  NASIKIA kuna watu wamepagawa sana na mchezo wa AVIATOR yani huwaambii kitu, lakini kuna michezo mingi sana ya kupiga hela kirahisi kama...

Biashara

Cheza leo sloti ya Mafia Clash kasino uone maajabu ya ushindi rahisi

  HATIMAYE wale wapenzi wa kucheza magemu huu utawafaa, ni mchezo mzuri sana wa kasino ya mtandaoni una mandahari mazuri na wakati unaucheza...

Afya

Kenya yaiomba Tz msaada dawa za TB

Waziri wa Afya nchini Kenya, Wafula Nakhumicha amesema Serikali ya Kenya imeomba msaada kutoka Tanzania ili kukabiliana na uhaba wa dawa za Kifua...

Michezo

Kwapua mapene Jumapili hii na Meridianbet

MTEJA wa meridianbet kama ilivyo ada kutusua mkwanja ni jambo la lazima sana kama utachagua sehemu sahihi ya kuwekeza mkwanja wako wa meridianbet...

ElimuTangulizi

Haya hapa matokeo ya mtihani kidato pili, darasa la nne

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA), leo tarehe 7 Januari 2024, limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha pili na darasa la nne wa...

Michezo

Piga mkwanja na michezo ya FA leo kupia Meridianbet

JUMAMOSI ya leo michuano ya kombe la FA itaendeleakupigwa nchini Uingereza na michezo mbalimbali itapigwakatika viwanja mbalimbali na kutoa fursa kwa wateja waMeridianbet kuweza...

Kimataifa

Kesi mauaji ya wanaharakati wapinga ubaguzi yafufuliwa

Wizara ya sheria ya Afrika Kusini inatarajia kufungua tena jalada la uchunguzi wa mauaji ya wanaharakati wanne wapinga ubaguzi moja tukio baya ambalo...

Michezo

Mkwanja wa maana unatolewa na Meridianbet sasa

MECHI za FA Cup nchini Uingereza kupitia meridianbet zimekupanga kukuacha ukiwa unajibweda na maokoto ya maana ukibashiri nao wakati huu kwani huku wamekuwekea...

AfyaKimataifa

Kipindupindu chasababisha shule kutofunguliwa Zambia

Serikali ya Zambia imetangaza kuahirisha kuanza kwa muhula mpya ya masomo kwa wiki tatu zaidi kutokana mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ambao umeshaua...

error: Content is protected !!