Friday , 3 May 2024
Home Kitengo Michezo Beti mechi zote za AFCON na Meridianbet leo, uvune mkwanja
Michezo

Beti mechi zote za AFCON na Meridianbet leo, uvune mkwanja

Spread the love

 

IKIWA leo ni Jumatatu nzuri kabisa, au “Blue Monday” kama ambavyo watu wengi hupenda kuita hivyo na michuano mikubwa Barani Afrika AFCON inaendelea huku meridianbet wao wakiwa tayari wamekusogezea ODDS za kibabe za kuanza siku yaok. Ingia na ubashiri sasa.

Kamera yangu inaenda moja kwa moja katika Dimba la Charles Konan Banny ambapo hapa kutakuwa na mbungi kati ya Cameroon ambayo imesheheni vipaji vingi dhidi ya Guinea. Mechi hii imepewa ODDS 2.16 kwa 3.92. Cameroon ni moja ya Nnchi ambayo inapigiwa sana upatu kuchukua Kombe hili kubwa Afrika. Je atanza vipi michuano hii?. Tengeneza jamvi lako hapa na ubeti na meridianbet.

Simba wa Teranga yani nazungumzia vijana wa Aliou Cisses Senegal wao watakuwa na kibarua cha kuwakabili Gambia ambao wamepewa ODDS 11.76 kwa 1.27  kushinda mechi hii. Ikumbukwe kuwa hii itakuwa ni mechi ambayo ina watazamaji wengi kutokana na ukubwa wa Senegal kwa kuwa wana wachezaji wengi sana ambao wanacheza vilabu vikubwa Ulaya akiwemo Sadio Mane, Diata na wengine wengi. Je vijana wa Aliou Cisses wataanzaje michuano hii?. Bashiri mechi hii na meridianbet.

Vilevile, huku ukiendelea kubeti mechi hizo za AFCON, kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo ipo kwaajili ya kukupatia pesa za fasta kama vile, Aviator, Poker, Roulette, Rocketman na Sloti. Weka pesa bashiri hapa.

Mechi nyingine ya pesa leo ipo Kundi D ambapo kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Algeria dhidi ya Angola. Huku watu wengi wakitaka kujua nini Riyad Mahrez na timu yake watafanya leo, wewe nenda Meridianbet beti mechi hii ambayo imepewa ODDS 1.55 kwa Algeria na 6.46 kwa Angola. Pesa ipo hapa. Jisajili na ubeti.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!