Categorizing posts based on content
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) pamoja na wadau wengine kwa kuiunga mkono Serikali kwa mchango wa...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023MUANDAMANAJI moja ambaye hajafahamika jina, yuko mahututi hospitalini akitetea uhai wake, baada ya kujichoma moto kwa kutumia mafuta ya petroli, nje ya ubalozi...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023SERIKALI ya Urusi iko katika mpango wa kuongeza wanajeshi wake, ili kujihami na vitisho vya kiusalama, kufuatia kupanuka kwa Jumuiya ya Kujihami ya...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka wadau mbalimbali wanaohusika na mapambano dhidi ya UKIMWI nchini kwa kushirikiana na...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), watakiwa kutumia elimu waliyoipata kufanya tafiti na kutatua changamoto mbalimbali zilizoko kwenye jamii....
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023TAIFA la Uchina limebebwa na historia kubwa sana, wengi wanaijua ile Movie inaitwa Shaolin Soccer ilikuwa balaa sana, jamaa walikuwa wanaupiga mpira...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023JESHI la Israel, limerejesha mashambulizi katika ukanda wa Gaza, baada ya kundi la wanamgambo wa kiislamu la Hamas, kudaiwa kukiuka makubaliano ya kusitisha...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, anadaiwa kupanga kumfumkuza Kardinali wa Marekani, Raymond Burke anayedaiwa kuwa mkosoaji mkubwa na mpingaji wa mpango...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2023NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, alikuwa na kiwango bora sana usiku wa mabingwa Ulaya kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya 3-3...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2023KOMBE la UEFA Europa League ni zito kuliko makombe yote ya UEFA yenye madini fedha licha ya kutokuwa na thamani kubwa sana,...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2023NENO Kasino unapolisikia kwa mara ya kwanza unapata picha gani? Iko hivi Kasino ni sehemu nzuri yenye kila kitu cha kufurahi, ikiwemo...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2023LIGI ya Mabingwa barani Ulaya kuendelea leo na kesho kwa michezo kibao hivyo ukiwa kama mteja wa Meridianbet na wale wengine mambo...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2023WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Prof. Adolf Mkenda amevitaka vyuo vikuu barani Afrika, kujikita katika kufanya tafiti zitakazojibu changamoto za...
By Regina MkondeNovember 28, 2023KATIKA kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali kukabiliana na maambukizi ya Virus Vya Ukimwi (VVU), Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2023WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa mkandarasi atakayetekeleza ujenzi kwa kiwango cha lami barabara ya Bigwa – Mvuha – Kisaki (km 133.28),...
By Danson KaijageNovember 28, 2023BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Alhamisi limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika tarehe 13-14 Septemba mwaka huu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2023UNAPOANZA kufikiria jinsi ya kutengeneza pesa kirahisi usipate shida, Meridianbet kasino mtandaoni ni jibu tosha, cheza michezo mingi ya Sloti na kasino...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2023BENKI ya NMB imeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na Kampuni ya Uuzaji na Usambazaji Gesi ya Oryx Gas Tanzania, yaliyopewa jina la ‘Moto...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2023Wananachi wa Tarafa ya Mkuyuni, Halmashauri ya Morogoro mkoani Morogoro, wameepukana na adha ya kukodi magari ya kubebea wagonjwa kwa gharama kubwa kutoka...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2023Benki ya NMB imeibuka mshindi wa jumla kitaifa katila kundi la mlipa kodi mkubwazZaidi Tanzania lakini pia katika kundi la mlipa kodi bora...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2023WAKANDARASI wazawa nchini wametakiwa kuacha kufanya kazi kwa mazoea badala yake wafanya kazi zenye viwango bora na tija katika miradi wanayoipata ili waendelee...
By Danson KaijageNovember 25, 2023NILICHOKIONA kwenye mchezo wa kwanza wa Yanga hatua ya makundi, ni kwamba Yanga imekaribishwa rasmi kwenye Ligi ya Mabingwa baada ya kupita...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza benki ya NMB kwa kuwa wabunifu kwenye utoaji huduma pamoja na kuwekeza...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023DROO ya tatu ya Msimu wa Tano wa Promosheni ya kuhamasisha matumizi yasiyohusisha pesa taslimu inayoendeshwa na Benki ya NMB, ijulikanayo kama ‘NMB...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023LIGI ya Mabingwa Afrika inaanza leo kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti Algeria, na Misri kutawaka sana kwa michezo miwili hatari, Yanga waliopo...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023SHULE za St Mary’s nchini zimeendelea kufanya vizuri kwenye mitihani ya darasa la saba kwa wanafunzi wake kupata wastani wa alama A kwenye...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023Takriban watu 573 kati ya 11,640 walioambukizwa kipindupindu nchini Nigeria wamepoteza maisha tangu mlipuko wa ugonjwa huo uanze Desemba 2022. Inaripoti Mitandao ya...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na vikosi vya Hamas yameanza leo Ijumaa saa moja asubuhi ikiwa ni mpango wa kusitisha mapigano...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023WAKULIMA wa Afrika wameshauriwa kutumia mbegu asili katika kilimo kwa kuwa nichangia salama kwa afya, uhuru wa chakula, kukuza uchumi na uhakika wa...
By Seleman MsuyaNovember 23, 2023KATIKA kujenga uwezo kwa kampuni ndogondogo zinazojishughulisha masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Tume ya Tehama (ICTC) inatarajia kujenga vituo katika...
By Gabriel MushiNovember 23, 2023BENKI ya NMB wamesaini makubaliano na Kampuni ya CTM Tanzania yaliyopewa jina la ‘Lipa Baadaye,’ yatakayowawezesha wateja wa benki hiyo kupata mikopo ya...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali itaendelea kutoa fedha ili kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Songwe ili kuimarisha huduma...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kushangazwa na idadi ya kesi mbili pekee kufikishwa mahakamani kati ya kesi 59 zinazohusu wanafunzi waliofanyiwa ukatili na...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023NYOTA wa Soka Lionel Messi huenda akaongeza rekodi nyingine kwenye maisha yake baada ya kutanganzwa kwa mnada wa seti ya jezi sita...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023BARAZA la Mitihani la Tanzania limefungia vituo vya mtihani viwili ambavyo ni Twibhoki (PS0904095) na Graiyaki (PS0904122) vyote vya Halmashauri ya Serengeti mkoa...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023TOFAUTI na miaka iliyopita, katika matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2023 (darasa la saba) yaliyotangazwa leo na Baraza la Mitihani...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema jitihada zinazofanywa na Benki ya Exim Tanzania katika kusogeza huduma zake karibu na wananchi katika maeneo mbalimbali hapa...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023WANANCHI wa Mji wa Dumila wilaya ya Kilosa wameondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kati ya kilometa 35 hadi 70 kufuata huduma...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023MOROCCO moja kati ya timu bora kabisa Afrika kwa sasa ikiwa inashika nafasi ya 13 kwa ubora duniani huku Tanzania kidunia inashika...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023Benki ya NMB imezindua Programu Endelevu ya Ugawaji Mizinga ya Nyuki 500 kwa vikundi 17 vyenye wafugaji zaidi ya 300, katika mikoa ya...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023NCHI ya Israel, pamoja na kikundi cha wanamgambo wa kiislamu, Hamas, wamekubaliana kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza, ili kuruhusu zoezi la kuacha...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023WATU zaidi ya 10 katika Wilaya ya Kyotera, nchini Uganda, wameripotiwa kupoteza maisha kwa mlipuko wa ugonjwa usiojulikana. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Kwa...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imewapongeza wahitimu bora wa Chuo Kikuu cha Kilimo Cha Sokoine (SUA) cha Morogoro kwa kuwapatia zawadi...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini hati ya Makubaliano (MOU) na taasisi sita za Serikali ya Mapinduzi Zanzbar (SMZ) yanayotoa fursa kwa...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023UNAIKUMBUKA kisa cha mchezaji wa timu ya taifa ya Morocco na PSG Achraf Hakimi na mkewe Hiba Abouk kudai nusu ya mali...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023Imeelezwa kuwa, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) litapeleka mtambo wa umeme wa MW 20 mkoani Mtwara kutoka kituo cha umeme Ubungo III ili...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuja...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023ILI kutimiza malengo ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwajengea uwezo na kuwainua wakandarasi wa ndani, katika mwaka wa fedha 2023/204, jumla ya miradi...
By Danson KaijageNovember 21, 2023MKUU wa Wilaya ya lleje, Farida Mgomi kwa kushirikiana na wazazi wamefanikiwa kumrejesha shuleni, Irene Mwazembe (15), mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika...
By Mwandishi WetuNovember 21, 202381 Crystal Fruits ni sloti ya kasino mtandaoni kutoka Meridianbet inayojumuisha nguzo nne zilizopangwa katika mistari mitatu na una mistari ya malipo...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023