MAOFISA kadhaa wa ngazi ya juu, kutoka vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2021JENISTA Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Sera, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu amemwagiza Msajili wa Vyama vya Wafanyakazi na...
By Danson KaijageJanuary 15, 2021JOSEPH Haule, maarufu Profesa Jay amesema, yeye ni mbunge nje ya Bunge. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Amesema hayo leo...
By Masalu ErastoJanuary 14, 2021CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Iringa kimetengeneza utaratibu mpya wa kuwapima madiwani na wabunge wake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Iringa … (endelea). Sasa...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2021DAKTARI John Magufuli, Rais wa Tanzania amemwomba Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kumsaidia Dk. Hussein Ali Mwinyi, rais...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2021RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, amewaomba Wazanzibar kushirikiana na Serikali yake kufanya mageuzi ya kiuchumi, ili kuyaenzi mapinduzi matukufu ya tarehe 12 Januari...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2021RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, ametoa msamaha kwa wafungwa 49, waliokuwa wakitumikia magereza ya Unguja na Pemba. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema Wilaya ya Chato iliyoko mkoani Geita, ilianza kujengwa na Baba wa Taifa, Hayati Julius Nyerere. Anaripoti Mwandishi...
By Hamisi MgutaJanuary 11, 2021MARAIS John Magufuli wa Tanzania na Filipe Nyusi wa Msumbiji, wametoa maagizo kwa watendaji wanaosimamia ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2021MAALIM Seif Sharif Hamad, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, amewataka watumishi wa ofisi yake, wanakuwa nadhifu kuanzia mavazi mpaka maeneo yao...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2021DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekinzana na kauli aliyoitoa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
By Mwandishi WetuJanuary 9, 2021RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje wa...
By Masalu ErastoJanuary 8, 2021UAMUZI wa Chama cha ACT-Wazalendo kushiriki katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani Zanzibar (SUK), unaonekana kuwa wa busara. Anaandika Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 8, 2021DK. Aman Abeid Karume, rais mstaafu wa Zanzibar amesema, kukosekana kwa wawakilishi wa vyama vya upinzani bungeni na Baraza la Wawakilishi, kunachochea Serikali...
By Masalu ErastoJanuary 8, 2021MAALIM Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ameeleza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ajira ikiwa ni hatua za kutibu ubaguzi...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2021RAIS mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, amesifu hatua ya Maalim Seif Sharif Hamad, kukubali kujiunga katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani...
By Masalu ErastoJanuary 7, 2021FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewataka Watanzania waliosimama na upinzani katika uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2020, wasiogope. Anaripoti Mwamdishi...
By Hamisi MgutaJanuary 5, 2021HATUA ya Bernard Membe, aliyekuwa mshauri mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, kukitelekeza chama hicho, imekera viongozi wake. Anaripoti Brigthness Boaz, Dar es Salaam...
By Masalu ErastoJanuary 4, 2021MAALIM Self Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ameeleza athari zinazotokana na siasa za mivutano. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar …...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2021JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amesema, uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 2020, umelivua nguo Taifa. Anaandika Yusuph Katimba, Dar es Salaam…(endelea). Katika...
By Yusuph KatimbaJanuary 2, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara nchini Tanzania, Tundu Lissu, amevishauri vyama vya siasa vya upinzani nchini humo, kutoshiriki...
By Mwandishi WetuJanuary 1, 2021ALIYEKUWA mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe ametangaza rasmi kujiuzulu uanachama na na nafasi ya mshauri mkuu wa chama hicho....
By Mwandishi WetuJanuary 1, 2021MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imeweka historia ya makusanyo ya mapato kwa Desemba 2020, kwa kukusanya Sh.2.088 trilioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuJanuary 1, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeagiza mamlaka husika kuzifanyia uchunguzi hospitali zote za umma, ili kubaini sababu za kukwama kwa mfumo wa utoaji huduma za...
By Regina MkondeDecember 31, 2020WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile amezipa siku 30 taasisi za umma zinazodaiwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2020WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene amepiga marufuku, makongamano ya dini au mikutano ya mikesha inayofanyikia viwanja vya wazi usiku...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, imerejesha vifaa ghafi vya umeme vya zaidi ya Sh.1.2 bilioni kwa Shirika la...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2020RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi amesema, katika kipindi kifupi alichokaa madarakani, amebaini ubadhirifu wa fedha za umma katika taasisi za Serikali. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2020RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, amefanya uteuzi wa wakuu wa wilaya (DC) kumi visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Uteuzi huo...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amekagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigongo – Busisi, lililopo jijini Mwanza, litakalokuwa na urefu wa 3.2...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2020HATUA ya Halima James Mdee na wenzake 18, kushitaki Kamati Kuu (CC) ya (Chadema, mbele ya Baraza Kuu la taifa (BKT), yaweza kuwa...
By Kelvin MwaipunguDecember 28, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, Revocatus Kuuli. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2020RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi ameagiza Tume ya Uchunguzi wa Majengo ya Kihistoria yaliyoko katika Mji Mkongwe, atakayoiunda, kuwahi kutoa orodha ya majengo...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2020WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (Tehama) nchini Tanzania, Dk. Faustine Ndugulile, ameipa miezi mitatu (siku 90), Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2020WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum Bandari za Dar es Salaam, Mwanza,...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2020RAIS John Magufuli ameagiza Hoteli ya Desderia inayomilikiwa na aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, isivunjwe. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa hiyo...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2020WATU kadhaa wameuawa Kaskazini Mashariki mwa Nigeria baada ya wanamgambo wa Boko Haram kushambulia vijiji vya Wakristo na kuteketeza Kanisa wakati wa Mkesha...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2020KIONGOZI wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Halima Mdee, wameshinda tuzo za...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeshinda Tuzo ya Watu, Taasisi na Chapa, zinazoongoza mtandaoni (Tanzania Digital Awards), kwenye kipengele cha chama bora cha...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2020VYAMA vya siasa nchini, vimetakiwa kumaliza tofauti zao kwa kukaa meza moja na kuzungumza ili kuweza kufikia mwafaka wa kupata amani badala ya kutunishiana...
By Hamisi MgutaDecember 25, 2020RAIS wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameungana na Watanzania kuadhimisha siku ya kuzaliwa Yesu Kristo, kwa kusali Misa Takatifu ya Krismasi. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 25, 2020TUNDU Lissu, aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020, amesema...
By Mwandishi WetuDecember 25, 2020HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameeleza kuwashangaa wapinzani kwa kudhani kampeni nzuri zinaweza kuwapa ushindi. Hamis Mguta,...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020JECHA Salim Jecha, aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ameibuka upya. Safari hii anasema, aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar, katika uchaguzi...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020RAIS wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameiagiza Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kutoendesha shughuli zake kwa njia ya mtandao, ili kudhibiti...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza, amani hailetwi kwa majeshi, itikadi yoyote...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020VURUGU za kisiasa, kukua kwa deni la nje na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19, vimesababisha kupunguza uwekezaji wa China nchini Pakistan, ambapo Beijing...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi amemsimamisha kazi, Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii visiwani humo(ZSSF), Sabra Issa Machano na watendaji...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2020MWAKA 2020 unaelekea ukingoni, hata hivyo umeacha jambo ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Ndani ya...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2020MWAKA 2020 uondoke na usirejee tena, kutokana na jinsi ulivyoacha maumivu, malalamiko, uharibifu na kugharimu maisha ya baadhi ya watu. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Hamisi MgutaDecember 22, 2020