Ugonjwa wa Kipindupindu umeibuka jijini Dar es salaam ambapo zaidi ya watu 10 wamethibitika kuugua ugonjwa huo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuApril 25, 2023IDADI ya maiti zilizofukuliwa na polisi nchini Kenya zimefikia 73. Watu hao waliofunga hadi kufa walikuwa wafuasi wa Kanisa la Good News...
By Mwandishi WetuApril 25, 2023TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA), imesaini mkataba na wakala wa vyuo vikuu nje ya nchi Global Education Link (GEL), lengo ikiwa ni kushirikiana kuitafutia...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023KAMPUNI ya ubashiri Meridianbet Tanzania kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Usalama wa Barabarani limeanzisha kampeni ya Mtaa kwa Mtaa na Meridianbet...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto amemtaja mchungaji Paul Mackenzie kama mhalifu na gaidi kufuatia kufukuliwa kwa maiti 58 kutoka kwenye ardhi yake...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023TANGU kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), ambayo ni kampuni tanzu ya AngloGold Ashanti ilipoanzishwa mwaka 2000 nchini Tanzania, imekuwa kampuni kinara...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023SERIKALI imeiagiza Taasisi ya Taifa ya Magonjwa ya Binadamu (NIMR), kufanya uchunguzi dhidi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (Energy Drinks), ili kubaini...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023WADAU wa Haki ya Kupata Habari nchini (CoRI), wametinga bungeni jijini Dodoma, kwa ajili ya kuwasilisha kwa wabunge mapendekezo yao yaliyoachwa nje...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023MSAJILI Mkuu wa Hazina, Nehemiah Mchechu amelipongeza Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) baada ya uongozi wake kufanikiwa kuleta mageuzi makubwa na kulifanya...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023POLISI nchini Kenya kwamba wamefukua miili ya watu watatu inayodhaniwa kuwa ya wafuasi wa dhehebu la kidini wanaoaminika walijiua kwa njaa, mashariki...
By Mwandishi WetuApril 23, 2023SHEIKH wa mkoa wa Dodoma Alhaji Mustapha Rajabu Shaabani amesema suala la kukemea au kupinga vitendo haramu vya ushoga na ndoa za...
By Danson KaijageApril 23, 2023KATIBU wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan, aanze kuwashughulikia vigogo waliohusika na vitendo vya...
By Mwandishi WetuApril 23, 2023SHURA ya Maimamu Tanzania, imeitaka Serikali kuchukua hatua dhidi ya watu wanaofanya au kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja, ili kulinda...
By Mwandishi WetuApril 23, 2023KIJANA Hamimu Mustapha Baranyikwa (15), mkazi wa kijiji cha Nyakanazi, Biharamulo, Mkoani Kagera, amesimulia jinsi alivyougua maradhi ya ngozi mwilini mwake kwa...
By Mwandishi WetuApril 22, 2023CHINA imeingia katika wasiwasi baada ya baada ya India kutangazwa kuwa nchi yenye idadi kubwa ya watu, ambao wanaonyesha kutishia usalama wa...
By Mwandishi WetuApril 22, 2023MERIDIANBET wikiendi hii wanaupiga mwingi kwa kuhakikisha wanakupa odds bomba na kubwa katika michezo mbalimbali ambayo itapigwa katika ligi Barani Ulaya kuanzia...
By Mwandishi WetuApril 22, 2023MAPIGANO yaliyozuka katikati ya mwezi wa Aprili nchini Sudan tayari yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 400 na wengine zaidi ya 3,500...
By Mwandishi WetuApril 21, 2023KUTOKA nyumba ya mabingwa Meridianbet Kasino ya mtandaoni yaja na promosheni nyingine, baada ya kutambulisha Drops &Wins sasa kuna hii ya Spring...
By Mwandishi WetuApril 21, 2023RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amekataa kutia saini muswada wenye utata dhidi ya mashoga na wasagaji, ambao umezungumzia adhabu ya kifo katika...
By Mwandishi WetuApril 21, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Sued Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole kuanzia tarehe 18 Aprili 2023. Awali nafasi hiyo...
By Mwandishi WetuApril 21, 2023MKUU wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika Kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na...
By Mwandishi WetuApril 20, 2023KAMPUNI ya Meridianbet yenye ODDS KUBWA imeendelea kutanua wigo wa huduma kwa wateja wake baada ya kufungua duka lingine mitaa ya Vingunguti...
By Mwandishi WetuApril 20, 2023MBUNGE Viti Maalum, Halima Mdee (Chadema), ametishia kutopitisha fungu lenye bajeti ya mashahara wa Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi...
By Mwandishi WetuApril 20, 2023MWENYEKITI wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Stephen Wassira, amesema kitendo cha baadhi ya taasisi za Serikali kusaini...
By Mwandishi WetuApril 20, 2023WADAU wa Haki ya Kupata Taarifa nchini (CoRI), wamewaomba wabunge kuwasikiliza waandishi wa habari ili wapate mapendekezo yao yaliyoachwa katika Muswada wa...
By Regina MkondeApril 20, 2023SPIKA wa Bunge, Tulia Ackson, ameagiza Serikali kutokomeza changamoto ya ucheleweshaji malipo ya mafao ya wastaafu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Spika Tulia...
By Mwandishi WetuApril 20, 2023CHANGAMOTO ya uhaba wa maji katika Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, iko mbioni kuisha baada ya Serikali kupeleka miradi ya maji...
By Mwandishi WetuApril 20, 2023JESHI la Polisi Mkoani Tabora limewanasa watu 21 kwa tuhuma ya kujihusisha na wizi wa vifaa vya na miundombinu ya maji mali...
By Mwandishi WetuApril 20, 2023NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, ameitaka Serikali kuchukua hatua za haraka kuondoa popo wanaoharibu mazingira maeneo ya Kivukoni, jijini Dar...
By Mwandishi WetuApril 19, 2023SERIKALI ya Tanzania, imezitaka pande mbili zinazosigana nchini Sudan na kusababisha mapigano yaliyogharimu maisha ya watu zaidi ya 180 na majeruhi 1,000,...
By Mwandishi WetuApril 19, 2023NIMROD Elirehema Mkono, aliyekuwa mbunge wa Musoma Vijijini na baadaye Butiama, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amefariki dunia leo Jumanne nchini Marekani. Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 18, 2023KESI iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee, imeahirishwa hadi tarehe 18 na 19 Mei,2023 kutokana na Jaji anayeisikiliza, Cyprian...
By Regina MkondeApril 18, 2023Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Mwanza kuanzia tarehe 16 Aprili 2023.
By Mwandishi WetuApril 18, 2023SERIKALI kwa mara ya kwanza imeanzisha utaratibu wa ‘Samia Suluhu Super specialist program’ wa kusomesha madaktari bingwa zaidi ya 400 ili kukabiliana na...
By Mwandishi WetuApril 18, 2023BERNARD Kamilius Membe, waziri waziri wa zamani wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa, amegoma kumsamehe mdai wake – Cyprian Musiba...
By Mwandishi WetuApril 18, 2023JIMBO la Montana ya Marekani lipo Mbioni kupiga marufuku ya matumizi ya mtandao wa kijamii wa Kichana wa ‘TikTok.’ Gazeti la Montana...
By Mwandishi WetuApril 18, 2023MERIDIANBET Kasino ya mtandaoni inakupa mchongo wa kutusua kimaisha kupitia shindano lake kipya la Drops & Wins ambalo litakuwa linawazadia washindi mamilioni...
By Mwandishi WetuApril 18, 2023BENKI ya NMB imeendelea kupambana na athari za mabadiliko ya tabia nchi kupitia kampeni ya MitiMilioni nchi nzima, kwa kuiadhimisha mkoani Tabora na...
By Mwandishi WetuApril 18, 2023ELIMU ya uzazi inayotolewa kwa makundi ya vijana Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga imetajwa kuchangia kupunguza idadi ya mimba kwa wasichana wenye...
By Mwandishi WetuApril 18, 2023WAHENGA waliwahi kusema usiku wa deni hauchelewi, ni sasa kule kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kitaeleweka nani mbambe dhidi ya mwenzake, raundi...
By Mwandishi WetuApril 17, 2023WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiongozwa na Spika Dk. Tulia Ackson, wameipongeza Benki ya NMB kwa kuanzisha Kampeni kupanda...
By Mwandishi WetuApril 17, 2023MERIDIANBET ambao ndio mabingwa wa michezo ya kubashiri wenye ODDS KUBWA leo imeamua kugusa soka la wanawake baada ya kuzikifikia timu hizo na...
By Mwandishi WetuApril 15, 2023HISTORIA ya mpira wa miguu ilikuwepo tangu karne ya 15C, lakini ilisambaa Zaidi karne ya 19C huko Uingereza ambapo mpira wa miguu...
By Mwandishi WetuApril 14, 2023BILA shaka simulizi za kale huwa zina sisimua na kufurahisha haswa unapopata mtu anayejua kusimulia au stori nzuri iliyoandikwa kwenye mtiririko mzuri...
By Mwandishi WetuApril 13, 2023WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ameshiriki katika ufunguzi wa kongamano kati ya Sekta ya Uchukuzi na wadau wa sekta Binafsi...
By Mwandishi WetuApril 12, 2023MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) amesema kutokana na madudu yaliyoibuliwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),...
By Mwandishi WetuApril 11, 2023JESHI la Polisi wa Mkoa wa Ruvuma limetaja majina ya wafanyabiashara 13 waliofariki dunia katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia jana tarehe...
By Mwandishi WetuApril 11, 2023MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema serikali itawachukulia hatua wale wote watakaobainika kuwa wamefanya ubadhirifu...
By Mwandishi WetuApril 11, 2023INAELEZWA kuwa China imekuja na mkakati mpya wa kupunguza ushawishi wa Marekani pamoja na kuishusha dola kwa kuanzisha Diplomasia ya Yuan ambapo...
By Mwandishi WetuApril 11, 2023ZILIANZA timu 32, zikafika 16, na hatimaye zimebaki 8 katika hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, unatabiri timu zipi...
By Mwandishi WetuApril 11, 2023