Thursday , 2 May 2024
Home Kitengo Michezo AFCON kuendelea kuwaka moto leo
Michezo

AFCON kuendelea kuwaka moto leo

Spread the love


MICHUANO
 ya mataifa ya Afrika yanayofahamika kamaAFCON kwa mwaka huu 2024 inaendelea tena leo namichezo kadhaa itakwenda kupigwa katika viwanja tofautitofauti.

Baada ya sherehe za ufunguzi wa michuano hiyo kufana usikuwa jana na kuwaacha wenyeji wa michuano hiyo kwa mwakahuu timu ya taifa ya Ivory Coast wakipata matokeo ya ushindiwa mabao mawili kwa bila dhidi ya Guinnea Bissau katikamchezo huo wa ufunguzi.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako. utakua nimchezo wa pili kukutanisha vilabu hivyo msimu huu baada yakukutana

Mabingwa wa muda wote wa michuano hiyo timu ya taifa yaMisri leo watashuka dimbani kumenyana na timu ya taifa yaMsumbiji kwenye mchezo wao wa kwanza wa kundi B, HukuMisri mabingwa mara nyingi zaidi wa michuano hiyo wakipewanafasi zaidi ya kushinda mchezo huo.

Mchezo mwingine utakaopigwa leo katika michuano mikubwakabisa ya soka barani Afrika ni mchezo wa kundi A, Ambapotimu ya taifa ya Nigeria mabingwa mara tatu wa michuano hiyowatamenyana na timu ya taifa ya Equatorial Guinea katikamchezo mkali utakaopigwa katika dimba la Allasane Quattara.

Pale kundi utapigwa mchezo mwingine ambao utawakutanishamabingwa mara nne wa michuano ya mataifa ya Afrika timu yataifa ya Ghana watacheza dhidi ya timu ya taifa ya Cape Verde, Huku timu ya taifa ya Ghana wakipewa nafasi kubwa zaidi yakushinda mchezo huo japokua Cape Verde nao wana kikosikizuri cha kuweza kuleta ushindani.

Mabingwa wa michuano ya kubashiri kampuni ya Meridianbetnao hawatakua nyuma kwani watahakikisha wewe mteja waounafanikiwa kupiga mkwanja kupitia ambapo watamwagaODDS KUBWA na za kutosha katika michezo ya michuanohiyo, Huku wakiwa ambapo wamekuja na kampeni yaoinakuambia KAPU LA AFCON NGOMA INOGILEEEEE.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiana uweke mkeka wako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!