Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Biashara Pata bonasi na mizunguko ya bure ukicheza Wheel of Fortunes
Biashara

Pata bonasi na mizunguko ya bure ukicheza Wheel of Fortunes

Spread the love

 

UKIACHANA na ugumu wa maisha unavyokwenda kasi, kuna inshu nyingine inaweza kuwa kilainishi cha maisha ni kuzungusha gurudumu la bahati la Wheel of Fortunes, mchezo huu unakupa bonasi hadi Tsh 50,000/= na mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino mtandaoni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Hakikisha haufanyi makosa kwenye mwezi huu wa Novemba kuwa moja ya washindi kwenye promosheni hii ya Wheel of Fortunes, hakika Meridianbet ni nyumba ya mabingwa na washindi wengi hutoka kwenye ubashiri wa soka na michezo ya kasino mtandaoni ukiwemo PIA Premium.

Wheel of Fortunes Unashindaje?

Kushiriki kwenye promosheni hii kabambe ni rahisi sana huhitaji kutumia akili kubwa kuanzisha mzunguko bali, ni kubenyeza tu kitufe na safari ya kusaka bonasi na ushindi inaanza mara moja.

Zawadi za Promosheni Hii ni kama ifuatavyo;

 • Mizunguko 50 ya bure kwenye mchezo wa PIA Premium
  • Mizunguko 100 ya kwenye mchezo wa PIA Premium
  • Mizunguko 200 ya bure kwenye mchezo wa PIA Premium
  • 10,000 TZS Bonasi ya michezo
  • 25,000 TZS Bonasi ya michezo
  • 50,000 TZS Bonasi ya michezo

Masharti ya Promosheni.

 • Ikiwa mchezaji atashinda bonasi, anahitaji kuitumia siku hiyo hiyo.
 • Odd ya chini kwa kila mchezo lazima iwe 1.25.
 • Iwapo mchezaji atashinda mizunguko ya bure, anahitaji kucheza angalau TZS 10,000 au zaidi kwenye ofa ya kasino siku hiyo hiyo.
 • Bonasi/Mizunguko ya bure hulipwa siku inayofuata hadi saa 17
 • Bonasi/ mizunguko ya bure ya Jumamosi na Jumapili zitalipwa Jumatatu.
 • Ni muhimu kuweka Kitambulisho sahihi kwenye akaunti na namba ya simu.

Mchezaji mmoja anaweza kushinda zawadi isiyozidi moja (bonasi au mizunguko ya bure ya kasino mtandaoni) wakati wa ofa.

 • Wheel of Fortunes inapatikana kwenye kompyuta na simu, na si progamu (APP).
 • Ofa itadumu kuanzia tarehe 31.10.2023 hadi 30.11.2023.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Mwenge

Spread the love  KAMPUNI ya Meridianbet imefika maeneo ya Mwenge jijini Dar-es-salaam...

Biashara

Serengeti yakabidhi mkwanja kwa mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo

Spread the love Mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo kutoka Kahama Mjini...

Biashara

Ushindi rahisi unpatikana kila ukicheza kasino ya Hot Joker

Spread the love  HOT Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Zara tours yajivunia kupandisha wageni 228 Mlima Kilimanjaro

Spread the loveKampuni ya utalii ya Zara tours ya mjini Moshi mkoani...

error: Content is protected !!