MBUNGE wa Ulanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Goodluck Mlinga ameihoji Serikali ya Tanzania jinsi ilivyojipanga kudhibiti matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii....
By Hamisi MgutaMay 26, 2020UCHAGUZI Mkuu nchini Burundi umefikia tamati, malalamiko yanayotolewa na vyama vya upinzani baada ya Jenerali mstaafu Evariste Ndayishimiye wa chama tawala – CNDD-FDD...
By Hamisi MgutaMay 26, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Tabora nchini Tanzania, inamshikilia Ismail Aden Rage kwa tuhuma za rushwa na kuanza...
By Masalu ErastoMay 25, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa COVID-19 ambao umeanza kupungua nchini humo. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageMay 24, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka wabunge wenye ushahidi juu ya tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, kuuweka hadharani. Anaripoti Kelvin Mwaipungu,...
By Kelvin MwaipunguMay 24, 2020CHAMA cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, kimeielekeza Serikali kuweka mikakati itakayomaliza changamoto ya uhaba wa sukari nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pwani … (endelea)....
By Regina MkondeMay 23, 2020KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally ametaja mambo makubwa matatu yanayowezesha Tanzania kushinda vita ya mapambano ya maambukizi ya...
By Mwandishi WetuMay 23, 2020ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, ameunda timu ya watu kumi ili kuandaa Ilani ya Uchaguzi Mkuu 2020/2025. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuMay 23, 2020KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) nchini Tanzania, imebaini hadi kufikia tarehe 30 Aprili, 2020 zaidi ya Sh. 712.4...
By Mwandishi WetuMay 22, 2020Tazama LIVE Mkutano wa Bunge, Mkutano wa 19 kikao cha 35 tarehe 22 May 2020
By Hamisi MgutaMay 22, 2020OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania, imeanza ukaguzi maalumu kwa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA). Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 22, 2020KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) nchini Tanzania, imebaini upungufu katika maeneo mawili ndani ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)...
By Mwandishi WetuMay 22, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepata pigo jingine, kufuatia hatua ya wabunge wake wawili, Suzana Maselle (Mwanza) na Joyce Sokombi (Mara), kutangaza...
By Masalu ErastoMay 22, 2020HATUA ya Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutaka wananchi wafungiwe...
By Regina MkondeMay 22, 2020Tazama LIVE Mkutano wa Katibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole akizungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu mambo mbalimbali...
By Hamisi MgutaMay 22, 2020CHAMA cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania amewatangazia kiama, watumishi wa umma, wakiwemo wateule wa Rais John Magufuli walioanza kampeni mapema za uchaguzi mkuu...
By Mwandishi WetuMay 22, 2020IDRIS Sultani, Msanii wa Vichekesho nchini Tanzania, leo Ijumaa tarehe 22 Mei 2020, anaweza kufikishwa mahakamani, kwa kosa la kuidhihaki picha ya Rais...
By Masalu ErastoMay 22, 2020ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, amehoji matokeo ya kamati iliyoundwa kuchunguza sakata la vipimo vya ugonjwa wa homa kali ya mapafu,...
By Faki SosiMay 21, 2020SERIKALI ya Tanzania inatarajia kupokea fedha za msaada, kwa ajili ya kukabiliana na athari za mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu,...
By Mwandishi WetuMay 21, 2020JOHN Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewaonya watu watakaopokea misaada ya vifaa vya kupambana na janga la virusi vya...
By Mwandishi WetuMay 21, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametangaza kufunguliwa kwa vyuo vyote nchini, michezo ya aina yote pamoja na wanafunzi wa kidato cha sita kuanzia...
By Mwandishi WetuMay 21, 2020UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amewashangaa wale wote waliokuwa wakihoji alipo Rais wa Tanzania, John Magufuli...
By Mwandishi WetuMay 21, 2020RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli leo Alhamisi tarehe 21 Mei 2020 amewaapisha viongozi sita aliowateua hivi karibuni. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 21, 2020SAKATA la wabunge wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuvuliwa uanachama wa chama hicho, sasa limechukua sura mpya. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Mwandishi WetuMay 20, 2020JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri na Cecil Mwambe, Mbunge wa Ndanda aliyejiengua Chadema, wameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania. Anaripoti Faki Sosi,...
By Faki SosiMay 20, 2020VYOMBO vya habari nchini Tanzania, vimetakiwa kutoa uwiano sawa kwa wanawake na wanaume wakati wa kuhabarisha umma hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi...
By Mwandishi WetuMay 20, 2020SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa sekta binafsi, inaandaa mpango wa taifa wa kuimarisha huduma kwa watu wenye ulemavu nchini. Anaripoti...
By Regina MkondeMay 20, 2020MBUNGE wa Tunduma, Frank Mwakajoka (Chadema) amesema, Serikali imeshindwa kutatua tatizo la upatikanaji wa umeme katika mpaka wa Tunduma mkoani Songwe kwa muda...
By Danson KaijageMay 20, 2020MKUU wa Mkoa wa Arusha (RC), Mrisho Gambo amesema, Serikali ya Kenya inakata kutumia ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) kuua utalii...
By Mwandishi WetuMay 20, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa tuhuma za kuhusika na upotevu...
By Mwandishi WetuMay 19, 2020PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, amewaagiza wananchi wa jiji hilo kurejea kwenye shughuli zao kama ilivyokuwa awali....
By Faki SosiMay 19, 2020MBUNGE wa Kilombero, Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Peter Ambrose Lijualikali (35), amekuwa mbunge wa 17 kutoka Chama cha Demokrasia...
By Mwandishi WetuMay 19, 2020MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), amemuomba radhi Abdulrahman Kinana, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kumhusisha na...
By Hamisi MgutaMay 19, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa sababu za kuchelewa kutoa vibali vya utoaji elimu ya mpiga kura na uangalizi wa...
By Regina MkondeMay 19, 2020SERIKALI ya Tanzania imerejesha huduma ya safari za ndege za abira za kimataifa, zilizositishwa mwezi mmoja uliopita. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Regina MkondeMay 19, 2020MBUNGE wa Kilombero (Chadema), Peter Lijualikali, amejiondoa katika chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza bungeni Mjini Dodoma jioni ya leo,...
By Mwandishi WetuMay 18, 2020JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameonesha kukerwa na kitendo cha Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Deemokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, kuzungumza na...
By Mwandishi WetuMay 18, 2020SERIKALI ya Tanzania, imewasilisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2020 bungeni ambao pamoja na mambo mengine, unapendekeza mawakili wanaoteuliwa...
By Danson KaijageMay 18, 2020SERIKALI imeeleza kwamba, pindi taratibu zitakapokamilika, wachimbaji katika Wilaya ya Mbogwe, Geita watapatiwa leseni za uchimbaji. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli...
By Danson KaijageMay 18, 2020SHUGHULI za Bunge la 11 nchini Tanzania, zinatarajiwa kuhitimishwa rasmi tarehe 19 Juni 2020 kwa Rais John Magufuli kulihutubia. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Taarifa...
By Mwandishi WetuMay 18, 2020WAKATI michakato ya kuwapata wagombea ndani ya vyama vya siasa watakaoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 nchini Tanzania ukiendelea, wito umetolewa kwa vyama...
By Masalu ErastoMay 18, 2020DK. Faustine Ndigulile, amekuwa kiongozi wa sita, ndani ya wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, kuenguliwa kwenye wadhifa wake....
By Mwandishi WetuMay 18, 2020RAIS John Magufuli amemwagiza Dk. Hamisi Kigwangalla, Waziri wa Utalii na Injinia Isack Kimwelwe, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano kuruhusu ndege za utalii...
By Faki SosiMay 17, 2020MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameeleza kuwa mapambano dhidi ya gonjwa la Corona, hayahitaji mzaha au kibri. Anaripoti...
By Hamisi MgutaMay 17, 2020RAIS John Magufuli anafikiria kufungua Vyuo Vikuu wiki ijayo, ili wanafunzi wanendelee na masomo iwapo maambukizi ya virusi vya corona yataendelea kupungua. Anaripoti...
By Faki SosiMay 17, 2020DK. Faustine Ndugulile, amemshukuru Rais wa Tanzania, John Pombe Mangufuli kumteua kufanya kazi kama naibu waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee...
By Mwandishi WetuMay 17, 2020RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua, Dk. Godwin Mollel kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya...
By Regina MkondeMay 16, 2020MKURUGENZI wa Mambo ya Nje, Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mrema, amedai kuwa wabunge wake waliofukuzwa wana...
By Mwandishi WetuMay 16, 2020SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imepokea mashine moja kati ya tatu ya kupima ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya...
By Mwandishi WetuMay 15, 2020ALIYEKUWA makamu mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Prof. Abdallah Safari, amekosoa uaamuzi wa Kamati Kuu (CC) ya chama...
By Faki SosiMay 15, 2020