Friday , 17 May 2024

Month: September 2023

Burudika

Mr. Eazi aachia Advice ikiwa ni ujio wa albam mpya

STAA wa muziki kutoka nchini Nigeria, Mr.Eazi ni gwiji linapokuja suala la kuachia rekodi tamu yenye burudani ya kipekee kwa jamii na sasa ameachia...

Habari MchanganyikoTangulizi

12 wakamatwa kwa kuficha mafuta

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imekamata wafanyabiashara 12 wanaojihusisha na kuficha mafuta na kufungia vituo viwili kwa miezi...

Habari Mchanganyiko

Wabunge waibana Serikali kero ya popo Dar

WABUNGE wameitaka serikali kuondoa popo waliopo maeneo ya Upanga jijini Dar es Salaam ili kulinda afya za wakazi wa maeneo hayo. Anaripoti Mlelwa...

Kimataifa

Mrithi wa Ali Bongo aapishwa, aahidi kurejesha madaraka kwa raia

JENERALI Brice Nguema, aliyemng’oa madarakani Rais wa Gabon, Ali Bongo katika mapinduzi ya kijeshi  yaliyofanyika wiki iliyopita, ameapishwa kuwa Rais wa mpito wa...

Biashara

Kampuni 500 kushiriki kongamano  kutathmini viwanda nchini

KAMPUNI 500 kutoka China, Tanzania, Angola, Kenya na Ethiopia zinatarajiwa kukutana tarehe 25  Septemba 2023 jijini Dar es Salaam, kutathmini eneo la viwanda...

Habari za Siasa

Tanzania kuiunga mkobo Saudi Arabia Expo 2023

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeahidi kuiunga mkono Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara mwaka 2030 (EXPO...

Biashara

Kasino ya Princess of Birds inavyokupa ushindi wa uhakika

  HII ni hadithi ya kasino mtandaoni yenye kuvutia ambayo itakukutanisha na mwanamfalme/Princess. Lakini, huyu sio princess wa kawaida, ni princess wa kutoka...

Biashara

Kutana na mabinti wa msituni wanaomwaga maokoto kwa Sloti ya Fairy Forest

  ILI kupata maokoto mengi tunakushauri kuanza safari fupi kwenda kwenye msitu wa kichawi kwenye sloti hii utakutana na mabinti wa msituni. Ingia...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Polisi jipangeni kwa uchaguzi 2024, 2025

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi nchini kujipanga katika kuhakikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 na Uchaguzi Mkuu...

Habari Mchanganyiko

Jeshi la Polisi laanzisha mifumo 13 kudhibiti upotevu wa majalada

JESHI la Polisi kupitia kitengo chake cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), limeanzisha mifumo 13 ikiwemo mfumo wa kudhibiti upotevu wa taarifa...

Habari za Siasa

ACT Wazalendo yaanika mapendekezo mkataba DP World

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetoa mapendekezo namna ya kuboresha mkataba wa ushirkiano wa kiserikali (IGA), kati ya Serikali ya Tanzania na Imarati ya Dubai,...

BiasharaHabari Mchanganyiko

BetPawa, Polisi waungana kutoa mafunzo  ya usalama barabarani kwa bodaboda

ZAIDI ya waendesha bodaboda 250 mkoani Dar es Salaam wamenufaika na mafunzo ya usalama barabarani yalioandaliwa na kutolewa na Kampuni ya BetPawa kwa...

Habari Mchanganyiko

18 wahitimu mafunzo ya ukurugenzi

WASHIRIKI 18 wa mafunzo ya nafasi ya ukurugenzi, mkuu, wamehitimu Program ya Mpango wa Uandaaji Wakurugenzi Watendaji (CAP), awamu ya tatu inayoratibiwa na...

Biashara

Las Vegas Kasino ilipoanzia, fahamu haya machache

    JE, umewahi kutembelea mji mkuu wa tamaduni za kasino, Las Vegas? Ikiwa hujawahi, sasa hii ndio fursa kamili kwako! Karibu mahali...

Habari Mchanganyiko

Watu 3,000, nchi 70 kushiriki AGRF

ZAIDI ya watu 3,000 kutoka nchi 70 duniani wanatarajiwa kushiriki katika mkutano wa siku nne wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), unaotarajiwa kuanza...

Elimu

Shule ya East Africa yaahidi kufanya maajabu kitaaluma

MWENYEKITI wa Wazazi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Dk. Rose Rwakatare, ameishukuru serikali kwa kuendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wazawa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yawatwisha vijana zigo la ugumu wa maisha

  VIJANA wametakiwa kushirikiana katika kuleta uhuru wa kiuchumi, ili kuondoa changamoto ya ugumu wa maisha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Wito...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kanisa Katoliki Ngara lafungwa baada ya wasiojulikana kuvunja, kulinajisi

KANISA Katoliki la Mt. Bernadetha wa Lurdi, lilioko Parokia ya Nyakati Buzirayombo, Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, limefungwa kwa muda wa siku 30, kwa...

Elimu

Wanafunzi shule ya East Africa Dodoma waonyesha vipaji

KATIKA kukimarisha afya ya akili na mwili kwa wanafunzi shule ya Awali na Msingi ya East Africa iliyoko Kikuyu jijini Dodoma, imeanzisha somo...

Michezo

Fatuma Nyangasa awafagiria Corefa kuanzisha vituo vya michezo

MKUU wa wilaya ya Kisarawe, Fatuma Almas Nyangasa amesema amefarijika na kasi ya uongozi wa Chama cha Mpira wa Miguu mkoa wa Pwani...

BiasharaMichezo

Hot Spin Deluxe inakupa uwezo wa kuchagua malipo kwenye mistari 20

  MCHEZO wa kasino mtandaoni wenye nguvu wa Hot Spin Deluxe kutoka kwa watoa huduma wa iSoftBet unakuleta ulimwengu wa kipekee wa bonasi...

Habari za SiasaTangulizi

Majaliwa amkaribisha Biteko ofisini, ampongeza kwa kuaminiwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo tarehe 2 Septemba 2023 amemkaribisha Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu zilizopo...

BiasharaMichezo

Meridianbet ndiyo sehemu ya kupiga mkwanja wikiendi hii

  HAKUNA kujiuliza tena wala kuumiza kichwa tena utapata wapi mkwanja na kumaliza wikiendi yake kibabe ni hivi Meridianbet ndio sehemu pekee unaweza...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia amvua ubalozi Dk. Slaa

Rais Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa amemvua hadhi ya Ubalozi Dk. Wilbroad Slaa kuanzia tarehe 01 Septemba, 2023. Dk. Slaa aliteuliwa kuwa Balozi...

Afya

Bilioni 5.9 zatumika kununua viuadudu

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imetumia kiasi cha Sh 5.9 bilioni kununua viuadudu katika ngazi ya Halmashauri ndani ya kipindi cha mwaka 2017...

Habari Mchanganyiko

Nyongeza ya pensheni kiwango cha chini 100,000

SERIKALI imesema wastaafu wote wameboreshewa pensheni zao za kila mwezi, ambapo kiwango cha chini kwa sasa ni Sh 100,000. Anaripoti Maryam Mudhihiri…(endelea) Kauli...

Biashara

Keno ya Meridianbet ushindi ni rahisi cheza sasa!!

  HAPA tena Meridianbet kasino ya mtandaoni tunakuletea mchezo wa namba wenye bonasi kubwa na rahisi kucheza, mchezo wa keno ni moja ya...

Habari Mchanganyiko

NMB yamuahidi makubwa Rais Samia akifunga Tamasha la Kizimkazi 2023

  BENKI ya NMB imemuahidi Samia Suluhu Hassan kwamba itaendelea kuwa mdau kinara wa Serikali yake katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya...

BiasharaMichezo

NMB yatumia milioni 130 kusaidia bonanza la wabunge 

BENKI ya NMB imekabidhi vifaa vya michezo vyenye thamani ya Sh90 milioni kwa Timu ya Bunge huku wakisisitiza umuhimu wa ushirikiano. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia amkabidhi Mchengerwa kivumbi uchaguzi Serikali za mitaa

RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza kufurahishwa na uchapakazi wa aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa ambaye sasa amehamishiwa katika Wizara ya...

Elimu

Musoma Vijiji kumuenzi bingwa wa Kiswahili, Prof. Massamba

WANANCHI wa Musoma Vijijini, mkoani Mara, wameahidi kujenga shule ya sekondari itakayopewa jina la Prof. David Masamba, ili kuuenzi mchango wake katika kukuza...

Biashara

MC ajenga ukumbi wa bilioni 1.5, vijana wapewa ujumbe

MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) jijini Dodoma, Wisdom Gowele ametoa wito kwa vijana kutumia nguvu zao ujanani kuwekeza...

Michezo

Mkuu wa wilaya Kisarawe kuzindua kituo cha michezo wilayani humo

MKUU wa wilaya ya Kisarawe, Fatuma Almas Nyangasa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kituo cha michezo wilaya ya Kisarawe kesho smptemba...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Mabadiliko Baraza la Mawaziri si adhabu, “ni bandika, bandua”

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri aliyoyafanya hivi karibuni, si adhabu bali yanalenga kuimarisha maendeleo ya nchi....

Habari za SiasaTangulizi

CCM yawapa kibarua mawaziri wapya

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka mawaziri na manaibu mawaziri walioteuliwa hivi karibuni na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kuyafanyia tathmini  maeneo ya ilani...

error: Content is protected !!