Friday , 26 April 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

Biashara

Meridianbet kasino sloti mpya ya ushindi ni hii

  81 Crystal Fruits ni sloti ya kasino mtandaoni kutoka Meridianbet inayojumuisha nguzo nne zilizopangwa katika mistari mitatu na una mistari ya malipo...

Biashara

TPA yajivunia Zimbabwe kuwa soko jipya mizigo ya magari bandari Dar

KAMPENI ya kuitangaza bandari ya Dar es Salaam kimataifa imetajwa kuanza kuzaa matunda baada ya wafanyabiashara na wakazi wa Zimbabwe kuichagua bandari hiyo...

Kimataifa

Mambo mazito kwa mchungaji Mackenzie, makaburi mapya yagunduliwa, maiti zafikia 426

KUGUNDULIWA kwa makaburi mapya ya halaiki katika msitu Shakahola huko Kilifi nchini Kenya kumetajwa kuchangia uamuzi wa kurejesha mchakato mpya wa ufukuaji wa...

Kimataifa

Pazia kampeni za urais DRC lafunguliwa rasmi

JUMLA ya wagombea urais 26 wanatarajiwa kuanza kampeni leo Jumatatu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambazo zinatarajiwa kudumu kwa mwezi mmoja...

Biashara

Kampuni ya Saruji ‘Holcim Group’ yajiondoa soko la Tanzania

Kampuni kubwa ya Saruji ya Uswizi imetangaza mpango wa kuuza kampuni yake tanzu Pan African Cement, ambayo inashikilia asilimia 65 ya Kampuni ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yamwaga mikopo ya Sh1.8 trilioni kwa zaidi ya wanawake 168,000

BENKI ya NMB imetoa zaidi ya Sh1.8 trilioni kwa wanawake 168,600 wa biashara ndogo na za kati (SMEs) katika kipindi cha miezi 10...

Biashara

NMB yakabidhi mabati ya mil.28 kwa shule 5 Kisarawe

KATIKA kuendeleza utamaduni wa Uwajibikaji wa kampuni kwa jamii (CSR), Benki ya NMB imekabidhi msaada wa mabati 600 yenye thamani ya Sh28.2 milioni...

Michezo

Sajili 10 zilizotikisa Manchester United

MANCHESTER United hawajashinda kombe la Ligi Kuu yaUingereza (EPL) tangu mwaka 2013 lakini bado ni timuyenye mafanikio zaidi tangu ligi hiyo ilipoanzishwa upyamwaka...

ElimuHabari za Siasa

Wanafunzi waliofanya mtihani wakiwa na watoto wachanga wamkuna Jokate

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzani (UWT), Jokate Mwegelo amesema hatua ya wanafunzi walioruhusiwa kufanya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2023...

Habari za SiasaKimataifa

Weah rais wa kwanza kushindwa uchaguzi Liberia

KIONGOZI anayeondoka madarakani nchini Liberia, George Weah, anaweka historia nchini humo kwa kuwa rais wa kwanza kushindwa katika kinyang’anyiro cha kuwania muhula wa...

Afya

Nape ataka mifumo ya taarifa za hospitali iunganishwe

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hospitali zimekuwa na mifumo mingi ambayo haisomani kiasi ambacho imechangia kuongezeka kwa...

Elimu

CBE yaingia makubaliano na RSM kutoa mafunzo ya elimu ya fedha

KATIKA jitihada za kuandaa wahitimu wanaoendana na soko la ajira duniani, Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeanzisha ushirikiano na kampuni ya RSM...

Biashara

Meridianbet yapiga hodi mitaa ya Mbezi na Kimara

  SIKU mpya kabisa na adhwim ya Ijumaa, timu nzima ya Meridianbet imepiga hodi katika eneo la Kimara na Mbezi na kutoa Reflectors...

Habari MchanganyikoMichezo

Dk. Biteko amuweka kikaangoni Msajili Hazina, ampa siku 4

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amemtaka Msajili wa Hazina nchini kufikia Jumanne asubuhi awasilishe maelezo ya kwa nini...

Biashara

NBC yatoa elimu ya fedha kwa wanafunzi Tambaza Sec.

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa elimu ya masuala ya kibenki na umuhimu wa kujijengea utamaduni wa uwekaji akiba kwa wanafunzi wa...

Biashara

NMB yabainisha sababu za kuipa kipaumbele miradi rafiki kimazingira

Benki ya NMB imesema imeanza kuzingatia kwa karibu masuala ya uhifadhi wa mazingira katika uendeshaji wake na kufadhili miradi mbalimabli kutokana na umuhimu...

KimataifaTangulizi

Wanawake 104 waliodaiwa kubakwa walipwa 624,000 kila mmoja

Shirika la afya duniani WHO limewalipa limewalipa  fidia ya Dola 250 (Sh 624.3) wanawake 104 waathiriwa wa dhulma za kingono nchini Jamhuri ya Kidemokrasia...

Biashara

Meridianbet kushusha michezo mipya ya kasino utakayoshinda kirahisi

  MERIDIANBET kwa kushirikiana na Expanse studio wanakuja na vitu vipya, michezo mipya ya kasino mtandaoni itakayozinduliwa kwenye maonyesho ya SiGMA World Europe....

KimataifaTangulizi

Majeshi Israel yatua nyumbani kwa kiongozi wa Hamas

Jeshi la Israel limesema limeyashambulia makazi ya kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas, Ismail Haniyeh katika Ukanda wa Gaza. Inaripoti Mitandao ya...

BiasharaTangulizi

Serikali yafyeka tozo kero za biashara 232

SERIKALI kupitia Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara (MKUMBI) imefuta na kupunguza jumla ya tozo, ada na faini zisizopungua 232 kati ya 380...

Biashara

Dar Ceramica yazindua upya tawi la Arusha kwa kishindo

  Wakazi wa Arusha na miji ya jirani wana sababu za kutabasamu zaidi kufuatia uzinduzi mpya wa Dar Ceramica Centre Tawi la Arusha,...

Biashara

Wajasiriamali waitwa maonyesho Burundi

MWENYEKITI wa Shirikisho la Wajasiriamali wa Jumuiya ya  Afrika Mashariki, Josephat Rweyemamu ametoa wito kwa wanachama shirikisho hilo kushiriki kwa wingi kwenye maonyesho...

Michezo

Messi na Ronaldo wachuana tena kwa rekodi hizi

  WAKATI kukiwa bado kuna mjadala unaoendelea juu ya nani alistahili kutwaa Ballon D’or ya mwaka huu 2023, kuna baadhi wanasema Erling Haaland...

Burudika

Piga makofi kwa Mr. Eazi …achomoka na ‘The Evil Genius’

MAKOFI kwa Mr Eazi! Staa wa Afropop, Mr Eazi ameachia albamu yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la ‘The Evil Genius’ iliyokuwa ikisubiriwa...

Burudika

Kishindo cha Afro B katika “Wo wo wo” akiwa na Rich the Kid&Rimzee

STAA ambaye alitambulishwa na ngoma maarufu, Afrowave ‘Drogba’, Afro B, ameachia video yake mpya ya kibao “Wo Wo Wo (Ebony)” – ikiwa ni...

Elimu

CBE, DSE kuwapa wanafunzi mbinu za masoko

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeingia makubaliano na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) ya kuwapa mafunzo ya vitendo wanafunzi...

Biashara

Huu siyo utani, ukiwa na jero tu inatosha kukupatia Bajaji mpyaa, Bashiri na Meridianbet

  HUENDA siku zinazidi kwenda mwaka unaisha lakini kila malengo yako hayatimii, kila njia umefanya lakini bado mambo ni magumu. Leo nataka kunena...

Biashara

GGML yaibuka kampuni inayoaminika zaidi katika tuzo za mlaji

GEITA Gold Mining Limited (GGML) imeibuka kuwa kampuni inayoaminika zaidi kwenye sekta ya madini katika tuzo za mlaji (Consumer’s Choice Awards  Africa) zilizotolewa...

Biashara

NMB yawanoa wahariri kuhusu bima ya afya, mazishi

BENKI ya NMB imewanoa wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini kuhusu matumizi ya huduma mpya za bima ya afya pamoja na bima...

Biashara

Majaliwa aipongeza STAMICO kuendelea kunadi matumizi nishati mbadala

Waziri  Mkuu Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa  amelipongeza Shirika la Madini la Taifa STAMICO  kuendelea kuhamasisha matumizi ya nishati  Mbadala ...

Biashara

Wamachinga Kivule walianzisha

SAKATA la wafanyabiashara ndogondogo (wamachinga) eneo la Kivule kuvunjiwa na vibanda vyao Kisha mali kuchukuliwa na mgambo limechukua sura mpya baada ya kuzifuatilia...

Biashara

Kwa buku unapata Flat Screen Inch 55 mpya kabisa

  FUNGA mwaka kibingwa na Meridianbet nyumba ya mabingwa wa odds kubwa na machaguo mengi lukuki. Zikiwa zimebaki siku chache mwaka kuisha Meridianbet...

Biashara

Waziri Biteko azindua wa kituo cha kujaza gesi na kubadili mfumo wa magari kutumia gesi 

  NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wa Tanzania, Dk. Doto Biteko amezindua kituo cha kwanza cha kujaza gesi asilia (CNG) kinachojulikana...

Biashara

TGC yaja na mpango wa kutengenexa mabilionea

Kituo cha Jemolijia Tanzania (TGC) kimedhamiria kuhuisha mitaala ya mafunzo yake ili kutengeneza Watanzania matajiri  kupitia tasnia ya Uongezaji Thamani Madini.  Anaripoti Mwandishi...

Biashara

Mgao wa 800,000 unakusubiri katika kasino mtandaoni Sloti za Expanse Casino

MICHEZO kabambe ya kasino mtandaoni kutokaExpanse itakufanya kuvuna bonasi kuanzia TZS 100,000/= kwenye mgao wa TZS 800,000/= Mwezi huu wa Novemba. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Michezo

Hizi hapa mechi zenye maokoto ya kutosha Jumapili hii

  JE unazijua timu zenye maokoto mengi leo hii?. Basi ungana nami ukaone nani na nani anataka kukupa pesa yako leo hii endapo...

Biashara

NMB yaazimia kushirikiana kimkakati na wanasheria

BENKI ya NMB imeazimia kuwa na ushirikiano wa kimkakati na taasisi za kisheria nchini kutokana na umuhimu wa tasnia ya sheria katika maisha...

Elimu

Wanafunzi Hazina waonyesha vipaji vya hali ya juu.

WANAFUNZI wa shule ya msingi Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam wameonyesha vipaji vya aina yake walipokuwa kwenye mahafali ya darasa la...

Elimu

Shule ya Hazina kuendelea kuwa juu kitaaluma

SHULE ya Msingi Hazina imeahidi kuendelea kuwa juu kitaaluma kwa kuhakikisha inakuwa na walimu mahiri na wenye wito wa kazi ya ualimu. Anaripoti...

Michezo

Wikiendi siyo ya kinyonge, maokoto ya kutosha Meridianbet

  MAOKOTO ni ya kutosha wikiendi hii na mabingwa wa michezo ya kubahatisha Meridianbet ambapo ligi mbalimbali zitarejea huku zikikupa nafasi kujipigia maokoto...

ElimuHabari Mchanganyiko

Walimu almanusra watwangane ngumi kisa kujitoa CWT, wamvaa mkurugenzi

Baadhi ya Walimu wa shule za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe ‘wamemvamia’  Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa...

Elimu

CBE yapongezwa kwa program za uanagenzi na atamizi

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema kuanzia mwakani kitaanza kufundisha baadhi ya kozi zake kwa njia ya mtandao ili kuwawezesha watu wengi...

Elimu

Mahafali ya CBE yatia fora Dar

SERIKALI imevitaka vyuo vikuu kuwa na program atamizi na zile za uanagenzi ili kuzalisha wataalamu wenye uwezo wa kujiajiri na kuajiri wengine badala...

Biashara

Black Gold kasino ya kijanja yenye malipo makubwa

  MOJA kati ya vitu vyenye thamani kubwa duniani kwa rasilimali za asili ukiachana na mafuta kuna hii kitu inaitwa dhahabu, Tanzania imejaliwa...

Biashara

Cheza Aviator ushinde beti za bure kila siku

HII ni kwa kila mtu anayejua kucheza kasino mtandaoni na kwawasiojua lolote, mchongo mkubwa kabisa wa kufungia mwakahuku ukipata maokoto ni kuwa rubani...

Biashara

Mbunge aibana Serikaili utitiri mashauri ya kikodi

MBUNGE Viti Maalum, Janejelly Ntate, amehoji mkakati wa Serikali katika kumaliza mashtaka ya kikodi yaliyoko kwenye bodi ya rufani za kodi na baraza...

BiasharaHabari za Siasa

Upungufu wa umeme wabaki 218 MW kutoka 421 MW

Serikali imesema hali ya upatikani umeme nchini imeimarika na sasa upungufu wa umeme umebakia 218 MW. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Hayo yameelezwa na...

Biashara

Alhamisi ya kujibweda imewadia sasa na maokoto ya Meridianbet

ALHAMISI ndiyo hii hapa na Meridianbet inasema hivi mechi za Europa ndio hizi hapa na wewe ndio nafasi yako ya kujiokotea kwanja imefika....

Biashara

Pata bonasi na mizunguko ya bure ukicheza Wheel of Fortunes

  UKIACHANA na ugumu wa maisha unavyokwenda kasi, kuna inshu nyingine inaweza kuwa kilainishi cha maisha ni kuzungusha gurudumu la bahati la Wheel...

Afya

Wananchi Ileje waiangukia serikali ukamilishaji wa zahanati

Wananchi wa kijiji cha Mbembati kata ya Lubanda wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamejenga zahanati ya Kijijini hapo kwa nguvu zao ili kupunguza...

error: Content is protected !!