Tuesday , 7 May 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

ElimuHabari za Siasa

NBC yaunga mkono ufaulu somo la hesabu Ubungo

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendelea kuunga mkono jitihada za serikali katika kuboresha sekta ya elimu nchini, kwa kufadhili mpango wa kuchochea...

Biashara

Hii hapa michezo 5 ya kasino inayobamba Mwaka 2024

NI mwaka mpya umefika ukiwa na mambo mapya, hiviumeukaribisha mwaka mpya 2024 ukiwa kiwanja gani? Ikohivi hapa mjini na popote ulipo kuna sehemu...

KimataifaTangulizi

Felix Tshisekedi ashinda tena urais DRC

RAIS Mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi, amefanikiwa kutetea kiti chake baada ya kutangazwa mshindi kwenye uchaguzi wa urais...

Biashara

Casino Stud Poker Karata zinakupa ushindi kirahisi

JE wewe ni bingwa wa kucheza karata na umeshindikanamtaani kwako, unahisi hakuna anayekuwezea? Huu hapamchongo mpya wa kutengeneza pesa nyingi hukuunaburudika na kucheza...

Michezo

Ligi Kuu England imerejea na maokoto yake ndani ya Meridianbet

  LIGI kuu ya Uingereza maarufu kama EPL leo itaendelea katikwa viwanja mbalimbali ambapo michezo kadhaa itapigwa ikiwa itatoa nafasi ya kuweza kushinda...

Kimataifa

Vita Gaza: Afrika Kusini yaishtaki Israel ICC

NCHI ya Afrika Kusini, imefungua kesi katika Mahakama ya Kimataifa ta Uhalifu wa Jinai (ICC), dhidi ya Israel ikiituhumu kwa kufanya mauaji ya...

Afya

Biteko azindua zahanati Ilala, 12,000 kufaidika

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dk. Doto Biteko amezindua Zahanati ya Bungoni iliyopo mtaa wa Mafuriko Ilala  jijini Dar es...

Michezo

Championship kutoa mkwanja leo

NCHINI Uingereza leo ligi daraja la kwanza maarufu kamaChampionship itaendelea ambapo itapigwa michezo mingiambayo inaweza kutoa nafasi kwa wateja wa Meridianbetkupiga maokoto ya kutosha....

Biashara

Cheza sasa kasino ya Mighty Empire ushinde mara 2500 ya dau lako

Mighty Empire Hold and Win ni sloti mtandaoni iliyoletwana mtoa huduma iSoftBet. Mchezo huu una bonasi ambazohutolewa kwa wachezaji wote wa kasino ya...

KimataifaTangulizi

Anne mkosoaji wa Kagame afariki, kifo chaibua utata

Anne Rwigara (41), aliyekuwa mkosoaji wa Serikali ya Rwanda na mtoto wa mfanyabiashara maarufu wa zamani nchini Rwanda, Assinapol Rwigara amefariki dunia nchini...

Biashara

Meridianbet yawafikia wajasiliamali wa Mbagala Rangi Tatu

WAJASIRIAMALI wadogowadogo kutoka mitaa ya MbagalaRangi Tatu jijini Dar-es Salaam wafikiwa na kampunibingwa ya michezo ya kubashiri Meridianbet ambapowamefanikiwa kupokea msaada kutoka kwa kampuni...

Michezo

Jumatano ya kuokota na Meridianbet, usipange kuikosa

MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni yaMeridianbet hawataki mteja wake utie huruma, Kwanikipindi hichi cha sikukuu wanataka kuhakikisha watejawake mnapiga maokoto ya kutosha katika...

Kimataifa

Sherehe za Christmas chungu kwa wapalestina, 241 wauawa

WAPALESTINA 241 wameripotiwa kuuawa, huku 382 wakijeruhiwa katika operesheni ya kijeshi iliyofanywa na vikosi vya kijeshi vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza, ndani...

Biashara

Uwezo wa Mungu wa Kigiriki Zeus kukupa maokoto kila siku ndani ya Meridianbet

  KABLA sijakupa kisa cha miungu ya Kigiriki hususani mungu Zeus, unapaswa kuelewa kwamba kwa kutambua historia ya kale hususani ya Taifa la...

Michezo

Boxing Day, fungua zawadi na Meridianbet

  LEO Jumanne ya Boxing day yaani siku ya kufungua zawadi basi michezo mbalimbali ya ligi kuu ya Uingereza itapigwa katika viwanja tofauti...

Habari za SiasaKimataifa

Tshisekedi aongoza kwa 81%, Katumbi 15% uchaguzi DRC

TUME ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, CENI, imetoa matokeo zaidi ya awali ya uchaguzi wa rais, yakionesha rais Felix Tshisekedi...

Biashara

Fanya haya ushinde kiurahisi sloti ya Book of Eskimo

  MSIMU wa Sikukuu wa Krismas na Mwaka mpya hutawaliwa na theluji wenyewe huita White Chrismas, wakiwa na maana ya kwamba Krismasi nyeupe....

Afya

Hospitali binafsi zamwomba Rais Samia asitishe bei mpya ya matibabu

WAMILIKI wa hospitali binafsi nchini wametishia kugomea kutibu wagonjwa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), iwapo bei mpya zilizotangazwa na...

Biashara

Sakura Wind mchezo wa kasino wenye siri kubwa ya ushindi

SAKURA Wind ni sloti kutoka kasino ya mtandaoni yaMERIDIANBET yenye nguzo tano zilizoandaliwa katikasafu tatu na mistari 20 ya malipo. Ili kushinda, unahitajikupata...

Habari za SiasaKimataifa

Askofu Mkuu: Uchaguzi DRC umekuwa wa machafuko

Katika misa yake ya Krismasi, Askofu Mkuu wa Kinshasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Kardinali Fridolin Ambongo ameelezea jana Jumapili jioni...

Michezo

Biteko ashiriki Rombo marathon, apongeza ubunifu

  NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Jumamosi ameshiriki mashindano ya Rombo Marathon yaliyohusisha mbio za Kilomita...

Michezo

Kivumbi na jasho wikiendi hii pale Anfield

  JUMAMOSI hii utapigwa mchezo mkali sana katika ligi kuu ya Uingereza ambapo utashuhudia vinara wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Arsenal...

Afya

Wananchi walia ujenzi kituo cha afya kukwama kwa miaka 8

Wananchi wa kijiji cha Songambele kilichopo kata ya Magamba wilayani Songwe mkoani humo, wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa kituo cha afya Ileza ambacho...

Biashara

Cheza sloti na Meridianbet ujishindie Samsung A32

KIPINDI hiki cha sikukuu kampuni bingwa ya michezo yakubashiri ya Meridianbet imekuja na promosheni kabambeambayo itatatoa ofa kwa washindi watakaocheza michezo yaKasino mitandaoni. Anaripoti...

Biashara

Aviator mchezo wa kasino unaotoa beti za bure kila siku

ILIKUWA ni asubuhi moja ya Jumatano kijana mmoja kutokafamilia duni aliamka mapema sana kisha akaanza kujiandaakwenda shule, kwakuwa alikuwa anaishi kwenye hali yaufukara...

Biashara

NMB yawazawadia washindi 100 waliobahatika droo ya 7 ya MastaBata

BENKI ya NMB imetangaza washindi 100 waliobahatika katika droo ya 7 ya kampeni yake ya MastaBata Halipoi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana...

Michezo

Simba gari limewaka Ligi ya Mabingwa Afrika

KUNA msemo waswahili wanasema baada ya dhiki faraja nahichi ndicho kinaonekana kwa klabu ya Simba kwasasa, Kwani walipitia kipindi kigumu lakini wameonekanakuanza kurejea...

Michezo

Yanga yaandika rekodi mpya CAFCL

MARA ya kwanza ilikuwa ni mwaka 1998 takribani miaka 25 imepita tangu Yanga aingie hatau ya makundi bila kushindamchezo wowote kwenye kundi lake...

Biashara

Vodacom waendesha mafunzo ya Tehama na Sayansi kwa wanafunzi wa kike

Meneja Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania PLC, Naiman Moshi (kulia) akikabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya masomo ya TEHAMA na Sayansi kwa mwanafunzi...

Biashara

Tanzania mwenyeji wa mkutano wa tano wa kimataifa wa Tanzania Energy Cooperation Summit 2024

WAWEKEZAJI  kutoka sekta mbalimbali, fedha na serikali zitakutana kuonyesha uwezo ilionao Tanzania. Uwezo ambao unaonyeshwa na nchi ambayo kwa sasa imeorodheshwa kuwa ya...

Biashara

Watakaolipa kwa M-Pesa Lake Energies kupata punguzo la bei

  WATEJA wa Kampuni ya Vodacom ambao watakaofanya manunuzi ya mafuta katika vituo vya mafuta vya Lake Energies kwa kutumia M-Pesa watapata punguzo...

Afya

Wafanyakazi NMB watoa mil. 11 matibabu ya watoto JKCI

WAFANYAKAZI wa Idara ya Wateja Wadogo na Biashara ya Benki ya NMB, wameikabidhi Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ya Dar es...

AfyaTangulizi

Fedha za TASAF zamaliza kero ya huduma ya mama na mtoto Njombe

  MGANGA Mfawidhi wa Hospitali ya Kibena, iliyopo katika Halmashauri ya Njombe, Dk. Helena Msese amesema kabla ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii...

Kimataifa

Wananchi DRC kuamua hatima yao leo

NCHI ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), leo tarehe 20 Disemba 2023, inafanya uchaguzi wake mkuu huku vigogo watatu, Rais anayemaliza muda...

Kimataifa

Mahakama yamwekea kigingi Trump urais 2024

MBIO za aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump kuliongoza tena taifa hilo, zimeingia doa baada ya kuwekewa kipingamizi cha kugombea kwenye Uchaguzi Mkuu...

Kimataifa

Tetemeko la ardhi lauwa watu 118 China

TETEMEKO la ardhi lililotokea nchini China maeneo ya Kaskazini-Magharibi, limesababisha vifo vya watu zaidi ya 100 na kujeruhi 397. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....

Afya

Haya ndio maboresho ya kitita cha mafao – NHIF

KATIKA kuboresha huduma za matibabu nchini na kuendana na bei halisi ya utoaji wa huduma hizo, Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya...

Michezo

Mtanzania mwingine aogopwa Ukraine, akalia ubao miezi miwili

  NI miezi miwili sasa tangu Shaktar Donetsk ya Ukraine kufanya mabadiliko kwenye benchi lao la ufundi kwa kumfukuza mwalimu Patrick Van Leeuwen...

Biashara

Sloti ya Secret Book of Amun Ra maajabu ya kasino

  SECRET Book of Amun Ra sloti unatufanya turejee Misri ile ya kale yenye maandiko mbalimbali ya vitabu na historia isiyosahaulika ya taifa...

AfyaTangulizi

Wajawazito wadaiwa kujifungulia sakafuni, Serikali yatoa kauli

BAADHI ya akina mama wajawazito katika Kituo cha Afya cha Buzuruga, kilichopo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, wanadaiwa kujifungulia chini kwenye...

ElimuTangulizi

Haya hapa majina wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2024

Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ametangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza...

Michezo

Sir Jef Ratcliffe ampiga dongo Bruno kuelekea mchezo dhidi ya Liverpool

TAREHE 8 Septemba 1994 ni siku muhimu sana kwa kijanawa Kireno kutoka mitaa ya Maia, Bruno Miguel Borges Fernandes ni jina lililo kwenye vitabu...

Michezo

Ni Liverpool dhidi ya Man United kwenye Super Sunday

JUMAPILI ya leo itakua ya kibabe sana kwani kutakua namichezo kadhaa ambayo inaweza kwenda kuhakikishaunapiga mkwanja wa kutosha, Lakini shughuli nzimaitasimamiwa na mchezo mkali...

Biashara

Infinix yawafikia wateja wa simu yao mpya na punguzo la bei

KWMPUNI ya simu za mkononi Infinix Tanzania inaendelezashangwe kwa wateja wake, Infinix ilianza kwa uzinduzi wapromosheni za Christmass mwanzoni mwa mwezi huu, hawajaishia...

Biashara

Meridianbet yamwaga msaada kwa madereva wa Bajaj

KAMPUNI bingwa ya michezo ya kubashiri Meridianbetimefanikiwa kutoa msaada kwa madereva Bajaji katikamaeneo mbalimbali jijini Dar-es-salaam ambapo wametoa maturubai ya kufunga kwenye Bajaji. Anaripoti...

Kimataifa

Mpinzani DRC atangaza kuungana na waasi wa M23

Kiongozi wa upinzani wa Congo anayeishi uhamishoni, Corneille Nangaa jana Ijumaa ametangaza kuunda kitengo cha kisiasa cha kijeshi kitakachokuwa mshirika wa kundi la...

Michezo

Wikiendi ya maokoto ndani ya Meridianbet

  WIKIENDI imefika na ni muda wa kufanya maokoto na kampuni bingwa kabisa ya michezo ya kubashiri ya Meridianbet kwani itakwenda kupigwa michezo...

Biashara

Meridianbet kasino yaja na toleo hili jipya la sloti

  MERIDIANBET kasino ya mtandaoni hatimaye tena tumekusogezea Sloti yenye hadithi ya nguruwe watatu na mbwa mwitu wanaotema Mamilioni kibao kwa mzunguko mmoja....

Biashara

Ukicheza sloti ya Winning Clover 5 Extreme kushinda Meridianbet ni rahisi

    WINNING Clover 5 Extreme ni sloti ya kasino ya mtandaoni yenye nguzo tano zilizopangwa katika mistari mitatu, mistari mitano ya ushindi....

Afya

Manumba: Bilioni 4.7 zimebadili afya Kigoma DC

SERIKALI ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluh Hassan imetoa zaidi ya Sh bilioni 4.7 katika kuboresha huduma za afya halmashauri...

error: Content is protected !!