Friday , 3 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Mkono afariki dunia
Habari Mchanganyiko

Mkono afariki dunia

Spread the love

NIMROD Elirehema Mkono, aliyekuwa mbunge wa Musoma Vijijini na baadaye Butiama, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amefariki dunia leo Jumanne nchini Marekani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Mkono alikuwa Marekani tangu mwaka 218, alikokwenda kupatiwa matibabu ya tatizo la kusahau.

Taarifa za kifo cha Mkono, zimethitishwa na mdogo wake Zadock Mkono ambaye amesema taarifa zaidi kuhusu sababu za kifo cha kaka yake na taratibu nyingine zitatolewa baadaye.

Mwanasiasa huyo ambaye alikuwa wakili mashuhuri nchini, alikuwa miongoni kwa wanasiasa na wanasheria waliowahi kutuhumiwa kwa ufisadi na chama Kikuu Cha upinzani cha CHADEMA, Septemba 2007.

1 Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chadema waendelea kulilia katiba mpya

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kudai upatikanaji wa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yang’ara maonesho OSHA

Spread the loveBenki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta...

Habari MchanganyikoKimataifa

Ruto amteua Kahariri kuwa mkuu wa majeshi

Spread the loveRAIS wa Kenya, William Ruto, amemteua Jenerali Charles Muriu Kahariri,...

Habari Mchanganyiko

Chongolo aonya viongozi vijiji kutouza NIDA kwa wageni

Spread the loveMKUU wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amewaonya viongozi wa...

error: Content is protected !!