Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Biashara Mgao wa 800,000 unakusubiri katika kasino mtandaoni Sloti za Expanse Casino
Biashara

Mgao wa 800,000 unakusubiri katika kasino mtandaoni Sloti za Expanse Casino

Spread the love


MICHEZO
 kabambe ya kasino mtandaoni kutokaExpanse itakufanya kuvuna bonasi kuanzia TZS 100,000/= kwenye mgao wa TZS 800,000/= Mwezi huu wa Novemba. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Ukiachana na sloti kibao ikiwemo michezo ya kasinomtandaoni rahisi kabisa kupiga pesa kama Aviator mchezo pendwa, Roulette na Poker, katikapromosheni hii ya Expanse Casino 9.0 mchezajiatakayecheza michezo ifuatayo atajiweka kwenyenafasi ya kushinda bonasi ya mgao wa TZS 800,000/=

Michezo hiyo ya kasino mtandaoni inayolipa bonasi ni: Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, ThBook of Eskimo, Wild icy fruits. Mayas Treasure, Wild White Whale, PIA na Planet Power.

Shiriki kwenye Promosheni ya Expanse Casino 9.0

Kushiriki kwenye shindano hili la 5 unapaswa kuchezakasino mtandaoni, sloti za Expanse studio na kwakuzingatia masharti yafuatayo:

Promosheni hii itahusisha wachezaji waliosajiliwakwenye APP na tovuti ya meridianbet.co.tz

Kipindi chote cha shindano, wachezaji watashindanakulingana na idadi ya mizunguko inayochezwa kwenyemichezo ya watoa huduma ya Expanse kutoka kasinoya mtandaoni ya Meridianbet.

Orodha ya nafasi iko ndani ya mchezo na itaonekanasaa 24 baada ya mwisho wa mashindano.

Kulingana na orodha ya mwisho ya nafasi, wachezaji5 walioshika nafasi za juu watatunukiwa bonasi zakasino ya mtandaoni katika viwango vifuatavyo:

      •1. Nafasi ya Kwanza       250,000 TZS

      •2. Nafasi ya Pili               200,000 TZS

      •3. Nafasi ya Tatu            150,000 TZS

      •4. Nafasi ya nne              100,000 TZS

      •5. Nafasi ya Tano            100,000 TZS

Bonasi iliyotolewa ni lazima izungushwe mara 30 kwenye michezo ya kasino mtandaoni ili iwekwekwenye akaunti ya mteja kwaajili ya kutolewa. Ushindiwa juu ni 500,000TZS

NB: Kuanzia Novemba 1 hadi Novemba 30, 2023 kutakuwa na Promosheni maalum kwa wachezajiwa Aviator kutoka Meridianbet kasino mtandaoni. Watu 10 wenye bahati watakuwa wanazawadiwabeti za bure wakati wakiwa mchezoni. CHEZA AVIATOR.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Mwenge

Spread the love  KAMPUNI ya Meridianbet imefika maeneo ya Mwenge jijini Dar-es-salaam...

Biashara

Serengeti yakabidhi mkwanja kwa mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo

Spread the love Mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo kutoka Kahama Mjini...

Biashara

Ushindi rahisi unpatikana kila ukicheza kasino ya Hot Joker

Spread the love  HOT Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Zara tours yajivunia kupandisha wageni 228 Mlima Kilimanjaro

Spread the loveKampuni ya utalii ya Zara tours ya mjini Moshi mkoani...

error: Content is protected !!