Wednesday , 22 May 2024

Month: April 2023

Habari Mchanganyiko

Mahakama yatoa wito matumizi ya Tehema kwa wadau  

  MAHAKAMA nchini Tanzania imetoa wito kwa wadau wa mahakama kutumia mifumo ya Tehema ili kurahisha usikilizwaji wa  mashauri na kuendana na kasi...

Kimataifa

Benki ya Dunia yaonesha wasiwasi juu mikopo ya China kwa Afrika

  RAIS wa Benki ya Dunia (WB), David Malpass amesema ana wasiwasi kuhusu baadhi ya mikopo ambayo China imekuwa ikitoa kwa nchi zinazoendelea...

Habari Mchanganyiko

NGO’s zilizotuhumiwa na Dk. Mwakyembe kuhamasisha ushoga kikaangoni

BARAZA la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NACoNGO), limeanza kuzihoji asasi za kiraia (NGO’s) 29, dhidi ya tuhuma za kuhamasisha vitendo vya...

Habari za Siasa

Simbachawene, Jenista wala kiapo Ikulu

RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwenye...

Habari Mchanganyiko

NMB yafuturisha wateja wake Dar, Mufti Zuberi asema…

KATIKA kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhan, Benki ya NMB mwishoni mwa wiki iliandaa hafla ya futari kwa wateja wake jijini Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Rais Samia apangua mawaziri

RAIS Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, Kwa kuwahamisha mawaziri wawili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Ditopile aungana na Wana-Kongwa kwa Iftar, wamuombea dua Rais Samia

KATIKA muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile (CCM) ameungana na Waumini zaidi ya 500...

error: Content is protected !!