Saturday , 18 May 2024

Habari Mchanganyiko

Habari Mchanganyiko

TMA yaagizwa kutangaza mafanikio yao kikanda, kimataifa

  KATIBU Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara ameiagiza Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutangaza mafanikio ya taasisi yanayopatikana kikanda,...

Habari Mchanganyiko

NMB yasaidia waathirika wa mafuriko, maporomoko Hanang

Waathirika wa maporomoko ya tope Wilayani Hanang, mkoani Manyara, waliopoteza ndugu zao, makazi, pamoja na mali, wamepatiwa misaada ya kibinadamu na Benki ya...

Habari Mchanganyiko

TPF-NET Arusha yaonya jamii ya wafugaji zinazoendeleza ukatili wa watoto na wanawake

  MTANDAO wa Polisi wanawake wa Arusha kuelekea siku 12 za kupinga ukatili umeendelea na kutoa elimu kwa makundi mbalimbali ambapo wametoa elimu...

Habari Mchanganyiko

Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Greyhorse zasaini mkataba wa bil.7.4

TAASISI ya Mwalimu Nyerere (MNF) imesaini mkataba wa miaka 10 wa dola za Marekani milioni tatu (Sh bilioni 7.4) na Kampuni ya Greyhorse...

Habari Mchanganyiko

RPC Songwe awafunda trafki kuzingatia uadilifu

ASKARI wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Songwe wametakiwa kuendelea kufanyakazi kwa kuzingatia haki, weledi na uadilifu hatua ambayo itachangia kudhibiti vitendo vya...

Habari Mchanganyiko

Mchimba madini jela maisha kwa kubaka, alihonga Sh 500

Mahakama ya wilaya ya Songwe imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha maisha gerezani mshtakiwa Dickson Mbadame (32) – mchimbaji wa madini kwa kosa...

Habari Mchanganyiko

Mlima wa Moto wazindua kongamano la SHILO kumuenzi Rwakatare

KANISA la Mlima wa Moto Mikocheni jijini Dar es Salaam, limezindua kongamano liitwalo SHILO kama sehemu ya kumuenzi mwanzilishi wa Kanisa hilo, Hayati...

Habari MchanganyikoTangulizi

20 wafariki dunia kwa mafuriko Manyara

MVUA za vuli zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeleta madhara katika mkoa wa Manyara baada ya kuripotiwa vifo 20 vilivyosababishwa na mafuriko katika...

ElimuHabari Mchanganyiko

CEO NMB awataka vijana kunoa ujuzi wao

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, amewashauri vijana nchini Tanzania kunoa ujuzi wao wa karne ya 21 ili kufanikiwa katika...

Habari Mchanganyiko

TARURA kujenga madaraja 189 kwa teknolojia ya mawe

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imejipanga kujenga madaraja 189 kwa kutumia teknolojia ya mawe katika mikoa yote 26 nchi nzima...

AfyaHabari Mchanganyiko

Majaliwa aipongeza GGML mapambano dhidi ya Ukimwi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) pamoja na wadau wengine kwa kuiunga mkono Serikali kwa mchango wa...

AfyaHabari Mchanganyiko

GGML waungana na Biteko kuanika mbinu za mapambano dhidi ya Ukimwi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka wadau mbalimbali wanaohusika na mapambano dhidi ya UKIMWI nchini kwa kushirikiana na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwalimu jela miaka mitatu kwa rushwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi, wilaya ya Igunga, mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha miaka mitatu gerezani, Jesca Jones Yegera (60) baada ya kupatikana na...

Habari Mchanganyiko

Waziri Bashungwa aagiza wahandisi kujengewa uwezo

WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameiagiza Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) kushirikiana na Taasisi ya Wahandisi Tanzania (IET) kuweka utaratibu endelevu wa...

Habari Mchanganyiko

Heche ataka mawakili vijana kuamka sakata Mpoki

MWENYEKITI wa Mawakili Vijana Tanzania kutoka Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Edward Heche, amewataka wanachama wake kuchukua hatua pindi watakapoona sekta ya...

Habari Mchanganyiko

Bihimba awakumbuka watoto yatima Msongola

MWANAHARAKATI huru, Bihimba Mpaya ametoa msaada wa mahitaji mbalimbali ikiwemo chakula, katika Kituo cha Watoto Yatima Msongola, kilichopo Ilala jijini Dar es Salaam,...

Habari Mchanganyiko

Polisi wawili mbaroni tuhuma za kumuua mlinzi wa baa

ASKARI wawili wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, wanashikiliwa kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi aliyekuwa mlinzi wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

13 wafariki dunia ajali ya basi likigonga treni Singida

JUMLA ya watu 13 wakiwamo wanawake sita na wanaume saba wamefariki dunia baada ya basi la kampuni ya Ally’s Star Bus kugonga kichwa...

Habari Mchanganyiko

Polisi Arusha waja na mbinu mpya kukabiliana na uhalifu

  JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limekuja na mbinu mpya ya kukabiliana na matukio ya uhalifu katika Mkoa huo ambapo wamewapanga askari...

Habari Mchanganyiko

Mageuzi makubwa Msajili wa Hazina

  MAGEUZI makubwa yanatarajiwa kuhusu uendeshaji wa mashirika ya umma na wwkala za serikali kufuatia kuja kwa sheria mpya ya Mamlaka ya Uwekezaji...

Habari MchanganyikoTangulizi

33 wanusurika ajali ya ndege Mikumi

JUMLA ya abiria 30, marubani wawili na mhudumu mmoja wamenusurika kifo katika ajali ya ndege iliyotokea leo saa 3:40 asubuhi katika Hifadhi ya...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

KKKT: Viongozi msitumie madaraka kutesa watu

Askofu Kanisa la Kiinjili, Kilutheri Tanzani (KKKT), Dayosisi ya Morogoro, Jacob Mameo ametoa wito kwa viongozi wenye tabia ya kutumia vibaya madaraka  yao...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yajipanga kuwa kitovu cha tiba Afrika

SERIKALI  imejipanga kuifanya nchi kuwa kitovu cha tiba utalii, kwa kuweka mikakati itakayosaidia utoaji huduma za afya kwa wagonjwa maalum wa ndani na...

Habari Mchanganyiko

Kihenzile ataka miradi Ziwa Tanganyika kukamilika

NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amezitaka mamlaka na taasisi za serikali zinazotekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu na vyombo vya usafirishaji majini kwenye...

Habari MchanganyikoTangulizi

Latra yatangaza kupanda kwa nauli za daladala, mabasi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli mpya ya mabasi ya mijini na masafa marefu ambapo safari ambazo hazizidi kilomita 10 gharama...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB mlipa kodi mkubwa na bora zaidi Tanzania 2023

Benki ya NMB imeibuka mshindi wa jumla kitaifa katila kundi la mlipa kodi mkubwazZaidi Tanzania lakini pia katika kundi la mlipa kodi bora...

Habari Mchanganyiko

Makatibu wakuu wakagua ujenzi wa miundombinu Msomera

Makatibu wakuu wa wizara za kisekta leo ijumaa wametembelea kijiji cha Msomera  wilayani Handeni mkoani Tanga kujionea hatua mbalimbali za ujenzi wa miundombinu...

Habari Mchanganyiko

GST yatafiti miamba, udongo kwa kurusha ndege nyuki Shinyanga, Geita

Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeendelea kufanya majaribio ya utafiti wa jiosayansi kwa kutumia njia ya High Resolution Airborne...

Habari Mchanganyiko

Watanzania watakiwa kutotegemea vyama, NGO’s kutetea haki zao

WATANZANIA wametakiwa kujenga desturi ya kujitetea wenyewe, badala ya kutegemea taasisi mbalimbali, hususan vyama vya siasa na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali (NGO’s), zisimame...

Habari Mchanganyiko

Dk. Biteko akaribisha kampuni za China kuwekeza Sekta ya nishati

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian ambapo...

ElimuHabari Mchanganyiko

Tume ya TEHAMA yaanika mikakati kuendana na mabadiliko ya kidijitali

KATIKA kujenga uwezo kwa kampuni ndogondogo zinazojishughulisha masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Tume ya Tehama (ICTC) inatarajia kujenga vituo katika...

Habari Mchanganyiko

UN, EU kuendelea kusapoti ulinzi wa haki za binadamu Tanzania

UMOJA wa Mataifa (UN), pamoja na Umoja wa Ulaya (EU), zimeahidi kuendelea kushirikiana na Serikali pamoja na wadau mbalimbali, katika ukuzaji na ulinzi...

Habari Mchanganyiko

THRDC yataka harakati utetezi haki za binadamu zirejeshwe vyuoni

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesema hali ya utetezi wa haki za binadamu nchini katika kipindi cha miaka ya...

Habari Mchanganyiko

Watuhumiwa waliojifanya maofisa wa TRA wadakwa na Polisi

  JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kujifanya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na...

Habari Mchanganyiko

GGML, CCBRT wakabidhi vitimwendo 55 kwa wenye ulemavu Geita

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na shirika la CCBRT imetoa msaada wa viti mwendo na vifaa saidizi 55 kwa...

Habari Mchanganyiko

Dk. Biteko: Viongozi wa dini msichoke kuwaunganisha watu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Dk. Doto Biteko amewataka viongozi wa dini kutochoka kuunganisha watu ili kujenga Taifa lenye umoja, amani...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yagawa mizinga 500 ya nyuki kwa wafugaji 300

Benki ya NMB imezindua Programu Endelevu ya Ugawaji Mizinga ya Nyuki 500 kwa vikundi 17 vyenye wafugaji zaidi ya 300, katika mikoa ya...

Habari Mchanganyiko

Dk. Chuwa aonya watakwimu kuacha kupika takwimu

WATAKWIMU wa halmashauri, wizara, idara na taasisi za umma wametakiwa kuhakikisha wanatoa takwimu za kweli badala ya kutoa takwimu za kupika. Pia wametakiwa...

ElimuHabari Mchanganyiko

TADB yawashika mkono wahitimu waliofanya vizuri SUA

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imewapongeza wahitimu bora wa Chuo Kikuu cha Kilimo Cha Sokoine (SUA) cha Morogoro kwa kuwapatia zawadi...

Habari Mchanganyiko

DC Songwe aitia kufuli kampuni ya utafiti wa madini

Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Solomon Itunda amesimamisha shughuli za utafiti wa madini ya dhahabu zinazofanywa na Kampuni ya Gold Valley Company Limited...

Habari Mchanganyiko

Kaya 10,000 kuhama kwa hiari awamu ya pili Ngorongoro

IMEELEZWA kuwa ujenzi wa nyumba 5,000 utawezesha kaya 10,000 kuhama kwa hiari kutoka Ngorongoro kuelekea katika kata za Msomera, Saunyi (Tanga) na Kitwai...

Habari Mchanganyiko

Mchungaji USA: Watanzania fanyeni kazi, miujiza ya mafuta, maji ni ulaghai

JAMII imetakiwa kufanya kazi ambazo zitawaingizia kipato kwa ajili ya kuinua uchumi wao badala ya kujenga fikra ya kupata miujiza kwa kununua udogo,...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yamwaga mikopo ya Sh1.8 trilioni kwa zaidi ya wanawake 168,000

BENKI ya NMB imetoa zaidi ya Sh1.8 trilioni kwa wanawake 168,600 wa biashara ndogo na za kati (SMEs) katika kipindi cha miezi 10...

Habari MchanganyikoTangulizi

Maofisa uhamiaji wanne Kigoma mbaroni mauaji ya Enos

MAOFISA wanne wa Idara ya Uhamiaji wilayani Kakonko mkoani Kigoma wametiwa mbaroni na jeshi Polisi mkoani humo kwa tuhuma za mauaji ya Enos...

Habari Mchanganyiko

Polisi Dar wazima tukio la ujambazi Kigamboni

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuzima tukio la ujambazi uliopangwa kufanyika katika eneo la Kampuni ya Kijiji Park,...

Habari MchanganyikoMichezo

Dk. Biteko amuweka kikaangoni Msajili Hazina, ampa siku 4

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amemtaka Msajili wa Hazina nchini kufikia Jumanne asubuhi awasilishe maelezo ya kwa nini...

Habari Mchanganyiko

Bihimba achangia ujenzi wa msikiti, awapa neno waislamu

MWANAHARAKATI huru, Bihimba Mpaya, amechangia ujenzi wa msikiti katika Madrasa ya Muhajirina, iliyoko Mtaa wa Kigezi Chini, wilayani Ilala, Jiji la Dar es...

Habari MchanganyikoTangulizi

RC Kagera aonya madai chanzo vifo watoto sita kuwa kuku wa wizi

MKUU wa mkoa wa Kagera, Fatma Mwasa amewaonya wananchi wa Kijiji cha Nyakanazi wilayani Biharamulo na wilaya jirani kuacha kusambaza taarifa za uongo...

Habari Mchanganyiko

Dk Ndumbaro aagiza watumishi kujitambua, kuzingatia majukumu yao

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dk. Damas Ndumbaro ameagiza Watumishi wa wizara hiyo kuitumikia wizara hiyo kwa kuzingatia falsafa ya kujitambua,...

Habari Mchanganyiko

Sangu aipa kongole SumaJKT kwa miradi

MWENYEKITI wa Kamati ya  Kudumu ya Bunge na Uwekezaji wa Mitaji ya Umma na Mbunge wa Kwela, Deus Sangu  amepongeza kamati hiyo kwa...

error: Content is protected !!