Friday , 3 May 2024
Home Kitengo Michezo Ukitaka pesa leo, njoo Meridianbet
Michezo

Ukitaka pesa leo, njoo Meridianbet

Spread the love

NI Jumapili tulivu kabisa ambapo ukikaa na kutulia leo hii unaweza kuondoka na kitita cha mpunga wa maana kwani ligi mbalimbali Duniani leo hii zinapigwa huku Kampuni bora kabisa ya ubashiri meridianbet ikiwa tayari imekusogezea ODDS KUBWA. Ingia na ubashiri sasa.

EPL leo mechi ya kuvutia Jumapili ya leo ni ile ya wenyeji Manchester United dhidi ya Tottenham Hot Spurs majira ya saa 1:30 usiku katika dimba la Old Trafford huku United akikumbuka kupoteza kwenye mchezo wa raundi ya kwanza. Mechi hii imepewa ODDS 2.11 kwa 3.04. Jisajili na ubeti.

Saa 11:00 jioni Everton watamualika Aston Villa ambaye amekuwa na kiwango kizuri sana msimu huu. Nafasi kubw aya kushinda mechi hii amepewa Unai Emiry na vijana wake akiwa na ODDS 2.40 kwa 2.74. Je nani uondoka kifua mbele?. Beti sasa.

Pale SERIE A nako hapatapoa leo hii na tutashuhudia Lazio ya Mauricio Sarri ikikiwasha dhidi ya US Lecce ambao wamepewa ODDS 5.29 kushinda mechi hii kwa 1.67. Tofauti ya pointi kati yao ni 9 pekee. Je Sarri kuendelea kupata ushindi na mechi hii?. Tengeneza mkeka wako na ubashiri hapa.

Lakini mteja ukiwa natengeneza jamvi lako, usisahau kucheza michezo ya Kasino ya mtandaoni na meridianbet kama vile Poker, Aviator, Roulette, na Sloti ambayo kwa dau dogo tuu unaweza kupuna mapene ya kutosha.

Ifikapo saa 2:00 usiku nao Fiorentina watashuka dimbani kumenyana dhidi ya Udinese huku timu zote zikitoka kupoteza mechi zao zilizopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 4 na mgeni yupo nafasi ya 16. Mara ya mwisho kukutana Fiorentina alishinda. Nani kushinda leo?

Jumapili ya leo itamaliziwa na mechi ya kibabe usiku wa saa 4:45 katia ya mwenyeji AC Milan ya Pioli dhidi ya AS Romaya Mourinho. Meridianbet wamempa Milan nafasi kubwa ya kushinda mechi hii kwa ODDS 2.22 kwa 3.38. Roma atalipa kisasi leo baada ya kupoteza mechi ya kwanza walipokutana?. Bashiri na meridianbet.

Pia ligi ya ya Hispania, LALIGA kitawaka leo hii mechi ya mapema kabisa itakuwa saa 10:00 jioni ambapo UD Almeriaatakiwasha dhidi ya Girona ambaye yupo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi. Na meridianbet wamempa mgeni nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi kwa ODDS 1.61 kwa 4.70. Bashiri mechi hii.

Mechi nyingine ni kati ya Cadiz dhidi ya Valencia ambapo mwenyeji anapambana atoke nafasi ya chini aliyepo. 2.94 kwa 2.60 ndio ODDS za mechi hii. Je nani kuondoka na pointi tatu leo hii?. Tengeneza mkeka wako sasa.

BUNDESLIGA baada ya kupigwa mechi kadhaa jana, leo hii kuna zingine za kukupa pesa ni wewe uchague uweke machaguo gani, Borussia Monchengladbach atakiwasha dhidi ya VFB Stuttgart ambaye ni wa 3 kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji ni wa 12, na ODDS zao ni 3.77 kwa 1.84. Bashiri hapa.

Bochum atakuwa mwenyeji wa Werder Bremen katika dimba la Vonovia Ruhrstadion huku timu hizo zikiwa zinalingana pointi yani 16. Mwenyeji kushinda mchezo huu ana ODDS 2.21 kwa 2.99. Beti sasa.

Vilevile kule Ufaransa ligi yao pendwa LIGUE 1 itaendelea saa 9:00 jioni Lille anamkaribisha Lorient ambaye yupo chini ya msimamo wa ligi hiyo, huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 7. 1.28 na 9.80 ndio ODDS za mechi hii. Beti sasa.

Nantes naye atakipiga dhidi ya Clermont Foot ambaye ni kibonde wa ligi akiwa amepewa ODDS 4.01 na mwenyeji amepewa 1.93. Je kibonde anaweza shinda mbele ya mtu wa 13? Suka mkeka sasa.

Majira ya saa 1:05 usiku Le Havre atakuwa akijitafuta mbele ya Olympique Lyon ambaye ameshinda mechi tatu mfululizo kwenye ligi hadi sasa. Lyon amepewa nafasi kubwa na Meridianbet kushinda mechi hii akiwa na ODDS 2.29 na mgeni akipewa 3.14. Nani ni nani leo?

Ligi hiyo itahitimishwa na mechi ya kukata na shoka kati ya wenyeji RC Lens dhidi ya vinara PSG ambao wana nafasi kubwa ya kuondoka na pointi tatu wakiwa na ODDS 1.86 huku mwenyeji akiwa na 3.72. Mara ya mwisho kukutana Paris waliondoka na ubabe. Je beti yako unaipeleka wapi? Ingia na ubeti sasa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!