Kitengo

Categorizing posts based on content

Mwanahabari auawa kwa risasi

HASSAN Hanafi, mwanahabari aliyesaidia kundi la Al-Shabaab kuua wanahabari wenzake nchini Somalia ameuawa, anaandika Happiness Lidwino. Shirika la Habari la Uingereza (BBC) limeripoti kuwa, Hanafi ameuawa kwa kupigwa risasi mapema ...

Read More »

Magufuli ashiriki kumbukumbu ya mauaji ya kimbari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli ameshiriki uzinduzi wa kumbukumbu za mauaji ya kimbari yaliyotokea nchini Rwanda mwaka 1994 ambapo watu zaidi ya 1,000,000 waliuawa. ...

Read More »

Maalim Seif: Namhurumia Dk. Shein

TAREHE 20 Machi 2016, kulifanyika uchaguzi wa marudio wenye utata katika visiwa vya Zanzibar, ambao ulisuswa na chama kikuu cha upinzani visiwani humo, Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar (CUF). Aliyetangazwa ...

Read More »

Waliopanga matokeo washushwa daraja, wafungiwa maisha

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetoa hukumu ya timu za daraja la kwanza zilizokuwa zinatuhumiwa kupanga matokeo katika michezo yao ya mwisho ya Kundi ...

Read More »

Mbeya City yaididimiza Coastal, Mwadui hoi nyumbani

HALI ya Coastal Union imedizi kuwa mbaya baada ya kukubali kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Mbeya City katika mchezo uliocheza kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, anaandika Kelvin Mwaipungu. ...

Read More »

Yanga, Azam zatinga nusu fainali.

KLABU za Azam FC na Yanga zimetinga robo fainali baada ya kufanikiwa kusonga mbele nkwenye fainali za kombe la Shirikisho baada ya kupata ushindi katika Michezo yao iliyochezwa  leo ya ...

Read More »

Wanafunzi 500, walimu wao wajisaidia migombani

ZAIDI ya wanafunzi 500 na walimu watatu wa Shule ya Msingi Luholole kwenye Kata ya Kibuko, Wilaya ya Morogoro Vijijini, wako hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na kukosa ...

Read More »

Mgogoro wa Zanzibar, kumuumbua Kikwete?

HATIMAYE, Dk. Ali Mohamed Shein ametangazwa kuwa “mshindi wa urais” Zanzibar. Aliapishwa Alhamisi iliyopita, anaandika Mwandishi Wetu. Urais wa Dk. Shein unatokana na kilichoitwa “uchaguzi wa marudio” Visiwani uliofanyika 20 ...

Read More »

Kutolala ni hatari kwa afya

KATIKA siku za hivi karibuni Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa ripoti inayoelezea kuwa, usingizi ni moja ya jambo muhimu na kutopatikana kwake kunaathiri zaidi afya ya mtu, anaandika Michael ...

Read More »

Rais Magufuli atajwa mgogoro Chuo cha Ualimu Mpwapwa

RAIS John Magufuli anatajwa kuwa mwenye suluhu katika mgogoro unaoendelea katika Chuo cha Ualimu Mpwapwa kilichopo Dodoma, anaandika Dany Tibason. Mgogoro huo unamuhusisha Victoria Komanya, mkufunzi wa chuo hicho kilichopo katika ...

Read More »

Misri, Nigeria zaishusha pumzi Stars

SARE waliyoipata Nigeria na Misri imepunguza presha ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Mataifa Afrika 2017 (AFCON)zilizopangwa kufanyika nchini Gabon, anaandika Kelvin Mwaipungu. Mchezo ...

Read More »

Namuona Kikwete ndani ya Magufuli

PIGA picha. Vuta hisia na kumbukumbu. Unakumbuka nini katika wakati kama huu, miaka 10 iliyopita? Mimi nakumbuka machache, yaliyotangulia na yaliyofuata baadaye. Nyakati zinashindana na kupingana; lakini zinafanana, anaandika Ansbert Ngurumo. ...

Read More »

Kenya ‘yatumbua jipu’ la elimu

MAOFISA wakuu wa Baraza la Mitihani nchini Kenya wamefutwa kazi kwa madai ya vitendo vya udanganyifu uliofanywa wakati wa mitihani ya kitaifa mwaka jana. Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) ...

Read More »

Mchina adakwa kwa kuiba siri za Marekani

MTU mmoja raia wa China aliyefahamika kwa jina la Su Bin amekiri kuhusika katika njama za kuiba siri za mifumo ya ndege za kijeshi za Marekani, anaandika Shirika la Utangazaji ...

Read More »

Mlipuko watokea uwanja wa ndege Brussels

WATU 11 wanahofiwa kufariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kutokea milipuko miwili kwenye Uwanja wa ndege wa Zaventem mjini Brussels, nchini Ubelgiji. Bado haijafahamika chanzo cha milipuko hiyo, lakini moshi ...

Read More »

Niyonzima kuwakosa Al-Ahly

HARUNA Niyonzima ataukosa mchezo wa kwanza wa wa Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati kikosi chake cha Yanga kitakapovaana na Al-Ahly ya Misri Aprili 9, mwaka huu, kwenye Uwanja wa Taifa, ...

Read More »

Trump kuvunja mkataba wa nyuklia

DONALD Trump Mgombea urais nchini Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican, amesema endapo atachaguliwa kuwa rais hatua ya awali ni kuvunja mikataba ya nyuklia. Mkataba anaodai kuwa utakuwa wa ...

Read More »

Azam FC yawasambaratisha Wasauzi

AZAM FC imefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, baada ya kuiadhibu Bidvest Wits ya Afrika Kusini kwa mabao 4-3, mchezo uliyochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, ...

Read More »

Yanga yasonga mbele Ligi ya Mabingwa Afrika

[pullquote][/pullquote]PAMOJA na klabu ya Yanga kushindwa kutamba katika Uwanja wa nyumbani kwa kulazimishwa rase ya bao 1-1 dhidi ya APR ya Rwanda lakini wamesonga mbele katika Ligi ya Mabingwa Afrika, ...

Read More »

Ya mwaka 1970 bora yajirudie

MARA baada ya kupatikana kwa Uhuru wa (Tanganyika) Tanzania Bara mwaka 1961, ilipofika mwaka 1970 serikali iliutangaza mwaka huo kuwa ni wa Elimu ya Watu Wazima, anaandika Michael Sarungi. Tangazo ...

Read More »

Hollande amtaka mshambuliaji Paris

FRANCOIS Hollande, Rais wa Ufaransa amesema, anamtaka mshambuliaji anayetajwa kuhusuka kwenye shambulio la ugaidi lililotokea Paris, Ufaransa mwaka jana. Shirika la Habari la Ujerumani (DW) limeeleza kuwa, mshambuliaji huo Salah ...

Read More »

Robo fainali Uefa, Europa hadharani

SHIRIKISHO la Soka Barani Ulaya (Uefa) limetoa ratiba ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya droo iliyochezeshwa leo mapema, anaandika Erasto Masalu. Katika ratiba hiyo, Manchester City ...

Read More »

Nape kuzindua Miss Tanzania 2016

NAPE Nnauye, Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo anatarajia kuwa mgeni rasmi katika shindano la urembo la Miss Tanzania 2016 katika Hoteli ya Ramada Resort jijini Dar es Salaam, ...

Read More »

Tumbaku, pombe vinachochea kisukari

UTUMIAJI wa Tumbaku, kutofanya mazoezi, unywaji wa pombe kupita kiasi, ulaji wa lishe isiyo asilia imeelezwa kuchangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la ugonjwa wa kisukari nchini, anaandika Happyness Lidwino. Akizungumza ...

Read More »

Trump anusa ushindi Republican

LICHA ya upinzani mkali kutoka katika baadhi ya majimbo, Donald Trump amepiga hatua katika kukaribia kutwaa tiketi ya kuwania urais kupitia Chama cha Republican nchini Marekani baada ya kushinda mchujo ...

Read More »

Ni lini mifugo itakuwa na thamani?

MOJAWAPO ya hatari inayoinyemelea Tanzania ni migogoro kati ya wakulima na wakulima wafugaji inayoendelea katika maeneo mbalimbali hapa nchini, anaandika Michael Sarungi. Tanzania inashika nafasi ya pili kwa kuwa na ...

Read More »

Aibu matokeo Kidato cha Nne yaizindua Morogoro

AIBU ya matokeo mabaya ya Mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika mwaka jana, imeizindua Sekta ya Elimu wilayani Malinyi, Morogoro, anaandika Christina Haule. Malinyi imeamua kuweka mkakati wa kuinua kiwango ...

Read More »

Serikali yahangaika na somo la hisabati

SERIKAL inatarajia kufanya utafiti wa ndani wenye lengo la kuchambua somo la hisabati na kuangalia namna ya kulifanya kuwa rafiki kwa wanafunzi, anaandika Happyness Lidwino. Utafiti huo unatarajiwa kufanywa kwa ...

Read More »

Serikali yajipanga kurudisha mitaala ya michezo mashuleni

SERIKALI imeahidi kurejesha mitaala ya michezo katika shule za msingi na sekondari, viwanja vya michezo, kuongeza bajeti ya michezo pamoja na kupunguza kodi kwa vifaa vya michezo vinavyotoka nje ili ...

Read More »

Kaseja kuikosa Simba Jumapili

KOCHA Mkuu wa Mbeya City FC, Kinnah Phiri amesibitisha kuwa mlinda mlango mahiri wa kikosi  chake, Juma  Kaseja  hatakuwepo katika mchezo dhidi ya Simba utakaochezwa Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa jijini ...

Read More »

Robo fainali Kombe la Shirikisho Machi 26

ROBO Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) inatarajiwa kuchezwa wikiendi ya mwisho wa mwezi Machi mwaka huu, huku timu nane zikichuana kusaka nafasi ya kuingia ...

Read More »

British Airways kulipa waliowanyanyasa kingono Afrika Mashariki

SHIRIKA la Ndege la British Airways limekubali kulipa fidia kundi la watoto walionyanyaswa kingono na mmoja wa marubani wake nchi za Afrika Mashariki, Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) limeripoti ...

Read More »

Twiga wakiri ngoma ngumu kuwatoa Zimbabwe

SOPHIA Mwasikili, Nahodha wa Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania (Twiga Stars) amesema mechi yao dhidi ya Zimbabwe utakuwa mgumu kutokana na uzuri wa wapinzani wao, anaandika Regina Mkonde. Twiga ...

Read More »

Kuiona Twiga Stars 2,000 Chamanzi

KIINGILIO cha chini cha mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika kwa Wanawake kati ya timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake ‘Taifa Stars’ dhidi ya timu ya ...

Read More »

Walimu Sekondari Selina Kombani wamtuhumu Ofisa Elimu

WALIMU kuhamishwa mara kwa mara kutoka Shule ya Sekondari Selina Kombani iliyopo katika Wilaya ya Ulanga kunalenga kuinua kiwango cha taaluma kilichoshuka shuleni hapo, anaandika Christina Raphael. Kauli hiyo imetolewa ...

Read More »

Mashabiki wa Man U, Arsenal wauawa

IDADI ya watu waliofariki kufuatia shambulio la al-Shabab katika mgahawa mmoja ambapo watu walikuwa wakitazama mechi ya Arsenal na Manchester United mjini Baidoa, Ethiopia imefika 30. Shirika la Utangazaji la ...

Read More »

Gianni Infantino Rais mpya wa Fifa

GIANNI Infantino, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Fifa, amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (Fifa) katika uchaguzi uliomalizika hivi punde huko Zurich, Uswisi, anaandika Erasto Masalu. ...

Read More »

Mgombea wa Afrika ajitoa Fifa

TOKYO Sexwale, ambaye ni Mgombea wa urais wa Fifa kutoka Afrika Kusini amejiondoa katika kinyang’anyiro cha uchaguzi wa mrithi wa Sepp Blatter. Sexwale, akihutubu kabla ya kura kupigwa, amesema hataki ...

Read More »

HESLB watoa maelekezo kwa wasiopata mikopo

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imetoa utaratibu wa kushughulikia malalamiko ya wanafunzi ili kuondoa usumbufu wakati wa masomo, anaandika Faki Sosi. Akizungumza na waandishi wa ...

Read More »

Serikali yahimiza NHIF

SERIKALI imezitaka Hospitali za Serikali kutowapuuza wagonjwa wanaotumia Bima ya Afya (NHIF) kwani ni chanzo kikubwa na uhakika cha mapato kwa hospitali hizo, anandika Dany Tibasoni, Dodoma. Kauli hiyo ilitolewa ...

Read More »

Hatma ya Geita, Polisi Tabora Machi 20

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) itatoa maamuzi ya upangaji wa matokeo unaozikabiri timu za Geita Gold Mine na Polisi Tabora, anaandika Regina Mkonde. Jamal ...

Read More »

Yanga yaibonyeza tena Simba, warudi kileleni

HESHIMA imerudi mahali pake, baada ya Yanga kuituliza tena Simba kwa kipigo cha mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es ...

Read More »

Museveni atangazwa kuwa Rais wa Uganda

MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi Dkt Badru Kiggundu amtangaza Rais Yoweri Museveni mshindi wa uchaguzi wa urais. 15:46 Kikao cha kutangaza matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa urais kimeanza. Mwenyekiti ...

Read More »

Nape atumbua BMT, Malinzi amteua Kiganja

NAPE Nnauye, ambaye ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ametengua uteuzi wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Henry Lihaya kwa kutowajibika ipasavyo katika usimamizi ...

Read More »

Mashabiki wa Simba, Yanga waonywa

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewaonya mashabiki wa Simba na Yanga watakaohudhuria kwenye mechi itakayofanyika kesho katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kufuata sheria na taratibu za ...

Read More »

Wanavyuo ‘wamrudi’ Prof. Ndalichako

LICHA ya Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi kusimamisha kazi wakurugenzi wanne wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HELSB), wanavyuo nchini wamesema, hatua hiyo ...

Read More »

Marekani ‘yachemsha’ Ugiriki

SERIKALI ya Marekani bado haijaweza kugundua nani ndiye mhusika mkuu wa shambulio lililotokea mapema wiki hii nchini Uturuki katika Mji Mkuu wa Ankara, shambulio hilo liliua watu 28. Akilaani shambulio ...

Read More »

Museveni atuhumiwa kuiba kura

CHAMA tawala cha NRM nchini Uganda kinachowakilishwa na Rais Yoweri Museveni katika ngazi ya Urais kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika jana, kimeanza kunyooshewa kidole kwa madai ya kushirikiana na serikali kuiba ...

Read More »

Matokeo Kidato cha Nne haya hapa

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne wa mwaka 2015, huku yakionesha kiwango cha ufaulu kushuka kwa asilimia 1.85 ikilinganishwa na asilimia 69.76 ya ...

Read More »

Upigaji kura Uganda wayumba

WAPIGA kura nchini Uganda wanaendelea kupiga kura vituoni kuwachagua viongozi lakini katika baadhi ya vituo upigaji kura umeyumba kutokana na kuchelewa kuanza. Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) limeripoti kwamba, ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram