Sunday , 28 April 2024
Home mwandishi
8733 Articles1251 Comments
Habari Mchanganyiko

NMB yamwaga mamilioni halmashauri tatu Morogoro

BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa mbalimbali katika sekta ya afya na elimu kwa halmashauri tatu za Mlimba, Malinyi na Manispaa ya...

Habari Mchanganyiko

Mhariri Raia Mwema apata pigo

  MHARIRI wa Gazeti la Raia Mwema, Martin Malera, amepata pigo baada ya kufiwa na mkewe, Patricia Malera, ikiwa ni miezi michache tangu...

Habari Mchanganyiko

TRA yakusanya Tril. 5.9/- kuanzia Januari hadi Machi

  MAMLAKA ya Mapato Tanzania(TRA), imekusanya Sh. 5.9 trilioni katika robo ya tatu (Januari-Machi) ya mwaka wa fedha 2022/23 ikiwa ni sawa na...

Habari Mchanganyiko

NIDA yatahadharisha uwepo matapeli kuhusu ajira

  MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesema haijatangaza nafasi za kazi baada ya kuwepo kwa taarifa za baadhi ya wananchi kupigiwa simu...

Kimataifa

Kenya kurusha satelaiti yake ya kwanza ya uchunguzi wa dunia

  KENYA inajiandaa kurusha satelaiti yake ya kwanza kabisa ya uchunguzi wa dunia katika kile kinachoelezwa kuwa mafanikio ya kihistoria katika juhudi za...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema watolea uvivu wabunge wa CCM bungeni

  MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, (Chadema), Aida Khenani, amewataka baadhi ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), “waache unafiki” ili wamsaidie Rais Samia...

AfyaHabari za Siasa

Wabunge walia na serikali uchakavu vituo vya afya

  BAADHI ya wabunge wameihoji Serikali ina mpango gani wa kuboresha vituo vya afya chakavu, ili viweze kutoa huduma bora za afya kwa...

Habari Mchanganyiko

Ugonjwa mpya wa zinaa waibuka Kenya

WAKATI wanasayansi wakihaha kutafuta dawa ya kutibu Virusi Vya Ukimwi (VVU), nchini Kenya imebainika kuwa kuna ugonjwa mpya unaohusiana na magonjwa ya zinaa....

Habari Mchanganyiko

Ditopile agawa futari Kondoa, asisitiza Watanzania kuliombea Taifa

KATIKA  mendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma,  Mariam Ditopile amegawa futari kwa wazee, wajane na watu...

Habari Mchanganyiko

GGML yaunga mkono jitihada kupanda miti Halmashauri ya Mbogwe

WAKATI Tanzania ikiadhimisha Siku ya Upandaji Miti Kitaifa tarehe 1 Aprili 2023, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeahidi kudumisha dhamira yake...

Michezo

Mwarabu mshindi wa Tsh 54m apatikana

NI stori ambayo inafanya vizuri sana kwa vijana wengi wenye ndoto za kumiliki magari, nyumba na kusimamia biashara zao, habari za Mwarabu mshindi...

Habari Mchanganyiko

Finland kuwa mwanachama wa NATO kuanzia kesho

  Finland itakuwa mwanachama wa 31 wa Muungano wa Kijeshi wa NATO kuanzia kesho Jumanne tarehe 4 Aprili 2023. Yameripoti Mashirika ya Kimataifa...

Habari za Siasa

Zitto atia neno maandalizi Dira ya Taifa 2050

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameshauri mchakato wa maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uwe wa wazi pamoja...

Habari Mchanganyiko

Ramadhan Omary achaguliwa kuwa Katibu wa Baraza la Wafanyakazi TMA

  WAJUMBE wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) wamemchagua, Ramadhani Omary kuwa Katibu wa Baraza la Wafanyakazi...

Kimataifa

Benki ya Dunia yaonesha wasiwasi juu mikopo ya China kwa Afrika

  RAIS wa Benki ya Dunia (WB), David Malpass amesema ana wasiwasi kuhusu baadhi ya mikopo ambayo China imekuwa ikitoa kwa nchi zinazoendelea...

Habari za Siasa

Simbachawene, Jenista wala kiapo Ikulu

RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwenye...

Habari Mchanganyiko

NMB yafuturisha wateja wake Dar, Mufti Zuberi asema…

KATIKA kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhan, Benki ya NMB mwishoni mwa wiki iliandaa hafla ya futari kwa wateja wake jijini Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Rais Samia apangua mawaziri

RAIS Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, Kwa kuwahamisha mawaziri wawili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Ditopile aungana na Wana-Kongwa kwa Iftar, wamuombea dua Rais Samia

KATIKA muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile (CCM) ameungana na Waumini zaidi ya 500...

Habari za Siasa

RC mstaafu afariki dunia, CCM yamlilia

ALIYEWAHI kuwa mkuu wa mikoa ya Dodoma, Mara, Mtwara na Arusha kwa nyakati tofauti, Isdory Shirima amefariki dunia leo tarehe 31 Machi 2023....

Habari Mchanganyiko

Luhemeja ahimiza utunzaji rasilimali maji kwa faida ya vizazi vijavyo

  NAIBU Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema kuendeleza na kutunza rasilimali za maji hapa nchini ni jambo la msingi...

Habari za Siasa

Kamala ataja hatua mpya kuimarisha uhusiano wa kibiashara Tanzania, Marekani

KATIKA kuimaridha uhusiano wa kibiashara na kiuchumi baina ya Tanzania na Marekani, Makamu wa Rais wa Taifa hilo kubwa duniani, Kamala Harris, amesema...

Habari Mchanganyiko

NMB yadhamini mkutano TEF, yapewa cheti

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limetoa cheti cha utambuzi kwa Benki ya NMB kuwa moja ya wadhamini wakuu wa mkutano wa 12 wa...

Habari za Siasa

Ukaguzi wa CAG yabaini madudu ‘Plea Bargain’

  UKAGUZI Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu fedha makubaliano ya washatakiwa na Ofisi ya Taifa ya Mwendesha Mashitaka...

Habari Mchanganyiko

NHIF yazidiwa, yalipa malipo kwa vituo hewa

  MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Charles Kicheere amesema ukaguzi wa mfumo wa ulipaji wa Mfuko wa Bima ya Afya...

Kimataifa

Marekani yatia mguu maaandamano Kenya, yatoa maagizo kwa Rais Ruto, Odinga

  Mabalozi kutoka nchi sita za Magharibi, zikiongozwa na Marekani, zimeonesha wasiwasi kuhusu maandamano yanayoendelea nchini Kenya na kutaka kuwepo kwa maridhiano kati...

Kimataifa

Papa Francis alazwa hospitali kutokana na maambukizi ya mapafu

  KIONGOZI wa Kanisa katoliki duniani, Papa Francis jana Jumatano amelazwa hospitali kutokana na maambukizi ya mapafu baada ya kukabiliwa na matatizo ya...

Habari Mchanganyiko

NMB yakabidhi vifaa vya ujenzi, samani kwa shule ya msingi Sinyaulime, Chuo cha FDC Morogoro

BENKI ya NMB imekabidhi vifaa vya ujenzi kwa shule ya msingi Sinyaulime na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa (FDC) vyenye thamani ya...

Makala & Uchambuzi

Kondomu zinavyotumika kufukuza Tembo

MIKUMI ni miongoni mwa hifadhi za Taifa, inashika nafasi ya 9 kwa ukubwa kati ya hifadhi 22 zinazosimamiwa na Shirika la Hifadhi za...

Habari Mchanganyiko

NMB Bonge la Mpango – ‘Moto Uleule’ yazinduliwa, Milioni 180…

MSIMU wa tatu wa Kampeni ya kuhamasisha utamaduni wa Kuweka Akiba na Benki ya NMB ‘NMB Bonge la Mpango’, umezinduliwa rasmi na Mkuu...

Habari za Siasa

TEMESA iliyokarabati Kivuko kwa Bil 7.5 yapata hati chafu

  MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kicheere ametoa hati mbaya kwa Wakala wa Umeme na Ufundi Tanzania (TEMESA)...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yakusanya Mil 8.5/- kodi ya zuio na kutokomea nazo

  MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amesema amebaini upotevu wa kodi ya zuio ya Sh 749 uliotokana...

Habari za Siasa

DC Kasilda Mgeni ahamasisha chakula shuleni

  MKUU wa Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewataka wazazi kupeleka chakula shuleni, ili watoto wasiwe watoro, hali ambayo itaongeza ufaulu....

Habari Mchanganyiko

Rais Samia awataka wahariri kufanya kazi bila uoga, upendeleo

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amewataka wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari Tanzania kufanya kazi kitaaluma bila uoga, upendeleo na uonevu. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

STAMICO yasaini mkataba wa bilioni 55.2 kuchoronga miamba GGML

SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limezidi kufanya vizuri katika shughuli za uchorongaji miamba ya madini baada ya kusaini mkataba wa thamani ya...

Habari Mchanganyiko

NMB yatoa traksuti za Mwenge wa Uhuru Mtwara

BENKI ya NMB imetoa traksuti kwa mkoa wa Mtwara ambako kutafanyika shughuli ya kuwashwa Mwenge wa Uhuru Aprili 2, 2023, katika Uwanja wa...

Kimataifa

Nyumba ya babu yake Makamu wa Rais wa Marekani yatafutwa Zambia

  KAMALA Harris, makamu wa rais wa Marekani, amepanga kutembelea nyumba ambayo aliwahi kuishi yeye na babu yake miaka ya 1960, jambo ambalo...

Habari Mchanganyiko

Mkulima maarufu Mbeya amuangukia Majaliwa, alizeti yadoda ghalani

  MKULIMA maarufu wa mazao ya alizeti, mahindi, mpunga pamoja na mazao mengine ya chakula katika mkoa wa Mbeya, Raphael Ndelwa amesema shehena...

Kimataifa

Benki ya Uswizi mbioni kuziwekea vikwazo akaunti za siri za Wachina

  WAKATI Serikali na Benki ya Uswizi ikichukua hatua kali kwa kuzifungia akaunti za watu wa Urusi kutokana na operesheni zake za kijeshi...

Kimataifa

Netanyau asitisha mipango yenye utata marekebisho mfumo wa sheria

  WAZIRI Mkuu wa nchini Israel, Benjamin Netanyahu amesema atachelewesha sehemu muhimu ya mipango yenye utata ya kurekebisha mfumo wa sheria ambao umefanya...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani

MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania tarehe 29 Machi 2023 na kupokewa na Makamu wa Rais Dk. Philip...

Habari Mchanganyiko

Serikali:Tupo kwenye majadiliano na Marekani kurejea MCC

UJIO wa Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, nchini Tanzania unaweza kuwa fursa ya kurudishwa kwa ufadhili wa Marekani kupitia Shirika la...

Habari Mchanganyiko

Sababu Kamala Harris kufanya ziara Tanzania zatajawa

TANZANIA ni miongoni mwa nchi tatu barani Afrika zitakazotembelewa na Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris zingine zikiwa ni Ghana na Zambia. ...

Habari Mchanganyiko

NALA kuwekeza zaidi ya bilioni 2 baada ya kupata leseni ya BoT

KAMPUNI ya Kitanzania inayowezesha huduma ya kutuma na kupokea fedha kwa njia ya kidigitali sehemu mbalimbali duniani (NALA), imepata leseni ya Benki Kuu...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango aipongeza NMB kampeni upandaji miti, Shule zatengewa mamilioni

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, ameipongeza Benki ya NMB na kuitaja kuwa kinara katika kuunga mkono jitihada za Rais Samia...

Kimataifa

Raila ahutubia waandamanaji, mabomu yarindima

MSAFARA wa kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila Odinga umepita katika eneo la Kawangware jijini Nairobi nchini Kenya na kupata fursa ya...

Kimataifa

Sheria ya kudhibiti maandamano yaandaliwa kumfunga Odinga ‘speed governor’

WIZARA ya mambo ya ndani ya Kenya inapendekeza mabadiliko ya sheria za usalama ambayo yatafanya iwe vigumu kwa watu kufanya maandamano. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa aagiza makatibu wakuu, wakurugenzi kuajiri maofisa habari

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza makatibu wakuu wote, wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa taasisi za umma kuhakikisha taasisi zote za serikali kuanzia ngazi...

Habari Mchanganyiko

Nape atangaza ujio mkakati mpya wa upashanaji habari serikali

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema wizara hiyo ipo hatua ya mwisho ya kukamilisha utayarishaji wa mkakati wa...

Habari Mchanganyiko

Wahariri kujadili Muswada Sheria ya Habari

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), linatarajiwa kufanya kongamano la siku nne kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali kuhusu tasnia ya habari, ikiwemo Muswada...

error: Content is protected !!