Author Archives: Mwandishi Wetu

Somalia hali si shwari

HALI ya Somalia ni tete kutokana na tishio la njaa ambapo tayari Umoja wa Mataifa (UN) umetoa wito kwa mataifa mbalimbali kuelekeza misaada yeke kwenye nchi hiyo. Umoja huo unaeleza ...

Read More »

Wahariri wa Mawio, MwanaHALISI waachiwa kwa dhamana

MHARIRI wa gazeti la Mawio, Simon Mkina na Mhariri wa gazeti la MwanaHALISI ambaye pia ni mwandishi Mwandamizi wa gazeti la Mawio, Jabir Idrissa wameachia kwa dhamana na Jeshi la ...

Read More »

Al Shabab yaonesha jeuri yake Kenya

IKIWA ni siku mbili baada ya kuwepo kwa taarifa za mashambulizi ya kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab cha Somali kuua wanajeshi wa Kenya, kundi hilo linaeleza kuwashikilia wanajeshi kadhaa ...

Read More »

Segerea waanza kukabili changamoto za Elimu

TAASISI binafsi na wadau wa elimu nchini, wametakiwa kuiunga mkono Serikali katika juhudi za kutekeleza mkakati wa elimu bure, kutokana na matatizo yanayoikabili sekta hiyo ikiwemo madawati na vyoo kwenye ...

Read More »

Iran kuruka vikwanzo vya kibiashara

Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Watu wa Iran inatarajia kupata afueni kwa kufunguliwa milango ya kibiashara baada ya kutimiza mashatri ya Umoja wa Kimataifa (UN). Hatua hiyo inatokana na ...

Read More »

Kundi jipya la kigaidi latesa Ouagadougou

HATUA ya kundi jipla la kigaidi la Al Mourabitoune kushambulia na kuua watu 29 kwenye hoteli ya Splendid huku wengine wakijeruhiwa vibaya katika mji wa Ouagadougou, Burkina Faso Ijumaa iliyopita, ...

Read More »

Wagombea urais Afrika ya Kati wagomea matokeo

ANDRE Kolingba na Martin Ziguele ambao ni wagombea urais kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wamegomea matokeo. Wagombea hao wametaka kuhesabiwa upya kura wakidai kwamba matokeo ...

Read More »

Israeli yaua raia wa Eritrea

SERIKALI ya Israel imekamata raia wake wanne na kuwafungulia mashitaka kwa kosa la kumpiga mhamiaji kutoka Eritrea na kumuua. Taarifa kutoka kwenye nchi hiyo zinaeleza kwamba, utetezi wa waisrael hao ...

Read More »

Mapinduzi ya Zanzibar yaibua jambo zito

MAADHIMISHO ya 52 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar yameibua hoja ya mamlaka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk, John Pombe Magufuli na Dk. Ali Mohamedi Shein. Anaandika Josephat Isango …. ...

Read More »

Ndugai ateua Kamati ya Kanuni

SPIKA wa Bunge Job Ndugai amewateua wabunge 15 kuwa wajumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge. Anaandika Josephat Isango … (endelea) Kamati ya Kanuni imeundwa na kutangazwa kabla ya nyingine ...

Read More »

UVCCM yataka Rais mstaafu afukuzwe CCM

UMOJA wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), umekitaka chama hicho kumvua uanachama Rais mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume. Anaandika Josephat Isango …. (endelea). Kauli hiyo imetolewa katika viwanja ...

Read More »

CCM wajibu mapigo Z’bar, uchaguzi upo pale pale

SAA chache baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad kutangaza kasoro na athari za kurudia Uchaguzi uliofutwa kinyume cha sheria na Jecha Salim Jecha, ...

Read More »

Serikali kukagua vibali vya ajira kwa wageni

MUDA wowote kuanzia sasa serikali imepanga kuanza ukaguzi wa vibali vya ajira za wageni nchini. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Uamuzi huo unatokana na kuisha kwa muda wa siku 14 ...

Read More »

Kubenea: Ili tufanikiwe tuweke pembeni itikadi zetu

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea amefanya ziara katika Kata ya Makurumla iliyoko jimboni kwake na kutembelea masokoni, Zahanati na shuleni. Anaandika Josephat Isango … (endelea). Katika ziara hiyo aliwaomba viongozi ...

Read More »

Mbunge wa Ubungo mbaroni kwa amri ya Makonda

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amekamatwa na polisi eneo la viwanda (EPZA) Mabibo kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Anaandika Josephat Isango … (endelea). Tukio ...

Read More »

Syria mpya yaanza kuonekana

MAUAJI, mateso ndani ya nchi ya Syria huenda yakakoma baada ya makundi ya waasi nchini humo kuridhia kusimamisha mapigano na kuingia kwenye mazungumzo mwezi ujao. Hatua hiyo imefikiwa baada ya ...

Read More »

Nani kati ya hawa kupenya?

WAPENZI wa soka duniani leo wanatarajia kushuhudia mshindi wa Tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika 2015 iliyoandaliwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC). Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Wanasoka wanaopigania ...

Read More »

Baraza la Magufuli hili hapa

RAIS John Magufuli leo ametangaza Baraza la Mawaziri lenye jumla ya wizara 18 huku wizara nne zikiwa bado kutangazwa mawaziri wake. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Mbele ya waandishi wa habari ...

Read More »

Safari ya Prof. Lipumba kuwa waziri yaiva

PROF. Ibrahim Lipumba, aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ameachiwa huru na mahakama ya Hakim Mkazi, jijini Dar es Salaam. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Mkurugenzi wa Mashitaka ya ...

Read More »

Kubenea kumshitaki Meneja wa Kituo cha Mabasi Ubungo

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, amesema atamshitaki Meneja wa Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani (UBT), Juma Idd, kwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe, kutokana na kushindwa ...

Read More »

Zaidi ya 30 wapoteza maisha katika ajali Singida

Watu zaidi ya 30 wanadaiwa kufariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kupata ajali. Anaandika Josephat Isango … (endelea). Akizungumza kwasimu kutoka eneo la ...

Read More »

Sheikh Ponda huru

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Morogoro imemwacha huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda aliyekuwa akituhumiwa kwa makosa ya uchochezi. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). ...

Read More »

Kubenea: Kuhamisha stendi ya Ubungo ni Ufisadi

MBUNGE wa  Ubungo, Saed Kubenea, amesema anatarajia kupeleka hoja binafsi bungeni ili kuzuia kuhamishwa kituo cha mabasi yaendayo mikoani (UBT). Kwani kwa kuhamisha kituo hicho ni matumizi mabaya ya fedha za wananchi, ...

Read More »

Chuo cha Kiislam chachomwa moto

Chuo cha elimu ya dini ya kiislam kwa acha Mus’ab kilichopo Manzese kinadaiwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana. Anaandika Josephat Isango … (endelelea). Akizungumza mbele ya Mbunge wa Jimbo la ...

Read More »

Kubenea aibua Ufisadi Manispaa ya Kinondoni

MBUNGE wa jimbo la Ubungo, Saed Kubenea ameibua ufisadi wa Shilingi bil. 1.2 kwa mwaka katika Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam unaofanywa kupitia ufuaji wa majoho ya madiwani. ...

Read More »

Kubenea kuboresha kituo cha Afya Palestina

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amewahurumia akina mama wanaolazwa kwenye wodi ya wazazi ya hospitali ya Sinza Palestina baada ya kufika kujionea hali ya hospitali hiyo na kubaini uwepo ...

Read More »

Kubenea ataka waliotoa vibali maeneo ya wazi wawajibishwe

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), ameitaka serikali kutowaacha wahusika waliotoa vibali vya ujenzi katika maeneo ya wazi na yale yasiyoruhusiwa ambayo sasa waliojenga wanaathirika na bomoabomoa. Anaandika Josephat Isango ...

Read More »

Ulaya, Marekani zapinga sheria ya mitandao Tanzania

MABALOZI wa Umoja wa Nchi za Ulaya na Marekani wamepinga sheria ya mitandao ya mwaka 2015 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa madai kuwa hazizingatii haki za msingi za ...

Read More »

Magufuli amtembelea Mkurugenzi LHRC

RAIS wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kujionea hali ya utoaji huduma kwa wagonjwa. Anaandika Josephat Isango … (endelea). Awali Rais ...

Read More »

Gwajima kukiona, Dk. Slaa kutelekezwa

IKIWA ni siku mbili tangu kutangazwa kwa mshindi wa mbio za Urais 2015, na siku moja tangu John Magufuli kukabidhiwa cheti maalumu cha ushindi watu wanaodaiwa kuwa ni usalama wa ...

Read More »

Majaji waahidi uamuzi leo

MABISHANO ya kisheria yaligubika shauri linalohusu mpigakura kukaa au kutokaa umbali wa mitaa 200 kutoka eneo la kupigakura lililofunguliwa katika Mahakama Kuu na wakili anayetetea upande wa Chama cha Demokrasi ...

Read More »

Kesi ya wapiga kura kukaa mita 200 yaahirishwa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imehairisha kesi namba 37 ya mwaka huu, ya mlalamikaji kuiomba mahakama itoe tafsiri ya kifungu cha 104 kidogo cha (1) cha Sheria ya Uchaguzi kama kinazuia ...

Read More »

JK ashitakiwa UN, ICC

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemshitaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete. Anaandika Josephat Isango … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo mchana ...

Read More »

Nyalandu atinga kwenye mdahalo kwa chopa, azomewa

WAZIRI wa Malialisili na Utalii na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amezomewa na wananchi kwenye mdahalo uliofanyika Ukumbi wa parokia ya Ilongero 11 Oktoba mwaka huu. ...

Read More »

Upinzani waleta neema kwa Polisi

UPINZANI anaotoa Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayeungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa Katiba ya Wananchi, (Ukawa) Edward Lowassa umeleta neema kwa makundi ambayo ...

Read More »

Vyuo vikuu hawatapiga kura – NEC

TUME ya taifa ya Uchaguzi sasa imethibitisha kuwa wanafunzi wa Vyuo vikuu hawatapiga kura katika uchaguzi mkuu ujao. Anaandika Josephat Isango … (endelea). Akizungumza katika kipindi cha kikaangoni kinachorushwa na ...

Read More »

Mwandishi wa habari kuifikisha serikali kortini

MWANDISHI wa habari na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kukuza Utawala Bora na Uwazi, Edwin Soko anatarajia kuipandisha kizimbani serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaandika Josephat Isango … ...

Read More »

BVR zilizokamatwa zagonganisha Chadema, NEC

TUME ya Taifa ya uchaguzi imesema itatoa ufafanuzi kuhusu kinachodaiwa kuwa ni mashine za BVR zilizokamatwa jana kwa ushirikiano wa jeshi la polisi na Maofisa wa Chadema huku chama hicho ...

Read More »

NEC: Hakuna goli la mkono

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema, Watanzania na wanasiasa nchini hawana sababu ya kuwa na wasiwasi kwa kuwa, hakutakuwa na goli la mkono. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). “Ni uchokozi ...

Read More »

Diwani wa Chadema kizimbani kwa kujeruhi

DIWANI wa kata ya Ubungo anayemaliza muda wake kwa tiketi ya Chadema, Boniface Jacob leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu, akituhumiwa kumpiga na kumjeruhi mwandishi wa habari wa gazeti ...

Read More »

Mamiss IFM wamkaba DC Makonda

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, Paul Makonda analalamikiwa kuwa amesaliti ahadi yake ya fedha kwa warembo watatu walioshinda shindano la urembo la Miss IFM 2015 akilaumiwa ...

Read More »

Hotuba ya Mgombea Edward Lowassa ya kuzindua Ilani na Kampeni ya Uchaguzi Mkuu

HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU Jangwani, Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015 Ndugu Wana Dar ...

Read More »

Prof. Mwandosya amchana Mkapa

MWANASIASA mashuhuri nchini, Prof. Mark Mwandosya, amemtolea uvivu, Rais mstaafu Benjamin Mkapa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Prof. Mwandosya ambaye alikuwa mmoja wa wagombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ...

Read More »

Sumaye: Natoka CCM

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ametangaza rasmi kujivua uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga kwenye vuguvugu la mabadiliko kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Anaandika Yusuph Katimba ...

Read More »

Ndesamburo aivuruga Chadema

MGOGORO wa kura za maoni za kutafuta mgombea ubunge jimbo la Moshi Vijijini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), bado unafukuta. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Safari hii, tuhuma ...

Read More »

Maalim Seif ampopoa Prof. Lipumba

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amebeza kauli ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba kwamba, wapinzani wamepoteza mwelekeo wa kupata katiba ya ...

Read More »

Lowassa avuta makundi ya vijana

MAKUNDI ya vijana yameonekana kumiminika mithili ya kumbikumbi warukapo wakati wa masika wakimsindikiza mgombea urais Edward Lowassa anayewakilisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Anaandika Hamisi Mguta na Faki Sosi ...

Read More »

Chenge awekwa kiporo sakata la Escrow

BARAZA la Sekretariati ya Maadili Tanzania imetoa siku tatu kuwasilisha faili la madai kwa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Andrew Chenge anaeshutumiwa kupokea sh1.6 bilioni kutoka kampuni ya VIP Engeneering ...

Read More »

99.3% zawavusha Lowassa, Duni Urais 2015

WANACHAMA wapya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa na Juma Duni Haji wamepitishwa katika Mkutano Mkuu wa chama hicho kugombea ngazi ya urais na umakamu wa rais ...

Read More »

CCM, Upinzani watakiwa kujiandaa kisaikolojia

UMOJA wa Wanazuoni wa kiislam Tanzania watoa tamko la kuomba vyama vya siasa kukujiandaa kwa kupokea matokea ya uchaguzi mkuu. Anaandika Hamisi Mguta, DSJ …  (endelea). Tamko hilo lilitolewa na taasisi ...

Read More »