Author Archives: Danson Kaijage

Wabunge wa UKAWA wakomaa, kuzuia miswada nje ya Bunge

WABUNGE wa Upinzani ambao juzi na jana wametimuliwa bungeni kwa madai kuwa ya kufanya fujo bungeni na kudharau mamlaka ya Spika wamesema wataendelea na harakati zao za kupinga miswada ya ...

Read More »

Makinda azidi kuwafagia UKAWA, atimua wengine 35

SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amewafukuza bungeni wabunge wengine 35 wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni baada ya kuwafukuza wengine 11 jana. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Kutokana na hali ...

Read More »

JK kuvunja Bunge na wabunge wa CCM pekee

KUTOKANA na hali ilivyo kwa sasa bungeni kuna uwezekano mkubwa wa Rais Jakaya Kikwete akawahutubia wabunge wa Chama kimoja yaani CCM wakati wa kulivunja  bunge. Anaandika Dany Tibason … (endelea). ...

Read More »

Makinda azungumzia wabunge wa UKAWA

KUTOKANA na wabunge wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa),kupingwa upitishwaji wa miswada mitatu ya inayohusu mafuta na gesi, Spika Anne Makinda amelazimika kutoa ufafanuzi wa jambo lililotokea bungeni. Anaandika Dany ...

Read More »

Wabunge 10 UKAWA watimuliwa Bungeni

WABUNGE 10 wa Kambi Rasmi ya Upinzani wanaounda Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA), wametimuliwa Bungeni  kile kilichoelezwa utomvu wa nidhamu na kudharau kiti cha Spika. Anaandika Dany Tibason … ...

Read More »

Bunge ngumi mkononi

WAKATI watanzania hawajaanza kufaidika na gesi iliyogundulika mkoani Mtwara, rasilimali hiyo imeendelea kuibua mzozo na mgogoro mkubwa Bungeni kiasi cha Spika Anna Makinda kuamua kuahirisha tena ghafla kikao cha 42 ...

Read More »

Machali amuumbua Mlata Bungeni

SIKU chache baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini, (Chadema) Joseph Mbilinyi, kumshambulia Mbunge wa Viti Maalum, Martha Mlata (CCM) kwamba amevunja ndoa yake, Mbunge wa Kasulu Mjini, Moses Machali amemuumbua ...

Read More »

Deni la MSD laitesa serikali

SERIKALI imesema hospitali nyingi za Umma hapa nchini zinapata huduma ya dawa, vifaa tiba,vifaa na vitenganishi kupitia Bohari Kuu ya Dawa (MSD). Anaandika Dany Tibason … (endelea). Hata hivyo imeelezwa ...

Read More »

Silinde ainanga serikali bungeni

MBUNGE wa Mbozi Magharibi, David Silinde, (Chadema), ameishambulia serikali kwa kukwamisha miradi ya maji katika Wilaya ya Momba, Mbozi Magharibi kutokana na kushindwa kupata fedha za wahisani kutoka Ubeligiji. Anaandika ...

Read More »

Chamwino watakiwa kuitosa CCM

WANANCHI wa kijiji cha Chilangali Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma ,wametakiwa kutoichagua CCM katika uchaguzi mkuu ujao kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kufuga nyoka katika gunia la unga. Anaandika ...

Read More »

Urais CCM kumekucha, wanne waingia mitini na fomu

PAZIA la uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuomba kuteuliwa kuwania nafasi ya urais ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), limefungwa rasmi jana jioni. Anaandika Dany Tibason … (endelea).  Mpaka ...

Read More »

Bunge lavunjika

SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amelazimika kuahirisha Bunge baada ya mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika, kudai kuwa kumeingizwa bungeni, miswada mitatu mipya, kabla muswada wa kulinda watoa taarifa za ...

Read More »

Serikali yatakiwa kueleza athari za minara

MBUNGE wa Viti Maalum (CCM), Mariam Kisangi ameitaka serikali ieleze athari zitakazotokea kwa watu wanaoishi karibu na minara ya simu. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Kisanga alitoa kauli hiyo leo ...

Read More »

Wenje amchachafia waziri Majaliwa

SERIKALI imetakiwa kueleza kama ni halali mtu kufungiwa gari lake sehemu aliyoegesha gari wakati hakuna kibao chochote kilichoonyesha kibao cha maegesho. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Kauli hiyo ilitolewa leo ...

Read More »

Waziri Majaliwa awekwa kitimoto Bungeni

OFISI ya Waziri Mkuu imetakiwa kueleza ni lini itaacha kuwalinda wahalifu kwenye halmashauri mbalimbali nchini. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Kauli hiyo ilitolewa leo  bungeni na Mbunge wa Ubungo (Chadema), ...

Read More »

Vitambulisho vya taifa kutafuna bil 160

JUMLA ya Sh. Bilioni 160 zimetengwa kwa ajili ya mradi vitambulisho vya Taifa nchini. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Aidha, hadi Machi mwaka huu Sh. 56.8 bilioni zilikwishatolewa huku kiasi ...

Read More »

Masheikh, Maaskofu waonya CCM

BAADHI ya viongozi wa madhehebu ya kidini nchini, wameapa kutomuunga mkono mgombea yeyote wa urais anayetafuta urais kwa hongo, hata kama anang’aa kama jua wakati wa mchana na mwezi nyakati za usiku. Anaandika ...

Read More »

Viti Maalum waibana serikali

MBUNGE wa Viti Maalum (CUF), Amina Abdallah Amour, ameitaka kueleza umma, ni lini itatenga bajeti ya asilimia 30 kwa ajili ya miradi ya maendeleo ambayo imekuwa ikikwama kila mwaka. Anaandika ...

Read More »

Dk. Migiro awekwa kitimoto bungeni

WAZIRI wa Katiba na Sheria na Katiba, Dk. Asha Rose Migiro, jana alijikuta katika wakati mgumu baada ya wabunge wa upinzani kuhoji juu ya Muswada wa Sheria ya kulinda watoa ...

Read More »

Serikali yajikanyaga umeme vijijini

SERIKALI imejigamba itaendelea kutekeleza ahadi yake ya kupeleka nishati ya umeme vijijini. Charles Mwaijage, naibu waziri wa nishati na madini, ameliambia bunge mjini Dodoma, kuwa serikali inaendelea kukarabati njia za ...

Read More »

Mnyika alianzisha bungeni

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) leo ametibua upya mgogoro wa upatikanaji wa mafuta katika vituo vya kuuza mafuta nchini. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Mnyika aliibua suala hilo ikiwa ...

Read More »

Mbunge CUF aichokonoa serikali

MBUNGE wa Mji Mkongwe, Muhammad Ibrahim Sanya (CUF), ameitaka serikali kupiga marufuku unywaji wa pombe za kienyeji na za viwandani ili kuepuka ulevi uliopindikia nchini. Anaandika Dany Tibason … (endelea). ...

Read More »

‘Zahanati Potea haikufuata ramani’

UJENZI wa Zahanati ya Kijiji cha Potea, Kata ya Pahi katika Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma ulianzishwa kwa nguvu ya wananchi takiribani miaka 10 iliyopita. Anaandika Dany Tibason … (endelea). ...

Read More »

Serikali yaonya vituo vya malezi ya watoto

SERIKALI imesema kuwa, itaendelea kuvifungia vituo vyote vya kulelea watoto waishio katika mazingira magumu ambavyo vinaendeshwa kwa kukwepa taratibu na kanuni za uanzishwaji wake. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Kauli ...

Read More »

Wabunge 37 wapitisha muswada bungeni

KATIKA hali inayoonesha wabunge wengi kuwa na homa ya uchaguzi, jana ni wabunge 37 pekee kati ya 354 ndio waliopitisha Mswada wa Sheria ya Masoko ya Bidhaa ya Mwaka 2015. ...

Read More »

Muswada Benki ya Posta wapita

KWA pamoja bunge limeridhia Muswada wa Sheria ya Benki ya Posta Tanzania (TPB) kwa mwaka 2015 uliolenga kufuta sheria iliyosajili benki hiyo ili sasa isajiliwe chini ya Sheria ya Makampuni. ...

Read More »

Bil 3.91 kusambaza umeme vijiji 13 Meatu

SERIKALI imesema, kiasi cha Sh. 3.91 bilioni zinatarajia kutumika kwa ajili ya kupeleka umeme kwenye vijiji 13 vilivyopo katika Jimbo la Meatu. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Vijiji vitakavyonufaika na mradi ...

Read More »

‘Bia chupa 2-4 kwa siku basi’

SERIKALI imesema, unywaji pombe kupindukia unasababisha watoto wengi kuzaliwa katika hali isiyo ya kawaida kiafya na kiakili. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Mbali na hilo serikali imesema, unywaji mzuri wa ...

Read More »

Wabunge waumbuana bungeni

MBUNGE wa Msoma Mjini, Vicent Nyerere (Chadema) amempa wakati mgumu Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeti Mbene kwa kumtaka kuthibitisha kauli yake bungeni kuwa, Serikali ya CCM imewadhulumu waliokuwa ...

Read More »

Mwelekeo Z’bar unatisha

KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni imesema, hali ya kisiasa Zanzibar inatisha baada ya vikosi vya ulinzi visiwani humo kupewa silaha kisha kuwapiga wananchi wakati wa kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu ...

Read More »

Wasaka Urais CCM wafika 42

ZIKIWA zimebaki siku nne kabla ya kufungwa kwa pazia la kuchukua fomu na kurejesha kwa ajili ya kutafuta wadhamini katika harakati za kugombea nafasi ya kuteuliwa kuiwakilisha CCM kwenye Urais Oktoba ...

Read More »

Wabunge, waandishi wamlilia Kamukara

WAANDISHI pamoja na wabunge kwa ujumla wao wamesikitihwa na kifo cha mwandishi wa habari Edson Kamukara kilichotokea jana nyumbani kwake Mabibo jijini Dar Es Salaam. Wabunge wameonesha hisia zao juu ...

Read More »

JK mgeni rasmi vita dawa za kulevya

Rais Jakaya Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasm katika siku ya maadhimisho ya kupiga vita dawa za kulevya duniani. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Maadhimisho hayo ambayo kilele chake kitakuwa Juni ...

Read More »

Bajeti 2015/16 yapita kwa kishindo

BAJETI ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2015/16 imepita kwa zaidi ya asilimia 80, hata hivyo malalamiko ya wabunge wameendelea kutawala. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Sehemu kubwa ya malalamiko ...

Read More »

Hospitali ya Lugalo yapigiwa chapuo

MBUNGE wa Viti Maalum, Maryam Salum Msabaha (Chadema) ameitaka serikali kutoa fedha za kutosha kwa ajili ya kukarabati majengo ya Hospitali ya Jeshi ya Lugalo na kupata vifaa vipya vya ...

Read More »

Sakata la utoroshwaji wanyama hai laibuka

SAKATA la utoroshwaji wa wanyama hai katika Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) limeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Viti Maalum, Christowaja Mdinda (Chadema) kuliibua. Anaandika Dany Tibason … ...

Read More »

Mwenyekiti TAHLISO kuburutwa kortini

UONGOZI wa Serikali ya Wanafunzi Kitivo cha Elimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), unatarajia kumburutwa mhakamani Mwenyekiti wa Shirikisho la Serikali za Wanafunzi wa Elimu ya Juu (TAHLISO), John ...

Read More »

Tanzania kuongoza Afrika Mashariki katika mawasiliano

JUMLA ya Dola za Marekani Milioni 170 na Sh. Bil 17.71 zimetumiwa katika uwekezaji kwenye ujenzi wa mkongo wa taifa katika awamu ya kwanza na ya pili. Anaadika Dany Tibason ...

Read More »

TPA Dar yachangia Mil 209.87

MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA) imechangia jumla ya Sh. Milioni 209.87 kwa ajili ya huduma za jamii na majanga kwa Mkoa wa Dar es Salaam pekee. Anaandika Dany Tibason … ...

Read More »

Mbunge akerwa na majibu ya serikali

MBUNGE wa Viti Maalum, Clara Mwatuka (CUF) amedai kuwa, mawaziri wengi wa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamekuwa na tabia ya kutoa majibu yasiyoridhisha kutokana na kutojiandaa. Anaandika Dany ...

Read More »

Serikali yakiri ahadi za Kikwete kutokamilika

SERIKALI imekiri kuwepo kwa ahadi nyingi za Rais Jakaya Kikwete ambazo hazijakamilika mpaka sasa. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Hata hivyo serikali imesema, inafanya kila liwezekanalo kuhakikisha ahadi hizo zinakamilika ...

Read More »

LHRC yaonesha njia Viti Maalum

WABUNGE wa Viti Maalum wametakiwa kuhakikisha kuwa, utaratibu wa kuwapata unawekwa kisheria ili wasidharauliwe na jamii. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Mkurugenzi wa Utetezi wa Kituo cha Haki za Binadamu ...

Read More »

Makongoro: Mafisadi wanapora CCM

UPO uwezekano kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuporwa na mafisadi, vibaka na wezi iwapo hakitakuwa makini. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Makongoro ambaye ni mtoto wa mwasisi wa taifa hili, ...

Read More »

UKAWA waishambulia CCM mfululizo

WABUNGE watatu kutoka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wameishambulia Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba, imechoka kufikiria wananchi. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Mbunge wa Kigoma ...

Read More »

Mbunge ashangaa Prof. Ndulu, Waziri Mkuya kutowajibishwa

MBUNGE wa Mpwapwa, Greogory Teu (CCM) ameshangazwa na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Benu Ndulu kutowajibishwa kutokana na kuanguka kwa shilingi. ...

Read More »

Machali amkana Zitto

MBUNGE wa Kasulu Mjini, Mosses Machale (NCCR-Mageuzi) amesema kuwa, hana mpango wa kuhamia katika chama kipya cha ACT-Wazalendo ambacho kiongozi mkuu wake ni Zitto Kabwe.  Mbunge huyo amezungumza na gazeti ...

Read More »

Polisi watetewa bungeni

SERIKALI imesema, nyumba za askari polisi na magereza zilizopo eneo la Nshambya na Miembeni katika Manispaa ya Bukoba ni za siku nyingi na zimechakaa. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Kauli ...

Read More »

Serikali kusimamia ruzuku za wachimbaji

SERIKALI imesema, itahakikisha inasimamia fedha za ruzuku zinazotolewa kwa wachimbaji wadogo nchini  zinagawiwa kwa uwiano unaofanana. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Kauli hiyo imetolewa jana bungeni na Naibu Waziri wa ...

Read More »

Wizara yalalamikia kampeni ya WHO

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imelalamikia kampeni zinazofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa, zimesababisha kushuka kwa bei ya tumbaku nchini. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Naibu Waziri ...

Read More »

Mbunge ahoji maji salama bungeni

SERIKALI imetakiwa kueleza lini wananchi wataruhusiwa kunywa maji ya bomba moja kwa moja bila kuchemsha. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Mbunge wa Viti Maalum, ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube