Wednesday , 22 May 2024

Month: April 2023

Michezo

Aliyebeti kwa 20,000 na kushinda Mil 26 atoa tamko

  KILA mtu ana siku yake ya kutoboa kwenye Maisha, kama haijafika basi ipo karibu kufika ongeza bidi na juhudi piga sala na...

Makala & Uchambuzi

Ripoti CAG; Hii ndio sababu REA kujiendesha kwa hasara

UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA). CAG ameimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020. Ukaguzi umefanyika kwa maombi ya wafadhili;...

Habari za Siasa

Rais Samia avunja bodi TRC, amtumbua bosi TGFA

RAIS Samia Suluhu Hassan leo  tarehe 9 Aprili 2023 ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kutengua nafasi ya...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango awaasa wazazi kuwalinda watoto dhidi ya matumizi ya simu, maudhui ya katuni

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amewaasa wazazi na walezi kulea watoto wao kwa kuzingatia maadili mema ya kitanzania pamoja na...

Michezo

Odds kubwa Meridianbet wikiendi bomba

  APRILI ni mwezi uliobarikiwa sana ndio maana Meridianbet wanasema ni mwezi wa kutoboa, wakati ukisherehekea Sikukuu ya Pasaka nakukumbusha kwamba unahitaji uwe...

Habari Mchanganyiko

Mzee Malecela aipa mbinu Serikali kukomesha ushoga

MWANASIASA nguli nchini ambaye pia Waziri Mkuu mstaafu,John Samwel Mallecela ameitaka serikali kuweka sheria ngumu au kifungo cha muda mrefu kwa mtu yeyote...

Makala & Uchambuzi

Kama Ripoti ya CAG ni nzuri, Rais ni mzuri

  MJADALA wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) unaoendelea baada ya kuwasilishwa kwake bungeni Dodoma wiki hii,...

Kimataifa

Muuaji aliyetoroka jela Sauzi adakwa kimafia Arusha

MHALIFU wa makosa ya mauaji na ubakaji kutoka Afrika Kusini, Thabo Bester amekamatwa jijini Arusha nchini baada ya kusakwa kwa muda mrefu toka...

Habari Mchanganyiko

Maofisa 10 TEA watokomea na mkopo wa mamilioni

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere imeonyesha mikopo yenye thamani ya Sh milioni 167 haijarejeshwa na...

Kimataifa

Lori laparamia na kuua madereva bodaboda 10

WATU 10 wanadaiwa kupoteza maisha baada ya lori lililokuwa likisafirisha changarawe kupoteza mwelekeo na kuparamia kijiwe cha bodaboda katika eneo lao mjini Migori...

Kimataifa

Waziri aburuzwa kortini kwa kuuza mabati ya msaada

  MAHAKAMA nchini Uganda imemfungulia rasmi mashtaka ya ufisadi na rushwa Waziri Marie Goretti Kitutu kutokana na tuhuma za kuuza mabati 14,500 ya...

Habari Mchanganyiko

Maboresho haki jinai: Sheikh Ponda akomaa na DPP, Polisi, Magereza

  KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, amewasilisha mapendekezo juu ya namna ya kuboresha mfumo wa haki jinai,...

Kimataifa

Rwanda yaadhimisha miaka 29 ya mauaji ya Kimbari

  WANANCHI wa Rwanda leo Ijumaa, tarehe 7 Aprili 2023, wanaadhimisha miaka 29 ya mauaji ya Kimbari, ambapo Wahutu wenye msimamo mkali waliwaua...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi aongoza kumbukizi miaka 51 kifo cha Hayati Karume

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ameongoza maadhimisho ya kumbukizi ya miaka 51 ya kifo cha aliyekuwa Rais wa kwanza visiwani humo,...

Habari za Siasa

Prof. Muhongo ampa tano Rais Samia

  MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ameipongeza Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fedha kiasi cha Sh. 4.75 bilioni,...

Kimataifa

Mpango wa Ukraine, Marekani na NATO kushambulia Urusi wavuja kwenye mitandao ya kijamii

  PICHA za hati za siri kutoka Pentagon na NATO juu ya utayarishaji wa shambulio la Ukraine dhidi ya Urusi zimevuja katika mitandao...

Kimataifa

Israel yashambulia Lebanon, Gaza baada yakushambuliwa kwa roketi

  JESHI la Israel limesema kuwa limeshambulia maeneo yenye uhusiano na kundi la wapiganaji wa Palestina Hamas ndani ya Lebanon na katika Ukanda...

Makala & Uchambuzi

Ripoti za CAG: Ufisadi haujazidi nchini, kilichozidi ni uhuru

  RIPOTI za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali (CAG) zimeibua mjadala mkubwa na mpana nchini tangu zitolewe hadharani siku chache zilizopita. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

SMZ: Ushirikiano, mchango wa NMB kwa maendeleo ya Zanzibar ni wa kuigwa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imekiri kuvutiwa na jitihada za Benki ya NMB visiwani humo, ikiwemo kutoa ushirikiano wa dhati na mchango...

Michezo

Uzinduzi wa duka jipya la Meridianbet Posta

  KAMPUNI ya Meridianbet Tanzania wanaendelea walipoishia kwa kuhakikisha wateja wake wanapata huduma popote na ndio sababu ya kuendelea kusambaza maduka, Na leo...

Habari Mchanganyiko

Bodi ya Nafaka kuilipa kampuni binafsi Mil. 200/- kuandaa Mpango Mkakati

BODI ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB), imesaini mkataba wa Sh. 200 milioni na Kampuni ya KPMG kwa ajili ya kuandaa mpango mkakati...

Afya

Ujenzi wa zahanati kwa ufadhili wa TASAF wafikia asilimia 95

  UJENZI wa mradi wa Zahanati ya Mwanalugali A Kibaha Mjini unaofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF itakayowahudhumia wakati 3367 umefikia asilimia...

Habari za Siasa

Spika Tulia atoa maagizo serikalini ajira za watumishi wanaojitolea

  SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameagiza Serikali kuweka kanzi data maalum (data base), yenye taarifa za watumishi wanaojitolea ili wapewe kipaumbele...

Habari za Siasa

Ripoti ya CAG yatinga bungeni

  RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha wa 2021/22, imewasilishwa bungeni jijini Dodoma, kwa...

Habari za Siasa

Lissu arudi tena, “Si mlisema nimekimbia!”

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumatano amerudi jijini Dar es Salaam kutokea nchini Ubelgiji ambako alidai kwenda...

Michezo

Kasino ya mtandaoni yaifanya stori ya Roman Empire kuwa mchezo

  FURAHIA sloti mpya kutoka Kasino ya Mtandaoni ikielezea Roma ya Kale! Cheza kipekee katika sloti ya Meridianbet Veni Vidi Vici! Miongoni mwa...

Habari za Siasa

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai,  Lengai Ole Sabaya, ambaye alikuwa akikabiliana na  mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na...

Afya

Serikali yatenga Sh. 15 bilioni kukamilisha maboma 300 ya zahanati

  SERIKALI imetenga kiasi cha fedha Sh. 15 bilioni, katika mwaka wa fedha wa 2022/23, kwa ajili ya ukamilishaji ujenzi wa maboma ya...

Tangulizi

Prof. Muhongo agawa msaada kwa wananchi waliokumbwa na mafuriko

  MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ametoa msaada wa dharura ikiwemo vyakula, kwa wananchi walioathirika na mafuriko ya mvua jimboni humo....

Kimataifa

Trump ajitetea mahakamani kesi ya ngono, alia kuhujumiwa urais

  RAIS wa zamani Marekani, Donald Trump jana Jumanne amefikishwa mahakamani kwa mashtaka ya kumlipa mwanamke mmoja nyota wa filamu za ngono kabla...

Habari Mchanganyiko

Ujenzi miradi ya maji washika kasi Musoma Vijijini

  UJENZI wa miradi ya maji katika Jimbo la Musoma Vijijini, Mkoa wa Mara, umetajwa kuendelea kushika kasi, ambapo maji kutoka Ziwa Victoria...

Michezo

Meridianbet yaja na promosheni ya utajiri

  USIFANYE makosa katika kuutafuta utajiri haswa kwenye harakati zako za kila siku, hata iweje ishi na Imani ya kuwa siku moja utatoboa...

Habari Mchanganyiko

NMB yamwaga mamilioni halmashauri tatu Morogoro

BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa mbalimbali katika sekta ya afya na elimu kwa halmashauri tatu za Mlimba, Malinyi na Manispaa ya...

Habari Mchanganyiko

Mhariri Raia Mwema apata pigo

  MHARIRI wa Gazeti la Raia Mwema, Martin Malera, amepata pigo baada ya kufiwa na mkewe, Patricia Malera, ikiwa ni miezi michache tangu...

Habari Mchanganyiko

TRA yakusanya Tril. 5.9/- kuanzia Januari hadi Machi

  MAMLAKA ya Mapato Tanzania(TRA), imekusanya Sh. 5.9 trilioni katika robo ya tatu (Januari-Machi) ya mwaka wa fedha 2022/23 ikiwa ni sawa na...

Afya

Serikali: Tumedhibiti virusi vya Murburg

  SERIKALI ya Tanzania, imesema imefanikiwa kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Murburg, huku ikiahidi kuutokomeza kwa kufuata miongozo ya Shirika la...

Habari Mchanganyiko

NIDA yatahadharisha uwepo matapeli kuhusu ajira

  MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesema haijatangaza nafasi za kazi baada ya kuwepo kwa taarifa za baadhi ya wananchi kupigiwa simu...

Habari za Siasa

Wabunge wapania kuwanyoosha bungeni waliotajwa ripoti ya CAG

  BUNGE la Tanzania, limeombwa kutenga muda wa kutosha kwa ajili ya kuwashughulikia baadhi ya watumishi wa umma waliotuhuma kwa makosa ya ubadhirifu...

Kimataifa

Kenya kurusha satelaiti yake ya kwanza ya uchunguzi wa dunia

  KENYA inajiandaa kurusha satelaiti yake ya kwanza kabisa ya uchunguzi wa dunia katika kile kinachoelezwa kuwa mafanikio ya kihistoria katika juhudi za...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema watolea uvivu wabunge wa CCM bungeni

  MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, (Chadema), Aida Khenani, amewataka baadhi ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), “waache unafiki” ili wamsaidie Rais Samia...

AfyaHabari za Siasa

Wabunge walia na serikali uchakavu vituo vya afya

  BAADHI ya wabunge wameihoji Serikali ina mpango gani wa kuboresha vituo vya afya chakavu, ili viweze kutoa huduma bora za afya kwa...

Habari Mchanganyiko

Ugonjwa mpya wa zinaa waibuka Kenya

WAKATI wanasayansi wakihaha kutafuta dawa ya kutibu Virusi Vya Ukimwi (VVU), nchini Kenya imebainika kuwa kuna ugonjwa mpya unaohusiana na magonjwa ya zinaa....

Habari Mchanganyiko

Ditopile agawa futari Kondoa, asisitiza Watanzania kuliombea Taifa

KATIKA  mendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma,  Mariam Ditopile amegawa futari kwa wazee, wajane na watu...

Habari Mchanganyiko

GGML yaunga mkono jitihada kupanda miti Halmashauri ya Mbogwe

WAKATI Tanzania ikiadhimisha Siku ya Upandaji Miti Kitaifa tarehe 1 Aprili 2023, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeahidi kudumisha dhamira yake...

Michezo

Mwarabu mshindi wa Tsh 54m apatikana

NI stori ambayo inafanya vizuri sana kwa vijana wengi wenye ndoto za kumiliki magari, nyumba na kusimamia biashara zao, habari za Mwarabu mshindi...

Habari Mchanganyiko

Finland kuwa mwanachama wa NATO kuanzia kesho

  Finland itakuwa mwanachama wa 31 wa Muungano wa Kijeshi wa NATO kuanzia kesho Jumanne tarehe 4 Aprili 2023. Yameripoti Mashirika ya Kimataifa...

Kabidhi Wasii Mkuu na Mtendaji Mkuu wa RITA, Angela Anatory.
Habari Mchanganyiko

RITA waja kidijitali, wasajili watoto milioni 8

KATIKA kupunguza gharama na kurahisisha utoaji wa huduma zinazotolewa na Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umeanza kutoa huduma kwa njia ya...

Habari za Siasa

Zitto atia neno maandalizi Dira ya Taifa 2050

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameshauri mchakato wa maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uwe wa wazi pamoja...

Habari za Siasa

Dk. Mpango ataka mambo sita yazingatiwe uandaaji Dira ya Taifa 2050

  MAKAMU wa Rais, Dk. Phillip Mpango, ametaka mambo sita yazingatiwe katika uandaaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari Mchanganyiko

Ramadhan Omary achaguliwa kuwa Katibu wa Baraza la Wafanyakazi TMA

  WAJUMBE wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) wamemchagua, Ramadhani Omary kuwa Katibu wa Baraza la Wafanyakazi...

error: Content is protected !!