Saturday , 27 April 2024
Home mguta
611 Articles79 Comments
AfyaHabari Mchanganyiko

Bugando yaokoa Bil 2 matibabu ya Saratani 

PROFESA Abel Makubi, Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa Bugando (BMC) amesema, hospitali hiyo imefanikiwa kuokoa zaidi ya Sh. 2 Bilioni kwa wananchi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru aivimbia CCM

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Bashiru Ally, amepingana utamaduni ulioanza kujengwa ndani ya chama wa kupachika majina ya wagombea kwenye...

Habari Mchanganyiko

Ajali ya gari Kibiti: Watano wateketea, MNH kufanya DNA

WATU watano waliofariki kwenye ajali ya gari iliyotokea jana usiku tarehe 31 Agosti 2019, Kibiti mkoani Pwani sasa kufanyiwa uchunguzi wa vinasaba (DNA)....

Habari Mchanganyiko

Polisi laua watatu, lakamata silaha

JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es salaam limeua watu watatu wanaodai kuwa majambazi na kukamata silaha mbili aina ya Shortgun na Bastola. Anaripoti...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru: Kweli vyuma vimekaza

DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema “ni kweli vyuma vimekazi” akaongeza “kwa wale wapiga dili.” Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kiongozi...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Sakata la ATCL: Ubalozi wa Afrika Kusini – Tanzania ‘wavamia’

KUNDI la watu wachache limejitokeza leo tarehe 28 Agosti 2019, kwenye ofisi za ubalozi wa Afrika Kusini, uliopo kwenye barabara wa Shabani Robert...

Habari za Siasa

Chadema watoa neno Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

JOHN Mrema, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, ameitaka Serikali kutoa kanuni mapema na kutangaza tarehe ya uchaguzi...

Habari za Siasa

Balozi Palestina ampongeza JPM

BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour AbuAli amempongeza Rais John Magufuli na serikali yake kwa kuimarisha uchumi wa nchi yake. Anaripoti Yusuph...

Habari Mchanganyiko

Mpina avunja bodi ya maziwa

UTENDAJI mbovu wa Bodi ya Maziwa, umemsukuma Luhaga Mpina, Waziri wa Mifugo na Uvuvi nchini Tanzania kuvunja bodi hiyo. Anaripoti Hamisi Mguta…(endelea). Katika...

Habari za Siasa

Prof. Kabudi: Afrika hakuna kama Mwl. Nyerere

WAZIRI wa Mambo ya Nje ya Nchi, Prof. Palamagamba Kabudi amesema, hakuna kiongozi aliyefanya makubwa Afrika zaidi ya Rais wa Awamu ya Kwanza,...

Habari Mchanganyiko

Makonda ajitumbukiza kwa wapendanao

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amepanga kuendesha mjadala kuhusu masuala ya uhusiano wa mapenzi. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea)....

Habari za Siasa

Polisi wavamia mkutano wa Zitto

MAOFISA kutoka Jeshi la Polisi limevamia Makao Makuu ya Chama cha ACT-Wazalendo na kuondoka na Ado Shaibu, Katibu wa Itikadi na Uenezi. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

JPM, Ramaphosa wajadili biashara, uwekezaji, ulinzi

DAKTARI John Magufuli, Rais wa Tanzania leo tarehe 15 Agosti 2019, amefanya mazungumzo na Cyril Ramaphosa, Rais wa Afrika Kusini, kuhusu ushirikiano wa...

Habari Mchanganyiko

Waziri Mkuu aongoza watanzania mazishi ya watu waliofariki ajali ya moto

KASSIM Majaliwa Waziri Mkuu Tanzania ameongoza maelfu ya watanzania mazishi ya watu zaidi ya 60 waliofariki kwenye mlipuko wa  lori la mafuta  baada...

Tangulizi

JPM atembelea majeruhi, serikali kubeba gharama zote

RAIS John Magufuli amewajulia hali majeruhi 43 wa ajali ya mlipuko wa lori la mafuta iliyotokea mkoani Morogoro, waliohamishiwa katika Hospitali ya Taifa...

Habari Mchanganyiko

Viongozi wa Serikali watua Morogoro kuweka mambo sawa ajali ya moto

BAADA ya vifo vya watu takribani 60 vilivyotokana na lori la mafuta kuwaka moto mkoani Morogoro viongozi mbalimbali wamewasili mkoani hapa kwa ajili...

Habari Mchanganyiko

Mpina: Operesheni hii marufuku

OPERESHENI ya kuwaondoa wakazi wa Kijiji cha Vilimavitatu wilayani Babati, Manyara katika eneo linalodaiwa kuwa la hifadhi ya Burunge (Juhibu), imesitishwa. Anaandika Hamis Mguta…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

Akamatwa na stika 2,546 za Viza

IDARA ya Uhamiaji nchini, imemkamata Jasmin Ngongolo, mkazi wa Dar es Salaam akiwa na stika za Viza 2,546 za Tanzania za kughushi. Anaripoti Hamis...

Habari Mchanganyiko

Wizara ya Afya kudhibiti Kifua Kikuu Magereza 15

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Jeshi la Magereza imeanzisha kampeni ya kutokomeza ugonjwa wa Kifua Kikuu...

Habari za Siasa

Halima Mdee: Mama aliniambia maneno makali

MAMA yangu aliniambia, Mungu alimuepusha uchungu mkali wakati wa kunizaa lakini sasa anapata machungu makali kila siku katika utu uzima wangu. Anaandika Hamis...

Habari Mchanganyiko

Safari za mabasi usiku zapigwa ‘stop’

JESHI la Polisi limetangaza kusitisha safari za usiku kwa baadhi ya magari ya abiria yanayokwenda mikoani. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). CP Liberatus Sabas, Kamishna...

Habari Mchanganyiko

Jinsi polisi wavyopambana na dawa za kulevya Aprili – Juni 2019

JUMLA ya watu 2,085 wamekamatwa kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi, kuanzia Aprili hadi Juni 2019. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea)....

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwandishi wa habari, swahiba wa January Makamba, ahojiwa uraia wake 

JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limekiri kwa mara ya kwanza hadharani kuwa linamshikilia mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick...

Afya

Daktari ataja njia zinazoambukiza Homa ya Ini

KUHUSANA mwili wenye majimaji ikiwa ni pamoja na damu kutoka kwa mama (mwenye maambukizi) kwenda kwa mtoto wakati wa njia ya mama kujifungua...

Habari za Siasa

Zitto, Maalim Seif wapiga kambi Segerea

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo na Maalim Seif Sharif Hamad, mshauri wa chama hicho leo tarehe 28 Julai 2019, wamelivaa...

Habari Mchanganyiko

Polisi watatu wafariki ajalini Rufiji

ASKARI watatu wameripotiwa kufariki katika ajali ya gari ya Polisi mkoa wa kipolisi Rufiji iliyotokea baada ya gurudumu la nyuma la gari hiyo...

Habari Mchanganyiko

Wanaharakati wapinga picha za watuhumiwa wa ukahaba kusambazwa

MTANDAO wa Kupinga Ukatili wa Kijinsia (MKUKI) umelaani kitendo cha wanawake wanne wanaotuhumiwa kwa kosa la ukahaba, kudhalilishwa mitandaoni. Anaripoti Hamis Mguta …...

Habari Mchanganyiko

‘Maganda ya korosho yana thamani  kubwa kuliko korosho yenyewe’

GEOFREY Mwambe, Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) amesema, zao la korosho lina thamani kubwa lakini bei ya zinazoliwa ni asilimia 5...

Michezo

Mzee Chumo atetea vipaji vipya

MSANII nyota wa filamu nchini Tanzania, Jafari Makatu maarufu kwa jina la Mzee Chumo, amewataka waandaaji wa filamu kuacha kuzima vipaji vichanga vya...

Habari za Siasa

Mdee atoka mahabusu

JESHI la Polisi mkoani Kagera, limemwacha kwa dhamana Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Halima Mdee. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Jeshi...

Habari za SiasaTangulizi

Hatuogopi uchaguzi Singida, tunakataa uharamu – Chadema  

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema, “kushiriki uchaguzi mdogo katika jimbo la Singida Mashariki, ni sawa na kutenda uovu.” Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Uchaguzi...

Afya

Bilioni 7 kujenga jengo la wazazi Mbeya

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya inajenga jengo la Wazazi lenye thamani ya Sh. 7 bilioni ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais wa...

Afya

Serikali yashusha neema Njombe

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imeshusha neema kwa wananchi wa Njombe kwa kutenga kiasi cha Sh. 7.6 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Afisa Usalama (feki) aliyetaka kumtapeli DC Jokate mbaroni

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) inamshikilia Omary Chuma (55) Mkazi wa Chamazi, Temeke Dar es Salaam, aliyejifanya kuwa ni...

Afya

Tanzania yapunguza maambukizi ya Trachoma (vikope)

TANZANIA imepunguza maambukizi ya ugonjwa wa Trachoma (vikope) kutoka wilaya 71 hadi sita ambazo zitaendelea na umezaji kingatiba. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Daraja la Salenda kupitia baharini kukamilika 2021

MTENDAJI  Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale amesema, daraja la Salenda linalopitia baharini Coco Beach – Aga Khan, linatarajiwa...

Habari Mchanganyiko

Kurejeshwa VAT taulo za kike kwakera wadau

HATUA ya serikali kurudisha kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye taulo za kike, kimewachukiza wanawake wengi. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Akizungumza wakati...

Habari za Siasa

Zitto: Bajeti ya ununuzi ndege, afya ngoma droo

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini, amekosoa bajeti ya serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/20, kwa kuweka fedha za ununuzi wa ndege kiwango...

Habari za Siasa

Nyalandu aonja machungu ya kuwa upinzani

LAZARO Nyalandu, aliyewahi kuwa Mbunga wa Singida Kaskazini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameeleza kufedheheshwa na kadhia ya kwenda kuripoti Kituo cha Polisi...

Habari za Siasa

Mbunge Kisangi: Uhaba shule za walemavu ni kikwazo

MBUNGE Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Mariam Kisangi ameishauri serikali kuongeza idadi ya shule za watoto wenye mahitaji maalumu, akisema wengi wao...

SiasaTangulizi

Prof. Safari: AG anaweza kutenda jinai

MBOBEZI wa sheria nchini na Wakili wa Mahakama Kuu, Prof. Abdallah Safari amesema, iwapoDk. Adelardus Kilangi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), atagoma kutekeleza hukumu...

Habari MchanganyikoTangulizi

JPM: Ole wako Mufti uoe mke mwingine

RAIS John Magufuli amemkabidhi Sh. 10 Mil Mufti wa Tanzania, Aboubakar Bin Zubeir kwa ajili ya kusaidia kuendeleza Qur’an nchini. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Akimkabidhi...

Afya

Serikali kumaliza uhaba wa watumishi wizara ya Afya

Serikali ya Tanzania imeazimia kufikia asilimia 70 kutoka 48 ya uhaba wa watoa huduma za afya kwa nchi za Afrika Mashariki na Kusini...

Habari Mchanganyiko

Makabila mchanganyiko kikwazo cha usafi Dar – Meya Moshi

MEYA wa Halmashauri ya Mji Moshi, Raymond Mboya amesema, mchanganyiko wa makabila katika Jiji la Dar es Salaam ni miongoni mwa vikwazo katika...

Habari Mchanganyiko

Makonda: Serikali imetenga Bil 200 ujenzi miundombinu

SERIKALI ya Tanzania, imetenga jumla ya shilingi 200 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu kuzunguka Mto Msimbazi, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Hamis...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwili wa Dk. Mengi watua Kilimanjaro

MWILI wa Dk. Reginald Mengi, aliyekuwa mwenyekiti wa kampuni zilizo chini ya IPP Group, tayari umewasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA). Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Maelfu wajitokeza kumlaki Dk. Mengi

MAELFU ya watu jijini Dar es Salaam, wamejitokeza kuupokea mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa kampuni ya Industrial Projects Promotion (IPP Limited), Dk. Reginald...

Habari Mchanganyiko

Bobi Wine aswekwa rumande

MBUNGE wa Kyadondo Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulanyi ‘Bobi Wine’ amewekwa rumande katika Kituo cha Polisi cha Naggalama, akituhumiwa kuandaa maandamano ya umma...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba aunda safu yake mpya ya uongozi CUF

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameteua Wakurugenzi na Manaibu wakurugenzi wapya. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Prof. Lipumba amesema uteuzi huo...

ElimuHabari Mchanganyiko

HakiElimu yapiga yowe bajeti ya elimu

HATUA ya Bajeti ya Elimu kupungua siku hadi siku, imelalamikiwa na wadau wa elimu nchini. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Akizungumza na waandishi wa habari...

error: Content is protected !!